×

Global TV Online

Amwaga Machozi Akisimulia Anavyoishi Na Wanaye 6 Kwenye Kibanda Kama Cha Kuku Jijini Dar – Video

Kama umeguswa unaweza kumchangia chochote kupitia namba 0748355535 (RUTH BURA) ili mama huyu aishi na watoto wake katika mazingira salama.

READ MORE

Lukamba Amwaga Ukweli Wote ”Nilishangaa Studio Ya P Diddy Kuna Kitanda” – Video

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na staa wa mitandaoni, @lukambaofficial amesimulia kila kitu kilichotokea katika ziara yao akiwa na...

READ MORE

Mama Love Kungwi Akataa Kuwa Shangingi, “Hatupendi Wanaume Baridi”- Video

  Mama Love Kungwi amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa ndoa nyingi siku hizi zinaharibika kwa sababu ya uwepo...

READ MORE

Softena: Mwanaume Ni Mkate Mbele Ya Mwanamke, Hawana Baya – Video

Global TV imefanya mahojiano na Kungwi anayetoa mafundisho ya elimu ya ndoa, Hidaya Alex almaarufu Softena na kueleza kwa undani...

READ MORE

Nay Atinga Basata na Mwanasheria Wake, Atuhumiwa Kwa Makosa 4, Apewa Siku 7 Kujitetea..

Msanini wa muziki wa Hophop hapa nchini, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ leo, Ijumaa Septemba 26, 2024 ametinga kwenye ofisi...

READ MORE

Rais Samia Akiweka Jiwe La Msingi Katika Mradi Wa Maji Mtyangimbole Ruvuma – (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi katika Mradi wa Maji Mtyangimbole Songea...

READ MORE

Joyce Kiria Afafanua… ‘Mwanamke Anayempikia Mumuwe Ni Mjinga’ – Video

 Mwanaharakati Joyce kiria amefunguka kupitia kipindi cha Mapito kinachoruka kupitia Global Radio na Global TV Online na kueleza kuwa...

READ MORE

Freeman Mbowe na mtoto wake Nicole Wakamatwa na Jeshi la Polisi Dar – Video

Jeshi la Polisi limewakamata na kuondoka na viongozi wa kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya viongozi...

READ MORE

Kamanda Muliro Ataja Watu 14 Kukamatwa Wakiwemo Mbowe, Lema, Lissu – Video

Kamanda wa Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SCAP. Muliro Jumanne Muliro, leo Jumatatu Septemba 23, 2024 ...

READ MORE

#Live: Maandamano Ya Chadema, Hali Ilivyo Dar, Polisi Wametanda Kila Kona – Video

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika leo Septemba 23, 2024 jijini Dar es Salaam ya Chama...

READ MORE

Shigongo: Ni Muhimu Wananchi Kushiriki Uchaguzi, Chagueni Viongozi Wenye Sifa – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaagiza wananchi kuhakikisha wanachagua viongozi bora na wenye sifa katika uchaguzi wa Serikali ndogo za...

READ MORE

Lucy Komba Afunguka “Mtoto Wangu Wa Kwanza Nimezaa Na Mbasha” – Video

Staa wa kitambo kwenye anga la Bongo Muvi, Lucy Komba amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa mtoto wake wa kwanza...

READ MORE

Pamoja na Changamoto zake, Treni Ya Mwendokasi, Gen Z Wanapaswa Kulijua Gari Moshi Hili – Video

Rais Samia Suluhu Hassan, Agosti 1, 2024 alizindua rasmi safari za treni ya umeme, Standard Gauge railway, kwa kifupi wanaita...

READ MORE

KILA SIKU USIKU UTAFANYA ZOEZI LA KIFO-NI KWELI USIENDE MTU AKISEMA ‘NIKIFA USIJE KUNIZIKA?|HARDTALK

KILA SIKU USIKU UTAFANYA ZOEZI LA KIFO-NI KWELI USIENDE MTU AKISEMA 'NIKIFA USIJE KUNIZIKA?|HARDTALK

READ MORE

Dkt. Biteko: Tuvumiliane Na Kuheshimiana Kama Watanzania – Video

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewaasa Watanzania kuishi kwa kuvumiliana, kuheshimiana na kupendana kama ilivyoagizwa...

READ MORE

Shabiki Wa Yanga Mwenye Lishape Lake – Aliyemtongoza Harmo Mtandaoni Afunguka…

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini Jackrina OG @jackrineorg amefunguka kupitia kipindi cha Funky Friday ya @255globalradio na @globaltvonline na...

READ MORE

Saratani Ilivyochukua Maisha Ya Mume Wa Mrembo Huyu, Aacha Watoto 6 – Video

Mwanadada Anna Akyoo ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya kuuza magari ya @akyoo_motors amesimulia mapito aliyopitia ya kumuuguza mumewe kwa...

READ MORE

CCM Watoa Tamko Waliomteka Na Kumuua Kikatili Mzee Ali Kibao, Walaani Vikali – Video

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi leo Septemba 13, 2024 amesema chama hicho hakikubaliani...

READ MORE

Polisi Wamjibu Mbowe, Wapiga ‘Stop’ Maandamano ‘Wasithubutu Kuandamana’- Video

MSEMAJI wa Jeshi la Polisi nchini DCP David Misime leo Septemba 13, 2024 amesema Jeshi hilo limepiga marufuku Maandamano ya...

READ MORE

Wajue Scotland Yard Wanaotakiwa Na Mbowe, Lissu Kuja Kuchunguza Mauaji Na Utekaji – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na Makamu wake, Tundu Lissu wametaka matukio ya utekaji na...

READ MORE

Aunty Ezekiel: Wolper Ananipendana Sana, Siamini Mitandao Mpaka Nione Kwa Macho”- Video

CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia...

READ MORE

Lulu: Nimepata Mume Anayenisikiliza, Hajawahi Kunipiga – Video

Mwigizaji Elizabeth Michael almaarufu Lulu na mama watoto wawili, akiwa ni mke halali wa Francis Sizza   amefunguka kuwa mumewe huyo...

READ MORE

Mbowe Atangaza Maazimio Ya Chadema Juu Ya Utekaji Na Mauaji Ya Mzee Ali Kibao Wa Chadema – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ametangaza maadhimio ya vikao vya chama hicho. Mbowe ametangaza maazimio...

READ MORE

Mzee Wa Upako Ajilipua “Haji Manara Anafanyiwa Figisu Kuua Kipaji Chake”- Video

Mtumishi wa Mungu Anthony Lusekero (Mzee wa Upako) amefunguka leo Septemba 4, 2024 kupitia Global TV na kueleza kuwa mpaka...

READ MORE

#Exclusive Video: Pili Kitimtim – “Alinitunza Shilingi Mil. 81, Yule Baba Muacheni Wabongo Waongo”…

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini, Gladness Kifaruka (Pili kitimtim) amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa Msanii wa Muziki nchini...

READ MORE

Natasha: Sikuwahi Kuonana Uso Kwa Uso Na Mzee Majuto, Mjukuu Wangu Sonia Amelelewa Kwa Maadili – Video

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini Natasha amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa katika maisha yake ya Sanaa hajawahi...

READ MORE

CCM Yasikitishwa Kifo Cha Mjumbe Wa Sekretarieti Ya Chadema Yatoa Pole – Video

“Nimeona kwenye Vyombo vya Habari kuanzia asubuhi mpaka sasa nitoe pole kwa Chama cha Chadema kwa kumpoteza mmoja wa Wajumbe...

READ MORE

Mdogo Wa Marehemu Ali Kibao, Afunguka Kuhusu Uamuzi Wa Familia Kutokana Na Kifo Cha Ndugu Yao – Video

Sharif Abdallah Ali, mdogo wa marehemu Ali Kibao, ameeleza kuhusu uamuzi wa familia kutokana na kifo cha ndugu yao. Kibao...

READ MORE

Irene Uwoya Asimulia Mapya Kifo Cha Kanumba Hadi Kufungua Kanisa – Video

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini Irene Uwoya amefunguka kupitia Global TV na kuelezea kuwa Marehemu Steven Kanumba alikuwa ni...

READ MORE

Shigongo: Dunia Imemeza Watu wengi Sana Wenye Akili – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa Dunia imemeza watu wengi sana na wengi wao...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Aeleza Hatua Zinazochukuliwa Na Serikali Akiahirisha Bunge – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Maafisa waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na viongozi wa vyombo vya...

READ MORE

Mbowe Amtaka Mchungaji Msigwa Amlipe Shil Bilioni 5 Kwa Kumchafua, Mawakaili Wake Waeleza – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), Freeman Aikael Mbowe amemtaka aliyekuwa mwanachama wa chama hicho Peter Msigwa ambaye kwa...

READ MORE

Fundi Rangi Aliyejibiwa ‘SMS’ Na Rais Samia Akimuomba Simu Akiwa China Afunguka- Video

Fundi rangi anayejulikana kwa jina la Pascal amefunguka kupitia Global TV mara baada ya Maoni yake kujibiwa na Rais wa...

READ MORE

Mzee Magoma Asimulia Mkasa Wa Maisha Yake, Alivyotupwa Na Baba’ake – Video

 Mzee Juma Magoma amepiga stori na Global TV na kufunguka mambo mengi kuhusu maisha yake, likiwemo suala la wazazi...

READ MORE

Ndugulile Ahutubia Bungeni, ”Wanaohoji Jimbo La Kigamboni Lipo Wazi, Bado Lina Mbunge” – Video

Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile ambae siku chache zilizopita alichaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani, Kanda ya Afrika,...

READ MORE

Tatizo la Azam Siyo Kocha ni Wachezaji kushindwa kujituma – Video

Muda mfupi baada ya Azam kutangaza kumfungashia virago kocha wake, Yusuf Dabo, mchambuzi mahiri wa soka Bongo, @salehjembefacts amesema tatizo...

READ MORE

Rahma Aliyerejea Kutoka Iraq Anapoishi Mazingira Hayarusu Kuishi Binadamu – Video

 Mtanzania aliyekuwa amekwama nchini Iraq alikoenda kufanya kazi za ndani, Rahma amesimulia mateso aliyoyapitia kwa kipindi chote alichokuwa nchini...

READ MORE

Hizi ndizo aina za kodi kwa wafanyabiashara na tarehe za malipo yake – TRA wafunguka

 Meneja wa elimu ya Mlimpakodi – TRA CPA – Paul Walalaze amefunguka kupitia kipindi cha Front Page na kueleza...

READ MORE

Shigongo Afunguka Maajabu Ya Miaka 3 Ya Rais Samia Jimboni Buchosa – Video

Mbunge Eric Shigongo ameiomba Serikali kupitia Wizara ya Maji, Ujenzi wa Visima 15 katika Jimbo la Buchosa ili kuepukana na...

READ MORE

Ajira 351 Tawa Zazua Mtiti Bungeni, Wabunge Wakataa Vigezo, Wacharuka – Video

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE