×

Championi

Uchunguzi Wamrudisha Aveva Muhimbili, Malinzi Apata Ahueni

RAIS wa Simba, Evans Aveva, jana alishindwa kuhudhuria mahakamani katika kesi ya utakatishaji fedha inayomkabili kwa mara ya nne mfululizo...

READ MORE

Kisa Yanga, Majimaji Yaongeza Dozi

KUELEKEA mchezo wao wa Kombe la Shirikisho, kikosi cha Majimaji kimelazimika kufanya mazoezi yake mara mbili kwa siku ili kuweza...

READ MORE

Simba SC Yapania Kuipa Dozi Mbao FC

KOCHA Msaidizi wa Simba, Mrundi, Masoud Djuma, amefunguka kuwa ni lazima waifunge Mbao FC ili wasikaribiwe na watani zao wa...

READ MORE

DAKIKA 450 YANGA KITAELEWEKA

BAADA ya Yanga kucheza mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya St Louis ya Shelisheli na kufanikiwa kufuzu hatua...

READ MORE

Tambwe: Yanga Inavuka Leo, Wala Msiogope

KIKOSI cha Yanga, leo Jumatano kinashuka uwanjani kupambana na St Louis ya Shelisheli katika mchezo wa marudiano wa Klabu Bingwa...

READ MORE

Buswita Akabidhiwa Namba Ya Chirwa

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Pius Busitwa, leo atacheza namba tisa akimrithi mshambuliaji Mzambia, Obrey Chirwa aliyeshindwa kuongozana na msafara huo...

READ MORE

OKWI AMPONZA CHIRWA YANGA

  MSHAMBULIAJI wa Simba, Emmanuel Okwi, ameonekana kumuumiza kichwa straika wa Yanga, Obrey Chirwa ambapo imebainika kuwa ndiye chanzo cha...

READ MORE

LIPULI WASAKA POINTI 10

BENCHI la ufundi la Klabu ya Lipuli FC ya Iringa limefunguka kuwa kwa sasa linajipanga kuhakikisha linavuna pointi 10 kwenye...

READ MORE

TANZANIA YAONGEZEWA TIKETI ZA KOMBE LA DUNIA

  SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa), limeamua kuongeza tiketi za kwenda kushuhudia michuano ya Kombe la Dunia itakayofanyika nchini...

READ MORE

KOCHA YANGA: TUTASHINDA BILA CHIRWA

KIKOSI cha Yanga, kimeondoka jana asub­uhi kwenda Shelisheli kwa ajili ya mechi yake ya marudiano ya Ligi ya Mab­ingwa Afrika...

READ MORE

Kibadeni Amaliza Vita ya Ubingwa Simba, Yanga

KOCHA na mche­zaji wa zamani wa Simba, Abdallah Kibadeni ‘King Kibadeni’, amefunguka kuwa kama Simba itaendelea na moto ilionao, basi...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATATU, FEB 19, 2018

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Feb 19, 2018. Ni yale ya...

READ MORE

Mfaransa Abadili Mbinu za Ubingwa Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Pierre Lechantre, anataka kubadili mbinu za kuhakikisha anachukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu...

READ MORE

Yanga Yatumia saa 72 Kupangua Hujuma

YANGA ni kama imefanikiwa kwa asilimia kubwa kukwepa hujuma za wapinzani wao, St Louis ya Shelisheli, baada ya kutuma viongozi...

READ MORE

Yanga Yampa Hofu Mkude

BAADA ya kutoa sare dhidi ya Mwadui FC, kiungo wa Simba, Jonas Mkude, ameingiwa na hofu ya kushushwa kileleni na...

READ MORE

CHIRWA AACHWA DAR NA YANGA

  YANGA inatarajia kuondoka Dar es Salaam leo Jumapili asubuhi kuelekea Shelisheli tayari kwa mechi ya marudiano dhidi ya St...

READ MORE

MASTAA 8 WANAOFANANA LAKINI HAWANA UNDUGU

DUNIANI ni wawiliwawili! Msemo huo umethibitika baada ya wadau wa muziki na filamu kuwataja mastaa ambao wanafanana sana lakini hawana...

READ MORE

NGOMA, YANGA WAFANYA KIKAO KIZITO

UONGOZI wa Klabu ya Yanga, jana Alhamisi ulitarajiwa kukutana na kufanya kikao na mshambuliaji wa timu hiyo, Donald Ngoma kwa...

READ MORE

Bocco: Kazi Ndiyo Imeanza

BAADA ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) hivi karibuni kumtangaza mshambuliaji wa Simba, John Bocco kuwa mchezaji bora wa mwezi...

READ MORE

Beki Atangaza Vita ya Namba Yanga SC

BEKI wa kushoto wa Yanga, Gadiel Michael, ametangaza vita kufuatia kauli yake kwamba atajituma kuhakikisha anamshawishi kocha kumpa namba ya...

READ MORE

Simba Yamuacha Kwasi

KIKOSI cha Simba kimewasili salama jijini Mwanza asubuhi kwa ndege tayari kwa ajili ya kuwakabili wapinzani wao Mwadui FC huku...

READ MORE

HII NI 4G… BARA TUNAPIGA, CAF TUNACHAPA

KAMA ulidhani Simba inazifunga timu za Ligi Kuu Bara pekee basi  najidanganya kwani jana ilianza vizuri kampeni yake ya Kombe...

READ MORE

Simba Hawaukosi Ubingwa

KWA staili hii Simba inakosaje ubingwa wa Ligi Kuu Bara? Vigogo wa Simba wameibuka na kutangaza ofa mpya kwa wachezaji wa...

READ MORE

Himid Mao Kupelekwa Sauz

BAADA ya kukosa michezo mitatu mfululizo kutokana na kupata majeraha, na­hodha na kiungo wa Azam FC, Himid Mao, huenda akapelekwa...

READ MORE

Mzee Akilimali: Chirwa Asipewe Penalti Yanga SC

KATIBU wa Baraza la Wazee wa Yanga, Mzee Ibrahim Ak­ilimali, amelitaka benchi la ufundi la timu hiyo linaloongozwa na Mzam­bia,...

READ MORE

Yanga Yapewa Mchongo Wa Kuifunga Simba

YANGA na timu nyingine za Ligi Kuu Bara zimepewa bonge la mchongo kwamba, kama zinataka kuifunga Simba basi kazi wanayotakiwa...

READ MORE

Pluijm Adai Pointi Za Mbao Za Moto

KOCHA wa Singida United, Hans van Der Pluijm, amesema pointi tatu walizopata dhidi ya Mbao FC zilikuwa za moto kwao...

READ MORE

Ajibu Arejea Yanga SC Kuwamaliza Shelisheli Caf Leo

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Ibrahim Ajibu na chipukizi anayekua kwa kasi, Yohana Nkomola wamerejesha matumaini kwenye timu hiyo na leo Jumamosi...

READ MORE

Wanaume wa Kazi Wameweka Rekodi Zao

LIGI Kuu England iliende­lea wikiendi iliyopita huku ikiwa na mambo mengi mapya ambayo mashabiki wa soka walikuwa wakiyasubiri kwa hamu...

READ MORE

Kocha Simba Aanika Mbinu za Kuwaua Azam Leo

KOCHA msaidizi wa Simba Mrundi, Masoud Djuma amekiri ugumu wa mechi yao ya leo dhidi ya Azam FC, huku akitaja...

READ MORE

Yanga Yaanda Kamati Ya Kumtema Ngoma

YANGA ni kama wameshtukia janja ya mshambuliaji wao Mzimbabwe, Donald Ngoma na kumtaka daktari mkuu wa timu hiyo, Edward Bavu...

READ MORE

John Bocco: Azam anakufa leo

WAKATI leo Jumatano Simba ikitarajiwa kuwa wenyeji wa Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, straika wa timu ya...

READ MORE

Sure Boy, Himid Kuikabili Simba Leo

LEO Jumatano Simba na Azam wanatarajia kukutana kwenye mchezo wao wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa kwenye...

READ MORE

Ajibu Bado Anateswa na Goti

IMEFAHAMIKA kuwa mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu, huenda akaukosa mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya St...

READ MORE

Kapombe: Huyu Mzungu! Yanga Wameumia

KIRAKA wa Simba, Shomari Kapombe, ametamka kuwa mi­pango aliyonayo kocha wao Mfaransa, Pierre Lechantre, anaamini timu yao itachukua ub­ingwa wa...

READ MORE

Rostand Aanza Nyodo Yanga SC

Youthe Rostand. BAADA ya kuwaaminisha uwezo wake mashabiki wa Yanga, kipa wa timu hiyo, Youthe Rostand amesema anataka kuona Ligi...

READ MORE

Tambwe amshangaa kocha Simba

KAULI ya Kocha Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma, aliyedai kwamba atafurahi zaidi kama straika wake Emmanuel Okwi atafunga mabao 30...

READ MORE

Yanga sasa imekaa sawa

YANGA imewapa maneno matamu mashabiki wake kwa kusema sasa kikosi chake kimekaa sawa na kipo kamili kuweza kushinda mechi ya...

READ MORE

SIMBA HII MPAKA MKOME

SIMBA hii itawapiga mpaka mkome kwani jana ilipata ushindi wa nne mfululizo bila kufungwa bao hata moja katika Ligi Kuu...

READ MORE

Yanga waapa kufa na Simba SC

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi katika mchezo wa juzi Jumamosi dhidi ya Azam FC,...

READ MORE