×

Habari

Mwanza: Kijana awafungia ndugu zake ndani na kuchoma moto nyumba

Wananchi wakitaharuki baada ya tukio hilo kutokea. Nyumba moja iliyopo mtaa wa Kiseke wilayani Ilemela mkoani Mwanza imeteketea kwa moto...

READ MORE

Ajali Mbaya Yaua 6 na Kujeruhi 8, Same kilimanjaro

Hiace ya abiria ikiwa nyang’anyang’a.Hali halisi ya ajali hiyo.Mashuhuda wa tukio hilo, wakitaharuki.Ajali ilivyotokeaMajeruhi wa ajali hiyo, Musa Chikira (35),...

READ MORE

Mauaji ya Anathe Msuya… Hawara wa House Girl Atiwa Mbaroni

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watu wengine wawili, akiwamo mpenzi wa mfanyakazi wa ndani wa...

READ MORE

Bajeti ya JPM, mastaa watoa ya moyoni

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpang. Stori: Gladness Mallya, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Baada ya Serikali ya...

READ MORE

Mbona hujachelewa, nyumba haitembei

Mjengo unaoshindaniwa. JUZI mtu wangu mmoja wa karibu alinipigia simu na kuniuliza kama katika wiki hizi mbili na nusu zijazo...

READ MORE

Watoto Waliozaliwa na VVU Matumaini Dodoma, Waitaka Jamii Kuwakumbuka

Imeelezwa ili kuwawezesha watoto yatima ambao walizaliwa wakiwa na Virusi vya UKIMWI ambao wanapatikana katika Kituo cha Matumaini kilichopo Manispaa...

READ MORE

JPM Awaapisha Jaji wa Mahakama ya Rufani, Jaji Kiongozi

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Shaaban Ali Lila kuwa Jaji wa Mahakama...

READ MORE

‘Ijumaa’ Toleo Jipya lakubalika Kwa Wasomaji

Waendesha bodaboda ambao ni wadau wa gazeti la Ijumaa toleo jipya wa eneo la Magomeni, wakiwa katika picha ya pamoja...

READ MORE

Gulio la Simu lakuletea Simu halisi za gharama nafuu

Pia kutakuwepo simu za bure kwa ajili ya wateja Gulio la simu Expo litakalofanyika katika viwanja vya posta Kijitonyama jijini...

READ MORE

Pichaz: Muhammad Ali Alivyoagwa Kiislamu

Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa championi wa ngumi za kulipwa duniani, Muhammad Ali ukiwasili kwa ajili ya mazishi katika taratibu...

READ MORE

Muhammad Ali Kuzikwa Kishujaa Leo

Muhammad Ali LOUISVILLE, Marekani GWIJI wa ndondi duniani, Muhammad Ali, anatarajiwa kuingizwa kwenye nyumba yake ya milele kwa heshima kubwa...

READ MORE

Aliyemtukana Rais Magufuli Achangiwa Pesa

VIJANA, wadau na wanaharakati wamefungua vikundi vya mtandao wa kijamii kwa ajili ya kuchanga fedha za kumsaidia kijana wa Arusha...

READ MORE

Washindi wa Droo Ndogo ya Mwisho Wazidi Kukabidhiwa Zawadi Zao

Mwakilishi kutoka Ting, Betty Bonzon (kushoto) akimkabidhi king’amuzi mwakilishi wa Kigodi Rajab ambaye ni mmoja wa washindi wa ving’amuzi kutoka...

READ MORE

Kesi ya Bosi wa TRA na Wenzake Yarudishwa Tena Mahakama Kuu

Mahakama ya Rufani Tanzania, imeamuru jalada la kesi inayomkabili Kamishna Mkuu wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry...

READ MORE

Hii Hapa Taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza

Tarehe 08.06.2016 majira ya saa 08:00hrs hadi saa 15:00hrs katika kisiwa cha Maisome kambi ya uvuvi migongo kata ya Maisome...

READ MORE

Wasomaji wa Amani wachangamkia ‘Shinda Nyumba’ Biafra

Msomaji wa gazeti la Amani, Crispin Rojas (kushoto) akijaza kuponi  ili kushiriki bahati nasibu ya Shinda Nyumba. Katikati ni Ofisa...

READ MORE

Kanisa la Sinza Christian Center Latupiwa Vyombo Nje

Kanisa la Sinza Christian Center limetupiwa nje vyombo vyake nje kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kutokana na kanisa hilo kudaiwa...

READ MORE

Serikali kununua ndege tatu na meli moja

Serikali imejipanga kununua ndege tatu na meli moja kwa ajili ya kuboresha usafiri wa anga na majini katika maziwa makuu...

READ MORE

Huu Hapa Mchanganuo wa Bajeti ya Serikali 2016/ 2017

SERIKALI imewasilisha Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2016/2017 ya Sh trilioni 29.53, ambayo nguvu kubwa imewekwa katika kukusanya mapato kwa...

READ MORE

Hotuba ya Waziri wa Fedha Kuhusu Bajeti ya Serikali 2016/17

Hotuba Ya Waziri Wa Fedha Na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Philip I. Mpango (Mb), Akiwasilisha Bungeni Mapendekezo Ya Serikali Kuhusu Makadirio...

READ MORE

Naibu Spika Ashusha Rungu kwa Wanaosusia Bunge

Hatimaye Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson ametoa maamuzi kuhusu hoja ya wabunge...

READ MORE

Zitto Kabwe Ahojiwa Polisi, Apata Dhamana

Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-WAZALENDO), Zitto Kabwe (kulia)  akitoka katika kituo kikuu cha polisi jijini Dar es Salaam baada ya...

READ MORE

Aliyemtukana Rais Magufuli Ahukumiwa Miaka 3 Jela

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa Wa Arusha,imemhukumu  Isack Habakuki(40) mkazi Wa Olasiti, kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini...

READ MORE

Etihad Waanzisha Safari ya Ndege Perth, Australia kwa Boeing 787-9 Dreamliner

Ndege ya uzinduzi ya Shirika la Ndege la Etihad ikipokelewa na magari ya zimamoto yaliyomwaga maji kuashiria uzinduzi rasmi wa...

READ MORE

Nyani azima umeme Kenya

Kampuni ya kuzalisha umeme nchini Kenya, KENGEN imetuma taarifa kwa vyombo vya habari ikiomba radhi kwa ukosefu wa umeme Kwa...

READ MORE

Wanahisa wa Nmb Wapitisha Gawio la Shilingi Bilioni 52

Ofisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ineke Bussemaker akizungumza na Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru kabla ya kuanza kwa Mkutano Mkuu...

READ MORE

Dodoma: Bajeti ya JPM 2016/17 Hadharani Leo

TANZANIA kama zilivyo nchi nyingine za Afrika Mashariki, leo inawasilisha bungeni mjini Dodoma Bajeti ya Serikali ili Bunge liijadili na...

READ MORE

Bunge Lakanusha Uvumi Kuhusu Afya ya Spika wa Job Ndugai

Ofisi ya Bunge imesema Spika wa Bunge, Job Ndugai anatarajiwa kurejea nchini muda wowote akitokea India alipokuwa akifanya uchunguzi wa...

READ MORE

Zitto Kabwe Aitwa Polisi Kwa Mahojiano

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe jana tarehe 7/6/2016  aliitwa Polisi  na Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalumu ya...

READ MORE

Wapinzani Kuwasilisha Vipande vya Hotuba Kivuli ya Bajeti

Wakati hatua ya upinzani kumsusia Naibu Spika, Dk Tulia Ackson ikiingia siku ya nane, Kambi ya upinzani imesema leo itawasilisha...

READ MORE

Marekani yamwaga mbwa Airport Dar

Gladness Mallya na Ojuku Abraham, RISASI Mchanganyiko DAR ES SALAAM: Katika kudhibiti biashara ya usafirishaji wa madawa ya kulevya nchini, ...

READ MORE

Ili Uichukue Nyumba… Sikia Siri Hii Usiyoijua

  Na Mwandishi Wetu, Risasi Mchanganyiko NAAMINI kila mmoja anaufahamu ule usemi maarufu wa bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi....

READ MORE

Sababu 7 Mauaji ya watu 8 Tanga

       Na Dege Masoli, UWAZI TANGA: Mauaji ya watu nane katika Kitongoji cha Kibatini, Kata ya Mzizima, nje kidogo ya...

READ MORE

Airtel na VETA Kutoa Mafunzo ya Ustadi kwa Njia ya Simu

Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa pili kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu ya Ufundi...

READ MORE

NEC Iliokoa Bilioni 12 Uchaguzi wa Oktoba 25

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva na Mkurugenzi wa uchaguzi Bw.Kailima Ramadhani Kobwey...

READ MORE

Mwanakijiji Mlevi Kutozwa Faini ya Sh. 50,000

Serikali ya Kijiji cha Kikukwe, Kata ya Kanyigo wilayani Missenyi, imepongezwa kwa ubunifu wake wa kuunda Kamati ya Maadili chini...

READ MORE

Rais Mseveni Amteua Mkewe Kuwa Waziri

Rais Yoweri Mseveni na Mkewe, Janeth Mseveni. Kampala, Uganda Rais wa Uganda Yoweri Museveni, jana alitangaza Baraza lake jipya la...

READ MORE

Mikopo ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha St Joseph (SJUIT) Yafutwa

WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha St Joseph (SJUIT) Kampasi ya Arusha (kilichofutiwa usajili), waliokuwa chini ya programu ya shahada ya...

READ MORE

Ugomvi wa Wazazi… Baba Amvunja Mguu Bintiye

Mtoto  Zainabu Shaban akiwa na magongo. Na Gladness Mallya, UWAZI DAR ES SALAAM: Ni shida! Mtoto  Zainabu Shaban, 16, (pichani)...

READ MORE