×

Habari

NMB Yapania Kuiinua TEHAMA Chuo Kikuu Cha Dodoma

  BENKI ya NMB na Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) wametiliana saini Mkataba wa makubaliano (MoU) juu ya ushirikiano katika...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Serikali Haitavumilia Vitendo vya Kihalifu Dhidi ya Viongozi wa Dini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema Serikali inalaani vikali na kukemea tukio la...

READ MORE

Mbunge Shigongo: Baada Ya Miaka 15 Tanzania Itakuwa Nchi Bora Afrika Mashariki

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema bado Buchosa anayoitaka haijatimia licha ya mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi chake cha miaka...

READ MORE

Je, wewe ni kijana mkazi wa Dar es Salaam? Nafasi Ya Kazi Ipo Hapa

Je, wewe ni kijana mkazi wa Dar es Salaam? Je, unamiliki laptop yako na unaweza kutumia kwa ufanisi programu za...

READ MORE

Mkutano Mkubwa wa Uwekezaji Kuwakutanisha Wawekezaji Pemba, Zanzibar

Mkutano mkubwa wa uwekezaji utakaowakutanisha wawekezaji na wafanyabiashara mbalimbali kutoka nchi mbalimbali Afrika utafanyika, Pemba, Zanzibar kuanzia Juni 12 mpaka...

READ MORE

Wachungaji Tanzania na Kenya, Watuma Neno Zito kwa Viongozi wa Dini

Dar es Salaam, 3 Mei 2025: Viongozi wa dini katika madhebu mbalimbali nchini wameshauriwa wasiwe wanasiasa wala kuwa sehemu ya...

READ MORE

Harmonize na Kajala Wazua Gumzo kwenye Sherehe ya Kuzaliwa kwa Mtoto wa Paula na Marioo – Video

Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Harmonize, alikuwepo miongoni mwa mastaa wakubwa waliohudhuria sherehe ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa mtoto wa...

READ MORE

Vuna Zaidi ya Mamilioni na Meridianbet Leo

Siku ya leo unaweza ukavuna zaidi ya mamilioni na Meridianbet kwa dau lako dogo tuu. Timu nyingi duniani leo hii...

READ MORE

Niliota Kuhusu Mazishi Yangu, Siku 3 Baadaye Ndoto Ikakaribia Kutimia

Majirani katika mtaa wa Kimara, Dar es Salaam, walishangaa kusikia mwanaume mmoja akipiga kelele katikati ya usiku akisema amekufa. Ilikuwa...

READ MORE

Majaliwa: Wana-Ruangwa Hatuna Deni Na Rais Dkt. Samia

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Chama cha Mapinduzi, Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Kassim Majaliwa amesema...

READ MORE

Wakazi wa Msongola Wafanya Mjadala Kujadili Changamoto Zinazowakabili

Dar es Salaam, 2 Aprili 2025: Wakazi wa Kata ya Msongola Wilaya ya Ilala jijini Dar wamefanya mjadala mzito wa...

READ MORE

RC Nakonda: Arusha Imejaa Fursa, Tuziangalie Kwa Jicho La Uwekezaji – Video

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, leo Mei 03, 2025, amefungua rasmi Jukwaa la Uwekezaji la Mkoa wa Arusha...

READ MORE

Lissu Kuanza Mgomo wa Kula Kupinga Utaratibu wa Kesi Mahakamani

Dar es Salaam, Mei 3, 2025 – Wakili Peter Kibatala, amesema kuwa mteja wake, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

Kiwanda Cha Nguzo Za Zege Tabora Kuzalisha Ajira, Kukuza Uchumi Wa Nchi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa Kiwanda cha Kutengeneza...

READ MORE

Benki ya Azania Yakabidhi Madawati 200 Kwa Shule za Msingi na Sekondari Musoma

Benki ya Azania imekabidhi jumla ya madawati 200 kwa ajili ya Shule za Sekondari na Msingi wilayani Musoma kwa lengo...

READ MORE

Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo ya Askari Wapya 

Pwani: Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda amehitimisha mafunzo ya Askari wapya katika Shule ya Mafunzo ya...

READ MORE

Katibu Mkuu Kiongozi Azindua Mwezi wa Elimu Kwa Shughuli za Wakaguzi wa Ndani

KATIBU Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka ametoa wito kwa taasisis za Umma na Binafsi  kuendelea kushirikiana kwa karibu na...

READ MORE

Tanzania Yawakilishwa Vema Kwenye Kambi ya Mafunzo ya Huawei Shenzhen (China)

Wanafunzi wenye vipaji katika sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano kutoka vyuo vikuu 12 duniani, wameshiriki katika kambi ya...

READ MORE

Mchengerwa amshukuru Rais kwa kupandisha mishahara, Makonda Chapa Kazi

Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza kupandisha kima cha chini cha mshahara wa watumishi wa Serikali kwa 35% Waziri...

READ MORE

BoT yasisitiza marufuku matumizi ya fedha za kigeni kwenye miamala ya ndani Tanzania

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kuwa, kulingana na matakwa ya Kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu ya...

READ MORE

Wakurugenzi Wahimizwa Kutenga Fedha Kwaajili Ya Ujenzi Wa Miradi

Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI Zainab Katimba amesema serikali itaendela kusimamia Halmashauri zote nchini ili ziweze kutimiza majukumu...

READ MORE

Chalamila Azungumzia Shambulio la Padri Kitima, Awatetea Polisi – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa wito kwa Watanzania kuwa na imani na Jeshi la Polisi...

READ MORE

Shigongo Atangaza Dira ya Viwanda na Utalii, Akemea Kero ya Maji – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo akiwahutubia wananchi wa Nyehunge, amesema Buchosa ijayo itakuwa ni ya viwanda na utalii ambapo ameonesha...

READ MORE

Serikali Inathamini Kazi Inayofanywa Na Sekta Binafsi-Majaliwa

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inathamini kazi kubwa inayofanywa na sekta binafsi katika kuimarisha ustawi wa jamii nchini....

READ MORE

THRDC Watoa Majaketi ya Utambulisho kwa Waandishi wa Habari

   Waandishi wa habari kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania, wamepokea Press Jackets toka Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu...

READ MORE

Exim Yatangaza Mafanikio Makubwa Mwelekeo Madhubuti Mwaka 2025

2 Mei 2025, Dar es Salaam, Tanzania –Benki ya Exim Tanzania imeanza mwaka kwa mafanikio makubwa, baada ya kuhitimisha robo...

READ MORE

Buchosa Imeitika, Maandamano Ya Kuzipongeza Kazi Za Rais Samia – Video

Tazama nyomi la wananchi wa Buchosa wakiwa na mbunge wao, Eric Shigongo katika Kata ya Nyehunge, ambako amezungumza nao na...

READ MORE

Serikali Yapongezwa kwa Kuboresha Maisha ya Wananchi

Kamati ya kudumu ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wamezipongeza Serikali za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali...

READ MORE

Shindano la cmsa 2025: Fursa Kwa Wanavyuo Kuwekeza Mitaji

MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imezindua shindano la Masoko ya Mitaji kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na...

READ MORE

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Kuongoza Kongamano la Kwanza la Kodi

WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la kwanza la kodi litakalofanyika Mei 8, mwaka...

READ MORE

Kwa Nini Wanawake Hawaruhusiwi Kuwa Papa Katika Kanisa Katoliki?

Hadi sasa, kumekuwa na zaidi ya mapapa 250. Walakini, hakuna hata mmoja wao ambaye amekuwa mwanamke. Sio tu kuwa papa,...

READ MORE

Mkurugenzi Zahara Michuzi atunukiwa cheti cha Mfanyakazi Hodari Mei Mosi Maswa

Katika shamrashamra za maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi, yaliyofanyika katika Uwanja wa Nguzo Nane wilayani Maswa, Mkuu...

READ MORE

CCM Yalaani Vikali Shambulio Dhidi ya Katibu Mkuu wa TEC, Padre Kitima

Chama Cha Mapinduzi (CCM)kimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki...

READ MORE

TEC Yatoa Tamko Kushambuliwa Kwa Padri Charles Kitima

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa tamko kufuatia tukio la kushambuliwa na kupigwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la...

READ MORE

Rais Mwinyi: Smz Kuendelea Kuimarisha Maslahi Ya Wafanyakazi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za...

READ MORE

Serikali Yaongeza Kima Cha Chini Cha Mshahara Kwa Watumishi Wa Umma Kwa Asilimia 35 – Video

Serikali imeongeza kima cha chini cha mshahra kwa watumishi wa umma kutoka shilingi 370,000 hadi shilingi 500,000, likiwa ni ongezeko...

READ MORE

Russia Yasisitiza Utayari wa Putin kwa Mazungumzo ya Amani na Ukraine

Rais wa Russia Vladimir Putin yuko tayari kushiriki katika juhudi za kuleta amani nchini Ukraine, na mashauriano ya kina yanaendelea...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Akabidhi Vikombe Kwa Washindi Wa Michezo Katika Sherehe Za Mei Mosi Singida

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekabidhi Zawadi ya Vikombe kwa Washindi wa michezo Mbalimbali...

READ MORE

Rais Samia Akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Mkoani...

READ MORE

Chadema Yaitaka Serikali Ichukue Hatua Shambulio Dhidi ya Padre Kitima

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali shambulio dhidi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC),...

READ MORE