×

Global TV Online

Baba Levo: Mke wa Msechu Alivaa Kigodoro Kwenye Harusi, Sijachanga, Sikwenda

Hatimaye rafiki wa karibu wa Msanii wa Bongo Fleva, Peter Msechu, Baba Levo ametoa sababu za kutohudhuria harusi ya Rafiki...

READ MORE

Waziri Jafo Akiri… Hali Ilikuwa Mbaya – Video

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo, amesema anasikitishwa na tabia...

READ MORE

Uchafu Dar: Zungu Amnyamazisha Mdee, Amwambia “Kaa Chini” – Video

 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mussa Zungu, amesema dampo linalotumiwa na Jiji la...

READ MORE

Mondi Kukosa Tuzo Ilipangwa, Harmonize, Burna Boy Watajwa – Video

Global TV imewakabidhi maiki mashabiki wa damu wa WCB ambao huwaambii kitu kuhusu mwanamuziki, Diamond Platnumz, ambao wamezungumzia ishu ya...

READ MORE

Benpol Ammwagia Sifa Mpenzi Wake – Video

Benpol amekuwa ni miongoni mwa mastaa waliojitokeza kwenye uzinduzi wa kipindi cha mtangazaji, Salama Jabir. Ben amepiga stori na Global...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Abanwa Maswali ya Papo kwa Papo Bungeni

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, leo Alhamisi, januari 30, 2020 anajibu maswali ya papo kwa...

READ MORE

Manara Ampiga Dongo Wziri Mavunde ‘Mwenyekiti ya Bakuli la Taifa’ – Video

Klabu ya Simba SC, Januari 29, 2020 imezindua tawi la Simba ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

Babake Amlawiti Akiwa na Miaka 3, Haja Kubwa Inatoka Yenyewe” – Mwamtoro

WAZAZI ndio walinzi wa kwanza na wakuu katika kuhakikisha usalama wa watoto wao hii inatokana na ukaribu na mahusiano yaliyopo...

READ MORE

Manara Atambulishwa kwa Mbwembwe Bungeni – Video

MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Simba, Senzo Mazingizavna Ofisa Habari Haji Manara wa klabu hiyo, wakiwa bungeni jijini Dodoma leo...

READ MORE

Global Habari Jan 28: Rais Magufuli Apokea Hati Za Utambulisho -Video

 Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo January 28, 2020 amepokea hati za utambulisho...

READ MORE

Bunge Lakabidhi Majoho kwa Makinda, Msekwa, Marehemu Sitta – Video

Mkutano wa 18 wa Bunge umeanza leo Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine Spika Ndugai amekabidhi majoho kwa Maspika Wastaafu...

READ MORE

#Live Kutoka Bungeni, Kipindi Cha Maswali na Majibu

Leo Januari 28, 2020, Mkutano wa 18 wa Bunge la 11 umeanza jijini Dodoma, ambapo Bunge litapokea na kujadili taarifa...

READ MORE

Alichokifanya Morrison ni Dhihaka, Hairuhusiwi! – Video

View this post on Instagram A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on Jan 26, 2020 at 10:15pm PST

READ MORE

Alpha: Abdukiba Akasimamie Vikoba, Aachane na Muziki – Video

Kama kawaida Katika kipindi cha DSM Flavour cha Global Radio, kila wiki staa mmoja anapewa kadi nyekundu na kutolewa nje...

READ MORE

Global Habari Jan 26: Serikali Kuimarisha Udhibiti Wa Rasilimali Madini – Video

Serikali imedhamiria kuwa na mikakati endelevu ya kusimamia na kudhibiti rasilimali madini ili ilete tija iliyokusudiwa kwa Taifa. Hayo yameelezwa...

READ MORE

Peter Msechu na Mke wake Walivyokata Keki – Video

Mwanamuziki Peter Msechu na Mpenzi wake wa siku nyingi Amma Lauren wamefunga ndoa Januari 25, 2020 katika kanisa la KKKT...

READ MORE

EXCLUSIVE: WAKONTA Anunua GARI ya MAAJABU, VITI Vinatoka NJE – Video

 Binti mlemavu wa viungo, Wakonta, amefanikiwa kununua gari yake mwenyewe maalum kwa ajili ya watu wenye ulemavu ambayo inamsaidia...

READ MORE

Video: NDOA ya PETER MSECHU na LAUREN – KANISANI MUDA HUU

Msanii wa Bongo Fleva Peter Msechu anafunga ndoa Takatifu na mpenzi wake wa siku nyingi Ama Lauren, siku ya leo...

READ MORE

Charles Hillary: Samata Hawezi Kuanza Kwenye Mchezo Huu

Usajili wa Samatta bado ni gumzo Tanzania na hata nje ya mipaka ya Bara la Afrika kwani amevunja mwiko kwa...

READ MORE

Naibu Meya Afunguka Sakata la Meya wa Dar Kufurumushwa Getini

Kufuatia sakata la aliyekuwa Meya wa jiji la Dar, Isaya Mwita kuondolewa kwenye nafasi yake na kuzuiliwa kuingia katika kikao...

READ MORE

Kijana Aitwa na IGP Siro Baada ya Kumchora – Video

Kijana Tobias Minzi amesema kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Siro amemuita ofisini kwake na kumpongeza kwa kuchora...

READ MORE

JPM Aagiza Makontena ya Makinikia Wapewe Twiga – Video

RAIS  John Magufuli ameagiza makontena ya makinikia yaliyokamatwa yauzwe kwa wateja na faida iende kwenye kampuni mpya ya Twiga, inayomilikiwa...

READ MORE

Prof. Kabudi: Niliandika Barua kwa Rais Kujiuzulu – Video

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi, amesema kuwa ilifika wakati akakata tamaa kuhusu...

READ MORE

Rais JPM: Chama Kisikufatefate, Wewe Nani? Ondoka – Video

Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Januari 24, 2020 amekutana na viongozi...

READ MORE

Wimbo wa CCM Azua Kimbembe Mahakamani, Meya vs Polisi – Video

Meya wa Ubungo, Boniface Jacob ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa wimbo unaotumiwa katika shughuli na mikutano ya CCM...

READ MORE

Chuo Kikuu cha Tumaini Dar Chaanzisha Masomo ya Masters

 CHUO Kikuu cha Tumaini Tawi la Dar es Salaam (TUDARCo) kinachomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya...

READ MORE

DIVA: Alikiba Msanii wa Kipekee Tanzania, Mahari Yangu Milioni 500 -Video

MSANII na mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Loveness Malinzi  ‘Diva The Bawse’ leo  Jumatano Januari...

READ MORE

Eti Mzee Abdul si Baba Mzazi wa Diamond? Mwenyewe Atoboa Siri – Video

IKIWA ni siku chache baada ya msanii Diamond Platinum kutoka nyumbani kwao Mkoani Kigoma ambako alifanya Bonge la Shoo, tetesi...

READ MORE

Kashehe! Polisi Yazuia Maiti Isizikwe “Mnavunja Sheria” – Video

Jeshi la Polisi limezuia mwili wa mwananchi aliyefariki dunia tangu Januari 9, 2020 wilayani Serengeti mkoani Mara.   Chanzo cha...

READ MORE

Rais JPM: Uchaguzi 2020 Utakuwa wa Huru… Kama kaida Yetu – Video

Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema Serikali imejipanga kuhakikisha uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, 2020 unakuwa wa amani, uhuru na haki....

READ MORE

Al Maktoum, Bilionea wa Dubai Anayeishi ‘Peponi’ – Video

IPO wazi kwamba hakuna mji wa kibiashara uliochangamka katika eneo la Mashariki ya Kati kama Dubai! Jengo refu zaidi kuliko...

READ MORE