×

Habari

Paulina Kulwa wa Mwanza Aibuka na Kitita cha Shilingi Mil.100 Kupitia Jiongeze na M Pawa

Meneja masoko huduma za kifedha wa Vodacom Tanzania, Noel Mazoya (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) baada...

READ MORE

Covenant Bank Yakipiga Jeki Kijiji cha Kituri, Mwanga

Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Mathabetha Mwambenja (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya milioni tano na laki mbili mwakilishi kutoka...

READ MORE

Khadija Kopa Kuwasha Moto Krismas Morogoro (Picha&Video)

Mwenyekiti na mratibu wa tamasha hilo, Hamis Abdallah,  akizungumza jambo na wanahari (hawapo pichani). Kutoka kushoto ni mkuu wa matukio...

READ MORE

Yatima Ashinda Sh. 500,000 za Gazeti la Amani

Sikitu Kyalo (kushoto) akifurahia kabla ya kukabidhiwa kitita cha shilingi 500,000/=. Kulia ni mwakilishi wa wakala wa Global Publishers wa Kanda...

READ MORE

Rais JPM Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga, Tanga

Rais Dk. John Pombe Magufuli. Rais Dk. John Pombe Magufuli leo ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya...

READ MORE

Sophia Mjema Ataka Soko la Feri Kuwa la Kimataifa

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, akikabidhi ripoti ya uongozi wa soko kwa mwenyekiti mpya wa bodi ya soko...

READ MORE

Dstv Yashusha Bei za Vifurushi, Yajaza Chaneli

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Multchoice Tanzania, Ronald Shelukindo akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani). Mhariri Kiongozi wa...

READ MORE

NMB Kuendelea Kusherehekea Huduma Kwa Mteja Kwa Mwezi Mzima

WIKI ya kwanza ya mwezi Oktoba hujulikana kama wiki ya huduma kwa mteja na huadhimishwa duniani kote. Benki ya NMB...

READ MORE

Mahakama ya Ardhi Yatupilia Mbali Kesi ya Mbowe Hotels Ltd Dhidi ya NHC

  Wakili wa NHC, Aliko Mwamnenge akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutoka katika hukumu ya kesi hiyo. Wakili...

READ MORE

Marekani: Mtangazaji Aliyemhoji Trump Afukuzwa Kazi

  Shirika la Utangazaji la NBC nchini Marekani limemfuta kazi mtangazaji Billy Bush (pichani juu) ambaye amekuwa akiendesha kipindi cha...

READ MORE

Vee Money Afungukia Kukutana na Michelle Obama

 Vanessa Mdee ‘Vee Money’. Makala: Boniphace Ngumije WIKI iliyopita, Oktoba 11, ilikuwa ni Siku ya Msichana Duniani, ambapo jarida maarufu...

READ MORE

Fella Aweka Wazi Bifu Lake na Diamond

  Stori: Gladness Mallya BAADA ya hivi karibuni kudaiwa kuwa ana bifu na msanii wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, bosi...

READ MORE

Kisa Tuzo, Mashabiki ‘Wamfunda’ Harmonize

  Stori: Boniphace Ngumije, Sikia hii! Baada ya mkali wa Bongo Fleva nchini anayetamba na Ngoma ya Matatizo, Harmonize kushinda Tuzo...

READ MORE

Baadhi ya Makosa Aliyoyafanya Mwl. Nyerere

  Na Walusanga Ndaki TATIZO la Watanzania wengi  — wazee kwa vijana — ni kwamba ukianza kuwaorodheshea makosa aliyoyafanya aliyekuwa...

READ MORE

Uzinduzi: Shigongo Achangisha Mamilioni Harambee Kanisa la Aic Chang’ombe

   Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Eric Shigongo akitoa semina fupi iliyoambatana na historia ya maisha yake. Shigongo...

READ MORE

Rais JPM Aongoza Waombolezaji, Viongozi Kumuaga Masaburi Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli na mkewe wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga...

READ MORE

Bocco Alamba Milioni 1 ya Mchezaji Bora wa VPL Mwezi Agosti, 2016

Mshambuliaji wa timu ya Azam FC, John Bocco (kushoto) akipokea hundi yenye thamani ya shilingi milioni 1/- kwa kuwa mchezaji...

READ MORE

Mastaa Wasusia Harusi ya Beka  

Bakari Makuka ‘Beka’ na mkewe Nasra wakiserebuka wakati wa harusi yao. Beka akionyesha umahiri wake katika kusakata rhumba. Burudani zikiendelea...

READ MORE

Mfalme wa Mwisho wa Rwanda, Kigeli V, Afariki Dunia

Mfalme wa zamani wa Rwanda, Kigeli wa tano, Ndahindurwa amefariki dunia akiwa uhamishoni nchini Marekani. Mfalme huyo alitawala Rwanda kwa...

READ MORE

Magazeti Ya Tanzania Leo Oktoba 17, 2016

MAGAZETI ya leo Oktoba 17, 2016  stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzaniakwenye kurasa za mbele na nyuma ili ujue...

READ MORE

Yanga, Azam Hakuna Mbabe Watoka Suluhu

Kikosi cha timu ya Yanga kilichoanza dhidi ya Azam leo Uwanja wa Uhuru. Kikosi cha timu ya Azam kilichoanza leo...

READ MORE

Njemba Ala Kichapo ‘Hevi’ Standi Ya Daladala Mchana Kweupe

Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiendelea kupewa kichapo hevi mchana kweupe baada ya kudaiwa kuiba Headphone za...

READ MORE

Video: Mrembo Atinga Global Afichua Siri Za ‘Scorpion’

  Mrembo aitwaye Talta Msofe (21) akiwa katika pozi baada ya kutinga katika ofisi za Global Publishers kufichua siri za mtuhumiwa...

READ MORE

Global Ilipowatembelea Wafungwa Gereza la Ukonga Dar es Salaam

       Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (aliyesimama), akiwasalimia wafungwa (hawapo pichani) wa gereza la Ukonga katika Tamasha la Kuadhimisha...

READ MORE

Maalim Seif Afunguka Kuhusu Profesa Lipumba

 Katibu mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad. Zanzibar/Mtwara. Katibu mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, ambaye amekuwa kimya kuzungumzia...

READ MORE

Diamond, Harmonize na DJ D-Ommy Washinda Tuzo Za Afrimma 2016

Staa wa Bongo Fleva  Harmonize (kulia)  na  Dj D Ommy (kushoto)  wa Clouds wakiwa katika picha ya pamoja baada ya...

READ MORE

Magazeti Ya Tanzania Leo Oktoba 16, 2016

MAGAZETI ya leo Oktoba 16, 2016  stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzaniakwenye kurasa za mbele na nyuma ili ujue...

READ MORE

PICHA: Tunda Man Afunga Ndoa

Tunda Man akimshika kichwani mkewe, Bi Sandra kama ishara ya salamu wakati wa ndoa hiyo.…Dogo Janja akiwa na shemeji yake.Madee...

READ MORE

Chelsea Yaipiga Leicester City 3-0, Arsenal Yaichakaza Swansea City 3-2

Gylfi Sigurdsson akiifunga goli la kwanza timu yake ya Swansea City. Mshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria na Chelsea,  Moses  akishangilia...

READ MORE

Atembea Siku 21 Kwenda Dodoma Kumfuata Waziri Mkuu

Angela Basso, akiwa na watoto wake wawili Happy(7) na Janeth Peter(9). MKAZI wa Kilindi mkoani Tanga, Angela Basso, akiwa na...

READ MORE

Duma: Mapenzi Ya Mastaa Hayana Malengo

Daudi Michael ‘Duma’ akiwa kajilaza chumbani kwake.…Akiwa sebuleni. LEO hii kwenye kolamu yetu ya Mpaka Home tunaye msanii wa filamu...

READ MORE

Barabara Ya Sinza Maalum Kero Kwa Wananchi

Taswira ya miundombinu hiyo.…maji ya mvua yakionekana kutuwana katika miundombinu hiyo. …hali halisi. BAADHI ya wananchi wa maeneo ya Mapambano...

READ MORE

Makamuzi Ya Twanga Ndani Ya Toroka Uje

Mwanamuziki mkongwe wa bendi hiyo, Luiza Nyoni akiendelea kufanya mavituz jukwaani kama alivyonaswa. Wanenguaji Otilia Boniface (kulia) na Maria Soloma...

READ MORE

Singeli Michano: Sholo Mwamba Aingia Kifalme Dar Live

Shollo Mwamba.Baadhi ya mashabiki wakiserebuka.  Shollo Mwamba baada ya kupandisha jukwaani akiwa amebebwa kifalme.Escide akiwa jukwaani na madensa wake.Dogo Nigga...

READ MORE

Jokate Adaiwa Kufichwa…

Jokate Mwegelo. DAR ES SALAAM: Mwanamitindo, Jokate Mwegelo ametimkia nchini Uturuki ambapo inadaiwa kuwa amepelekwa na mwanaume mmoja wa Kiarabu...

READ MORE