×

Global TV Online

Gamondi Asaini Mkataba wa Miaka Miwili Kuinoa Taifa Stars – Video

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda, ameweka wazi kuwa, Kocha Miguel Gamondi amesaini rasmi mkataba wa miaka...

READ MORE

Polisi Inawasaka Waliomrekodi Mtoto Akivuta Sigara

Jeshi la Polisi limeanza uchunguzi baada ya kusambaa kwa picha mjongeo mtandaoni inayomuonesha mtoto mdogo wa kiume akihamasishwa kuvuta sigara....

READ MORE

Shigongo Awahimiza Vijana Kujiamini na Kutumia Vipaji vyao Kujiletea Maendeleo – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amewataka vijana wa Kitanzania kujiamini na kuthamini vipaji walivyopewa, akisisitiza kuwa kila mmoja ana uwezo...

READ MORE

Global TV Yang’ara Mlimani City, Yatwaa Tuzo ya Best Online Tanzania Creator’s Awards – Video

Global TV imeibuka mshindi katika kipengele cha Best Online Media kwenye Tanzania Creators Awards 2025 zilizofanyika Februari 12, 2026, katika...

READ MORE

Watoto Wawili Wauawa Serengeti, Mtuhumiwa Auwawa na Wananchi

Wakazi wa Kijiji cha Rung’abure, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, wamekumbwa na tukio la kusikitisha la mauaji ya watoto wawili...

READ MORE

Rais Samia Ateua Wenyeviti wa Bodi Anne Makinda, Prof Maboko Na Wengine 3 -Video

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi mbalimbali za taasisi...

READ MORE

Mwanachuo Mwaka wa Kwanza Mbaroni Kwa Kusafirisha Dawa Za Kulevya

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wanne ambao ni Wilfred Komba, miaka 24, Mwanachuo mwaka wa kwanza katika...

READ MORE

Video: Ndugu Wa Familia Moja Washikiliwa Kwa Tuhuma Za Mauaji Mbeya

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia ndugu wa familia moja wakazi wa Busoka–Masebe kwa tuhuma za kumuua Jenti Segelela...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Viongozi Ikulu, Afafanua Sababu za Kumhamisha Waziri Salum (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Februari 09, 2026, amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua katika...

READ MORE

Video: Polisi Wanawatafuta Wanawake Waliompiga Mwenzao Kwa Mwiko

  Jeshi la Polisi limetangaza kuanza uchunguzi kuhusiana na picha mjongeo (video) inayosambazwa kupitia mitandao ya kijamii, ikiwaonyesha wanawake wawili...

READ MORE

Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Yaaahirishwa hadi Feb. 11, 2026

Kesi ya uhaini No. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu imeendelea leo, Jumatatu...

READ MORE

Rais Samia: Maamuzi Yangu Yanalenga Kulinda Maslahi ya Taifa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Februari 09, 2026, amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua katika...

READ MORE

Iran Yawakamata Viongozi Wanne Wanaodaiwa Kujihusisha Na Vurugu

Iran imewakamata viongozi wanne wa kisiasa wenye mwelekeo wa mageuzi, akiwemo katibu mkuu wa chama cha reformist na aliyewahi kuwa...

READ MORE

Kesi ya Lissu Kusikilizwa Siku 20 Mfululizo Mahakama Kuu – Video

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, inatarajiwa kuendelea leo katika Mahakama Kuu...

READ MORE

Iran Yasema Haitaacha Kurutubisha Uranium Hata Itangazwe Vita

Iran imesisitiza kwa msimamo mkali kuwa haitaacha kurutubisha uranium, hata kama italazimika kukabiliana na vita, kauli inayozidisha mvutano wa kidiplomasia...

READ MORE

Video: Rais Samia Ataka Kujengwe Eneo La Kulea Watoto Sokoni Kariakoo

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ametaka mbali na vyumba vya kunyonyeshea katika Soko la Kariakoo, kujengwe vyumba vya malezi ya...

READ MORE

Video: Rais Samia Awataja Mawinga Akizindua Soko La Kariakoo

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amesema anatambua juhudi za wafanyabiashara wadogo yaani machinga na mawinga katika kujitafutia kipato, ndiyo maana...

READ MORE

Majambazi Watatu Wauawa Simiyu Wakifyatuliana Risasi na Polisi

Watu watatu wamefariki dunia usiku wa kuamkia Februari 8, 2026, baada ya kuhusika katika majibizano ya risasi na Askari Polisi...

READ MORE

Rais Samia Azindua Soko La Kisasa la Kariakoo (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 08 Februari, 2026, amezindua rasmi Soko...

READ MORE

Video: Gari Lililoibiwa Lakutwa Kwa Fundi Magari Songwe

Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limefanikiwa kulikamata gari lililoibiwa aina ya Mitsubishi Outlander pamoja na mtuhumiwa mmoja, ambaye alikutwa...

READ MORE

Farhan Afunguka Mo Dewji Kuchafuliwa, Ishu ya Mangungu Kupigwa – Video

Mwandishi wa habari na mchambuzi mahiri wa masuala ya michezo, Farhan Kihamu, amezungumza na Global TV kufuatia sakata la baadhi...

READ MORE

Tanzania, Uganda kuanza kuuza mafuta Julai mwaka huu kupitia EACOP

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo Julai mwaka huu, huenda meli ya kwanza ikasafiri kutoka Tanga nchini Tanzania kusafirisha...

READ MORE

Watanzania Wawili Watuhumiwa Kujihusisha na Ugaidi Kenya

Mamlaka nchini Kenya zimetangaza kuwa Watanzania wawili ni miongoni mwa watu 13 wanaotuhumiwa kujihusisha na makosa ya kufadhili ugaidi katika...

READ MORE

Urusi Yashambulia Gridi ya Umeme Ukraine, Maeneo Mengi Yabaki Giza

Urusi imefanya shambulizi kubwa dhidi ya miundombinu ya nishati nchini Ukraine, hatua iliyosababisha kukatika kwa umeme katika maeneo mengi ya...

READ MORE

Msafara wa Misaada Washambuliwa Kwa Drone, Mmoja Afariki

Shambulio la droni dhidi ya msafara wa misaada katika jimbo la Kordofan Kaskazini mwa Sudan limemuua mtu mmoja na kuwajeruhi...

READ MORE

Museveni Amtunuku Nishani Mwanaye CDF Muhoozi Kwa Ujasiri

Amiri Jeshi Mkuu na Rais Mteule wa Uganda, Jenerali Yoweri Kaguta Museveni, amemtunuku nishani Mkuu wa Majeshi (CDF), Jenerali Muhoozi...

READ MORE

Majambazi 3 Wahukumiwa Kifungo Miaka 30, Unyang’anyi Kwa Kutumia Silaha

  Mahakama ya Wilaya ya Kilindi imewahukumu Abdallah Ally Lusewa (31), Salehe Mohamed Lusewa (23) na Salehe Shaban Mngoya (43),...

READ MORE

Video: Makaburi Yanafukuliwa, Nyumba Zinajengwa, Wananchi Walia

Ni kutoka Kimani mtaa wa Kinyamwezi kata ya Pugu ambapo kuna mgogoro kati ya wananchi pamoja na wananchi ambao wanadai...

READ MORE

Museveni – ”Nchi Kubwa Zinaweza Kutaka Kutushinikiza, Tusirudie Makosa”

Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, leo Februari 07, 2026 amewasili nchini Tanzania kwa ziara ya siku moja, ikiwa ni...

READ MORE

Video: Basi la Maning Nice Lagonga Lori Lindi, Laua Wawili

Watu wawili wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali ya basi la Kampuni ya Maning Nice lililokuwa likitokea Dar...

READ MORE

Rais Samia Akaribisha Rais wa Uganda Museveni Ikulu Dar (Picha +Video)

Dar es Salaam, Tanzania – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemkaribisha rasmi Rais wa...

READ MORE

Zuchu Aachia Video ya ‘Bado Nakupenda’ Wimbo wa Hisia Kali za Mapenzi

Msanii nyota wa Bongo Fleva, Zuchu, ameachia rasmi video ya wimbo wake wa mapenzi wenye hisia nzito unaoitwa “Bado Nakupenda,”...

READ MORE

Video: Trump Afuta Video ya Sokwe ya Obama, Asema Hataomba Msamaha

Rais wa Marekani, Donald Trump, amefuta video yenye kipande cha ubaguzi wa rangi alichochapisha kwenye mitandao ya kijamii kilichomlinganisha Rais...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mabadiliko ya Uongozi, Atea Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa Wapya – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko kadhaa ya kiutendaji kwa kuwateua viongozi mbalimbali...

READ MORE

Mtangazaji wa Global TV Ang’ara Kwenye Tuzo za Wildaf – (Picha +Video)

Mwandishi mkongwe wa habari na mtangazaji wa Global TV, Imelda Mtema (@imeldamtema), ameendelea kuthibitisha ubora wake katika tasnia ya habari...

READ MORE

Serikali Yatoa Bilioni 200 Kuwezesha Vijana na Wanawake Kiuchumi

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemkabidhi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Mhe. Joel Nanauka, hundi...

READ MORE

”Tuone Utu, Tukimung’unya Maneno CCM Itaondoka” – Nape – Video

Mbunge wa Mtama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amechangia mjadala katika Bunge la Kumi na Tatu, Mkutano wa...

READ MORE

Taska Mbogo Aibua Hoja Nzito za Kilimo na Utalii Bungeni – Video

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taska Restituta Mbogo, amechangia mjadala katika Bunge la...

READ MORE

Mtoto Darasa la 4 Afariki kwa Kuzama Mtoni Iringa – Video

Hali ya huzuni na simanzi imetanda miongoni mwa wakazi wa Mtaa wa Kitwiru, Manispaa ya Iringa, kufuatia kifo cha mtoto...

READ MORE

Wanawake 3 Waliokutwa na Bangi Wahukumiwa Miaka 30 Jela – Video

Mahakama ya Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Mhe. Kimaro, imewahukumu kifungo cha miaka 30 jela...

READ MORE