×

Featured Stories

Jaffo – Rushwa Ya Ngono Ni Hatari

Naibu Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jaffo. Naibu Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jaffo amesema rushwa ya ngono ni hatari kuliko rushwa...

READ MORE

Magazeti Ya Tanzania Leo Oktoba 15, 2016

MAGAZETI ya leo Oktoba 15, 2016  stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzaniakwenye kurasa za mbele na nyuma ili ujue...

READ MORE

Wakali 40, Jukwaa Moja Singeli ‘Kuwaka Moto’ Nyerere Day Dar Live Leo

Mwandishi Wetu, Dar es SalaamHAIJAWAHI kutokea! Unaweza sema hivyo kwa maana nyingine pale wakali wa muziki ulioshika kasi kama kiberenge ‘Singeli’...

READ MORE

Makamu wa Rais Ahani Msiba wa Masaburi Leo

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombolezo  katika msiba...

READ MORE

Makontena 100 Yaibwa Bandarini Dar

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage. WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage ametoa siku nne kwa...

READ MORE

Gigy, Amber Lulu Waingia Kwenye Vita Baridi

Gift Stanford ‘Gigy Money’. Ma-video queen wasumbufu Bongo, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ na Gift Stanford ‘Gigy Money’ wapo kwenye vita...

READ MORE

Twanga, Papii, Babu Seya Kutumbuiza Tamasha La Wafungwa Leo

Wanamuziki wakongwe wanaotumikia kifungo cha maisha ndani ya Gereza la Ukonga, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na Johnson Nguza ‘Papii Kocha’....

READ MORE

Rais Magufuli Na Waziri Mkuu Majaliwa Wakutana Na Kiongozi Mkuu Wa Dawoodi Bohora Duniani Ikulu Dar

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi Bohora...

READ MORE

Rais Magufuli Atuma Salamu za Rambirambi kufuatia kifo cha Meya Mstaafu wa Jiji la Dar Dkt. Masaburi

Aliyekuwa Meya Mstaafu wa Jiji la Dar es Salaam Dkt. Didas Masaburi.   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

Aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam Dk. Didas Masaburi afariki Dunia

Aliyekuwa Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi enzi za uhai wake.   Meya wa...

READ MORE

Magazeti Ya Tanzania Leo Oktoba 13, 2016

MAGAZETI ya leo Oktoba 13, 2016  stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kwenye kurasa za mbele na nyuma ili...

READ MORE

Video: Diamond Anaswa Na Vidosho Watatu Garini Usiku, Atimua Spidi 120

Na MUSA MATEJA, Risasi MCHANGANYIKODAR ES SALAAM: Msanii nyota wa Muziki wa Bongo Fleva mwenye mafanikio makubwa, Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

Rais Magufuli afuta safari za Viongozi wa Mikoa na Wilaya kwenda Bariadi Kuzima Mwenge wa Uhuru

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi akitangaza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe...

READ MORE

Video: Maswali 7 Tata Kumhusu Scorpion

UWAZI MA: DAR ES S A L A A M : Tukio la ukatili wa kupindukia a l iot endewa...

READ MORE

Manji Ajitoa Yanga Rasmi

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji. Mwandishi Wetu, Dar es SalaamMWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji, amesitisha kuendelea na zoezi la kuikodisha...

READ MORE

Magazeti Ya Tanzania Leo Oktoba 12, 2016

MAGAZETI ya leo Oktoba 12, 2016  stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kwenye kurasa za mbele na nyuma ili...

READ MORE

Makamu Wa Rais Azindua Mradi Wa Ujenzi Wodi Za Wazazi

Makamu wa Rais, Samia Suluhu akizindua jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la wazazi katika Hospitali ya Rufaa ya...

READ MORE

Video: Mixtape ya VDJ Ally B Yazinduliwa Maisha Basement Dar

DVJ wa Ukumbi wa Maisha Basement, DVJ Ally B akifanya mahojiano na Global TV Online. …Akiendelea kufanya mahojiano. …Akionyesha mashabiki...

READ MORE

LHRC: Wafungwa 470 Wanasubiri Kunyongwa

Dk. Kijo-Bisimba. WATU 472 waliohukumiwa adhabu ya kifo kutokana na makosa mbalimbali, wanasubiri saini ya Rais Dk. John Magufuli ili...

READ MORE

Magazeti Ya Tanzania Leo Oktoba 11, 2016

MAGAZETI ya leo Oktoba 11, 2016  stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kwenye kurasa za mbele na nyuma ili...

READ MORE

Rais Dkt. Magufuli Apokea Hati Za Utambulisho Kutoka Kwa Mabalozi Wapya Nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa...

READ MORE

VIDEO: Mahakama Yakubali Maombi ya Wadhamini CUF

Wakili wa wanachama wa Cuf, Juma Nassoro, akihojiwa na wanahabari baada ya kusikiliza shauri lao. Baadhi ya wanachama wa Cuf...

READ MORE

Riyama, Mumewe wadaiwa kutengana!

Kali wa sinema za Kibongo, Riyama Ally  akiwa na mumewe wake ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, Haji Mwalimu Mzee...

READ MORE

Dk. Masaburi Alazwa Hospitali Muhimbili

Dk. Didas Masaburi. ALIYEKUWA Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi, amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili...

READ MORE

Magazeti Ya Tanzania Leo Oktoba 10, 2016

  MAGAZETI ya leo Oktoba, 10 2016  stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kwenye kurasa za mbele na nyuma...

READ MORE

EXCLUSIVE: Babu Seya, Papii Watuma Ujumbe Mzito Kwa JPM!

Papii Kocha (katikati) akiimba na baba yake Nguza Viking (kulia). DAR ES SALAAM! Kwa Wabongo walio wengi, majina ya Nguza...

READ MORE

Magazeti Ya Tanzania Leo Oktoba 9, 2016

MAGAZETI ya leo Oktoba, 9 2016  stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kwenye kurasa za mbele na nyuma ili...

READ MORE

Rais Magufuli Ashiriki Sherehe Za Mabohora Za Kuadhimisha Mwaka Mpya Wa Kiislamu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John pombe Magufuli akiwasili kwenye msikiti wa Bohora ulioko Upanga jijini Dar...

READ MORE

Wakali 40 Jukwaa Moja…Ni Mwendo Wa Singeli Nyerere Day Dar Live

Msanii mkali wa Singeli, Sholo Mwamba akiwa Global TV Online kueleza atakavyofanya makamuzi Siku ya Ijumaa ya Oktoba 14 iliyoandaliwa kwa...

READ MORE

Kajala: Nasikia Upweke, Natamani Mume! (Video)

         Mwigizaji Kajala Masanja akiweka sawa kitanda chake maeneo ya Sinza Afrikasana, jijini Dar. NA IMELDA MTEMA Niko nje ya nyumba...

READ MORE

Magazeti Ya Tanzania Leo Oktoba 8, 2016

MAGAZETI ya leo Oktoba, 8 2016  stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzanianyuma na mbele ili ujue kinachoendelea msomaji wetu...

READ MORE

VIDEO: Madaktari Wasema Said Ally Hatoona Tena

Said Ally akiwa katika hali ya huzuni baada ya kuambiwa haotoona tena.…akifarijiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Saalam,...

READ MORE

Rais Colombia Ashinda Tuzo Ya Nobel Ya Amani

Rais Juan Manuel Santos. Rais wa Colombia Juan Manuel Santos leo ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Nobel ya amani...

READ MORE

Aveva Amuandikia Barua Rais Magufuli Ya Kuomba Radhi

Rais wa timu ya Simba, Evans Aveva. UONGOZI wa Klabu ya Simba umemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

READ MORE

Msajili Amtambua Lipumba, Maalim Seif

Profesa Ibrahim Lipumba. OFISI ya Msajili wa Vyama ya Siasa imetoa orodha ya vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu...

READ MORE

Magazeti Ya Tanzania Leo Oktoba 7, 2016

    MAGAZETI ya leo Oktoba, 7 2016  stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania nyuma na mbele ili ujue kinachoendelea...

READ MORE

Rais Dkt. Magufuli Afungua Rasmi Kiwanda Cha Kusindika Matunda Cha Bakhressa Food Products ltd. Mkuranga, Mkoa Wa Pwani Leo

Waziri wa viwanda,  Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage (kushoto) na katibu Mkuu wake Dkt. Adelhelm Meru wakiongea na Mwenyekiti wa makampuni...

READ MORE

Jeshi La Polisi Latoa Tamko Rasmi Kupigwa Mwanafunzi Wa Sekondari (Video)

WAZIRI wa Mambo ya Ndani Nchini, Mwigulu Nchemba, ametoa tamko rasmi juu ya kitendo cha kupigwa kwa  mwanafunzi wa kidato...

READ MORE

Mkataba Wa Yanga Kukodishwa Kwa Miaka 10 Kwa Manji Huu Hapa

Kikosi cha timu ya Yanga. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMUHTASARI WA MKATABA. 1. Bodi ya Wadhamini wa Young Africans Sports...

READ MORE

Video Moyo Mashine Ya Ben Pol Ina Vijidosari

NA WASTARA JUMA NI siku nyingine tena tunakutana katika kona yetu hii ya Movie and Video Review (Uchambuzi wa Filamu...

READ MORE