×

Global TV Online

Tanzania Hatuna Ugomvi na Kenya, ni Kanuni za Diplomasia – Video

SERIKALI imesema kuwa haina mgogoro wowote wala ugomvi na nchi ya Kenya na kwamba Serikali hizi zinashirikiana kwa mambo mengi...

READ MORE

Live: Waziri Mkuu Ampa Harmonize Pesa, Amtania Mrisho Mpoto – Video

 WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, leo Agosti 09, amekutana na kufanya mazungumzo na taasisi mbalimbali za elimu ya juu, katika...

READ MORE

Video: Maelfu Wawapokea Maalim Seif, Membe, Zitto Kabwe Zanzibar

 Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe akiwa pamoja na wagombea Urais wa Zanzibar na Tanzania, Maalim Seif na Bernard...

READ MORE

Video: Mkutano Wa Ccm, Baraza Kuu La Jumuiya Ya Wazazi

 Baraza kuu la jumuiya ya wazazi la CCM limefanya mkutano wake leo Agosti 09, huko jijini Dodoma.. ⚫️ Kwa...

READ MORE

Harmo Aanika Siri Nzito ya Wolper ‘Alimtaka Mondi Kimapenzi’ – Video

  STAA wa muziki kutoka Umakondeni, Harmonize hatimaye amevunja ukimya na kuamua kuanika siri nzito iliyokuwa moyoni mwake kwa miaka...

READ MORE

🔴#LIVE: Waziri Mkuu Kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Nanenane

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewasili katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu katika Kilele cha Maadhimisho ya Sherehe na...

READ MORE

Shoo Kali! Rich Mavoko Azindua Mini Tape Yake – Video

BAADA ya ukimya wa muda mrefu, Staa wa Bongo Fleva, Rich Mavoko, hatimaye ameamsha shangwe za mashabiki wake usiku wa...

READ MORE

Video: Mzee Yusuf Alivyoingia KIFALME Ukumbini DAR LIVE

 BAADA ya kukaa nje ya muziki kwa uda mrefu, hatimaye mfalme wa Taarab, Mzee Yusuf na kundi lake lote...

READ MORE

Makosa ya Jinai Kuendelea Kutokuwa na Dhamana – Video

SERIKALI imeshinda kesi ya rufaa ya kufutwa kwa kifungu cha 148 (5) cha Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Jinai...

READ MORE

Magufuli Ataka Tanzania Iwe Kama Ulaya – Video

MWENYEKITI  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais . John  Magufuli, leo Agosti 6, 2020, amechukua fomu ya kugombea urais wa...

READ MORE

JPM Akichukua Fomu Urais: Tutakampeni Kistaarabu – Video

MWENYEKITI  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli, leo  6, 2020, l amechukua fomu ya kugombea urais wa Jamhuri...

READ MORE

Yanga Yamficha Kocha Hotelini Dar – Video

INAELEZWA kuwa uongozi wa yanga umemzuia kocha mkuu wa Namungo, Hitimana Thiery, kurejea Lindi na kumficha katika ya hoteli jijini...

READ MORE

Polepole: Watia Nia Waliodanganya Tutawaadabisha – Video

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitawashikisha adabu watia nia waliopenya kwenye kura za maoni za kutafuta wagombea wa Uchaguzi Mkuu...

READ MORE

Nanenane Dodoma Yaipaisha TZ Kimataifa – Video

Mkakati wa Serikali ya Awamu ya Tano ya kuanzisha Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kati Dodoma yameufanya Mkoa wa Singida...

READ MORE

Agizo la JPM Kuhusu Vyoo Soko la Kibiti Laanza Kutekelzwa – Video

Ikiwa ni siku chache Rais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania kusimama na kuzungumza na wakazi wa wilaya ya kibiti wakati...

READ MORE

Makonda Aanika Akavyoishi Mtaani Baada ya Kuwa RC – Video

ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekabidhi rasmi ofisi hiyo kwa Mkuu wa Mkoa Mpya wa...

READ MORE

Laizer Asimulia Alivyookota Jiwe la Tatu la Tanzanite Kwenye Miamba – Video

Wizara ya Madini, kwa mara nyingine tena, leo Jumatatu, Agosti 3, 2020, imepokea jiwe kubwa la Tanzanite lenye uzito wa...

READ MORE

Video: JPM Apokea Hati za Utambulisho Kutoka Kwa Balozi wa Marekani

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo 02 Agosti, 2020 anapokea Hati za...

READ MORE

Video: Magufuli Apiga Simu Tamasha la Nguvu ya Mwanamke

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema Tamasha la Nguvu ya Mwanamke (Girl Power), linatakiwa...

READ MORE

Video: Polepole Aongoza TAMASHA la Nguvu za Mwanamke

Bajeti ya Sekta ya Afya nchini Tanzania imeweza kupanda kutoka Billioni 30 hadi Billioni 271 kutokana na uwepo wa watendaji...

READ MORE

Video: Ibada kutoka Kanisa la World Alive Centre – Kimara Baruti

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo…

READ MORE

Video: Mwenyekiti Tume Ya Uchaguzi Azungumza Kuelekea Uchaguzi Mkuu

 Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), imesema uchaguzi mkuu wa mwaka huu utafanyika kwa kuzingatia katiba ya nchi, kanuni na...

READ MORE

Video: Mjue Trafiki Mwenye Mbwembwe za Burdani

 ASKARI wa usalama barabarani (trafiki) anayejulikana zaidi kwa jina moja la Ashrafu,  amejizolea umaarufu mkubwa  jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Askari Walevi Waua Watu 12 Congo

ASKARI waliokuwa wamelewa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamemimina risasi na kuua watu 12 na kuwajeruhi wengine kadhaa.  ...

READ MORE

Majaliwa Azungumza Katika Swala na Baraza la Eid Dar -Video

Eid Al Adha Jijini Dar es Salaam, Majaliwa amesema kuwa ni muhimu kwa wanasiasa kueleza yale waliyopanga kuwasaidia wananchi kuliko...

READ MORE

Magereza: Wananchi Ruksa Kutembelea Wafungwa

KUFUATIA kupungua kwa maambukizi ya virusi vya COVID-19 Jeshi la Magereza nchini limefuta masharti ya katazo la huduma ya kuwatembelea...

READ MORE

Global Habari | JPM Amtaka Kamwelwe Kushughulikia Barabara ya Somanga

RAIS Dkt John Magufuli, ameanza safari ya kurudi Dar akitokea mkoani Mtwara alipokwenda kumzika Hayati Mkapa.

READ MORE

Video: Magufuli Amuweka ‘Mtu Kati’ Mbunge wa Mkuranga

 RAIS Dkt John Magufuli leo Juai 30, 2020 ameanza safari ya kurudi Dar akitokea mkoani Mtwara alipokwenda kumzika Hayati...

READ MORE

Mtoto Amkosha Rais Magufuli, Amkabidhi Mil 5 – Video

MTOTO mmoja anayesoma katika Shule ya Msingi Somanga mkoani Lindi, Rehema Mikidadi Ngenje,  amemkosha Rais  John  Magufuli wakati akiwa njiani...

READ MORE

JPM Apewa Jogoo: ‘Nitakupa Mama Yangu Uwe Baba’ – Video

MWANANCHI mmoja wa Kijiji cha Somanga, wilayani Kilwa, mkoani Lindi, Shaweji Mohamed Kimbwembwe, ameonyesha kufurahishwa na kazi kubwa anayoifanya Rais...

READ MORE