×

Featured Stories

Hamisa amlipua Lulu

Hamisa Hassan Mobeto STORI: MWANDISHI WETU, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Mwanamitindo ambaye pia ni video queen maarufu Bongo, Hamisa Hassan...

READ MORE

Picha: Shoo ya Miaka 10 ya Bella Ilivyotikisa Jiji la Dar

Usiku wa kuamkia leo mwanamuziki nguli wa Muziki wa Dansi, Christian Bella alisherehekea kutimika miaka 10 katika muziki ambapo alifanya...

READ MORE

Hawa Wamechinjwa Bila Hatia!

Marehemu Mkiwa Philipo. Stori: Oscar Ndauka, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM na mikoani: Inauma sana! Ndilo neno ambalo linafaa kutumika...

READ MORE

Mauzauza nyumbani kwa Waziri Nchemba

Bibi kizee alivyonaswa usiku akirandaranda na tunguri nyumbani kwa Waziri Mwigulu Nchemba. Stori: Francis Godwin, Risasi Jumamosi DODOMA: Katika hali...

READ MORE

Harmonize amnunulia Wolper gauni mil. 1

Stori: Mwandishi Wetu, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: IMEVUJA! ‘Kinda’ wa Bongo Fleva Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ ambaye anatamba na kibao...

READ MORE

Mkwasa: Siwezi kumlazimisha Cannavaro kucheza

Kocha wa Taifa Stars, Charles Mkwasa (kulia). Wilbert Molandi, Dar es Salaam KOCHA wa Taifa Stars, Charles Mkwasa amesema anatamani...

READ MORE

Breaking News: Bondia Muhammad Ali Afariki Dunia

Muhammad Ali enzi za uhai wake. Bondia bingwa wa zamani wa dunia, Muhammad Ali ‘The Greatest’ amefariki dunia jana Ijumaa...

READ MORE

Lulu Diva, Gigy wapeana makavu live

Lulu Diva Boniphace Ngumije, Risasi Jumamosi WAUZA nyago kwenye video za Kibongo, Lulu Abass ‘Lulu Diva’ na Gift Stanford ‘Gigy...

READ MORE

Kejeli za kutopata mtoto… Mchungaji Akesha Akimwombea Wema

Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ Stori: Gladnes Mallya, Ijumaa Dar es Salaam: Habari njema! Baada ya staa wa filamu za Kibongo,...

READ MORE

Vanessa alazimishwa kudendeka

Na Musa Mateja NJEMBA mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, juzikati aliwashangaza watu baada ya kulazimisha kudendeka jukwaani...

READ MORE

Changamkia Magazeti ya Global Ushinde Mjengo Huu

Muonekano wa mjengo huo kwa nje ukiwa katika hatua za mwisho za matengenezo.…upande wa mbele.…maliwatoni.…sebuleni. …koridoni. Meneja Mkuu wa Kampuni...

READ MORE

Mastaa Waanika Bei Zao za Kupiga Picha za X

Stori: Mayasa Mariwata, Ijumaa DAR ES SALAAM: Dunia imekwisha!  Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mastaa wa kike Bongo ambao wamekuwa vinara...

READ MORE

Daktari: Diamond Anamuua Baba’ke!

Baba mzazi wa Diamond, Mzee Abdul Juma. Mwandishi wetu, Amani DAR ES SALAAM:  “Msongo wa mawazo ni tatizo kubwa duniani...

READ MORE

Tukio la Ajabu Kaburini

DAR ES SALAAM! Wakazi wa Mbagala Chalambe jijini Dar es Salaam, waliamka asubuhi na kukutana na tukio lililojaa maswali mengi...

READ MORE

Esha ‘alia’ wivu kwa hausigeli wake

GLADNESS MALLYA S TAA wa filamu za Kibongo, Esha Buheti ‘amelia’ wivu kwa mfanyakazi wake wa ndani (hausigeli) kuwa katika...

READ MORE

JWTZ Yajitosa Kuwasaka Wauaji wa Watu 8 Tanga

SERIKALI imetuma kikosi maalumu cha ulinzi, kikiongozwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa ajili ya kuwasaka...

READ MORE

Chuchu Hans adaiwa kunasa ujauzito

Chuchu Hans. IMELDA MTEMA STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans anadaiwa kunasa ujauzito wa mchumba wake ambaye naye ni staa...

READ MORE

Kajala hatarini kupata kansa

Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja. Musa Mateja, Amani STAA wa filamu Bongo, Kajala Masanja, yupo hatarini kupata ugonjwa wa...

READ MORE

Aliyetumbuliwa na JPM anunua benzi la mil.75

Wakili Hashim Rungwe. DAR ES SALAAM: Kigogo mmoja wa bandari aliyetumbuliwa na Rais Dk. John Magufuli ‘JPM’ hivi karibuni amejinunulia...

READ MORE

Watuhumiwa wa Ubakaji, Udhalilishaji Wanyimwa Dhamana Moro

Morogoro: Washtakiwa sita wanaokabiliwa na makosa tofauti yakiwemo ya kubaka, kulawiti na kusambaza picha chafu na za ngono wameendelea kusota...

READ MORE

Vodacom, Global wawasogeza wasanii kwa mashabiki wao

  Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu akiongea na wanahabari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma ya Staa...

READ MORE

Mume, Mke Wachinjwa Kinyama

Majeneza yenye miili ya marehemu hao. Na Gregory Nyankaira, RISASI MCHANGANYIKO MARA: Hali mbaya! Wanandoa Said Somba (48) na Kadogo...

READ MORE

Shilole, Baunsa Wazichapa

Musa Mateja, RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Mtiti! Msanii nyota wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ wikiendi iliyopita...

READ MORE

Snura amkabidhi jipu mama Samia

Makamu wa Rais, Samia Suluhu. GLADNESS MALLYA na Mayasa Mariwata, RISASI DAR ES SALAAM: STAA wa muziki Bongo, Snura Mushi...

READ MORE

Kajala Amwanika Bwana Mpya!!

Kajala (picha ya kushoto) na mwamme anayedaiwa kuwa bwana wake mpya. Musa Mateja, RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Baada ya...

READ MORE

Dada wa Msuya Kuchinjwa… Mchezo ni Huu

Jeneza lenye mwili wa marehemu. Na Waandishi Wetu, UWAZI DAR ES SALAAM: Bado habari ni moto! Majonzi yanaendelea kutawala kwenye...

READ MORE

Wananchi: Mwanza Si Salama!

Marehemu Nyenzi. Na Johnson James, UWAZI MWANZA: Kufuatia kuuawa kwa kupigwa risasi kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Bubale,...

READ MORE

Fundi Mabasi Ajinyonga kwa Kuchoka Kuuguaugua!

Mwili wa marehemu Charles ldd Ngozoma ukiingizwa kwenye gari la polisi. Na Dustan Shekidele, UWAZI MOROGORO: Hali tete! Mtu aliyetajwa...

READ MORE

Mgonjwa: Nateseka na mfupa wa fuvu la kichwa tumboni

Yassin Khalid Salum. Stori: Boniphace Ngumije MWANAUME anayefahamika kwa jina la Yassin Khalid Salum, 34, mkazi wa Mtoni Mtongani jijini...

READ MORE

Majonzi Tupu Kuangwa Dada wa Bilionea Msuya

Waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu Anathe Msuya Dada wa marehemu wakiaga mwili wa ndugu yao. M toto wa marehemu Anathe,...

READ MORE

Vurugu Tena Bungeni, Ni Kuhusu Wanafunzi 7000 wa UDOM Waliotimuliwa

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bila kujali itikadi ya vyama vyao, leo wametoka nje ya ukumbi...

READ MORE

Chura ya Snura Yauzwa Kama Njugu!

Snura Mushi. STORI:WAANDISHI WETU, WIKIENDA DAR ES SALAAM! Majanga! Wimbo wa Chura wa msanii anayekuja juu kwa kasi, Snura Mushi...

READ MORE

Lungi alinanga penzi la Wolper, Harmonize

Jacqueline Wolper na Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ STORI: HAMIDA HASSAN, WIKIENDA MSANII wa filamu wa kitambo, Lungi Maulanga amelinanga penzi na...

READ MORE

Wakongwe wa Muziki ‘Waikalisha’ Dar Live

Abby Skills akiwakumbushia mashabiki wimbo wa Maria. Dully Sykes akiwapagawisha mashabiki. Juma Nature akigonga ‘nyundo’ zake. Mabaga Fresh nao wakiwakumbusha...

READ MORE

Mwanahabari Makongoro Oging’ Azikwa Tarime

Mke wa Makongoro, Naza Oging’ akimuaga mumewe kwa simanzi nzito. Mama mzazi wa marehemu aitwaye Magreth Oging’ akimuaga mwanaye kwa...

READ MORE

Real Madrid Walivyotwaa Kombe la UEFA (Video+Picha)

Kikosi cha Real Madrid kimefanikiwa kutwaa Kombe la Ligi ya Mabingwa barani Ulaya kwa kuwachapa mahasimu wao Atletico Madrid kwa...

READ MORE

Kiba Apata Mpenzi Mwingine, Asema: Nikimrudia Jokate nisutwe

Staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ Stori: Mwandishi Wetu, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Siku chache baada...

READ MORE

Familia Iliyoteketea kwa Moto… Chanzo Chajulikana

     Tatu Issa na mjukuu wake, Catherine Stewart enzi za uhai wao. Stori: Waandishi Wetu, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM:...

READ MORE

Jokate ‘amzimikia’ Barakah Da Prince

Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ Stori: Boniphace Ngumije, RISASI JUMAMOSI MREMBO wa nguvu, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amefunguka kuwa katika orodha ya wasanii...

READ MORE

Isabela: Inaniuma Kalama Kumuoa Shoga Yangu

Isabela Mpanda. Stori: Mayasa Mariwata na Gladness Mallya, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: SIKU chache baada ya Mbongo Fleva, Kalama...

READ MORE