×

Global TV Online

Fursa kwa Wasanii Global TV Online

Global TV Online inatoa fursa kwa wasanii chipukizi wa muziki wa Bongo Fleva na Gospel kutumia jukwaa lake kuonesha kazi...

READ MORE

Rais Samia Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Mkuu TPA – Video

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumapili, Machi 28, 2021 amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa...

READ MORE

Video: Magufuli Ameondoka, Je, Tuondoke Naye? – Magulification Of Africa

 HII ni Makala inayomuelezea kwakina aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt John Pombe Magufuli, aliyepumzishwa katika nyumba yake ya...

READ MORE

Video: Kuagwa Kwa Dada Wa Kazi Wa Familia Iliyopoteza Watu 5 Dar

 HATIMAYE mwili wa Dada wa kazi wa familia ya Daudi Mtuwa, iliyopoteza watu 5 wanaodaiwa kufariki uwanja wa Uhuru...

READ MORE

Rais Samia Suluhu: Historia Yake, Kuzaliwa, Elimu, Kasoma Nchi Zaidi Ya 5 -Video

 HII ni Makala fupi inayomuelezea Rais Mpya wa Tanzania, Samia Suluhu Hssan, ambaye ameapishwa siku chache zilizopita kuchukua nafasi...

READ MORE

Mzee Aliyempa Kuku Magufuli Atua Chato Kumzika – Video

HATIMAYE Mwili wa Hayati Magufuli, umezikwa jana Ijumaa, Machi 26, 2021, katika makaburi ya familia yake yaliyopo wilayani Chato mkoani...

READ MORE

Kajala, Mobetto, Harmo, Manara Watua Chato Kumzika Magufuli – Video

MWILI wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, unatarajiwa kupumzishwa kwenye nyumba yake ya milele,...

READ MORE

Mdee, Matiko Wahudhuria Mazishi ya Magufuli Chato – Video

WABUNGE wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Halima Mdee pamoja na swahiba wake, Esther Matiko wamefika...

READ MORE

Hayati Magufuli Azikwa Chato, Vilio Vyatawala – Video

 BURIANI MAGUFULI: Hapa ndipo itakapofanyika ibada ya mwisho ya kuaga mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli. Ni Kanisa la...

READ MORE

Live: Vilio Vyatawala, Mwili Wa Magufuli Ukiagwa Chato, Waziri Mkuu Anaongoza

 MWILI wa Hayati Magufuli, umewasili wilayani Chato, mkoani Geita, ambapo leo Machi 25, utaagwa na wananchi wa mkoa huo....

READ MORE

Samatta Amchambua Kocha Mpya Stars – Video

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kibarua cha kucheza mchezo dhidi ya Equatorial Guinea, Machi 25, 2021 ambao...

READ MORE

Waziri Mkuu kuongoza Wakazi wa Chato Kuaga Mwili wa JPM – Video

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo Alhamisi, Machi 25, 2021, ataongoza wakazi wa Chato na...

READ MORE

Mama Azimia Mwili wa Magufuli Ukiingia Chato – Video

MWILI wa Hayati Magufuli, umewasili nyumbani kwake wilayani Chato mkoani Geita, ambapo unatarajiwa kuagwa na maelfu ya wananchi wa wilaya...

READ MORE

Makonda Amuaga Hayati Magufuli – Video

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameungana na wakazi wa jiji la Mwanza na mikoa ya...

READ MORE

Zanzibar: Maelfu Wajitokeza, Kuagwa Kwa Hayati Rais Magufuli -Video

 Mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli umewasili katika visiwa vya Zanzibar ambapo hii leo mwili huo...

READ MORE

Live: Rais Samia Awatoa Hofu Watanzania | Front Page

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Mama Aliyesoma na Hayati JPM AAsimulia Mzito – Video

GLOBAL TV imefika wilayani Chato, mkoani Geita, ambapo ndipo alipozaliwa na kukulia aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli, kwa...

READ MORE

🔴#LIVE​: Mwili wa Magufuli Wawasili Bungeni Kuagwa – Video

MWILI wa Hayati John Pombe Magufuli umewasili Dodoma ambapo leo Machi 22 unatarajiwa kuagwa na kitaifa jijini humo huku Marais...

READ MORE

‘Mhindi’ Aliyesoma na Magufuli Alia kwa Uchungu – Video

Huyu Mtanzania mwenye asili ya Asia, alisoma shule moja na Hayati Rais John Pombe Magufuli, naye amefika katika Uwanja wa...

READ MORE

Video: Global Habari Machi 21 – Marais Kumuaga Jpm Dodoma

Msemaji Mkuu wa Serikali Dk.Hassan Abbas amesema viongozi mbalimbali wa kimataifa wanatarajia kushiriki kuuaga mwili wa Hayati Dk.John Pombe Magufuli...

READ MORE

Mwili wa Hayati Magufuli Wawasili Dodoma, Maelfu Wampokea – Video

  Vilio, huzuni na machozi vilitawala kila kona ya Jiji la Dodoma baada ya mwili wa aliyekua Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Aliyempa Kuku JPM Aja Kumuaga Dsm

MZEE aliyempa kuku Hayati Rais John Magufuli mkoani  Lindi, amesafiri kuja kumuaga uwanja wa Uhuru Dar es Salaam   

READ MORE

Video: Waitara Asimulia Hayati Magufuli, Maneno Aliyomwambia

 MIONGONI mwa waliojitokeza katika uwanja wa Uhuru jijini Dar kwa ajili ya kuaga mwili wa Hayati Magufuli, ni pamoja...

READ MORE

Video: Vilio Vyatawala Mwili Wa Hayati Magufuli, Ukielekea Uwanja wa Ndege

 MWILI wa Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt John Pombe Magufuli, unaendelea kuagwa leo Machi 21, katika jiji la...

READ MORE

Msafara wa Mwili wa Hayati Magufuli Ukielekea Uwanja wa Uhuru – Video

MWILI wa Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt John Pombe Magufuli, utaagwa leo Machi 20, 2021, katika jiji la Dar...

READ MORE

Video: Kutoka Kanisa La St. Peters Ibada Ya Kuaga Mwili Wa Magufuli

 MWILI wa Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt John Pombe Magufuli, utaagwa leo Machi 20, katika jiji la Dar...

READ MORE

#RIPMAGUFULI: Siku Za Mwisho Za Maisha Ya Rais Magufuli – Kumbukizi

 MAKAMU wa Rais, Mama Samia Suluhu, Leo Machi 17, 2021 ametangaza kifo cha Rais wa Jamhuri ya Tanzania, Dkt....

READ MORE

Live Tanga: Makamu Wa Rais Anahutubia Wananchi Muda Huu..

 MAKAMU wa Rais, Mama Samia Suluhu, ameendelea na ziara yake mkoani Tanga, Leo Machi 17 ikiwa ni siku ya...

READ MORE

Live: Makamu Wa Rais Aendelea Na Ziara Mkoani Tanga..

 MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Machi 17, 2021 anaendelea na ziara...

READ MORE

Usipime! Mauno Ya Haji Manara Baada Ya Ushindi Dhidi Ya Al Merreikh -Video

 KLABU ya Simba SC imeendelea kuwa na mchezo mzuri katika ligi ya Mabingwa Afrika baada ya Leo Machi 16...

READ MORE

Simba Yawafunga Al Merrikh 3-0, Miquissone, Mugalu Watupia

TIMU ya Simba imepata ushindi wa mabao 3-0 leo Machi 16, 2021 dhidi ya Al Merrikh katika Uwanja wa Mkapa,...

READ MORE

Meya wa Dar Afunguka Jiji Jipya Linavyotofautiana na Jiji la Zamani – Video

MEYA mpya wa Jiji la Dar es Salaam, zamani Halmashauri ya Ilala amesema mipaka ya jiji hilo linaishia kwenye mipaka...

READ MORE

Mangi Meli: Mtemi wa Wachaga Aliyenyongwa Kikatili na Wakoloni – Video

HISTORIA ya Kiongozi wa Wachaga, Mangi Meli, aliyetawala Moshi kwenye miaka ya 1891 mpaka 1900 ambapo wakoloni wa Kijerumani walichukizwa...

READ MORE

🔴#FT: Kenya 2 – 1 Tanzania – Mechi ya Kirafiki

KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa kichapo cha mabao 2-1 mbele ya...

READ MORE

Kifo cha Mmiliki wa Hoteli ya Snowcrest, Mtoto Afunguka – Video

MFANYABIASHARA Lucas Wilium Mollel ambye pia ni Mmiliki wa Hoteli ya kifahari ya Snowcrest aliyefariki siku ya Alhamisi, Machi 11,...

READ MORE

Diamond Aanika Uzinduzi Albamu ya Mbosso – Video

Mkurugenzi wa Lebo ya WCB, Diamond Platnumz ametangaza uzinduzi wa Albamu ya msanii wake, Mbosso iitwayo ‘Definition of Love’ ambapo...

READ MORE