×

Global TV Online

#Exclusive: Amina Vikoba Apigwa Na Kitu Kizito Na Mume Wake – Video

Msanii wa maigizo nchini, maarufu kama Amina Vikoba ambaye ni dada wa msanii wa Singeli, Dulla Makabila @Amina_vikoba amefunguka kuhusu...

READ MORE

Shigongo: Watanzania Wamechoka Kuwa Maskini, Ashauri Mabenki Kusaidia Wazawa – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema sheria za udhibiti wa fedha za umma zinapaswa kusimamiwa kikamilifu ili kudhibiti wizi wa...

READ MORE

#Exclusive: Wastara Amwaga Machozi – Afichua Kuzushiwa Kifo, Miezi 5 Sijalala – Video

Mwigizaji wa filamu za Kibongo wa kitambo, Wastara Juma amemwaga machozi alipokuwa akihojiwa na mtangazaji  Global TV, Imeda Mtema.

READ MORE

#Exclusive Na Zee Cute Ajilipua – ”Sitaki Kuolewa Labda Nifosiwe, Mimi Siyo Mtu Wa Mapenzi”- Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zee Cute @zee_cuty ambaye kwa sasa anafanya poa kwenye Tamthiliya ya #Dosari inayoruka Dstv,...

READ MORE

Musukuma: Mpina Afanyiwe Uchunguzi wa Afya ya Akili Akisema Kwamba Haamini Kama Yuko Sawa

Mbunge wa Geita, Joseph Musukuma ameshauri Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina afanyiwe uchunguzi wa afya ya akili akisema kwamba haamini...

READ MORE

Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina Afungiwa kuhudhuria vikao 15 vya Bunge – Video

Mbunge wa Kisesa, Luhaga Joelson Mpina, amefungiwa kuhudhuria vikao 15 vya Bunge kuanzia Juni 24, 2024 kwa kosa la kukiuka...

READ MORE

Makalla Afunguka Rais Zanzibar Kupewa Miaka Saba (Picha +Video)

KATIBU wa Itikadi na uenezi na mafunzo wa Halmashauri kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amosi Makalla amesema...

READ MORE

Mjue Mzee Wa Kispika Ahmed Ally, Semaji La CAF, Mashine Ya Kuongea – Video

Mfahamu kwa undani Msemaji wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally @ahmedally_ kupitia makala maalum yaliyoandaliwa na Global TV, kuanzia alikotokea,...

READ MORE

Mpaka Home: Sophie Amelowa Afumaniwa, Akimbia Bila Nguo, Bodaboda Amuokoa -Video

 Mpaka Home wiki hii imefika mpaka nyumbani anakoishi video vixen aliepata umaarufu mkubwa baada ya kuonekana kwenye video ya...

READ MORE

#Exclusive: Dude Afichua Alivyokamatwa Benki Akiogopwa Ataiba Pesa – Video

MSANII wa filamu Bongo Kulwa Kikumba maarufu kama Dude aliyepata umaarufu kupitia Tamthilia ya Bongo Dar es salaam amefunguka kupitia...

READ MORE

Mwanafunzi wa Sekondari Auawa na vibaka wakati wakitaka kumpora simu – Video

Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Temeke, Joseph Mafuru (15) ameuawa na watu wanaotajwa kuwa vibaka wakati...

READ MORE

Askofu Gwajima Ashauri mamlaka ya Rais yafungwe ili Rais yeyote atakayekuwa madarakani asitoke nje ya mipango

Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima ameshauri mamlaka ya kisiasa ya Rais yafungwe ili Rais yeyote atakayekuwa madarakani asitoke nje...

READ MORE

Utacheka Sana! Dotto Magari Amlipua Vibaya Mwijaku Kuhusu Kesi Yake Na Masoud Kipanya – Video

Influencer maarufu mjini, @dotto_magari amechekelea maswaibu yaliyomkuta Mwijaku ya kutakiwa kulipa fidia ya shilingi bilioni 5 kwa kile kinachodaiwa kuwa...

READ MORE

Mwanajeshi Ashtakiwa Kumuambukiza kwa makusudi virusi vya Ukimwi mpenzi wake – Video

Mwanajeshi wa zamani wa Afrika Kusini akutwa na hatia ya kutaka kuua na kubaka baada ya kumuambukiza makusudi virusi vya...

READ MORE

Kampuni Na Ubalozi Wasitisha Mkataba Na Kipanya Kisa Tuhuma Za Mwijaku – Video

Wanasheria wanaomwakilisha Masoud Kipanya, wamewaambia waandishi wa habari kwamba kwene barua walitomuandikia Mwijaku, walimueleza kuwa anatakiwa kumlipa mteja wao kiasi...

READ MORE

Video: Machangudoa Walivyokamatwa Sinza Usiku Mnene, Wajitetea – DC Awaweka Ndani

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko akiwa na timu yake wiki hii wameendelea na oparesheni ya kushtukiza katika eneo...

READ MORE

Mwijaku Amuomba Radhi Mtangazaji Mwenziye Masoud Kipanya – Video

Mtangazaji na muamasishaji wa mambo mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii Burtoin Mwenda ‘Mwijaku’ amemuomba radhi Mtangazaji mwenziye Masoud Kipanya kwa...

READ MORE

Soma Hapa… Makadirio Na Matumizi Ya Bajeti Kuu 2024/2025 – Video

Waziri wa Fedha ,Mwigulu Nchemba amesema serikali imesikia kilio cha kikokotoo kutoka kwa wastaafu ambapo sasa Rais Samia Sukuhu Hassan…

READ MORE

Sintah Afunguka Umaarufu Unavyomtesa, ”Sitaki Kudeti Na Staa”- Exclusive Video

Msanii mkongwe wa maigizo nchini, Christina Manongi maarufu kama Sintah, ambaye hivi sasa ameachana kabisa na mambo ya sanaa, amefunguka...

READ MORE

#Exclusive: Shamsa Ford – ”Mume Wangu Anataka Nimzalie Watoto 10 – Aunt Alikuwa Star Kabla Yangu”

Staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford amesema anawahurumia wapenzi wa filamu na tamthiliya ambao bado hawajaangalia Tamthiliya ya Jiya...

READ MORE

#Exclusive: Jiya -”Mimi Siyo Raia Wa India Ni Mtanzania Nina Kitambulisho -Nimepata Bahati Kuigiza”

Msanii wa Bongo Muvi Jiya amefanya mahojiano na Global Tv na kusema kuwa yeye ni mtanzania na wala siyo raia...

READ MORE

Rais Samia Apokea Gawio Na Michango Kutoka Mashirika Na Taasisi Za Umma – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anapokea gawio na michango kutoka mashirika na taasisi za umma...

READ MORE

#Part 3: Mtanzania Aliyeolewa Omani Ameziona Meseji Alizotukanwa – Afichua Ya Ndani Ya Ndoa…

 Mwanadada Zanin Kikumbi amesimulia jinsi alivyompata mzee wa miaka 60 na kufunga naye ndoa baada ya kuhangaika muda mrefu...

READ MORE

Mrembo Kutoka Omani Adai Kuibiwa Gari Na Mpenzi Wake Arusha – Video

Mrembo mmoja kutoka Arusha anadai kuwa alinunua gari na kumkabidhi mpenzi wake aliyetambulika kwa jina la Mohammed Juma ambaye alikata...

READ MORE

Aunty Ezekiel: Sina Mpango Wa Ndoa Na Kusah, Akitaka Kuoa Aniambie – Exclusive video

Msanii wa Bongo Movie Aunty Ezekiel amefanya mahojiano na Global Tv, na kusema kuwa hana mpango wa kufunga ndoa na...

READ MORE

Baba Levo: Wafanyakazi Wangu Wakimkera Diamond Wote Nawafukuza – Video

Mtangazaji na staa wa mitandaoni na Mkurugenzi wa 7 Media, Baba Levo amefunguka kuwa ameishia elimu ya shule ya msingi...

READ MORE

Marry Mtema Wa Dosari: Usipotongozwa Unaweza Kujiona Una Mkosi – Video

Mwanadada anayefanya poa kwenye tamthiliya za Kibongo, Mary Mtemi ambaye kwa sasa anatamba kwenye Tamthiliya ya Dosari akitumia jina la...

READ MORE

#Exclusive: Diva Afunguka Penzi Lake Na Alikiba – ”Sitaki Mtu Dizaini Ya Abdul – Hapajui Napoishi”

Mtangazaji Diva amefunguka na kusema alishawahi kuwa na mahusiano na msanii wa muziki wa Bongofleva Alikiba ila kwa sasa hawapo...

READ MORE

Msemaji Mkuu wa Serikali Afunguka Ziara Ya Rais Samia Korea – Video

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi, leo Juni 6, 2024 amefanya mahojiano na...

READ MORE

Waziri Silaa Amwaga Machozi Mgogoro Arusha, Mwananchi Ataka Kunywa Sumu Baada Ya Kuvunjiwa Nyumba – Video

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amejikuta akitokwa na machozi wakati akimsikiliza mkazi wa jijini Arusha...

READ MORE

#Exclusive: Chuchu Hansy Afichua Ya Ndani, ”Walisema Ray Hazai – Nilipata Sana Tabu” – Video

MWANAMAMA mrembo kunako gemu ya filamu nchini Chuchu Hans,amefunguka mazito juu ya mzazi mwenziye Muigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’.

READ MORE

Usiku Wa Katambuga Waweka Historia Mastaa Kibao Watoa Ya Moyoni – Video

KIPINDI cha Katambuga kinachoruka kupitia Global Radio na Global TV Online, kimetimiza miaka mitano tokea kuanzishwa kwake. Usiku wa kuamkia...

READ MORE

#Exclusive Video: Mzee Alimas Wa Dosari – ”Nimemkimbia Mke Wangu Ili Niishi Vizuri – Namlaani”…

Msanii wa Bongo Movie anae upiga mwingi kwenye tamthilia ya Dosari inayoruka Dstv Mzee Alimas anefanya mahojiano na Global Tv...

READ MORE

#Exclusive: Saida Karoli Afunguka Dhuluma Ya Pesa Iliyomuumiza – Video

MSANII mkongwe wa muziki wa asili, Saida Karoli amefanya mahojiano na Global Tv na kusema kuwa kipindi ambacho nyimbo zake...

READ MORE

Petit Man Kugombea Urais Yanga, Ataja Rapa Wake Bora – Video

MENEJA wa wasanii mbalimbali Bongo, Hamad Manungwi almaarufu Petitman amefunguka jinsi alivyoanza kujitafuta tangu kipindi akiwa anafanya mazoezi ya kuigiza...

READ MORE

Makonda Awakusanya Mabosi Wa Kila Idara Na Kumuuliza Mkurugenzi – ”Kati Ya Hawa Nani Haumtaki?”- Video

Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda katika muendelezo wa ziara yake Arusha mjini amekutana na kizingiti cha ofisi nzima...

READ MORE

Mtoto Darasa La Nne Adai Kubakwa Na Bodaboda, Afika Kwa Makonda – Video

Bibi ameongea kwa uchungu mbele ya mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda kuwa mjukuu wake amebakwa na aliyembaka baada...

READ MORE

RC Makonda: Watu 8 Wamelipwa Mil 6 ili Waniue, Anasa SMS Kwenye Simu Yake, Mwenyewe Aeleza – Video

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuwa kuna mtu kamtumia meseji kuwa kuna watu 8 wamelipwa milioni 6...

READ MORE

Duma: Nilikuwa Natoka Na Wajane Na Mishangazi, Dereva Tax Inataka Moyo – Video

Msanii wa Bongo Muvi, Duma na mjasiriamali maarufu ametangaza kuwa mwaka huu lazima afunge ndoa na mwanamke wake, @chino_china1 na...

READ MORE

Ahmed Ally Akiri Bila Kupepesa – ”Tumefanya Vibaya,Tusifanye Tena Makosa Kwenye Usajili” – Video

Klabu ya Simba SC itacheza mashindano ya kimataifa katika kombe la shirikisho Afrika msimu ujao, Afisa Habari wa klabu Ahmed...

READ MORE