×

Habari

Polisi, Yono Watanda Majembe Auction Mart

Hali ilivyokuwa nje ya Makao Makuu ya Kampuni ya Majembe Auction Mart jijini Dar. Jengo la Majembe Auction Mart lililopo...

READ MORE

Milipuko ya Mabomu Yaua Watu Zaidi ya Saba Indonesia

Jengo la mgahawa wa Starbucks Coffee lililopo Mji Mkuu wa Indonesia, Jakarta ambapo mabomu hayo yamelipuliwa mapema leo. Milipuko ya...

READ MORE

Kamanda Sirro: Tumekamata Majambazi na Tunaendelea Kukamata!

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro akionesha baadhi ya silaha zilizokamatwa.Kamanda Sirro akionesha bastola zilizokamatwa...

READ MORE

Akamatwa na vipande 8 vya meno ya tembo Katavi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa Katavi Dhahiri Kidavashari akiwa ameshika meno ya Tembo aliyokamatwa nayo mtuhumiwa Nzuri Ndizu mkazi wa Kijiji...

READ MORE

Anusurika kifo kwa kuanguka kutoka ghorofani na kuchomwa na nondo

Mtoto Aman Vishwakarma akipatiwa matibabu. Uttar Pradesh, India MTOTO wa miaka 10, Aman Vishwakarma amenusurika kifo baada ya kuanguka kutoka ghorofa...

READ MORE

Mahakama Kuu Yatoa Msaada kwa Mahabusu Watoto, Dar

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Mahakama Kuu ya Tanzania Bw. Nurdin Ndimbe (kushoto) akimkabidhi Afisa Mfawidhi wa Mahabusu...

READ MORE

CCM Yaomba Radhi Kutokana na Maneno ya Kibaguzi Kwenye Bango, Z’bar

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa sana na ujumbe wenye maudhui ya ubaguzi ulioandikwa kwenye moja ya Bango lililobebwa na mmoja...

READ MORE

Edward Mordrake; Binadamu Mwenye Sura Mbili

Edward Mordrake CHEKI VIDEO YAKE NI vigumu kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo!  Edward Mordrake ni Mwingereza mashuhuri wa karne ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amjulia hali Sumaye

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kushoto) wakizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amnaye amelazwa katika hospitali ya...

READ MORE

Watu 331 wafariki dunia mkoani Mbeya kwa ajali za barabarani 2015

Jumla ya watu 331 wamepoteza maisha kutokana na ajali za barabarani mkoani Mbeya katika kipindi cha mwaka 2015 ikiwa ni...

READ MORE

Watu 10 Wauawa Kwa Bomu Istanbul, Uturuki

Miili ya marehemu ikiwa chini baada ya shambulio hilo lililotokea mapema leo huko Istanbul, Uturuki.Jeshi la Polisi wakiimarisha ulinzi.Mji wa Istanbul...

READ MORE

Polisi wa Usalama Barabarani, Vodacom Watoa Elimu Kwa Madereva

Msaidizi Mkaguzi Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani wa Wilaya ya Mtwara (DTO) Ahmed Mutabuzi (wapili toka kushoto) akiwakiwaelimisha madereva...

READ MORE

CUF yakataa kurudia uchaguzi Zanzibar (Picha + Video)

VIDEO Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamadi (Cuf), akisoma taarifa yake mbele ya wanahabari (hawapo pichani) katika mkutano...

READ MORE

Hospitali ya Tumbi Yanufaika na Msaada wa Vodacom Foundation

Madaktari na Wafanyakazi wa Shirika la Elimu Kibaha, Mkoa wa Pwani wakiwa kwenye hafla fupi ya kukabidhiwa vifaa vya kuwasaidia...

READ MORE

Rais Magufuli Amfariji Mama Maria Nyerere Kwa Kufiwa na Mkwewe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole Mama Maria Nyerere kufatia kufiwa na Mkwe...

READ MORE

Wizara Ya Afya Yatoa Tathimini Kuhusu Ugonjwa Wa Kipindupindu

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Khamis Kigwangala (kushoto) akisoma ripoti hiyo mbele ya...

READ MORE

Kesi ya Kiwia Kupinga Matokeo ya Uchaguzii Ilemela Yafutwa

Hyness Kiwia Agrey Laban ambae ni Katibu wa Highness Kiwia akizungumza na Wanahabari nje ya Mahakama. Mutabanzi Julius Lugaziya ambae...

READ MORE

JK ampongeza Samatta kwa Tuzo ya Afrika

Nahodha Mpya wa Taifa Stars na mshambuliaji wa TP Mazembe ya Congo, Mbwana Ally Samatta akimuonesha Rais Mstaafu wa Awamu...

READ MORE

Daktari Amtwanga Ngumi Mgonjwa na Kumuua

Daktari akimpiga ngumi mgonjwa huyo. Moscow, Urusi Kanda ya video ya CCTV imesambaa mitandaoni ikimuonesha daktari mmoja aliyefahamika kwa jina...

READ MORE

Rais Magufuli amjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu Sumaye Muhimbili

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick Sumaye alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya...

READ MORE

Tanzia: Leticia Nyerere afariki dunia

Leticia Nyerere enzi za uhai wake. Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Leticia Nyerere...

READ MORE

Serikali yasitisha safari za Meli ya Mv Serengeti kwa muda

Serikali imelazimika kusitisha safari za meli ya Mv Serengeti kwa muda wa siku tatu ili kupisha hatua ya matengenezo kutokana...

READ MORE

Mahakama Kuu Yazuia Kubomolewa Nyumba ya Mama Lwakatare

MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Ardhi imezuia nyumba anayoishi Mchungaji wa Kanisa  la  Assemblies of God Mikocheni, Dk. Getrude Lwakatare kubomolewa....

READ MORE

Mrema Asimamishwa Kazi kwa Urasimu

AMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA  OFISI YA RAIS Anuani ya Simu: “TAMISEMI” Simu Na: (026) 2322848, 2321607 2322853, 2322420 Nukushi: (026) 2322116,...

READ MORE

Jumuiya Za Kiislamu Zanzibar Zapinga Uchaguzi Kurudiwa

TAMKO LA JUMUIYA YA MAIMAMU ZANZIBAR (JUMAZA) KWA KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA KIISLAM ZANZIBAR KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MGOGORO...

READ MORE

Simba Avamia Kijiji… Awaua Baba na Mtoto

Simba huyo baada ya kuuawa. Mnyama Simba amevamia Kijiji cha Sitalike Tarafa ya Nsimbo Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi...

READ MORE

MV Serengeti yapata hitilafu, yachelewa kufika Bukoba

Meli ya MV Serengeti leo imekwama kufika Bukoba kutokana na kupata hitilafu katika propera zake, na inadaiwa kuwa ilipita eneo...

READ MORE

Lwakatare ateuliwa kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu Mabasi ya DRT

Mabasi yendayo haraka Dar.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Simbachawene....

READ MORE

Mwigulu amfukuza kazi mkuu wa mnada wa mifugo wa Pugu

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza na viongozi wa machinjio ya Vingunguti – Dar mara baada...

READ MORE

Somalia yapiga marufuku Krismasi

Wapiganaji wa Kundi la Al Shabaab. Serikali ya Somalia imepiga marufuku sherehe za kuadhimisha Sikukuu ya Krismasi katika mji mkuu...

READ MORE

KADCO yaokoa zaidi ya bilioni 2 Uwanja wa Ndege wa KIA ndani ya wiki 1

Kaimu Mkurugenzi wa KADCO ,Bakari Murusuri |(Katikati) kushoto kwake ni mkurugenzi wa shughuli mama za kiwanja na huduma KADCO,Christopher  Mukoma...

READ MORE

Kliniki ya afya ya mapenzi Mwanza yaungua moto

Moto mkali ukiunguza Ofisi za Kliniki ya afya ya mapenzi iliyopo jijini Mwanza leo. Ofisi hizo zikizidi kuungua kwa moto....

READ MORE

Frank Lampard afunga ndoa London

Frank Lampard akimbusu mke wake Christine Bleakley baada ya kufunga ndoa jana Jumapili London. Christine Bleakley akiwapungia mkono marafiki zake...

READ MORE

Ndege ya Ufaransa yatua kwa dharura Mombasa kuhofia bomu

Ndege kubwa ya abiria, Boeing 777 AF463, mali ya Shirika la Ndege la Ufaransa (Air France) ikiwa katika uwanja wa...

READ MORE

Ajali ya basi yaua 12 na kujeruhi 22 Iringa

Taswira kutoka eneo la ajali. WATU 12 wamepoteza maisha huku wengine 28 wakijeruhiwa leo baada ya basi la New Force...

READ MORE