×

Habari

Rais Samia Ahutubia Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. Samia Suluhu Hassan amehutubia Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano...

READ MORE

Hospitali ya Sinza Yawezeshwa Mapambano ya Malaria!!

Usalama na Afya ni jambo la msingi sana, na kila mtu anapambana kwa gharama kubwa kuhakikisha afya yake inakuwa imara,...

READ MORE

Makalla Atembelea mpaka wa Tanzania na Kenya ‘Namanga one stop’ Aridhishwa kwa kazi Nzuri

  “Nimeridhika na kazi mnayoifanya hapa ‘Namanga One Stop Border Post’ nimejionea foleni ya magari sio kubwa, pamoja na kazi...

READ MORE

John Mongella Aanza Ziara ya Siku Saba Mkoani Shinyanga

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella, leo tarehe 05 Septemba 2024 ameanza ziara ya siku...

READ MORE

Washiriki Wa Mkutano Wajengewa Uwezo Katika Upigaji Wa Shabaha Marekani

Katika kuhakikisha askari wa Kike wanakuwa imara na mahiri katika kila nyanja wanazohudum Suala la kujengewa umahiri katika ulengaji wa...

READ MORE

ACT Wazalendo Yamzawadia Gari Mwenyekiti Mstaafu wao Juma Duni Haji – Video

CHAMA cha ACT Wazalendo Septemba 4, 2024 kimemkabidhi gari aina ya Prado Mwenyekiti Mstaafu wa Chama hicho, Juma Duni Haji...

READ MORE

CCM Haihusiki na Maneno Yaliyosemwa na Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Longido

CCM inashinda Chaguzi zake kwa haki na sio Kwa kubebwa bebwa na itaendelea kushinda kwa sababu tumejipanga vizuri kushinda chaguzi...

READ MORE

Rais wa China Xi Jinping Ambatana na Rais Samia katika ukumbi kwa ajili ya kushiriki hafla ya chakula cha jioni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Benki ya NBC Yaingia Makubaliano Kutoa Huduma Mahususi Zenye Upendeleo Kwa Wafugaji.

  Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji na Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT) yanayolenga...

READ MORE

NMB Yakabidhi Hundi ya Milioni 50 Kwa Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko Kwa Ajili ya Ujenzi wa Shule ya Wavulana ya Bunge

BENKI ya NMB imekabidhi Hundi ya Shilingi milioni 50 kwa Naibu Waziri Mkuu Dk Dotto Biteko kwa ajili ya ujenzi...

READ MORE

Wizara ya Maji na Kilimo Kushirikiana Miradi ya Maji na Umwagiliaji Ziwa Victoria na Tanganyika

Viongozi wawili wa Wizara ya Kilimo na Wizara ya Maji wamekutana leo tarehe 4 Septemba 2024 jijini Dodoma na kuahidi...

READ MORE

Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Mzimu wa Afrika Zaidi ya Nchi 10 Zakutana Hapa Nchini

Dk. Riziki Mkali Malela akizungumza na wanahabari.                           ...

READ MORE

Mwenezi CPA Makalla Apokelewa Arusha Tayari Kuanza Ziara

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Amos Makalla amewasili Mkoani Arusha tayari kuanza ziara yake ya siku 6...

READ MORE

Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Aishukuru Kamati ya Bunge la Ushelisheli kwa Kutambua Thamani

Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Salum Haji Othuman ameishukuru Kamati ya Kudumu ya Bunge, Ulinzi na Mambo ya Nje...

READ MORE

China, Tanzania, Zambia Zakubaliana kuboresha reli ya TAZARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping pamoja...

READ MORE

Njia Rahisi ya Kuvuta Wateja na Kuongeza Mtaji Katika Biashara Yako

Ukweli ni kwamba kila binadamu anapenda kuona anakua katika biashara ambayo anaifanya, anapenda kuona biashara yake inaongezeka mtaji, biashara yake...

READ MORE

Tanzania Na Indonesia Kushirikiana Katika Udhibiti Wa Dawa

Tanzania na Indonesia zimesaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika kujengeana uwezo na kubadilishana uzoefu kwenye masuala ya usajili, ukaguzi...

READ MORE

Mjumbe wa UVCCM Akabidhi Simu Tisa na kadi za Uanachama 1000 Tanga

Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) viti vitatu Bara, Shamira Mshangama amekabidhi Simu...

READ MORE

Marekani Yawashtaki viongozi wa Hamas kwa shambulio la Oktoba 7 dhidi ya Israel

Marekani imemfungulia mashtaka Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar na watu wengine kadhaa mashuhuri katika kundi hilo la Palestina kuhusiana na...

READ MORE

EWURA Yatangaza Bei Kikomo Ya Mafuta Kuanzia Leo

EWURA inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano, tarehe 4 Septemba 2024 saa...

READ MORE

Waziri Kombo Aongoza Ujumbe Wa Tanzania Kwenye Mkutano Wa Mawaziri Wa FOCAC

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameongoza ujumbe wa Tanzania...

READ MORE

Ndugulile Ahutubia Bungeni, ”Wanaohoji Jimbo La Kigamboni Lipo Wazi, Bado Lina Mbunge” – Video

Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile ambae siku chache zilizopita alichaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani, Kanda ya Afrika,...

READ MORE

Mahakama ya Iran yampa adhabu ya kifo mwanajeshi

Mahakama ya Juu ya Iran, imekubali hukumu ya kifo iliyotolewa kwa mwanachama wa tawi la kujitolea la Jeshi la Mapinduzi...

READ MORE

Babu wa TIKTOK Aomba Radhi, Aongezewa Adhabu ya Faini

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro ameongeza adhabu ya faini kutoka shilingi milioni 3 hadi milioni 5 kwa...

READ MORE

NBC, ZSSF Wasaini Makubaliano ya Mauzo ya Nyumba za Gharama Nafuu Zanzibar

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji (MoU) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar...

READ MORE

Mwijaku Apewa 21 Kuwasilisha Utetezi wake Mahakamani

Mahakama Kuu masjala ndogo ya Dar es salaam leo Septemba 3, 2024 kupitia kwa Jaji David Nguyale imetoa siku 21...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Aendelea Kuonesha Kuwajali Wapambanaji,

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonesha kuwajali Wapambanaji Kupitia kurasa yake ya instagram, amesoma comments, amejibu, amepongeza na kumuwezesha...

READ MORE

Rahma Aliyerejea Kutoka Iraq Anapoishi Mazingira Hayarusu Kuishi Binadamu – Video

 Mtanzania aliyekuwa amekwama nchini Iraq alikoenda kufanya kazi za ndani, Rahma amesimulia mateso aliyoyapitia kwa kipindi chote alichokuwa nchini...

READ MORE

Rais wa Urusi, Vladimir Putin Awasili nchini Mongolia kwa ziara

RAIS wa Urusi, Vladimir Putin, amewasili nchini Mongolia kwa ziara rasmi, ikiwa ni mara ya kwanza kutembelea nchi hiyo tangu...

READ MORE

Mchengerwa: DART Hakikisheni Wakazi Wa Dar Wanapata Kadi Janja Za Mabasi Ya Mwendokasi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa ameitaka Wakala wa Mabasi yaendayo...

READ MORE

Rais Samia Awasili China kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa nchi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Beijing...

READ MORE

Idara Ya Uhamiaji Ya Mulikwa Mafunzo Marekani, Washiriki Watoa Dira Kukabiliana Na Changamoto

Mafunzo kwa Shirikisho la askari wa kike na wasimamizi wa sheria duniani yameendelea katika Jiji la Chicago Nchini Marekani ambapo...

READ MORE

Shigongo Afunguka Maajabu Ya Miaka 3 Ya Rais Samia Jimboni Buchosa – Video

Mbunge Eric Shigongo ameiomba Serikali kupitia Wizara ya Maji, Ujenzi wa Visima 15 katika Jimbo la Buchosa ili kuepukana na...

READ MORE

Ajira 351 Tawa Zazua Mtiti Bungeni, Wabunge Wakataa Vigezo, Wacharuka – Video

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Marekani yaikamata ndege ya Rais Maduro wa Venezuela

Marekani imekamata ndege ya Rais wa Venezuela Nicolas Maduro, ikidai ilinunuliwa kinyume cha sheria kwa kiasi cha $13m (£9.8m) na...

READ MORE

Katika Kuwezesha Ujenzi Bora ALAF, URA SACCOS Zasaini Makubaliano

Dar es Salaam, 3 Septemba 2024: Katika kuhakikisha wanafanya ujenzi ulio bora Kampuni ALAF Limited imesaini makubaliano na chama cha...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi na Uhamisho wa Viongozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi wa viongozi mbalimbali...

READ MORE

Usiri Juu ya Rushwa ya Ngono Kwenye Vyumba vya Habari Unakomaza Tatizo Hilo

“Nilienda katika chombo fulani cha habari nikiwa na lengo kubwa la kujifunza uhariri wa sauti na video, nilipokelewa na mhariri...

READ MORE

NBC Yasisitiza Dhamira yake Kuchochea Ukuaji Sekta ya Utalii, Waziri Chana Apongeza

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeshiriki kikamilifu kwenye kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa ya...

READ MORE

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Yatoa tahadhari kutokea kwa Upepo Mkali

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya uwezekano wa kutokea kwa upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa...

READ MORE