×

Habari

Rais Dkt. Samia Apokea Taarifa Ya Mwaka Ya Takukuru Na CAG 2023/2024 – (Picha + Video)

Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akipokea Taarifa ya Mwaka ya TAKUKURU na Ripoti...

READ MORE

Ligi Inaendelea Meridianbet, Chezo sloti ya Capital City Derby Upige Mkwanja

Jiandae kwa tukio la michezo la sloti linalokusudiwa kuwafurahisha mashabiki wote wa michezo ya kubahatisha ya kasino ya mtandaoni! Uwe...

READ MORE

BoT: Utalii Waanza  Mwaka 2025 Ukiongoza Kuleta Fedha Za Kigeni

Ripoti mpya ya Benki Kuu ya Tanzania imethibitisha kuwa sekta ya utalii (travel and tourism), pamoja na kumaliza mwaka wa...

READ MORE

Bahati Nasibu ya Taifa Yashirikiana na Vodacom M-Pesa Miamala ya Kidijital

Dar es Salaam, Tanzania – 27 Machi 2025 – Bahati Nasibu ya Kitaifa ya Tanzania imeshirikiana na jukwaa kuu la...

READ MORE

Jenerali Mabele: Tukitangaza Nafasi JKT Jitokezeni, Acheni Kufoji Vyeti – Video

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Rajabu Mabele ametoa wito kwa watu wote wanaoghushi vyeti vya mafunzo ya...

READ MORE

Prof Kitila: Kuna Haja ya Kutengeneza Sera za Uagizaji Magari Kulinda Viwanda vya Ndani

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof Kitila Mkumbo amesema kuna haja ya kurekebisha Sera katika...

READ MORE

Mwalimu Mkuu Na Walinzi Wakamatwa Wakidaiwa Kumuua Mwanafunzi – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limewakamata watuhumiwa watatu kwa tuhuma za kumuua mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule...

READ MORE

TANESCO Kuanzisha mkoa maalum wa kiutendaji Kushughulikia changamoto za umeme SGR

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema lipo mbioni kuanzisha mkoa maalum wa kiutendaji ili kushughulikia changamoto za umeme katika Reli...

READ MORE

Jenerali Mkunda Awavisha Nishani Kanda ya Mbeya

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Mhe Rais na Amiri...

READ MORE

Prof Kitila Mkumbo Atoa Maagizo Matano Kuongeza Ufanisi Kampuni Zenye Hisa na Serikali

Serikali imetoa maagizo matano kwa wakurugenzi wa bodi za kampuni ambazo inaumiliki wa hisa chache, ikiwa ni sehemu ya jitihada...

READ MORE

Rais Samia Afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa DRC, Ikulu Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Machin26, 2025 amefanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa...

READ MORE

Urusi na Ukraine zakubaliana kusitisha vita baharini

Marekani imefikia makubaliano tofauti na Ukraine na Urusi, ambapo nchi hizo zimekubali kusitisha mashambulizi baharini na dhidi ya miundombinu ya...

READ MORE

Benki ya CRDB Yakabidhi Madarasa na Vyoo kwa Shule ya Msingi Misufini

Katika muendelezo wa kusheherekea miaka 30 ya kuleta mabadiliko katika jamii, Benki ya CRDB imekabidhi madarasa mawili na vyoo sita...

READ MORE

Msajili Aitwanga Barua CCM, Ataka Maelezo Ya Maneno Ya Makala – Video

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imewajibu Chama cha ACT Wazalendo kuhusu ombi lao la kuchukuliwa hatua Katibu wa...

READ MORE

Mwananchi Amshukuru Mkaguzi wa Polisi kwa Msaada wa matibabu

Mkaguzi kata ya Kisangura Wilaya Serengeti Mkoa wa Mara Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Genuine Kimario amepokea shukrani kutoka kwa...

READ MORE

Waziri Mhagama Awasilisha Ujumbe Wa Rais Samia Kwa Rais Wa Zambia

Waziri wa Afya, Jenista Mhagama Machi 24, 2025 amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt....

READ MORE

Video: Mfanyabiashara Adakwa Akidaiwa Kutapeli Kwenye Upatu na Vikoba

Wananchi mbalimbali Machi 24, 2025  wamefika katika Kituo cha Polisi Mbweni ambako mwanadada aitwaye Tumaini almaarufu Hope Brand anashikiliwa kwa...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya ya Masasi Atenguliwa, Kasanda Achukua nafasi Yake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Rachel Stephen Kasanda kuwa Mkuu wa Wilaya...

READ MORE

Waandishi Wa Habari Wauwawa Kwa Shambulio La Israel

Shirika la utangazaji la Al Jazeera limeripoti leo kuwa mwandishi wake wa habari anayefanya kazi na moja ya chaneli zake...

READ MORE

Mbowe Aonekana hadharani Msibani Kwa baba mkwe wa Waziri Mwigulu

  MWENYEKITI Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe ameonekana hadharani leo Machi 25, 2025 baada ya...

READ MORE

TRC Yaanza Mchakato Ujenzi Wa Reli Ya Kisasa Ya SGR Mkoani Arusha

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, leo Jumanne, Machi 25, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu...

READ MORE

Machaguo Zaidi ya 1000 Yapo Hapa

Jumanne ya kutimiza ndoto zako na Meridianbet imefika. Ingia kwenye akaunti yako na uweze kusuka jamvi lako la ushindi hapa...

READ MORE

VETA Yafadhili Mafunzo kwa Wanawake 3000 Jijini Dodoma

Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imetoa ufadhili wa mafunzo ya muda mfupi kwa wanawake 3000 jijiji...

READ MORE

Wasomi UDSM Wafanya Kongamano la Kuboresha Ubunifu wa Kibiashara

Dar es Salaam, 25 Machi 2025: Wasomi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na wadau wake leo wameanza kongamano...

READ MORE

Waalimu Wa Sayansi & Hisabati Watakiwa Kutumia Mbinu Za Kisasa Katika Ufundishaji

WALIMU wa Shule za Sekondari wanaofundisha masomo ya Sayansi na Hisabati,wametakiwa kutumia mbinu za kisasa zinazozingatia mabadiliko ya sayansi na...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Lango La Utalii Hifadhi Ya Mkomazi

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Machi 25, 2025 amezindua lango la kuingia na kutoka watalii la Ndea kwenye Hifadhi ya...

READ MORE

Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Apotea, Polisi Wamsaka

Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa Daniel Chonchorio, Mkazi wa Nyakato jijini Mwanza anadaiwa kupotea katika...

READ MORE

Wananchi wa Nkasi Wampa Tundua Lissu zawadi ya Samaki

Wananchi wa Nkasi Kaskazini wamemkabidhi Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Tundua Lissu zawadi ya samaki tarehe 24...

READ MORE

Rais mstaafu Dkt. Kikwete Awasilisha Ujumbe Maalum nchini Senegal

  Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete Machi 24, 2025, amewasilisha Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

READ MORE

NBC Yashiriki Uzinduzi Uwanja Mpya Wa Singida Blakc Stars, Yasisitiza nia Kuboresha Viwanja

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) , mdhamini mkuu wa Ligi Kuu ya NBC imeshiriki kikamilifu kwenye uzinduzi wa uwanja...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi EAC na SADC uliofanyika kwa njia ya mtandao – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na...

READ MORE

Rais Samia Ajumuika na makundi maalum kwenye Iftar Chake chake, Zanzibar

Rais Samia Suluhu Hassan Machi 25, 2025 amejumuika na viongozi wa siasa, serikali, dini na makundi maalum kwenye Iftar aliyowaandalia...

READ MORE

Al-Shabaab Waua Polisi Sita Wa Kenya

Askari sita wa jeshi la Polisi la Kenya wameuawa na wengine wanne wamejeruhiwa katika shambulio linaloaminika kufanywa na kundi la...

READ MORE

Nafasi ya Kushinda Ipo Meridianbet

Mechi za kufuzu kombe la Dunia zipo leo na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua...

READ MORE

Waislamu, Wakristo Burkina Faso Wala Futari Pamoja

Mamia ya Waislamu na Wakristo huko Ouagadougou, mji mkuu wa Burkina Faso, wameshiriki pamoja dhifa ya futari katika medani ya...

READ MORE

Namibia; Rais, Makamu Wa Rais Wanawake

Rais mpya wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah ametangaza baraza lake la mawaziri la kwanza na kumteua Lucia Witbooi kuwa Makamu wa...

READ MORE

EWURA, ERB Kushirikiana Kuboresha Huduma za Nishati

ZAMBIA. Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) na Bodi ya Udhibiti wa Nishati Zambia...

READ MORE

Kumbe Nilikuwa Nimeandaliwa Kutolewa Kafara Bila Mimi Mwenyewe Kujua Chochote

Jina langu ni Jamal kutoka Moshi, ni kijana wa miaka 28 kwa sasa, mwaka 2018 nilitengwa na familia yangu kisa...

READ MORE

Video: Shigongo Awataka vijana Kufanya Kazi, Acheni Kunywa Pombe Hovyo

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amewataka vijana wa Buchosa kufanya kazi kwa bidii ili kujipatia maendeleo, huku akiwaasa kuachana na...

READ MORE

Video: Imelda Alivyomsapraiz Carina Wodini India, Afunguka Mazito!

Mwandishi mahiri wa habari kutoka Global TV, Imelda Mtema amefunga safari mpaka nchini India kwenda kufuatilia maendeleo ya mwanadada Caroline...

READ MORE