×

Habari

Mwenezi Makalla Akagua Ujenzi wa Hospitali ya Mbagala na Shule, Atoa Maagizo

Katibu wa NEC-Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu Amos Makalla leo akiwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya...

READ MORE

Bunge Lapitisha Muswada Wa Marekebisho Ya Sheria Ya Shule Ya Sheria Tanzania

BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Shule ya Sheria Tanzania wa Mwaka 2024 ambao umeondoa sharti la kila...

READ MORE

PSSSF Yatoa Huduma Kwenye Kikao Kazi Cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma AICC-Arusha

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umeweka kambi kwenye viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu Kushiriki Mkutano wa Pili wa Masuala ya Nishati ya Nyuklia

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko Agosti 28, 2024 amewasili jijini Nairobi nchini Kenya kwa ajili...

READ MORE

Rais Samia Azinduzi na Kukabidhi Ndege za Mafunzo ya Awali ya Marubani Jijini Dar

Rais Samia amezinduzi na kukabidhi ndege za mafunzo ya awali ya Marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi...

READ MORE

Hizi Ndizo Mbinu Nilizotumia Kupanda Cheo

Hakuna ubishi kuwa ni ndoto ya kila mfanyakazi kupanda daraja, cheo na mshahara katika kazi yake, kufanyika hilo hupelekea mfanyakazi...

READ MORE

SBL, Club 1245 Waigeuza Jumapili kuwa Ijumaa Mpya

Ile Jumapili uliyoizoea ya kukaa kinyonge hatimaye imeondolewa kwenye kalenda, HAIPO TENA! Wakali wa muda wote wa kutengeneza na kusambaza...

READ MORE

Bilionea wa Afrika Kusini Ampita Mfanyabiashara Aliko Dangote na kuwa Tajiri

Kwa mujibu wa ripoti za Bloomberg, Bilionea wa Afrika Kusini Johann Rupert amempita Mfanyabiashara wa Nigeria Aliko Dangote na kuwa...

READ MORE

Nmb Yakabidhi Madawati na Vifaa tiba Kilosa, Morogoro

Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka (katikati), Meneja wa Kanda ya Kati Benki ya NMB, Janeth Shango (wa...

READ MORE

NBC Yasisitiza Dhamira Yake Kuchochea Ukuaji Biashara, Uchumi wa Buluu Zanzibar

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeelezea dhamira yake ya kuendelea kushirikiana na wafanyabishara wadogo, wa kati na wakubwa kupitia...

READ MORE

Mamia Wampokea Hapi Wilayani Makete Mkoani Njombe

Wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM katika kata ya Iwawa Wilayani Makete Mkoani Njombe wamejitokeza kumpokea Katibu Mkuu...

READ MORE

Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Yapongeza NSSF Kwa Mafanikio ya Utendaji

Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Mwanaasha Khamis Juma wameupongeza Mfuko wa Taifa...

READ MORE

Watu 70 Wajeruhiwa Katika Ajali ya Treni ya Abiria Kigoma

Shirika la reli Tanzania Treni ya abiria namba Y14 ikiwa na kichwa cha treni namba 9002, mabehewa 12 ya abiria,...

READ MORE

RC Makonda: Busara Na Hekima Za Rais Samia Zimezidi Kiwango Cha Kawaida

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Mastaa Simba Kuingia Kambini Leo, Jumamosi Kukipiga dhidi ya Al Hilal

MASTAA wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids leo Agosti 28 2024 wanawasili kambini kwa maandalizi ya...

READ MORE

Ndugulile Ashinda uchaguzi wa kiti cha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Kanda ya Afrika

Mbunge wa Kigamboni na Naibu Waziri wa Afya wa zamani Dkt. Faustine Ndugulile, ameshinda uchaguzi wa kiti cha Mkurugenzi Mkuu...

READ MORE

Ni Balaa… Kila Mtu ni Mshindi!

          Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc imeendesha droo ya nne ya Kampeni ya Ni Balaa, Kila...

READ MORE

CCM Yampongeza Ndugulile Kwa Kuchaguliwa Kuwa Mkurugenzi Wa (WHO) Kanda Ya Afrika

Dkt. Faustine Ndugulile (Mbunge wa Jimbo la Kigamboni), amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) , Kanda ya...

READ MORE

INEC Yafunga Mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji Daftari la Wapiga Kura

Watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wametakiwa kuwepo katika vituo vya kuandikisha wapiga kura muda wote...

READ MORE

Rais Samia Alivyowasili Arusha Kufungua Mkutano Wa CEO’s Forum 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Arusha  Agosti 27, 2024 kupitia uwanja wa...

READ MORE

Wamiliki wa Shule Binafsi Sasa Kuchagua Benki Au Tigo Pesa Kwenye Malipo ya Ada

Kampuni ya mtandao wa simu ya Tigo kwa kushirikiana na ZMotion wameendesha mafunzo ya siku moja kwa wamiliki na Wakurugenzi...

READ MORE

Waliomuua Kinyama Milembe Wa Geita Wahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa – Video

Washitakiwa Watatu kati ya wanne walioshtakiwa kwa kosa la mauaji ya Milembe Suleiman (43), wametiwa hatiani na kuhukumiwa adhabu ya...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Uzinduzi wa Kampeni ya Raila Odinga AU (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Agosti 27, 2024 akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi...

READ MORE

Makalla Azindua Shina la CCM Mjimwema Kigamboni, Atoa Ujumbe Mzito

KATIBU wa NEC, Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla, ameanza ziara yake ya kichama ya siku...

READ MORE

TPA na TRA Kuimarisha Utendaji wa Bandari Nchini

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa jitihada kubwa za kuimarisha utendaji wa...

READ MORE

CCM Ni Imara Wakati Wote, Tutarajie Ushindi wa Heshma- CPA Makalla

  KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amoss Makala amewataka wanachama...

READ MORE

LHRC Yazindua ripoti ya 10 haki za binadamu na biashara tanzania 2023/24

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeendelea kufanya utetezi wa haki za binadamu katika sekta ya biashara ambapo...

READ MORE

Rais Samia Awasili Nairobi Kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Raila Odinga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 27, 2024 amewasili Nairobi  kuhudhuria hafla ya...

READ MORE

Rais Samia Anaondoka nchini kuelekea Kenya kufanya ziara ya kikazi

Rais Samia Suluhu Hassan leo Agosti 27, 2024 anaondoka nchini kuelekea Kenya ambako anatarajia kufanya ziara ya kikazi baada ya...

READ MORE

Makamu wa Rais Azindua wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amesema ili kupata manufaa ya maadhimisho ya wiki...

READ MORE

Dkt. Mpango Awaomba NMB Kueneza Elimu ya Bima Kwa Watumia Vyombo vya Moto

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Philip Mpango ameisihi benki ya NMB kuwafikia watu wengi zaidi...

READ MORE

Mama Lishe Zaidi ya 1000 Watoana Kijasho Shindano la Mapishi

Mama Lishe zaidi ya 1000 mkoani Mbeya ambao wanashiriki mashindano ya kupika kwa gesi ya Oryx huku Kampuni ya Oryx...

READ MORE

Rais Dkt. Samia, Rais wa China Wapongezwa Kwa Kuleta Maendeleo ya Kiuchumi

  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameutana na kufanya mazungumzo.nq Waziri wa Idara ya...

READ MORE

Kocha wa Zamani wa Timu ya Taifa ya England, Sven Eriksonn Afariki Dunia

Kocha wa zamani wa Timu ya Taifa ya England, Sven-Goran Eriksonn amefariki dunia asubuhi ya leo, Agosti 26, 2024 baada...

READ MORE

Mkurugenzi wa Telegram Akamatwa na Polisi Nchini Ufaransa

Mkurugenzi na mwanzilishi wa mtandao wa kijamii wa Telegram, Pavel Durov amekamatwa jijini Paris, Ufaransa muda mfupi baada ya kutua...

READ MORE

Stars Kambini kujiandaa na michezo ya kufuzu Afcon 2025

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo Agosti 26, 2024 limetangaza kikosi kitakachoingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya...

READ MORE

Kila Mwanaume Akitoka na Mimi Ananiacha na Anakuwa Hanitaki Tena

Jina langu ni Malinda, naishi jijini Mbeya, ni mama wa mtoto mmoja, niliweza kuolewa Machi mwaka jana nikiwa na umri...

READ MORE

Ni Balaa! Wateja wa Vodacom Waendelea Kushinda, Mmoja Ashinda Hadi Shilingi Milioni 20

Arusha: Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania  (PLC) imetoa zawadi kwa washindi wa kampeni mpya ya ni Balaa kila mtu...

READ MORE

Exim Bima Festival 2024: Burudani Yenye Lengo la Kuboresha Huduma za Afya ya Akili

Mwezi Septemba, Benki ya Exim Tanzania inawakaribisha Watanzania wote na wadau mbalimbali kujumuika pamoja kwa ajili ya jambo muhimu na...

READ MORE

Vijana 50 Morogoro wanufaila na mkopo wa vifaa kutoka Taifa Gas

Na Mwandishi wetu Katika kuendeleza kampeni ya kumtua mama mzigo wa kuni kichwani Kampuni ya Taifa Gas imewapatia vijana 50...

READ MORE