×

Global TV Online

Video: Mwanadada Jojo Gray Azawadiwa Gari La Thamani Aina Ya Range Rover – “Kwangu Ni Ya Kuendea Sokoni Tu”

Mwanamitandao maarufu hapa nchini, Jojo Gray @jojogray__ , amewaacha watu kinywa wazi baada ya kusema kuwa zawadi ya gari aina...

READ MORE

Haji Manara Na Zaiylissa Watangaza Kuisimamisha Dunia – “Baada Ya Uchumba Ni Ndoa”..

Mwanadada anayefanya poa kwenye tamthiliya ya Jua Kali, Zaylissah amewaambia waandishi wa habari kwamba Haji Manara atamvalisha pete ya uchumba...

READ MORE

Part 2: Abdi Banda Afunguka Kuvunjika Kwa Ndoa Yake Na Zabibu Kiba -Migogoro Ya Mapenzi Na Maisha Ya Mbali.

Baada ya kukiri kuwa ndoa yake na Zabibu Kiba (dada wa Alikiba), imevunjika, Global TV imembana Abdi Banda kuweka wazi...

READ MORE

Rais Samia Afungua Hospitali Ya Mkoa Lumumba -Mjini Magharibi, Z’bar (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua Hospitali ya Mkoa ya Lumumba ya Mjini Magharibi visiwani...

READ MORE

Mwanamke Adaiwa Kujaribu Kumuua Mume Wake Kwa Kumtumia Majambazi Akiingia Nyumbani – Video

Polisi anayefahamika kwa jina la Sweet Thadeo, ambaye kituo chake cha kazi ni Usa-River Wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha...

READ MORE

Mtoto Ramadhani Shaibu Anatumia Mikono Kwenda chooni, Mama Yake Aomba Kusadiwa – Video

Mtoto Ramadhani Shaibu (14) mkazi wa Mbagala Kokoto yuko kwenye athari mbaya ya kupata magonjwa ya kuambukiza baada ya kutumia...

READ MORE

#Exclusive: Mfanyabiashara Anayetrendi Kariakoo – Ajilipua Wanaotangaza Bei Wakiwa China…

Mara nyingi huwa ni rahisi zaidi kusikia stori za mke akilalamika kwa watu kuhusu madhila anayofanyiwa na mumewe lakini mwanadada...

READ MORE

Misso Misondo Afunguka Kupata nafasi ya kwenda kutoa burudani kwenye nyumba ya Rais – Video

Dj maarufu Misso Misondo @misso_misondo amefunguka na kusema Januari 1, 2024 alifurahi kupata nafasi ya kwenda kutoa burudani kwenye nyumba...

READ MORE

Maisha Ya Abdi Banda Kutoroka Kambi Ya Simba Na Kuzamia Afrika Kusini – Video

Global TV imefanya mahojiano maalum ‘Exclusive interview’ na nyota wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga kwenye Klabu ya Richards Bay ya...

READ MORE

Baba Levo Amchana Harmonize Kumuiba Poshy, amerusha dongo kwa Mwijaku – Video

Mtangazaji na staa wa mitandaoni, Baba Levo amerusha dongo kwa mtangazaji mwenzake, Mwijaku kufuatia kuonesha nyumba yake na kueleza kwamba...

READ MORE

Rais Samia Amteua Dk. Immaculate Semesi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NEMC

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dk. Immaculate Semesi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa...

READ MORE

#Exclusive Video: Mapacha Watamani Kuolewa Na Mwanaume Mmoja, Wafunguka..

Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, @chobis_twins ambao wamezaliwa pacha, wamefunguka kuwa kutokana na walivyozoeana wanatamani kuolewa na mwanaume mmoja...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Taifa – Azungumzia Mgao Wa Umeme – Reli Ya SGR – Mwaka Mpya 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akitoa salaam za mwaka mpya Desemba 31, 2023

READ MORE

Exclusive Video: Marafiki Siyo Wa Kuwaamini, Walinisababishia Matatizo Sana – Lilian Mmari

Mfanyabiashara maarufu nchini, Lilian Mmari @lilian_mmari amefunguka mapito mazito aliyoyapitia kutokana na marafiki ambao alikuwa akila nao pamoja na kufanya...

READ MORE

Ally Choky Afunguka Mahusiano yake na Asha Baraka Hadi Mumewe Akapata Wivu -Video

MWANAMUZIKI nguli wa muziki wa dansi nchini, Ally Choky  amefanya mahoiano na Global Tv na amefunguka mahusiano yake na Mwenyekiti...

READ MORE

Rais Samia Atunukiwa Shahada Ya Heshima Ya Uzamivu – Suza, Zanzibar (Picha + Video)

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi ya...

READ MORE

Exclusive: Carina – “Mwili Umedhoofika Naona Aibu Kuomba Msaada Nahitaji Mifuko Kuokoa Uhai Wangu” – Video

Global Tv imefanya mahojiano kwa mara nyingine na Msanii wa Bongo muvi Carina Hussein nyumbani kwao Magomeni jijini Dar es...

READ MORE

Wakili Wa Gekul Athibitisha Kuwa Gekul Anaweza Kukamatwa Tena Endapo Kutakuwa Na Uthibitisho -Video

Ephraim Philemon Kisanga wakili wa Pauline Gekul amesema Gekul anaweza kukamatwa tena. Wakili huyo amesema baada ya Kesi ya mteja...

READ MORE

Basi La Mwendokasi Lateketea Kwa Moto eneo la Kibamba Chama, Dar (Picha +Video)

Basi la Mwendokasi limewaka moto na kuteketea eneo la Kibamba Chama, Dar es salaam usiku wa kuamkia leo Desemba 27,...

READ MORE

Video: Mama Adai Mtoto Wake Aliyefichwa Na Mke Mwenzie Baada Ya Mume Wao Kufariki

Mtangazaji wa @globaltvonline @zali_mapito amemtembelea Bi Sauda Faraji nyumbani kwake Paje Zanzibar anapoishi Sauda. Kupitia mahojiano aliyofanya na mama huyo...

READ MORE

Exclusive: Mrembo Aliyebambiwa Na Harmonize Jukwaani Kahama Afunguka-“Usinifananishe Na Gigy Money”- Video

Leo kwenye Exclusive interview Global tv tumekuletea mrembo @neyshabikiwaharmonizeno1 unakumbuka msanii @harmonize alipiga shoo siku kadhaa nyuma kule kahama ambapo...

READ MORE

Kijana Atumia Mkopo Wa Chuo Kufanya Biashara Ya Vitenge – Video

Wakati wanavyuo wengi wakilalamika kwamba fedha za kujikimu (boom) wanazopewa hazitoshi, hali ni tofauti kwa kijana Swahaba. Kijana huyu ametoboa...

READ MORE

Video: Mtoto Genius Mwenye Ulemavu Awaliza Watanzania Wengi – Ana Uwezo Wa Ajabu

Mtoto Ibrahim Abdulrazak mwenye umri wa miaka 4 amekuwa gumzo na kuwashangaza wengi kutokana na kipaji kikubwa alichonacho.

READ MORE

Makonda Awavaa Tanesco Umeme Kukatika Katika – ”Hakuna Kulipana Posho, Hakuna Kulala” – Video

CHAMA cha Mapinduzi CCM kimelitaka Shirika la Umeme nchini TANESCO lijitafakari kwakuwa si kila sababu za TANESCO kuhusu kukatika kwa...

READ MORE

Shilole Amwaga Machozi Akijizawadia Gari La Mil 70 Kwenye Birthday Yake, Akata Mauno – Video

Msanii wa Bongo Muvi na mjasiriamali anayemiliki mgahawa maarufu wa Shishi Food, Zuwena Mohamed ametimiza umri wa miaka 36 Desemba...

READ MORE

Video: Hali Ya Baba Wa Joshua Aliyeuawa Na Hamas Ni Mbaya Baada Ya Kuona Video Mwanae Akipigwa Risasi…

Baada ya video ya Mtanzania aliyeuawa Israel kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, Global Tv imefanya mahojiano na Ndugu wa Joshua...

READ MORE

Mama Aliyenunua Uyoga Ulioua Mtoto Wake Asimulia – ”Sumu Iliingia Kwenye Figo”- Video

Siku chache baada ya kamanda wa jeshi la polisi mkoani Mwanza Wilbroad Mutafungwa kutangaza kutokea kwa vifo vya watu wawili...

READ MORE

Gari Lapindukia Mtoni Na Kuua Wawili Kisarawe Na Kujeruhi Abiria 50, Rc Kunenge Afika – Video

Watu wawili wamefariki (mtoto wa miezi sita na mama mtu mzima) na wengine takribani hamsini wamejeruhiwa katika ajali ya gari...

READ MORE

Video: Ndugu wa Mtanzania Aliyeuawa Israel Afunguka Baada ya Kusambaa Video kwenye mitandao ya kijamii

Baada ya video ya Mtanzania aliyeuawa Israel kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, Global Tv imefanya mahojiano na Ndugu wa Joshua...

READ MORE

Maskini Latifa! Ana Miaka 17 Amekakamaa, Wakimkunja Anavunjika, Ndugu Wamwita Msukule – Video

Ukimtazama kwa haraka huwezi kuamini macho yako kama kuna binadamu wanateseka kiasi hiki! Anaitwa Latipha Ibrahim Kadogosa, mwili wake umekakamaa,...

READ MORE

Exclusive Video: Amina Vikoba Amchana Manara – “Zaylissa Ni Wetu Kwa Njia Yoyote Ile Hata Iweje”

Dada wa msanii wa muziki wa Singeli, Dulla Makabila, Amina Vikoba, jana alifunguka kuwa katika mahusiano ambayo anayachukia sana ni...

READ MORE

Video: Kijana Aliyemuua Mama Yake Na Kumtupa Kwenye Shimo La Choo Arusha Akutwa Na Hatia Ahukumiwa

Kijana Patrick Mmasi(19) Mkazi wa Njiro, anayetuhumiwa kumuua mama yake na kumtupa kwenye shimo la choo amekutwa na hatia.

READ MORE

#Exclusive Video: Mfanyabiashara Maarufu Wa Nguo Kariakoo Aangua Kilio Hadharani – Afunguka Mazito

Mfanyabiashara maarufu Kariakoo, Diana Zambi, @diana_international_ agent ameangua kilio cha uchungu kutokana na changamoto anazokutana nazo kwenye biashara yake, ambapo...

READ MORE

Mtoto Mwenye Ndoto Za Kuwa Rais Afunguka ”Mimi Sio Mlemavu, Nipelekeni Shule” – Video

Mtoto Johnson Noel, amezaliwa akiwa na ulemavu lakini licha ya changamoto hiyo na umri wake mdogo, Mungu amemjaalia upeo mkubwa...

READ MORE

Prof Tibaijuka Aiangukia Serikali Ya Rais Samia – “Tunaomba Mtusaidie Kuiondoa Sheli Mtaani Kwetu”- Video

Mwanasiasa mkongwe nchini, Profesa Anna Tibaijuka, amewasha moto mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akipinga...

READ MORE

Utata! ‘Koneksheni’ Za Mastaa Zinazovuja Mitandaoni – Kuna Umuhimu Wa Kurekodi? | Kona Ya Mtaa..

Kona ya Mtaa wiki hii inakuja na mada moto mezani! Je, kwa nini baadhi ya watu wanapenda kupiga picha za...

READ MORE

Makamu wa Rais Philip Mpango Awajibu Waliomzushia Kifo “Nawaombea Msamaha Kwa Mungu Awasamehe”- Video

Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amewashukuru Watanzania kwa kumuombea huku akibainisha kuwa alikuwa nje ya nchi kwa...

READ MORE

Video: Mama Love Kungwi -“Naishi Nyumba Kodi Yake Milioni 6 Kwa Mwaka -Mimi Ni Maarufu”

Mpaka Home wiki hii imemtembelea Salma Marshed almaarufu @mama_love_kungwi ambaye anafunguka mambo mengi ikiwemo kilichomtoa Kariakoo mpaka kuhamia Ilala ambapo...

READ MORE

Rais Samia Atangaza Kuwajengea Nyumba Walioathirika Na Mafuriko Manyara, Atoa Maagizo (Picha +Video)

   Rais Samia Suluhu Hassan, amesema wataalam wa serikali, tayari wametenga eneo ambalo litatumika kuwahamisha waathirika wa maporomoko ya...

READ MORE

Dereva wa Bajaji Atuhumiwa Kubaka Watoto 15 Huku Akidai Ni Askari Polisi – Video

Alex Msigwa (34) Dereva wa Bajaji, Mkazi wa Mawelewele, Manispaa na Mkoa wa Iringa anashikiliwa na Jeshi la polisi kwa...

READ MORE