KIUNGO mkabaji wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi raia wa DR Congo, jana Alhamisi alikuwa gumzo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii...
READ MOREFungua tovuti ya Sokabet ambayo ni www.sokabet.co.tz kupitia simu, kompyuta au kifaa chochote kilichounganishwa na internet. Jiandikishe kwa kubonyeza ‘SIGN...
READ MOREKUFUATIA mfululizo wa kukaa kileleni mwa Ligi Kuu Bara kila msimu unapoanza, Kocha wa Mtibwa Sugar, Zuberi Katwila, amezungumzia...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Simba, Mcameroon, Joseph Omog amesema kuwa baada ya kufanikiwa kuondoka na pointi nne Kanda ya Ziwa, tayari...
READ MOREBAADA ya kuibuka minog’ono ya muda mrefu kuhusu Kiungo wa Simba, Haruna Niyonzima raia wa Rwanda, kutoposti picha kwenye mitandao...
READ MOREBAADA ya vinara wa Ligi Kuu Bara, Mtibwa Sugar kuwang’ang’ania kooni mabingwa watetezi, Yanga na kuwalazimisha suluhu, Kocha Mkuu wa...
READ MORERAIS wa Real Madrid Florentino Perez, amewataja Cristiano Ronaldo na Zinedine Zidane kuwa ndiyo nembo ya klabu hiyo kutokana na...
READ MORESTRAIKA wa Singida United, Mnyarwanda, Danny Usengimana, amesema ndiyo ameanza kazi ya kufunga na ataendelea kufanya hivyo ili kufikia lengo...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina, amefungukia pengo la straika wake, Amissi Tambwe, raia wa Burundi. Tambwe ambaye msimu...
READ MOREWAKATI kivumbi cha Ligi Kuu Bara kikizidi kupamba moto, baadhi ya mashabiki wa timu ya Simba juzi Jumamosi walijikuta wakiingia...
READ MORESIKU moja baada ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupiga marufuku kutumika kwa Uwanja wa Taifa, Dar es...
READ MOREKATIKA kuhakikisha timu yake inapata ushindi kwa kutumia mipira ya pembeni, Kocha wa Yanga, George Lwandamina amemuongezea mbinu beki wake...
READ MORESTRAIKA mpya wa Yanga, Ibrahim Ajibu, amefanikiwa kuipindua rekodi yake ya mabao kwa msimu uliopita alipokuwa akiitumikia Simba baada ya...
READ MOREKocha wa Bayern Munich, Carlo Ancelotti amefutwa kazi jana kufuatia mwanzo mgumu wa msimu wa 2017/18 yakiwemo matokeo ya juzi...
READ MOREKIUNGO wa Simba, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima amesema kuwa watahakikisha wanafanya kila liwezekanalo ili kuondoka na alama tatu kwenye mchezo wao...
READ MORELICHA ya mshambuliaji wa Yanga, Mzimbabwe, Donald Ngoma kuonekana siyo lolote mbele ya mashabiki wa timu hiyo kutokana na kushindwa...
READ MORE‘OMOG afukuzwe’, ‘Omog abaki’, ‘Omog hatufai’, ‘Omog ni tatizo’, ‘timu hazichezi vizuri tatizo ni Omog’. Hizo ni baadhi ya kauli...
READ MORETIMU ya Mtibwa Sugar kutoka mkoani Morogoro imedai kuwa bahati tu ndiyo iliyowaokoa Ruvu Shooting chini ya Msemaji wao,...
READ MOREBAADA ya juzi Jumamosi, mshambuliaji Ibrahim Ajibu kuiongoza Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ndanda FC ya...
READ MOREKIUNGO wa Simba, Myarwanda, Haruna Niyonzima, amewatuliza mashabiki wa timu hiyo, akidai licha ya matokeo ya sare waliyoyatoa dhidi ya...
READ MOREBEKI kiraka wa Simba, Erasto Nyoni, amefanikiwa kumteka akili kocha mkuu wa timu hiyo, Mcameroon, Joseph Omog baada ya kufanikiwa...
READ MOREBEKI kisiki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, amesema kuwa licha ya mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi kufunga mabao sita hadi...
READ MORESTRAIKA wa Simba, Emmanuel Okwi, amesema hakuweza kufanya vizuri katika mchezo dhidi ya Mbao FC, kwani mabeki wa wapinzani wao...
READ MORESAID Mohamed ‘Nduda’ ni kipa wa Simba ambaye amesajiliwa msimu huu akitokea Mtibwa Sugar ya mkoani Morogoro a m b...
READ MOREDIRISHA la usajili wa Ulaya lilifungwa tangu Agosti 31, mwaka huu, kabla ya kufungwa usajili uliowashangaza wengi ni Liverpool kumsajili...
READ MOREFAMILIA ya msanii wa Bongo Movie, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ imetoa shukrani za dhati kwa wote walioguswa na kujitolea michango...
READ MOREFULL TIME DAKIKA 3 ZA NYONGEZA Dk 89, Kipa wa Mbao FC anadaka vizuri shuti la faulo KADI Dk 88,Mohammed...
READ MORE#SpotiHausi ni kipindi cha #Michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni. Mwandishi mahiri wa Gazeti la Championi, Saleh...
READ MOREKIUNGO mkabaji mpya wa Yanga, raia wa DR Congo, Pappy Kabamba Tshishimbi, ameanza na rekodi mbaya kwenye timu hiyo kwa...
READ MOREKIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mganda, Emmanuel Okwi, ametangaza kuwa kila mechi kwao ni fainali, hivyo watahakikisha wanapambana kushinda kila mechi...
READ MOREMWENYEKITI wa zamani wa Simba, Mzee Hassan Dalali ameibuka na kufunguka kuwa kamati ya usajili ya timu hiyo haikukosea kumsajili...
READ MOREKOCHA Msaidizi wa Ndanda FC, Musa Mbaya ‘Moloto’ amefunguka kuwa wamejipanga vizuri kuhakikisha wanaibuka na ushindi katika mchezo wao dhidi...
READ MOREBAADA ya kikosi chake kuwa na matokeo mazuri ndani ya michezo mitatu waliyocheza hadi sasa, Kocha Mkuu wa Azam, Aristica...
READ MORETIMU za jiji la Manchester zimeendelea kutawala kwenye Ligi Kuu England mwanzoni tu mwa msimu huu. Hii ni kasi...
READ MORENIANZE kwa kumshukuru Mungu kwa afya njema aliyonipatia na ni matumaini yangu upo poa, msomaji wa safu hii. Joto la...
READ MOREKOCHA Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema baada ya kuiongoza timu yake ya Dodoma FC kushinda bao 1-0 dhidi ya Pamba SC...
READ MORESTAA wa mpira wa kikapu Stephen Curry, juzi alionyesha uwezo wake kwenye mchezo wa soka baada ya kuwa mgeni kwenye...
READ MOREWAKATI ikiwa imezoeleka kuona klabu nyingi za soka na michezo mingine katika mataifa yaliyoendelea kukiwa na mfumo wa ununuaji tiketi...
READ MORELICHA ya kujulikana kuwa ni mmoja wa wachezaji wenye uwezo wa juu ingawa ana muda mfupi katika soka la Tanzania,...
READ MORE