×

Global TV Online

Mama Wa Mtoto Aliyeuawa Na Dangote Arusha Afunguka – Video

Kufuatia kifo cha kijana maarufu kwa jina Ally Dangote aliyekuwa tishio kutokana na kufanya matukio ya kihalifu ikiwemo mauaji, ubakaji,...

READ MORE

Video: Kiboko Apindua Mtumbwi Na Kuua Watu Wanne Rufiji – ”Alikuwa Mkorofi, Anafukuza Watu”

Watu wanne wamefariki dunia, wawili wakiwa ni wa familia moja na wengine saba kujeruhiwa baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria wakitokea...

READ MORE

Wazazi wa Ali Dangote Wasema Wameumia Hakuna Msiba Atazikwa Kimyakimya – Video

Kufuatia kifo cha kijana maarufu kwa jina Ally Dangote aliyekuwa tishio kutokana na kufanya matukio ya kihalifu ikiwemo mauaji, ubakaji,...

READ MORE

Bibi Wa Mwanaesha Amwaga Machozi, Ameona Comment Akisemwa Alimyanyasa Mjukuu Wake Hadi Akatoroka – Video

Bibi wa binti mdogo aitwaye Mwanaisha Manyori mwenye umri wa miaka 11 aliyetoroka nyumbani kwao kwenda kusikojulikana baada ya kukanywa,...

READ MORE

Dangote Wa Arusha Muuaji Watu, Watu Wajazana Na Mawe Mochwari – Video

Kijana mmoja wa Jijini Arusha maarufu kwa jina la Ally Dangote ambaye kwenye siku za karibuni amekuwa akisakwa hadi picha...

READ MORE

Kijana Aliyeuawa Na Hamas Israel Baba Aelezea, Safari Yake, Kutekwa Na Kifo – Video

Baba mzazi wa kijana wa Kitanzania, Clemence Felix ambaye ameuawa kufuatia mapigano kati ya Israel na wapiganaji wa Hamas wa...

READ MORE

Huyu Hapa Mwanamke Dereva Wa Gari La Wagonjwa Aliyekaidi Kanuni Za Kijinsia Akaachika Kwa Mumewe – Video

Batula Ali amekaidi kanuni za kijinsia na matarajio ya jamii na kuwa mwanamke wakipekee dereva wa gari la wagonjwa yaani...

READ MORE

Exclusive: Kibibi Wa Huba Nimekulia Maisha Ya Uchokoraa, Mimi Ni Mzuri, Sijawahi Kumuona Idris Sultan – Video

Muigizaji mahiri wa tamthiliya ya Huba, Getrude Mwita @official_getrudemwita amefunguka kuwa, hawezi kuacha kumtukuza Mungu, kwasababu maisha aliyopitia mpaka alipo...

READ MORE

Video: Steven Nyerere Afunguka Mazito Awamwagia Sifa Yanga -“Sijaona Kama Hersi”

Msanii maarufu wa filamu nchini na mchekeshaji, Steve Mengere maarufu Steve Nyerere, amezungumzia juu ya suala la Mwenezi Paul Makonda...

READ MORE

Sabaya Ameshinda Hukumu Ya 3, Waliomshitaki Wameonekana Waongo Mbele Ya Majaji 3 Atoa Shukrani – Video

Mahakama ya Rufani imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Upande wa Jamhuri na kueleza kwamba hakukuwepo na tukio la unyang’anyi wa...

READ MORE

Rais Samia Alivyompokea Rais Wa Romania Klaus Werner Iohannis Ikulu, Dar -(Picha+Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea Klaus Werner Iohannis, Rais wa Romania Ikulu – Dar...

READ MORE

#Exclusive: Halima Mdee Afunguka A-Z Ukimya Wake, Agusia Ishu Ya Mbowe Na Tundu Lissu Kisa Makonda!

MBUNGE wa Viti Maalum (Chadema) Halima Mdee amefanya mahojiano na Global TV Online na amefunguka A-Z ukimya wake, Agusia ishu...

READ MORE

#Exclusive Video: Naira Wa Juakali Akana Kumjua Dulla Makabila -“Simjui, Dada Yake Sijawahi Kumuita Wifi”

Msanii wa Tamthiliya ya Jua Kali, Zaynabu Said @zaylisa ametoa kali baada ya kudai kuwa eti hamfahamu aliyekuwa mumewe, Dulla...

READ MORE

Mwanamke Mwenye Muonekano Wa Kiume, Afunguka Magumu Anayopitia- Video

Loveness Tarimo ni mwanamke mtunisha misuli anayeshikilia nafasi ya Miss Fitness Tanzania na Miss Fitness East Afrika. Global TV imefanya...

READ MORE

Makonda Aingia Na Lori La Mchanga Sengerema, Akiwa Na Chepe Mkononi, Atoa Maagizo 3 -Video

Katibu wa Halmashauri Kuu , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda leo Novemba 12, 2023 ametoa maagizo matatu ya Chama...

READ MORE

Video: Waziri Wa Maji Awesu Amthibitishia Makonda Ndani Ya Wiki 3 Maji Kupatikana Katoro – Geita

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amempigia simu Waziri wa Maji,...

READ MORE

Inasikitisha! Simulizi Ya Mjane Aliyefungwa Miaka 22 Kwa Kukutwa Na Nyama Ya Swala Kwenye Ndoo – Video

Maria Ngoda, mkazi wa mtaa wa Zizi la Ng’ombe, Iringa. Siku ya tukio alikutwa karibu na makazi yake na ndoo...

READ MORE

Shigongo Afichua Madudu Ya Kutisha Ofisi Ya Mwigulu -”Wanaiba Fedha, Watakuingiza Kwenye Matatizo” – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema Taifa hili kila mtu anataka kuiba na wengi wao ni wasomi wanatumia kalamu kama...

READ MORE

Paul Makonda Aangua Kilio Kaburini Kwa Hayati Magufuli Chato Mkoani Geita (Picha + Video)

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Paul Makonda akiendelea na ziara yake Kanda ya Ziwa, Novemba 10,2023...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali Yakusanya Sh.Trilioni 9.06 Robo Ya Kwanza – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika robo ya kwanza ya mwaka 2023/2024, mapato kutoka vyanzo vyote vya ndani na nje...

READ MORE

Maandamano Dar: Kamanda Muliro Atoa Onyo Kali – “Nimarufuku Kuingia Barabarani”- Video

 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika leo Novemba...

READ MORE

Ally Kamwe, Ahmed Na Haji Manara Watinga Bungeni – Video

DODOMA, Tanzania: Wasemaji wa vilabu vya Simba na Yanga, Ahmed Ally na Ali Kamwe, pamoja na mdau wa soka, Haji...

READ MORE

Mama Aungua Na Maharage Hadi Mfupa Unaonekana, Alia Akiomba Msaada – Video

Hujafa hujaumbika! Mwanamke Farida Ramadhan (44), mkazi wa Kibamba CCM jijini Dar es Salaam anaishi kwa mateso makubwa, kufuatia tukio...

READ MORE

Kijana Aongea Kwa Uchungu Akiomba Msaada, Yupo Kitandani Miaka 5 – Video

Kijana Ally Hassan, ambaye tulitoa habari yake hivi karibuni hivi halisi anayoishi ya kulala na dumu lililokatwa kitandani, ili haja...

READ MORE

Wabunge Wapitisha Michango Kumpa Profesa Jay, Laki 2 – Video

Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma, amewaomba wabunge kumchangia laki mbili kwa aliyekuwa Mbunge wa Mikumi na Msanii wa Hip...

READ MORE

16 Wakamatwa Kwa Tuhuma Za Kuendesha Kiwanda Cha Biskuti Za Bangi – Video

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imewakamata Watu 16 wanaodaiwa kujihusisha na shughuli za utengenezaji wa...

READ MORE

Ali Kamwe Afunguka Dakika Ya 5 dhidi ya Coastal Mashabiki Kusimama – Video

OFISA Habari wa Yanga, Ally Kamwe amezungumza kuelekea mchezo dhidi ya Coastal union utakaopigwa hapa Tanga katika dimba la Mkwakwani.

READ MORE

Shabiki Mwingine Wa Yanga Auawa Geita Na Walinzi – ”Alilewa Baada Ya Ushindi, Walimuhisi Ni Mwizi”- Video

Mfanyabiashara mmoja ambaye pia alikuwa Shabiki wa Yanga, Alex Mayaya (40), mkazi wa Mji mdogo wa Katoro, Geita ameuawa kwa...

READ MORE

Shabiki Wa Yanga Auawa Kwa Kuchomwa Visu Tumboni Baada Ya Mechi, Ndugu Wasimulia -Video

Familia ya shabiki wa Yanga, Amani Isaya Makasi aliyeuawa kwa kuchomwa kisu wakati akisherehekea ushindi wa timu yake, imeomba msaada...

READ MORE

Simbachawene: Kama 5-1 Imetokana Na Rushwa, Simba Mkaripoti Takukuru – Video

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema kama Klabu ya...

READ MORE

Mama Ntilie Na Mteja Wake Wakutwa Wamefariki Wakiwa Watupu, Jirani Asimulia – Video

Hali ya taharuki imeibuka mkoani Iringa mara baada ya mama ntilie na mteja wake wa kiume kukutwa wamefariki wakiwa watupu....

READ MORE

Musukuma: Wananunua Suti Za Gharama, Kingereza Kingi Kumbe Wezi -Video

Mbunge wa Geita Vijiji, Joseph Kasheku ‘Musukuma’ akichangia mjadala wa uchambuzi wa Ripoti ya CAG amesema kuna fedha nyingi zinatajwa...

READ MORE

Mke Wa Prof Jay, Dotto Magari Na Ben Pol Wafanya Kufuru Dodoma – Wamewekeza Mamilioni Ya Pesa -Video

Mke wa Joseph Haule ‘Prof. Jay, Grace Mgonjo amefanya mahojiano na Global Tv na kudai kuwa kwa hatua waliopitia yeye...

READ MORE

Warda Aomba Kurudi Shule – ”Nisameheni, Mumepata Tabu Kunitafuta”…

Mtoto Warda Mohamed (15), mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyumbu iliyopo Kibaha mkoani Pwani, ambaye alipotea tangu April 19,...

READ MORE

Video: Warda Afichua Siri Ya Kutoroka – Azungumza Kila Kitu Amwaga Machozi

Mtoto Warda Mohamed (15), mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyumbu iliyopo Kibaha mkoani Pwani, ambaye alipotea tangu Aprili 19,...

READ MORE

Makonda: Waziri Atakayefikisha Robo Mwaka Bila Ripoti Ya Kazi Atachukuliwa Hatua – Video

KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda amesema kutokana na Serikali kutenga Bajeti ya miradi ya Maendeleo kwaajili ya...

READ MORE

Mama Boko Apewa Msaada Aishukuru Global TV – Video

Shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba maarufu kwa jina la Mama Boko, ameishukuru Global TV ambapo kufuatia mahojiano aliyofanyiwa na...

READ MORE

Serikali Yapendekeza Kuanzishwa Kwa Bima ya Afya kwa Wote – Video

DODOMA; Serikali inapendekeza kuanzishwa kwa mfuko wenye lengo la kugharamikia Bima ya Afya kwa Wote wasio na uwezo, aidha mfuko...

READ MORE

Video: Rais Samia Ampokea Rais Wa Shirikisho La Ujerumani Dkt. Frank Walter Steinmeier

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea Dkt. Frank Walter Steinmeier,Rais wa Shirikisho la Ujerumani katika...

READ MORE

#Exclusive: Paula Afichua Ujauzito Wa Marioo – “Siwezi Kujificha Nahisi Nimekua”- Video

Paula Kajala; ni mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholaiti) nchini Tanzania amekanusha uvumi unaoendelea kwamba ana ujauzito wa Msanii...

READ MORE