×

Global TV Online

#Live: Mkutano Wa Wafanyabiashara Wa Mazao Ya Nafaka..

Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga na Naibu Wake Hussein Bashe, wanaendelea na mkutano wao na wafanyabiashara wa mazao ya nafaka…

READ MORE

Kizaazaa: Msafara wa DC Washambuliwa kwa Mawe, 40 Wakamatwa – Video

WATU 40 wanashikiliwa na jeshi la Polisi Wilayani Kyela Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za kuzuia na kushambulia msafara wa...

READ MORE

Mume wa Dereva wa Lori la Mafuta Afunguka Mazito! – Video

Mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Stella Aradini ameelezea safari yake ya udereva pamoja na changamoto alizokumbana nazo mpaka sasa alipofikia....

READ MORE

Amuua Mama Yake, Aukaanga Ubongo Kisa Pesa ya Pombe! – Video

Kijana mmoja raia wa INDIA anadaiwa kumuua mama yake kikatili kwa kumpiga na shoka kichwani na kisha kuchukua ubongo wake...

READ MORE

JP Apokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi Watano Ikulu – Video

Balozi mteule wa Zimbabwe nchini Tanzania, Meja Jenerali Anselem Nhamo Sanyatwe, amekabidhi hati za utambulisho kwa Rais Magufuli leo Agosti...

READ MORE

DC Kigamboni Sarah Msafiri Ataja Mikakati Yake | +255 Global Radio

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Sarah Msafiri (wa pili kulia), akisalimiana na Meneja Mkuu wa Global Publishers Ltd, Abdallah Mrisho,...

READ MORE

VIDEO: Mizengo Pinda Afunguka Alivyotinga Ikulu 1978, Maisha Yake

 WAZIRI MKUU Mstaafu wa Tanzania wa awamu ya nne Mizengo Kayanza Peter Pinda akifanya mahojiano na Global TV Online...

READ MORE

Mataifa 10 Yenye Ulinzi Mkali Zaidi Wa Mipaka Yake!

Kila taifa duniani lina uwezo wake wa kupambana na maadui na kulinda mipaka ya nchi yake ipasavyo isiingilie au kuvamiwa...

READ MORE

VIDEO: HAMAD ALIA; “UMEME UKIKATIKA NAKUFA, NISAIDIENI”

 HUJAFA HUJAUMBIKA! Kijana Hamad anayeishi  Majumba-Sita,  Ukonga,  jijini Dar es Salaam  amewaomba Watanzania kumsadia ili aweze kwenda India kupatiwa...

READ MORE

Shilole Haishiwi Vituko, Anataka Kuanza Form One – Video

Mwanamitindo maarufu Bongo, MIRIAM ODEMBA, kupitia ODEMBA FOUNDATION, Agosti 27, 2019 ametembelea wilaya ya Kisarawe na kukutana na Mkuu wa...

READ MORE

Exclusive: Baraka Mpenja Ataja Timu Anayoshabikia – Video

 MTANGAZAJI wa kituo  Azam TV, Baraka Mpenja a.k.a Sauti ya Radi ambaye utangazaji wake umekuwa gumzo katika mitandao ya...

READ MORE

Bibi wa Miaka 114 Adai Kudhulumiwa Shamba – Video

BIBI kikongwe mwenye umri wa Miaka 114 ambaye ni mke wa Chifu Mareale, Veronica Mareale ameiangukia Serikali akiomba msaada ya...

READ MORE

Imefichuka! Ukweli Kuhusu Mchawi Aliyeanguka Juu ya Paa – Video

IRINGA: Hii ni kali ya mwaka! Ndivyo unavyoweza kusema juu ya tukio la mama mmoja aliyedaiwa kupata ‘pancha’ angani na...

READ MORE

RC Makonda Yupo Siriazi “Unamuumizaje Mwanamke?” – Video

Baada ya Mfumo wa Kupokea Malalamiko ya Wananchi dhidi ya utendajikazi wa watumishi wa Umma kuonyesha mafanikio makubwa ambapo hadi...

READ MORE

KMC Waanza Kunona, Wasaini Mkataba wa Bilioni M-Bet

UONGOZI wa KMC inayoshiriki Kombe la Shirikisho Afrika umeingia mkataba wa miaka mitano na kampuni ya kubashiri matokeo ya M-bet...

READ MORE

Exclusive Interview: Kamanda Mambosasa Ndani Ya Global Radio – Video

 KAMANDA wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, leo Agosti 21, 2019 ametembelea ofisi za...

READ MORE

Makonda Amlipua Diamond Ishu Ya Ndoa “Kama Ulihonga IST…” – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda leo Agost 20 amezungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...

READ MORE

Dereva Mwanamke wa Lori la Mafuta, “Nilipigwa Risasi” – Video

Mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Stella Aradini ameelezea safari yake ya udereva pamoja na changamoto alizokumbana nazo mpaka sasa alipofikia.....

READ MORE

Mtoto wa Mpigania Uhuru: Baba Alizikwa Hapa! – Video

MTOTO wa aliyekuwa mpigania ukombozi wa Afrika  Kusini aitwaye David, mkazi wa Morogoro amesimulia maisha yake anayoishi baada ya kuishi...

READ MORE

Mwanafunzi Kidato cha Nne Ajiua kwa Risasi

Ndugu Wanahabari, Tarehe 18.08.2019 muda wa saa 05:00hrs alfajiri katika Nyumba ya Shirika La Nyumba la Taifa iliyopo Plot namba...

READ MORE

VIDEO: DKT. SLAA AKEMEA WATANZANIA WANAOIKOSOA SERIKALI MITANDAONI

 Balozi wa Tanzania nchini Sweden Dkt. Wilbord Slaa amekemea tabia ya baadhi ya watanzania kubeza miradi ya maendeleo inayotekelezwa...

READ MORE

Baba Alia: “JPM Nisaidie Askari Magereza Akamatwe – Video

Jumanne Wilson, mkazi wa jijini Dar es salaam, anamlilia Rais Dk. John Pombe Magufuli amsadie kukamatwa kwa mtu aliyejitambulisha kama...

READ MORE

Waliofariki kwa Ajali ya Moto Moro Wafikia 95

Idadi ya waliokufa kutokana na ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro imefikia 95 baada ya majeruhi mmoja aliyekuwa amelazwa Hospitali...

READ MORE

JPM SADC: “Tanzania Ina Warembo Wengi, Tumieni FURSA” -VIDEO

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambaye ni Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo Agosti...

READ MORE

Siku 7 Baada ya Ajali Morogoro, Hali Ilivyo Eneo la Tukio – Video

IKIWA ni siku saba tangu kutokea kwa ajali ya lori la mafuta kuwaka moto eneo la Msamvu mkoani Morogoro, Jumamosi...

READ MORE

Uchumi Wetu Kiboko, SADC Yaimwagia Tanzania Sifa – Video

KATIBU Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)  Dk. Stergomena Lawrence Tax,  ameipongeza Tanzania kuwa nchi pekee ambayo...

READ MORE

Ajali ya Morogoro: Mwingine Mmoja Afariki Muhimbili – Video

IDADI ya vifo kutokana n ajali ya lori la mafuta lililopinduka na kuwaka moto mkoani Morogoro, imeongezeka na kufikia 94...

READ MORE

Mbalamwezi wa The Mafik Azikwa Dar -Video

MWILI wa aliyekuwa msanii wa Kundi la The Mafik, Abdallah Yusufu Matimbwa ‘Mbalamwezi’, aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana, umetolewa...

READ MORE