×

Kitaifa

Lori la Dangote Lagongana na Noah, Watu 7 Wafariki Dunia

WATU saba wamefariki dunia papo hapo baada ya gari dogo aina ya Toyota Noah kugongana uso kwa uso na Lori...

READ MORE

Ahukumiwa Kunyongwa kwa Kuua, Kupora Mil 1, Chupa ya Chai na Simu

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Musoma, imemuhukumu kunyongwa hadi kufa mkazi wa Kijiji cha Kibubwa, Wilaya ya Butiama mkoani Mara, Waryoba...

READ MORE

Mke Mkubwa Arusha Mawe Ndoa ya Darleen

IKIWA imepita miezi kadhaa tangu dada wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ aolewe...

READ MORE

Makonda Kula Sahani Moja na Wakandarasi “Janjajanja” Dar

Kufuatia kuendelea kuwepo kwa wakandarasi wanaosuasua katika ukamilishaji wa miradi ya kupunguza kero kwa Wananchi, Mkuu wa Mkoa wa Dar...

READ MORE

Ndinga ya Championi, Spoti Xtra Yatikisa Tegeta, Boko & Bunju

  PROMOSHENI ya Bahati Nasibu iliyopewa jina la Chomoka na Gari Mpya, likiwa ndo kwanza kabisa bichi wakazi wa maeneo...

READ MORE

Wasomaji : ‘Tutaendelea Kulichangamkia Betika, Linatupa Fedha’

WASOMAJI wa Gazeti la Betika maeneo ya Bunju, Boko na maeneo mengine ya  jijini Dar es Salaam, wamesema kwamba gazeti...

READ MORE

BancABC Tanzania Yashinda Tuzo ya Visa Kwa Huduma Bora za Malipo Mtandaoni

BancABC Tanzania ambayo ni kampuni tanzu ya Atlas Mara, kwa mara nyingine imeshinda tuzo ya Visa maarufu kama “Visa E-commerce...

READ MORE

Wahamiaji Haramu TZ Kusakwa Nyumba kwa Nyumba

SERIKALI imetangaza kuanza operesheni, doria na misako maalumu ya kuwasaka na kuwakamata wahamiaji haramu katika sehemu mbalimbali ikiwemo katika nyumba...

READ MORE

Rais Ajiuzulu Siku Moja Baada ya Kuapishwa

ALIYETANGAZWA kuwa rais wa mpito wa Guinea-Bissau, Cipriano Cassama, amejiuzulu baada ya kukaa madarakani kwa siku moja akidai maisha yake...

READ MORE

Meya Iringa Atuhumiwa Matumizi Mabaya ya Ofisi

MEYA wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe, amepewa siku tano kujibu tuhuma zinazomkabili ikiwamo matumizi mabaya ya madaraka.   Hatua...

READ MORE

Daraja Lasombwa na Maji… Usafiri Moro-Dodoma Hakuna – Video

DARAJA la Kiyegeya lililopo wilayani Gairo,  barabara kuu ya kutoka Morogoro kwenda Dodoma, limevunjika na kutenganisha barabara hiyo kutokana na...

READ MORE

Wawili Wafariki Ajalini, 22 Wajeruhiwa

WATU wawili wamepoteza maisha na ishirini na mbili kujeruhiwa wakati basi la Kampuni ya Struggle linalofanya safari zake kutoka Arusha...

READ MORE

TMA Yatahadharisha: Mvua Kubwa Inakuja

  Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini(TMA), imetoa tahadhari ya mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha leo Machi 2-3, 2020 katika mikoa...

READ MORE

Diwani Anayedaiwa Kutishia Kuua Aachiwa

Diwani wa kata ya Kining’ila(CCM), Elisha Antony anayedaiwa kutishia kuua ameachiliwa kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Igunga, Mkoani...

READ MORE

Lema Asakwa na Polisi Arusha

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amesema amepata taarifa za kutakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi Arusha.   Kupitia ukurasa...

READ MORE

Wafungwa 150 Wapelekwa Kigoma Kulima Michikichi

WAFUNGWA 150 kutoka katika Mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Tabora wamepelekwa katika Gereza la Kwitanga Mkoani Kigoma ikiwa ni mkakati...

READ MORE

Mwekahazina Amtibua Waziri Mkuu ‘Achunguzwe’

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Bibi Judica Omari achunguze utendaji kazi wa Mweka Hazina...

READ MORE

Dkt. Bashiru: Membe Akitubu Tunampokea

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt Bashiru Ally, amemuomba aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe,...

READ MORE

NMB Yanogesha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Simiyu

  Wakati Mkoa wa Simiyu ukiwa mwenyeji wa maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Kitaifa Machi 8, 2020, Benki ya...

READ MORE

NBC Yaahidi Kuunga Juhudi za Serikali Kuwezesha Wajasiriamali Wadogo

    BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano ya...

READ MORE

Championi, Spoti Xtra Baba Lao, Ndinga Mpya Gumzo Kila Kona!

BAHATI nasibu ya Chomoka na Gari Mpya iliyoanzishwa na Kampuni ya Global Publishers kupitia magazeti yake ya michezo ya Championi...

READ MORE

Waandishi Wajeruhiwa, Mbowe Akamatwa – Video

  TAARIFA zinadai kuwa Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro limewajeruhi baadhi ya waandishi waliokuwa wakitelekeza wajibu wao wakati wa Kumkamata...

READ MORE

Wanaume Tandale watoboa siri za ‘mafataki’

KUFUATIA ongezeko la mimba za utotoni pamoja na ukatili wa kingono katika kata ya Tandale jijini Dar es Salaam, baadhi...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Ziara ya Kushtukiza

RAIS  John  Magufuli leo tarehe 28 Februari, 2020,  amekagua maendeleo ya ujenzi wa msikiti wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania...

READ MORE

Mashinji Atambulishwa Rasmi CCM kwa JPM

VIONGOZI  waandamizi watano kutoka vyama vya upinzani wametambulishwa leo na kupokelewa rasmi kuwa wanachama wa  Chama Cha Mapinduzi (CCM) mbele...

READ MORE

Kauli ya Membe Baada ya Kutimuliwa CCM

IKIWA ni muda mfupi baada ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikiongozwa na...

READ MORE

Membe Atimuliwa CCM, Kinana Apewa Karipio, Makamba Asamehewa – Video

KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Rais  John Magufuli, katika...

READ MORE

NBC Kuendelea Kushirikiana na Wakulima

  BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesema kuwa itaendelea kushirikiana na kuwasaidia wakulima hasa katika kuwapatia ujuzi na mbinu...

READ MORE

Polisi Yasema Aliyeuawa Singida Alikuwa dereva Bodaboda

JESHI la Polisi mkoani Singida limesema dereva wa bodaboda, Alex Jonas (40) aliyeuawa na watu wasiofahamika alikuwa siyo kiongozi wa...

READ MORE

Shamsa Alia Kukosa Bahati ya Kuhongwa

DAR: Mwanamama mkali wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford amesema mara nyingi anasikia kuwa mastaa wengi wanahongwa na kuweza kufanya...

READ MORE

Mtuhumiwa Wizi wa Watoto Kupimwa Akili

MBEYA: Mahakama ya Hakimu Mfawidhi Mbeya, imeagiza kwenda kupimwa afya ya akili kwa mkazi wa Tegeta jijini Dar anayetuhumiwa kwa...

READ MORE

Meneja Kampuni Inayojenga SGR Ahukumiwa Jela Miaka 3

MENEJA Uwezeshaji wa Kampuni ya Yapi Merkezi inayojenga reli ya kisasa ya (SGR), ambaye ni raia wa Uturuki, Yetkin Gen...

READ MORE

Mama Auawa, Akatwa Nyeti, Achunwa Ngozi – Video

MWANAMKE mmoja mfanyabiashara ya mboga na mkazi wa Mtaa wa Msufini, Chamazi Dar es Salaam, Salima Bakari, ameuawa na kukatwa...

READ MORE

Mahakama Yakubali Maombi ya Rugemalira

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekubali kupokea hoja za maombi ya mfanyabiashara James Rugemalira anayetaka kuondolewa kwenye kesi ya utakatishaji...

READ MORE

Ruvuma: Polisi Wadaiwa Kumchoma Singe Mwenyekiti wa Kijiji

MWENYEKITI wa ulinzi wa Kijiji cha Peramiho A, mkoani Ruvuma ambaye pia ni mwenyekiti wa Kitongoji cha Mtakuja, Pastorius Mbuya,...

READ MORE

Wachina Waliotaka Kumhonga Kamishna TRA Wahukumiwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ronglan Intl Industry and Trade Co. Ltd, Zheng Rongman...

READ MORE

Babu Miaka 85 Afungiwa Katika Ofisi ya Serikali Siku 3 Bila Kula

MZEE wa miaka 85, Masanja Mahubi, anadaiwa kufungiwa kwa siku tatu katika ofisi ya serikali ya mtaa bila kupewa chakula...

READ MORE

TTCL, TPRI Kuzindua Huduma ya Kuhakiki Viuatilifu Kielektroniki

  Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation), na Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu Ukanda wa Tropiki (TPRI) zimeingia makubaliano ya...

READ MORE