×

Global TV Online

Mtoto wa Mkulima Aliyefanya Maajabu Kidato cha 4, Div 1 ya 7 – Video

  MWANAFUNZI Yohana Lameck Lugedenga kutoka Shule ya Sekondari Igaganulwa iliyopo Kata ya Dutwa, Bariadi mkoani Simiyu, ambaye amepata division one...

READ MORE

Lukuvi Aonya: ‘Msiijaribu Serikali’ – Video

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,  William Lukuvi, amewaonya wananchi wanaojenga mijini bila kufuata utaratibu.   Ametoa onyo...

READ MORE

Exclusive: Anna Zambi Akiri Matokeo ya Division One na Two ni Yake

  Baada ya kuwepo mkwa mkanganyiko wa matokeo halisi ya kidato cha nne ya mwanafunzi Anna Zambi ambae alipoteza familia...

READ MORE

Meya wa Dar Alivyoshushiwa Maombi kwa Nabii Bendera – Video

ZIKIWA zimepita siku kadhaa baada ya Baraza Kuu la Madiwani Dar es Salaam kufanya mkutano na kumvua nafasi yake, aliyekuwa...

READ MORE

Rukwa: Mvua Yabomoa Madaraja Manne, Watatu Wafariki

MVUA zinazoendelea kunyesha katika mkoa wa Rukwa, zimeendelea kusababisha maafa baada ya kusomba madaraja manne katika barabara kuu ya Kasansa-Kilyamatundu...

READ MORE

Exclusive: Anna Zambi Akiri Matokeo Yote Ni Yake, Division One Na Two

 Baada ya kuwepo mkwa mkanganyiko wa matokeo halisi ya kidato cha nne ya mwanafunzi Anna Zambi ambae alipoteza familia...

READ MORE

Video: Makomando Wakinukisha Maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar

 Leo Januari 12, 2020 Wanannchi wa Zanzibar wanaadhimisha miaka 56 ya mapinduzi matukufu ya Taifa hilo. Tafakuri baada ya...

READ MORE

Video: Rais Magufuli Azindua Hoteli ya Bakhresa Zanzibar

Rais Dkt. Jonh Magufuli anafungua hoteli yenye hadhi ya nyota tano iitwayo Hotel Verde Azam Luxury Resort and Spa iliyopo...

READ MORE

JPM Amuonya Mkandarasi, Ampiga Biti Katibu Mkuu – Video

    RAIS John Magufuli leo Jumamosi Januari 11, 2020,  anaendelea na ziara yake ya kikazi visiwani Zanzibar ambapo ameweka...

READ MORE

Binti Aliyecheza ‘Porno’ kwa Kupigwa, Inasikitisha – Video

Huu ni ushuhuda wa Grace, Raia wa Afrika Kusini na mzaliwa wa Tanzania, simulizi ya maisha yake ina changamoto kadha...

READ MORE

MREMA: Walinigombea Kama MPIRA wa Kona, Wakataka KUNIMALIZA

Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) Dkt Augustine Mrema amemwandikia barua Mhe. Rais John Pombe Magufuli kumuomba serikali...

READ MORE

Kamanda Mkondya: Uchaguzi 2020, Hatutapendelea chama chochote – Video

    JESHI la Polisi nchini limesema limejipanga kuhakikisha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu, utafanyika kwa haki...

READ MORE

Askari Waliookoa Mtoto na Baba Kwenye Maporomoko Wapewa Zawadi

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, LOATA SANARE amekagua gwaride maalum la kuwapongeza na kuwapa zawadi askari sita waliofanya vizuri katika...

READ MORE

Askari Polisi Kortini kwa Utakatishaji Fedha

WATUHUMIWA wanne akiwemo Askari Polisi, Emmanuel Mkilia wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu wakikabiliwa na mashtaka matatu ikiwemo kuisababishia...

READ MORE

Kipindi Kinachogusa Hisia za Jamii Chazinduliwa Global TV

  TELEVISHENI bora ya mtandaoni, Global TV Online imezindua rasmi Kipindi cha Global Jamii, ambacho ni maalum kwa ajili ya...

READ MORE

Global Habari Jan 05: Kalemani Aipa Kampuni Ya China Miezi 3 Kumaliza Mradi Wa Umeme

Waziri wa Nishati ,Dkt Medard Kaleman amemwagiza mkandarasi wa Kampuni ya CHINA CAMC ENGINEERING CO. LTD ya nchini China kuhakikisha...

READ MORE

Video: Dorah Amwaga Machozi “Nina Haki Zangu Kuwa Na Mpenzi!”

 Msanii mwenye umbo dogo lakini ni msichana mwenye umri wa miaka 24, Wanswekula Zacharia Lotti, maarufu kwa jina la...

READ MORE

Jimmy Kindoki Alipuka ‘Tunamlilia Rais Magufuli’ -Video

 Mashabiki wa Yanga wametoka jana Januari 4, 2020 uwanjani wakiwa mashujaa baada ya timu yao kulazimisha sare 2-2 dhidi...

READ MORE

Bavicha Wajilipua, “Hakuna Ajira, Wanachukua Elfu 20” – Video

Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) wanazungumza na Umma kupitia waandishi wa habari kuhusu mambo mbalimbali yaliyotokea nchini. Moja ya...

READ MORE

MBEYA CEMENT Yauza OFISI na Vifaa Vyake – Video

KAMPUNI maarufu ya kutengeneza Saruji, Mbeya Cement yenye makazi yake Makuu jijini Mbeya, imeamua kuuza ofisi na mali zake zote...

READ MORE

Meneja: Dkt. Shika ‘Si Kichaa’, Alitaka Kuninunulia Ndege – Video

Baada ya kuzagaa kwa tetesi kuwa Dk. Louis Shika amefilisika na kutelekezwa na kwamba ana hali mbaya kwa sasa kimaisha,...

READ MORE

Global Habari Jan 2, 2019: Mawasiliano Ya Simu Vijijini Kuimarika

 Waziri wa ujenzi, Uchukuzi na mawasiliano Mhandisi Izack Kamwele, amesema kumekuwapo na ongezeko la mawasiliano ya simu za mikononi...

READ MORE

Kifo cha Mama, KABENDERA Amwaga Machozi MAHAKAMANI

Mwandishi wa habari wa Kujitegemea, Erick Kabendera amepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.   Kabendera anashitakiwa kwa...

READ MORE

Mtoto Anaetaja Miradi ya Rais Magufuli Kusomeshwa – Video

Mfanyabiashara na mwanasiasa Philemon Mollel amejitolea kumsomesha mtoto Baraka ambae ana umri wa miaka miwili mwenye uwezo wa kutaja majina...

READ MORE

Mpaka Home: Maisha ya Tunda Man na Familia Yake – Video

JUIONEE maisha ya nyumbani kwa msanii wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhani, al maarufu kwa jina la Tunda Man, mkali kutoka...

READ MORE

Nyumba ya Shehe Yavunjwa, Yazua Balaa – Video

  MZEE Sharif Mohammed (75), mkazi wa Vingunguti-Kwamnyamani jijini Dar, ameibua balaa la aina yake kwenye nyumba inayodaiwa ni ya...

READ MORE

DIAMOND Apiga Shoo ya Kibabe KIGOMA…Tazama Full Video Hapa

 MSANII wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ usiku wa kuamkia leo Januari 1, 2020 amefanya shoo ya aina...

READ MORE

JPM Ashushiwa Maombi Mlima Wa Moto kwa Mwaka Mpya -Video

 MCHUNGAJI wa Kanisa la Mlima wa Moto, Getrude Lwakatare,  ameendesha ibada maalum ya mkesha wa mwaka mpya kumwombea Rais...

READ MORE

Video: Rais JPM Ampigia Simu Mondi Laivu Stejini “Mwanaume”

 MSANII wa kizazi kipya hapa nchini Naseeb Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platinumz usiku wa jana alikuwa akitumbuiza...

READ MORE

Video: Zitto Aibua Mazito ‘Wametekwa, Wamepigwa, Wamepata Ulemavu’

  KIONGOZI wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe,  amelaani vitendo vya utekaji na kuwatesa baadhi wananchi akidai kuwa ni...

READ MORE