×

Global TV Online

Mzee Warioba Atema Nyongo Kilichotokea Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa, Uhusika Wa Polisi – Video

Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba ametoa maoni yake kuhusu uchaguzi wa Serikali za...

READ MORE

Mzee Yusuf Afunguka Kila Kitu-Show Yake ya Disemba 8 – Video

Msanii wa Sanaa ya Muziki wa Taarab nchini, Mzee Yusuph amefunguka kupitia kipindi cha Katambuga @255globalradio na @globaltvonline na kueleza...

READ MORE

Mbunge Shigongo Amuelezea Ndugulile – “Alikuwa Hana Majivuno” – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameeleza kuwa marehemu Ndugulile aliheshimika kwa kusimamia ukweli.

READ MORE

Wasifu Wa Ndugulile, Kuzaliwa, Elimu, Ameacha Watoto 2 Na Mjane – Video

Wasifu wa marehemu Ndugulile ulivyosomwa leo katika viwanja vya Karimjee ambapo mwili wake leo utaagwa.

READ MORE

Rais Samia Amshukuru Rc Makonda Kwa Kunogesha Miaka 25 Ya EAC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akimshukuru na Kumpongeza Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul...

READ MORE

Huzuni! Halima Mdee Afunguka Haya Kuhusu Dk Ndugulile – Video

Mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee ameeleza kuwa marehemu Ndugulile alikuwa anasimamia jambo ambalo analiamini.

READ MORE

Mtoto Wa Ndugulile – “Wiki 2 Zilizopita Tuliamka Vizuri – Ungemuangalia Huwezi Kujua Anaumwa”- Video

Mtoto wa marehemu Dk. Faustine Ndugulile, ameeleza kuanzia jinsi baba yake alivyofunga safari kuelekea nchini India mpaka walipoletewa taarifa kwamba...

READ MORE

Polisi Watoa Taarifa Mgombea Wa Chadema Aliyefariki Baada Ya Kupiga Kura – Video

Jeshi la Polisi Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kifo cha Ndg Modestus G Timbisimilwa...

READ MORE

Mume Adaiwa Kumuua Mkewe Kisa Kunyimwa Unyumba – Video

Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma linamsaka Martin Hyera kwa kosa la kumuua mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu...

READ MORE

Ali Kamwe Afichua Hasira Zao Watammalizia Al Hilal Siku ya Jumanne- Video

Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Ally Kamwe ameeleza kuwa wanaendelea na maandalizi kwa ajili ya mchezo wao wa...

READ MORE

Rais Samia Abishana Na Wamarekani Tanzania Siyo Maskini “Kwao Kuna Umaskini Wa Kutosha” – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania siyo maskini kama mataifa ya nje yanavyojaribu kuwaaminisha watu.

READ MORE

Uwoya: Sikujua Kama Kuchangisha Pesa ni Kosa Kisheria Kipindi cha Maafa

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini, Irene Uwoya amefunguka kupitia GLOBAL TV na kueleza kuwa mwanzo hakufahamu kuwa ni kosa...

READ MORE

Shimo Lililotumika Kuwaokoa Watu Kariakoo, Msemaji wa Serikali Afunguka! – Video

Mkurugenzi wa Idara ya Habari – Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Thobias Makoba akionyesha baadhi ya njia ambazo hutumika...

READ MORE

Aliyezaa Na Aziz Ki Afunguka – ”Sijutii Chochote, Najivunia Kuwa Mama” – Video

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini anayedai kuzaa na nyota wa Yanga Aziz Ki, Vannesa Kashera amefunguka kupitia GLOBAL TV,...

READ MORE

Mwili wa Mwanamuziki King Kikii Waagwa Viwanja vya Leaders, Kinondoni Dar – Video

Mwili wa mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini Boniface Kikumbi Mwanza Mpango maarufu kwa jina la King Kikii unaagwa...

READ MORE

Rais Samia Kuhusu Kariakoo ”13 Wafariki Dunia, 80 Wameokolewa” – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Wananchi kufuatia kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo Jijini...

READ MORE

#Breaking: Uokoaji Unaendelea, RC Chalamila Asema ‘Tumefanikiwa Kutoa Watu Saba’- Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema zoezi la uokoaji kufuatia ajali ya kuporomoka kwa jengo la...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Afika Lilipoporomoka Jengo Kariakoo – Video

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Mambo ya Ndani kwa kushirikiana na Kamati za Ulinzi kuhakikisha manusura waliofukiwa na...

READ MORE

Watoto Wa Mafuru Wamvunja Mbavu Mama Yao “Upendo Wake Wa Njegere Na Vitumbua Mtapigana”- Video

Mafuru alifariki akiwa Nchini India alipokua akipatiwa matibabu, mwili wake umepumzishwa katika makaburi ya Kondo yaliyopo Tegeta Jijini Dar es...

READ MORE

Kocha Mpya Wa Yanga Huyu Hapa – Mashabiki Wafunguka Gamondi Kufungashiwa Virago…

Shabiki wa Klabu ya Yanga amefunguka kupitia GLOBAL TV mara baada ya uongozi wa klabu hiyo kuachana na aliyekuwa kocha...

READ MORE

Waziri Mkuu Alivyoongoza Mazishi Ya Marehemu Lawrence Mafuru (Picha +Video)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Novemba 15, 2024 ameungana na ndugu, jamaa, marafiki na viongozi wengine wa Serikali katika mazishi ya...

READ MORE

Chanzo Cha Ugonjwa Wa Mzee King Kikii – Mkewe Alivyokataa Kwenda Kwa Mganga Wa Kienyeji #Maktaba – Video

Enzi za Uhai wa Mwanamuziki Mkongwe wa Dansi Boniface Kikumbi maarufu King KiKii, GLOBAL TV ilifanya naye mahojiano na kusimulia...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Kuaga Mwili Wa Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru- Video

MWLIKI wa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrance Mafuru aliyefariki Novemba 9, 2024 dunia, akiwa kwenye matibabu katika Hospitali...

READ MORE

Mke Wa Mzee Yusuph Afunguka Kupenda Kisamvu, “Kusuguliwa Kucha Siyo Vizuri” – Video

Muimbaji wa muziki wa Mwambao au Taarab, Malkia Leyla Rashid ambaye ni Mke wa Mfalme Mzee Yusuf amefunguka kupitia Kipindi...

READ MORE

Polisi: Vijana Walikuwa 3 Wakampiga Risasi Kifuani, Walitoroka Hawakuchukua Chochote – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limesema kuwa linachunguza tukio la mauaji ya Christina Nimrod Nindi (56) Mngoni, Katibu wa...

READ MORE

Lulu Diva Amtolea Uvivu Hemed Phd ”Ananitaka Mwarabu Wa Kuchovya” – Video

Msanii wa Sanaa ya Muziki nchini Lulu Diva amefunguka na kumjibu Hemed PHD mara baada ya PHD kufunguka kupitia Global...

READ MORE

Ali Kamwe Atema Nyongo: “Unyonge Hatujazaliwa Nao Yanga”- Video

Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Ali Kamwe amefunguka kupitia Global TV na kueleza sababu mbili zilizopelekea klabu yao...

READ MORE

Hemed Phd Alivyomrarua Lulu Diva Kisa Shepu – Video

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini, Hemed Suleiman @hemedyphd amesema kuwa hana tatizo lolote na @luludivatz na kuweka wazi kuwa...

READ MORE

Mchekeshaji Anko Nzala “Mimi Simba, Nahonga Sana Hela” – Video

Mchekeshaji Anko Nzala amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa kwa sasa yupo na miaka 21 japokuwa ana umbo dogo.

READ MORE

Black Pass Kiziwi: Rafiki Yake Apata Ukimwi Kwa Mume Wa Mtu Baada Ya Kuachana Na Boyfriend Maskini! – Video

Mchekeshaji Black Pass amesema suala la kupangwa kwenye ‘scene’ za mapenzi huwa halimsumbui kwa sababu yupo kwenye mapenzi na mtu...

READ MORE

Amos Makalla: Chadema Wanavurugana Hawajajipa – Video

Katibu uenezi walichama Chama cha Mapinduzi (CCM) taifa, Amos Makalla, amewashauri viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kumaliza...

READ MORE

Abbas Tarimba Ajivunia Kumaliza Mafuriko Kinondoni – Video

Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba amefunguka na kueleza kwamba moja kati ya matatizo sugu yaliyopatiwa ufumbuzi Kinondoni katika kipindi chake...

READ MORE

Shombo za Ahmed Ally “Yanga Wamefungashwa, Kule Siyo Kufungwa -Video

Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Ahmed Ally  leo Novemba 8, 2024 ameamkia kwenye kijiwe cha Kahawa Posta baada...

READ MORE

Injinia Afunguka Kutembea Na Risasi Mwilini “Aliyenipiga Amepigwa Faini Ya Mil. 2 Tu” – Video

Februari 18, 2023, ni siku iliyobadilisha kabisa maisha ya kijana Gerdat Mfyoa. Yeye na ndugu zake, walikuwa wametoka ‘out’, wakati...

READ MORE

Nayce Moshi: Ndoa Inakuja, Nilitukanwa Na Abiria Nikamfunga Polisi – Video

Mwanadada mrembo aliyejipatia umaarufu kupitia kazi yake ya ukondakta kwenye mabasi ya mikoani, Nice Moshi @naycemoshi, amesema kuwa hapendezwi kabisa...

READ MORE

Eric Shigongo Afika Msibani Kumuaga Mwili wa marehemu Grace Mapunda – Video

Eric Shigongo, Mbunge wa Buchosa, ni miongoni mwa waombolezaji waliohudhuria kwenye shughuli ya kuagwa kwa mwili wa marehemu Grace Mapunda....

READ MORE

Live: Jeneza Lenye Mwili Wa Tessa Lawaliza Mastaa viwanja vya Leaders Dar

Mwili wa Grace Mapunda leo Novemba 4, 2024 unaagwa katika viwanja vya Leaders, Kinondoni – Dar es salaam kwa ajili...

READ MORE

Steve Nyerere Atoa Povu, ”Wasanii Wa Bongo Fleva Hawatokei Msibani” – Video

Mchekeshaji maarufu na staa wa filamu, Steve Nyerere amewashukia wasanii wa Bongo Fleva kwa madai kwamba wengi wao hawaendi kwenye...

READ MORE

Chuchu Hansy Afichua Mshtuko Aliopata Tessa Kusikia Chuchu Ana Ujauzito Wa Ray Kigosi – Video

Staa maarufu wa Bongo Muvi, Chuchu Hansy amefunguka kuwa marehemu Grace Mapunda ‘Tesa’ alikuwa msiri wake na hata aliposhika ujauzito...

READ MORE

RC Chalamila: Nikifa Nizikwe Kama Waislam, Yesu Alipozikwa Sikuona Sanduku, Taomba Maandiko – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema miongoni mwa mambo ambayo anayapenda ni kuhusu jinsi waumini wa...

READ MORE