×

Global TV Online

SPOTI HAUSI: SABABU za YANGA Kupata SARE MFULULIZO -Video

 YANGA imepata sare tatu za mfululizo chini ya Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji Luc Eymael walizozipata walipocheza na...

READ MORE

Akimbiwa na Mumewe Kisa Unene, Hawezi Kutembea – Video

MKAZI mmoja mwanamke wa Kijiji cha Mwendakulima, Kata ya Uyoa, Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, amejikuta akishindwa kutembea na hata...

READ MORE

Inasikitisha: Mtoto Atokwa Haja Kubwa Sehemu Zote – Video

Mama mzazi wa Mtoto Rebecca Angelina Louis amewaomba Watanzania wamsaidie pesa ya matibabu ya mtoto wake ambaye amepatwa na tatizo...

READ MORE

Morrison, Niyonzima Waiteka Shoo Yanga, Kocha Afunguka – Video

AKIKAA BENCHI kwenye michezo tisa tangu ajiunge na Yanga Kocha Mkuu Luc Eymael amepata wachezaji watano pekee ambao kwake amewaona...

READ MORE

Morrison Aivuruga Bongo – Video

KATIKA Kipindi cha Soka Chap Chap kilichodhaminiwa na Starimes, Mchambuzi wa Soka, Saleh Jembe, amechambua asisti za mchezaji wa Yanga,...

READ MORE

‘Nabii wa Corona’ Aomba Radhi, Waumini Wamlilia! – Video

  Kiongozi wa Kanisa la Huduma ya Neno na Maombi lililopo Arumeru Mkoani Arusha, Moses Ibarahimu maarufu kama NabiiNamba Saba,...

READ MORE

Mbatia Azungumza Mambo Mazito – Video

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia anasema ni ndoto za alinacha yeye kurudi Chama Cha Mapinduzi kwani kwa...

READ MORE

Benjamin Fernandes: Alivyopata ujuzi nje na kurejea nyumbani – Video

AKIWA  amekabiliwa na mtaji mdogo lakini akiwa na nia na dhamira, Benjamin Fernandes, alikuwa mjasiriamali nchini Tanzania akishughulikia huduma za...

READ MORE

Watoto 3 wa Familia Moja Wafa Wakiwa Wamekumbatiana – Video

Watoto wa tatu wa familia moja wafa kwa moto siku ya February 14, 2020 hii ni baada ya mama yao...

READ MORE

Warembo Wamiminika Kusaka Wachumba Kanisani – Video

KATIKA hali ya kushangaza, Warembo wamemiminika katika ibada ya maombezi iliyofanywa na Kiongozi wa Kanisa la Ufunuo, Askofu Paul Bendera...

READ MORE

Binti Asimulia Aalivyobakwa Akiwa, Aililia SERIKALI – Video

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni binti mwenye umri wa miaka 18 jina linahifadhiwa ambaye mwaka 2016 alidai kuingiliwa kimwili...

READ MORE

Video: HARMONIZE Amkosha MAGUFULI, Aimba LAIVU Uzinduzi wa TASAF

Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize leo Februari 17, 2020 amefanya shoo mbele ya Rais Dkt John Magufuli akizindua kipindi cha...

READ MORE

JPM: Kama Makonda Alitumia Fedha za TASAF Azirejeshe – VIDEO

RAIS John Magufuli amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kuzirjesha fedha za Mfuko wa Maendeleo ya...

READ MORE

Bokasa: Rais Aliyekula Nyama Za Watu, Akaacha Wajane 17, Watoto 50.. -Video

 Historia ya kiongozi, Jean Bedel Bokasa, aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kati aliyeweka rekodi ya kuacha wajane 17 na...

READ MORE

GLOBAL HABARI FEBR 16: SONGWE YATAJWA KUWA KITOVU CHA UWEKEZAJI SADC -VIDEO

 Serikali imeahidi kuboresha miundombinu mbalimbali ikiwemo barabara ili kuvutia uwekezaji kwenye Mkoa wa Songwe ambao unatajwa kuwa kitovu cha...

READ MORE

Bashiru Ato Onyo Kali Kwa Viongozi Wa CCMA rusha – Video

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi nchini Dkt. Bashiru ametoa onyo kwa viongozi wa chama mkoa wa Arusha kufuata utaratibu...

READ MORE

Video: Msigwa Amjibu Steve Nyerere ‘Siwezi Kucheza Kwenye Kuku Mimi Ni Tai!’

Mchungaji Peter Msigwa ambaye ni Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini amepata wasaa wa kuzungumza na Global TV akielezea mambo...

READ MORE

Video: Kongamano La Uwekezaji Lango Kuu La Sadc

 Mkoa wa Songwe ambapo ndio Lango kuu la SADC limeandaa kongamano maalumu kwaajili ya uwekezaji ambapo wawekezaji wanapata fursa...

READ MORE

Dokii Amkataa Laivu Molinga Na Ykpe – ‘Wazito Kama Matofali’

 VIGOGO, Yanga SC wamelazimishwa sare ya pili mfululizo nyumbani baada ya kumaliza dakika 90 bila kufungana na Tanzania Prisons...

READ MORE

Video: Mwili Wa Kanali Kaisi Waagwa Dar, Vigogo Wamlilia

Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Nsa Kaisi aliyefariki dunia Alhamisi Februari 13, 2020 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alikokuwa akipatiwa...

READ MORE

Exclusive: Prof Jay Akutana na Fally Ipupa, Innos B – Video

MIONGONI mwa wasanii walioitwa kwenda kutumbuiza kwenye tamasha la Amani nchini DR Congo ni pamoja na, Profesa Jay, kutoka nchini...

READ MORE

Msanii Mlemavu Aliyeolewa na Mlemavu Asimulia “Walisema Sizai”

GLOBAL TV Online imemtembelea mwanamuziki wa kitambo, Irene Malekela, mwenye ulemavu aliyekuwa akiunda kundi la Choka Mbaya Sisters, ambaye kwa...

READ MORE

VIDEO: Mtanzania Adai Kugundua Dawa Ya CORONA ‘Nitaenda China’

 Nabii kutoka Ngaramtoni jijini Arusha amejitangaza kuoneshwa dawa ya kutibu kirusi hatari cha Corona ambapo mpaka sasa imeripotiwa zaidi...

READ MORE

Kingwendu Amtumia Ujumbe Rais Magufuli – “Naomba Nafasi Hii” – Video

LOBAL TV imemtembelea msanii wa vichekesho nchini, Kingwendu, ambaye ametangaza tena nia ya kuwania Ubunge katika jimbo la Kisarawe, baada...

READ MORE

Kamati Kuu CCM Yatoa Siku 7 Sakata la Membe, Kinana na Makamba

Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), iliyoketi Chini ya Mwenyekiti wake Rais Dkt John Magufuli imepokea taarifa ya awali...

READ MORE

#Live: DPP Aikabidhi Serikali Mali Zilizotaifishwa na Mahakama

Jumla ya kilo 397.937 za dhahabu zenye thamani ya bilioni 32,274,336,361.73 zimetaifishwa,dhahabu hizi zilikuwa zinatoroshwa na kuikosesha Serikali mapato yake...

READ MORE

Raisi Magufuli Arudisha Wanyama Pori Ikulu – Video

Rais Dkt. John Magufuli amerejesha wanyamapori katika bustani za Ikulu Jijini Dar es Salaam.   Wanyama waliopo katika bustani ni...

READ MORE

Eymael: Kwa Ratiba Hii, Tukaze Sana

MBELGIJI Luc Eymael wa Yanga, ameichungulia ratiba yao ya mzunguko wa pili itakavyokuwa, akavuta pumzi kisha akaweka neno moja tu...

READ MORE

Global Habari Feb 9: Zungu Ateketeza Tani 11.53 Mifuko Hatarishi

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu amesema Serikali itaendelea kuchukua...

READ MORE