MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema kwamba ndani ya mkoa huo umebainika kuwa na mgonjwa mmoja wa Corona...
READ MOREILE PROMOSHENI kubwa nchini ya Bahati Nasibu ambayo mshindi wa droo kubwa anatarajia kujishindia ndinga mpya kwa kusoma magazeti ya...
READ MORERAIS John Magufuli leo amewasimamisha kazi wahandisi 12 wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Mkoa wa Morogoro na kuwapa onyo...
READ MOREMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amepiga marufuku msongamano wa abiria katika vyombo vya usafiri, maeneo ya...
READ MOREWAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amethibitisha kuwa Tanzania ina mgonjwa mmoja mwanamke (46)...
READ MOREMeneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji, Titus Gaguo amebainisha chanzo cha mlipuko wa gesi...
READ MORERAIS John Pombe Magufuli, amesitisha mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2020 zilizotarajiwa kuanza hivi karibuni ili kuepuka maambukizi...
READ MOREHapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 16, 2020. Ni yale ya Hard-news, Udaku na Michezo....
READ MOREWAANDISHI wa habari wanne Mkoani Morogoro wameungua moto wakati wakifuatilia tukio la nyumba kuwaka moto katika eneo la Msamvu Mizambarauni,...
READ MOREWAKAZI wa Jiji la Dar es Salaam wa maeneo ya Buza na maeneo ya Kijiwe Samli wamejinasibu kununua kwa wingi...
READ MOREVIJANA wa siku hizi wanasema, mambo ni yente au safi ndani ya Jiji la Arusha, wenyeji hupaita R-Chuga, hii ni...
READ MOREMWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kitendo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt. Vincent...
READ MORESERIKALI ya Rwanda imevitaka vyama vya michezo nchini humo kusimamisha ratiba zote za kimichezo ambazo zinaitaka Rwanda kwenda kushiriki nje...
READ MOREKatika historia ya Ukombozi wa Bara la Afrika,Tanzania baada ya kupata uhuru ndiyo nchi iliyosimamia kupatikana kwa uhuru...
READ MOREKATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hamphrey Polepole, amesema uamuzi wa mwenyekiti wa chama hicho, Rais...
READ MOREDODOMA: SERIKALI imetangaza kuvunjwa kwa mkataba tata kati ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Kampuni ya ROM Solutions wa...
READ MOREMwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amelipa faini ya 70,000,000 na muda wowote leo Ijumaa Machi 13, 2020 atatoka katika gereza...
READ MOREMAHAKAMA Kuu Mwanza imemhukumu adhabu ya kifo mfanyabiashara wa kampuni ya mabasi ya J4, Jumanne Mahende (45) baada ya kumtia...
READ MOREWABUNGE wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na Ester Bulaya, Meya wa Ubungo, Boniface Jacob, Katibu...
READ MOREPOLISI wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliofika gereza la Segerea leo jijini...
READ MOREHATIMAYE bosi anayedaiwa kumshushia kipigo kikali binti yake wa kazi, Salome Zakaria Hoya, kumfungia ndani na kumnyima chakula kwa siku...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, jana Alhamisi, Machi 12, 2020, aliongoza mamia ya waombolezaji waliojitokeza kuaga mwili wa...
READ MORERAIS John Magufuli jana (Alhamisi) Machi 12, 2020, alimlipia Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa kiasi cha Tsh...
READ MOREMeneja wa Bidhaa na Huduma za Kifedha wa NBC, Jonathan Wilson akizungumza na wafanyabiashara wa Wilaya ya Lindi wakati wa...
READ MOREUKIWA mume wa mtu, bila shaka utashangazwa kusikia; “Mkeo kanaswa akiiba nyanya gengeni!” Hicho ndicho kilichomtokea afande mstaafu wa jeshi...
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Mjaliwa amesema wanafunzi wanaosoma katika vyuo vikuu mbalimbali nchini China waliozuiwa kutokana na mlipuko wa homa ya...
READ MOREMBUNGE Halima Mdee amemwaga machozi hadharani baada ya kutoka gereza la Segerea leo na kuwashukuru Watanzania kwa ushirikiano mkubwa waliouonyesha...
READ MOREWASOMAJI wa magazeti ya michezo maeneo ya Tabata Kimanga jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi, Machi 12, 2020, wamemiminika kama...
READ MORESHIRIKA la Ndege nchini ( ATCL) limetangaza kusitisha safari za ndege kuelekea China kutokana na kuwapo kwa ugonjwa wa virusi...
READ MOREJUMLA ya Tsh trilioni 34.88 zinatarajiwa kukusanywa na kutumika kutokana na mapato ya ndani, mikopo ya nje yenye masharti ya...
READ MOREVILIO, simanzi na majonzi vilitawala wakati wa mazishi ya baba mzazi wa aliyekuwa muigizaji maarufu wa Bongo Movies, Steven Kanumba,...
READ MOREWAKATI shindano la kusaka vipaji vya vijana wenye uwezo wa kuzungumza mbele ya hadhara likizidi kuchanja mbuga, baadhi ya washiriki...
READ MORECHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kimeanza mchakato wa kuwatoa gerezani Mbunge wa Kawe, Halima Mdee; Esther Matiko (Tarime...
READ MOREMWANAUME mmoja kutoka London Uingereza amethithitishwa kuwa ndiye mtu wa pili kupona virusi vya HIV vinavyosababisha Ukimwi, wamesema madaktari. ...
READ MORERAIS wa Urusi, Vladimir Putin, ameanzisha mchakato wa mabadiliko makubwa ya katiba, ambayo yanampa nafasi ya kuendelea kubakia madarakani. ...
READ MORECHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimelipa faini ya Sh30 milioni aliyotakiwa kulipa mwanachama wa chama hicho, Dk Vicent Mashinji ili kutoka...
READ MOREWANANCHI wa Shinyanga wamejitokeza kwa wingi kuuaga mwili wa baba mzazi wa aliyekuwa msaani wa Bongo Movies, marehemu Stephen Kanumba,...
READ MOREViongozi wanane wa Chadema akiwemo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe wamepelekwa katika gereza la Segerea kutokana na kushindwa kulipa...
READ MORE