×

Global TV Online

BEAUTY & STYLES: MR Blue Kaja na Mavazi Yake “Sishindani na DIAMOND” -Video

Msanii wa Bongo Fleva, Mr Blue,  ameamua kugeukia shughuli za ujasiriamali kwa kuanzisha mavazi yake yenye logo yake ya ‘Micharazo’....

READ MORE

VIDEO: Droo ya Nane ya Tusua Maisha na Global, Pikipiki Yaenda Ukerewe

 Mambo yanazidi kukolea katika Shindano la Tusua Maisha na Global, ikiwa ni droo ya nane ambapo Jackson Bwire, msomaji...

READ MORE

BREAKING: Diamond Amkabidhi Gari Muuza Mitumba – VIDEO

Mwanamuziki wa Bongo Fleva na Mmiliki wa Bidhaa za Diamond Karanga, Diamond Platnumz leo Agosti 14, 2018 amemkabidhi zawadi ya...

READ MORE

USIKOSE KIPINDI KIPYA, ONLINE TUITION GLOBAL TV, JUMANNE SAA 8 MCHANA

Global TV Online, kituo chako bora cha runinga ya mtandaoni, kinazidi kukudondoshea vitu exclusive ambavyo huwezi kuvipata sehemu nyingine yoyote...

READ MORE

VIDEO: KIWANDA CHA KISASA CHA MPUNGA, BUSEGA USIPIME

GLOBAL TV ONLINE  imefanya mahojiano na Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Busega Mazao LTD, Deogratius Kumalija, amesema kiwanda hicho kilisajiliwa...

READ MORE

DC JOKATE, Shilole Wakicheza Katika Siku ya Vijana -VIDEO

 Kila ifikapo Agosti 12, Dunia inaadhimisha siku ya vijana Duniani, ambapo Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo ameshiriki...

READ MORE

Video Mpya ya Davido – Nwa Baby

STAA kutoka kiwanda cha muziki nchini Nigeria, David Adedeji Adeleke ‘Davido’ ameachia video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina...

READ MORE

MKUU WA MKOA WA TANGA AFIKA KUMZIKA MAJUTO (PICHA +VIDEO)

MWILI  wa aliyekuwa msanii gwiji wa filamu nchini, Amri Athumani ‘King Majuto’,  unatarajiwa kuzikwa leo mkoani Tanga katika shamba lake...

READ MORE

Alichokisema JOTI Kuhusu Mzee MAJUTO -Video

Msanii mahiri wa vichekesho nchini, Joti, amesema kuwa Marehemu Mzee Majuto alikuwa akiwasisitiza sana wafanye kazi bila ya kujivuna na...

READ MORE

JB: “Hatutampata Mtu Kama Majuto” – Video

 Msanii mkongwe wa filamu hapa nchini, Jacob Stephen ‘JB’ amesema tasnia ya Bongo muvi imepata pigo sana kwa kumpoteza...

READ MORE

TANGA: Majirani Wamlilia Mzee MAJUTO – Video

 Global TV imezungumza na baadhi ya majirani wa Amri Athumani ‘Mzee Majuto’ jijini Tanga ambao kwa kiasi kubwa wameonesha...

READ MORE

Video: Alichokisema Mke wa Majuto Kuhusu Kifo cha Mumewe

 Bi Aisha Yusuph, mke wa Marehemu Mzee Majuto, amefunguka kuhusu kifo cha mumewe huku akieleza kwamba tatizo la kisukari...

READ MORE

Kuagwa kwa King Majuto, Majonzi & Vilio Vyatawala (Picha +Video)

 MAMIA ya waombolezaji wamejitokeza katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam kuaga mwili wa aliyekuwa muigizaji nguli wa...

READ MORE

SAID KATAMBO WA LINDI AIBUKA MSHINDI WA PIKIPIKI DROO YA SABA -VIDEO

Droo ya saba ya Shindano la Tusua Maisha na Global, imechezeshwa Jumanne ya Agosti 7, 2018, saa kumi jioni mubashara...

READ MORE

Vannesa Afungukia Ndoa Yake na Jux -Video

MOJA ya ‘couple’  zinazopendwa na mashabiki, ni ya wanamuziki, Juma Jux na Vannesa Mdee, imewashangaza mashabiki baada kuimba pamoja kwa...

READ MORE

Alichosema Waziri Ummy Kwenye Harusi Ya Zabibu, Banda -Video

 BAADA ya ndoa na harusi kubwa ya msakata kabumbu, Abdi Banda, na dada mdogo wa msanii wa Bongo Fleva,...

READ MORE

JOKATE: “Naapa Nitakuwa Muaminifu, Sitatoa Siri Kwa Vyovyote Vile” -Video

Mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo ameapishwa leo na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo katika...

READ MORE

Video: Vilio,Majonzi! Vyatawala Mazishi ya Mama wa Shigongo

 Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo amesema kuwa hakika ni pigo kwake na kwa familia kwa...

READ MORE

JPM AWAPISHA WAKUU WA MIKOA, MAKATIBU WAKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo August, 2018 amewaapisha Wakuu wa Mikoa 4, Makatibu...

READ MORE

Droo ya 6 ‘Tusua Maisha na Global’, Erasto Ajishindia Pikipiki – Video

MAMBO yanazidi kunoga katika Shindano la’ Tusua Maisha na Global’ ambapo droo ya sita  imefanyika jana kupitia Global TV Online...

READ MORE

Mwili wa Mama Shigongo, Wawasili Nyumbani Nyakato – Mwanza (VIDEO)

MWILI wa marehemu mama mzazi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, Bi. Asteria Kahabi Kapela iumewasili...

READ MORE