×

Championi

Nkana Yawataka Yanga Wamsapoti Kessy

NKANA FC inafahamu kwamba Yanga ina mashabiki wengi sana Bongo hivyo imeamua kuwatumia kwa kuwataka wajaze Uwanja wa Taifa kesho...

READ MORE

Kwa Simba Hii, Nkana Wanatokaje

WAKATI keshokutwa Jumapili, wakitarajiwa kucheza mechi ya marudiano dhidi ya Nkana FC ya Zambia, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems,...

READ MORE

Mbelgiji Awakubali Ndemla, Salamba

BAADA ya kuwatumia wachezaji ambao amekuwa hawatumii mara kwa mara, Kocha wa Simba, Patrick Aussems amefunguka kuwa wanapambana kwa nguvu...

READ MORE

Bila Kupepesa: Karia Kubali Kukosolewa Ndiyo Uongozi Ulivyo

HIVI majuzi Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidao aliitisha mkutano wa waandishi wa habari kueleza mambo...

READ MORE

Fei Toto, Kamusoko Wavuruga Mipango Yanga

MSAFARA wa wachezaji wa Yanga jana alfajiri ulisafiri kwenda Mkoani Arusha kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi...

READ MORE

Fifa Yamruhusu Beki Mpya Simba SC

BEKI mpya wa Simba, Zana Oumar Coulibaly amekamilisha uhamisho wake wa kimataifa (ITC) na sasa ni rasmi anaruhusiwa kuitumikia timu...

READ MORE

Kessy awapa onyo Simba SC

MLINZI wa kulia wa Nkana ya Zambia, Mtanzania, Hassan Kessy, amewapiga biti wapinzani wao Simba kwamba wasifikirie kupata bao la...

READ MORE

Okwi amtibua Aussems

KATIKA hali isiyotarajiwa, mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi, juzi Jumamosi alimtibua kocha wake, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji katika mchezo...

READ MORE

Straika Mcongo anatua Simba SC

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Nkana FC ambaye amejiunga na Al Hilal ya Sudan, Idriss Mbombo raia wa DR Congo, ameingia...

READ MORE

Kotei: Tutawapiga Nkana Taifa

KIUNGO mgumu wa Simba, James Kotei, raia wa Ghana, amefunguka kuwa wamejisikia vibaya kupoteza mchezo wao wa kimataifa dhidi ya...

READ MORE

Mtibwa: Tutapindua Meza

LICHA ya kupoteza kwa mabao 3-0 katika mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika wakiwa ugenini, uongozi wa timu ya Mtibwa...

READ MORE

Yondani: Boban Kasaini, Wamekwisha

  KELVIN Yondani juzi jioni aliwasha WhatsApp yake akaanza kucheka. Washikaji waliokuwa karibu nae wakaanza kujiuliza kulikoni, kwani kuna habari...

READ MORE

Bosi Simba Atua Sauz Kukamilisha Dili La Okwi

BOSI mmoja wa juu ndani ya Klabu ya Simba, ameshawasili nchini Afrika Kusini na kukutana na mabosi wa Kaizer Chief...

READ MORE

Siri Ya Mabao Ya Makambo Yafichuka

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ameitaja siri ya mshambuliaji wa timu hiyo, Heritier Makambo kuwa na kiwango kizuri kwa...

READ MORE

Mzungu Apewa Mkataba Wa Okwi

  BAADA ya timu ya Kaizer Chief ya Afrika Kusini kutuma barua kwa uongozi wa Simba kuhitaji kumsajili mshambuliaji wao,...

READ MORE

Chama Amaliza Mchezo Zambia

SIMBA tayari imefanikiwa kuwamaliza wapinzani wao Nkana FC nje ya uwanja na kilichobaki ni ndani ya uwanja, hiyo ni baada...

READ MORE

Juuko Apigwa Chini Simba, Mkude Yamkuta Makubwa

BEKI wa kati wa Simba, Juuko Murshid, juzi Jumatatu alizuiwa kufanya mazoezi na kikosi hicho kwa kile kilichoelezwa ni utovu...

READ MORE

Yanga Yamnasa Haruna Boban Yampa Gari

YANGA imeonekana kupania kumaliza kipindi hiki cha usajili kwa kishindo baada ya kumshusha winga mwingine matata, huku wengine watatu wakitarajiwa...

READ MORE

Viporo vya Simba vyazua maswali Yanga

KITENDO cha Yanga juzi Jumapili kucheza mechi yake ya 15 katika Ligi Kuu Bara huku Simba ikiwa na mechi 12,...

READ MORE

Pluijm autaka ubingwa mapema

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Hans van Der Pluijm, amefunguka kuwa ndoto yake ni kuipa timu yake ubingwa wa ligi...

READ MORE

Winga Mcongo azuiwa mazoezini Yanga

KATIKA hali ya kushangaza, juzi Jumamosi, Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera alimzuia kiungo mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Ruben...

READ MORE

Simba kuwafuata Nkana Jumatano kwa mafungu

KIKOSI cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba, kinatarajiwa kuondoka keshokutwa Jumatano kwa mafungu kuelekea nchini Zambia ili...

READ MORE

Bilionea Ashusha Nondo Mbili Yanga

MAMBO ni moto ndani ya Yanga. Hivyo ndivyo unaweza kusema baada ya bilionea ambaye amekuwa akitoa msaada ndani ya kikosi...

READ MORE

Wazungu wamfuata Chama Simba SC

SIKU za kiungo mchezeshaji fundi wa Simba, Mzambia, Claytous Chama za kubaki kuendelea kuichezea timu hiyo zinahesabika baada ya kupata...

READ MORE

Mo amwaga mamilioni Simba SC

BILIONEA na mwekezaji mkuu wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ ameendelea kufanya kufuru ya fedha kwenye timu hiyo baada ya kutoa...

READ MORE

Yanga yamalizana na vifaa vitatu

KAMATI ya Usa­jili ya Yanga, rasmi imethibitisha kufikia uwezekano wa asil­imia 90 kuwasajili wachezaji watatu katika usajili huu wa dirisha...

READ MORE

Yanga yaliteka Jiji la Mbeya

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga tayari wametinga ndani ya Jiji la Mbeya kuwakabili Wajelajela Tanzania Prisons, leo Jumatatu....

READ MORE

Makambo ampiga mkwara Kagere

AKIIONGOZA Yanga leo i takapovaana na Tanzania Prisons ya Mbeya, mshambuliaji wa timu hiyo, Mkongoman, Heritier Makambo, ni kama ameanza...

READ MORE

Yondani, Kakolanya wafungiwa

HALI ya mambo ndani ya Yanga sasa si shwari tena kwani muda wowote kuanzia leo kipa namba moja wa timu...

READ MORE

Mbelgiji atua na mbinu kiboko kwa Mbabane

  WAKATI kesho Jumanne Simba ikiwa ugenini kucheza na Mbabane Swallows ya Eswatini, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, ameweka...

READ MORE

Rasmi Sonso Amalizana na Yanga SC

YANGA imelamba dume! Unaweza kusema hivyo baada ya kumalizana na beki wa kati mwenye kiwango cha juu wa Lipuli FC,...

READ MORE

Zahera: Makambo Habari Nyingine, Atafunga Sana Tu

  KOCHA Mkuu wa Yan­ga, Mwinyi Zahera raia wa DR Congo amewe­ka wazi kwamba ana­muamini straika wake, Heriti­er Makambo kuwa...

READ MORE

Simba Kuwafuata Mbabane Kibabe Jumapili, Mo Aongoza Mashambulizi

BAADA ya kuwatembezea kichapo kitakatifu Mbabane Swallow, juzi Jumatano kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, kikosi cha Simba...

READ MORE

CHAMPIONI LILIVYOMWAGA TIKETI ZA BURE MECHI YA SIMBA VS MBABANE

TIMU ya masoko ya Global Publishers Ltd  ikiongozwa na Anthony Adamu, jana Jumatano, Novemba 28, 2018, iliendelea na promosheni yake...

READ MORE

Makambo Amfunika Vibaya Kagere

MAMBO ni moto! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya mshambuliaji wa Yanga raia wa DR Congo, Heritier Makambo kuandika rekodi...

READ MORE

Fedha za Yondani zazuia usajili Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ameuambia uongozi wa timu hiyo kuwa hawezi kufanya usajili wa wachezaji wapya kwenye dirisha...

READ MORE

HAWA JAMAA WATAUANA UEFA KESHO, JUMATANO

WIKI ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imerejea. Mechi za wiki hii ni muhimu, kwani kuna timu kubwa zipo hatarini kutupwa...

READ MORE

SH ELFU 14 TU KWENYE AKAUNTI YAKE, DINHO ANAENDELEA KUSOTA

HALI ni mbaya. Vyuma vimekaza. Unaweza kuchagua moja ya sentensi hizo mbili, ukiambiwa kuelezea hali ya kiuchumi ya bilionea wa...

READ MORE

Mkwasa Yanga aionya TFF

BAADA ya juzi Ju­mamosi Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutangaza majina ya waliopit­ishwa kuwania nafasi mbalim­bali...

READ MORE