×

Habari

Katibu Mkuu wa Utalii Atembelea Nyumba ya Kwanza ya Mwalimu Nyerere – Picha

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, Julai 5, 2024 amefika Magomeni ilipo nyumba ya kwanza...

READ MORE

Ruto apunguza matumizi ya serikali kwa Shilingi Bilioni 177, aahidi mabadiliko

Rais wa Kenya William Ruto, alisema Ijumaa kwamba hivi karibuni atafanya mabadiliko katika serikali yake, kufuatia wiki kadhaa za maandamano...

READ MORE

Rais Samia: Biashara Zifanyike saa 24 Kariakoo Dar Jafo Kafanikishe Hilo – Video

RAIS wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo asiwe Waziri wa kukaa...

READ MORE

Gerson Msigwa Afichua Za Ndani Kabisa, “Rais Samia Ametoa Milioni 100 Kwa Taifa Stars – Video

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa @gersonmsigwa amesema kama taarifa kwamba Ligi Kuu ya Tanzania...

READ MORE

Serikali Yaitaka Idara ya Uhamiaji Kuimarisha Misako na Doria

Tuendelee kuitumikia nchi yetu kwa nguvu zetu zote, weledi na kujituma kwani Serikali yetu imetuamini na tuna wajibu mkubwa wa...

READ MORE

Katibu Mwenezi CCM Kutikisa Kesho Diamond Jubilee

Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Mafunzo CPA. Amos Makalla  kesho Jumamosi Julai 6,2024 ananasa ziara ya siku saba mkoani...

READ MORE

Angalia Ubunifu Wa UDSM Kutengeneza Nguo Na Nishati Ya Kupikia Kwa Kutumia Mabaki Ya Plastiki

Dar es Salaam 5 Julai 2024: Kutokana Jitihada Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan kuhamasisha matumizi...

READ MORE

UDOM Kuendeleza Tafiti Zenye Kutatua Matatizo Katika Jamii Ili Kuleta Tija

Dar es Salaam 7 Julai 2024: Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimesema kitaendelea kufanya tafiti zenye lengo la kutatua matatizo...

READ MORE

Utalii Tanzania Kuchangia Robo Tatu ya Bajeti ya Sasa Ifikapo 2034

Ripoti mpya ya Baraza la Utalii Duniani (Travel & Tourism Council, WTTC) iitwayo “ Travel and Tourism: Economic Impact Research...

READ MORE

Chama cha Labour chashinda uchaguzi mkuu wa Uingereza

Chama cha Labour kimeshinda rasmi uchaguzi mkuu wa Uingereza 2024 baada ya kufikisha viti 326 vinavyohitajika. Waziri Mkuu mteule wa...

READ MORE

Tamasha la Utamaduni na Utalii Laanza Kwa Kishindo Bariadi

Tamasha la Utamaduni na Utalii Kanda ya Ziwa-Lake Zone Cultural and Tourism Festival limeanza Mjini Bariadi kwa kishindo huku Wizara...

READ MORE

Rais wa Zamani wa Brazil Afunguliwa Mashtaka ya Utakatishaji wa Fedha

  Polisi wa serikali kuu ya Brazil wamemfungulia mashtaka Rais wa zamani Jair Bolsonaro kwa utakatishaji wa fedha na ushirika...

READ MORE

Waziri wa Madini Mavunde Atoa zuio kwa raia kigeni kuingia kwenye leseni za uchimbaji mdogo bila kufuata taratibu

Waziri wa Madini Anthony Mavunde ametoa zuio kwa raia wote wa kigeni kuingia kwenye leseni za uchimbaji mdogo (PML) bila...

READ MORE

Jinsi Mrembo Alivyotoboa Kimaisha Kutoka Chini Mpaka Kuwa Mfanyabiashara wa Kimataifa

Mwanamke mmoja aitwaye Vanessa Malema alifungua kibanda chake kando ya barabara ya Moi Avenue Nairobi nchini Kenya miaka mitatu iliyopita...

READ MORE

Riba Ya Benki Kuu Yasalia Asilimia 6, Naibu Gavana wa Benki Kuu Afunguka

Riba ya Benki Kuu katika robo ya tatu ya mwaka huu itaendelea kuwa asilimia 6 kama ilivyokuwa katika robo ya...

READ MORE

#EXCLUSIVE: Bibi Mjane Alia Kuporwa Eneo na Serikali ya Mtaa

Bibi huyu anaitwa Isabela Kigae, Mkazi wa Isakalilo Manispaa na Mkoa wa Iringa. Bibi Isabella anautuhumu uongozi wa mtaa huo...

READ MORE

Mrembo Awagiwa Tindikali Arusha Alazwa katika Hospitali ya Mount Meru

Mwanadada Jackline Lauo anayefanya kazi ya kuuza duka la nguo katika Mtaa wa Nazi, jirani na Stendi Kuu ya Arusha...

READ MORE

Waziri Mkuu Azungumza na Wakazi wa kijiji cha Mmawa kilichopo Ruangwa, Lindi

Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa Julai 03, 2024 amezungumza na wakazi wa kijiji cha Mmawa...

READ MORE

Tanzania,Qatar Kushirikiana Sekta ya Utalii

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nchi ya Qatar ziko mbioni kusaini Hati ya Makubaliano (Memorandum of Understanding-MOU)...

READ MORE

Serikali Yawatoa Hofu Watanzania Kuhusu Ubora na Usalama wa Sukari

Serikali kupitia Bodi ya Sukari Tanzania (SBT), imewatoa hofu Watanzania juu ya ubora na usalama wa sukari inayoingizwa nchini kutokana...

READ MORE

Msimu wa Tano NBC Dodoma Marathon, Zawadi za Mil 80 Kukabidhiwa Washindi

  Jumla ya washindi 60 wa mbio za NBC Dodoma Marathon msimu huu wanatarajiwa kuondoka na zawadi zenye jumla ya...

READ MORE

Polisi Handeni Wahitaji Kuendelea Kuwapa Mafunzo Madereva wa Bodaboda Kuepusha Ajali

JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, limesema ipo haja kwa waendesha bodaboda wilayani humo...

READ MORE

Shilole ‘Siyo Mwenzetu Tena’, Alamba Shavu Kupitia Mama Lishe

Shilole ‘Siyo mwenzetu tena, baada ya kutangazwa na Kampuni ya Gesi ya Oryx imemtangaza Mama Lishe Zuwena Mohamed maarufu Shilole...

READ MORE

Tamasha la Utamaduni na Utalii Kutimua Vumbi Bariadi

Hatimaye Tamasha la Utamaduni na Utalii Kanda ya Ziwa – Lake Zone Cultural and Tourism Festival lililokuwa linasubiriwa kwa hamu...

READ MORE

Aliyechoma Picha ya Rais Jela Miaka Miwili Wilaya ya Rungwe 

Mahakama ya wilaya ya Rungwe leo Julai 4, 2024 imemtia hatiani Bw. Shedrack Yusuph Chaula mwenye umri wa miaka 24...

READ MORE

Ibadilisheni Dawasa Ifanye Kazi Kama Sekta Binafsi – Waziri Aweso

Waziri wa Maji, Mhe.Jumaa Aweso(Mb) amewataka watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kubadilisha...

READ MORE

Aweso Amkaanga Meneja DAWASA Kigamboni “Kwa Nini Wananchi wanakosa Maji? Tukutane Ofisini Kwangu”

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso leo tar. 04 Julai 2024 amefika Wilaya ya Kigamboni mkoani Dar Es Salaam kutembelea...

READ MORE

JWTZ Kufanya Maadhimisho ya Miaka 60 Tangu Kuanzishwa Kwake

Jeshi la Wananchi Tanzania( JWTZ) linatarajiwa kufanya maadhimisho ya miaka 60 tangu kuasisiwa kwake Septemba 1, 1964 na Hayati Mwalimu...

READ MORE

Uingereza Kufanyika Uchaguzi Mkuu Leo, Chama cha Labour Wapewa nafasi

UCHAGUZI Mkuu nchini Uingereza unafanyika leo huku mtazamo ukionyesha Chama cha Labour kupewa nafasi kubwa ya ushindi. Kura za maoni...

READ MORE

Biden aapa kuendelea na kampeni licha ya shinikizo la kumtaka kujiondoa kwenye kinyang’anyiro

Rais wa Marekani Joe Biden Jumatano ameapa kuendelea kuwania muhula wa pili, akipuuza hisia zinazozidi kuongezeka kwamba kushindwa kufanya vizuri...

READ MORE

Mshomba Afichua Siri Mafanikio ya NSSF

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Masha Mshomba amefichua siri ya mafanikio makubwa ambayo...

READ MORE

NMB Yaipiga Tafu Shule Mbili Za Sekondari Dar , Yakabidhi Meza Na Viti

Benki ya NMB imekabidhi meza 90 na viti 90 venye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 10 kwa mbili mkoani...

READ MORE

Tigo na ZTE Wazindua Simu Mahiri ya ZTE A34 Katika Maonyesho ya Saba Saba

Dar es Salaam, 4 Julai, 2024: Kampuni inayoongoza kwa mtindo wa maisha ya kidijitali nchini Tanzania, Tigo, inafuraha kutangaza uzinduzi...

READ MORE

Kujituma kwenu kutajenga DAWASA iliyo bora- Aweso

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso leo tar. 04 Julai 2024 amefika Wilaya ya Kigamboni mkoani Dar Es Salaam kutembelea...

READ MORE

Benki Ya TCB na Metro Life Waja na Ada Bima Pamoja na Kikoba Cha Kidijitali

Benki ya TCB kwa kushirikiana na Metro Life wamekuja na mpango maalum wa Ada Bima ambao utakuwa  mkombozi kwa mwanafunzi...

READ MORE

NIRC Yahimiza Wahandisi Kusajiliwa, Waendane Na Kasi Ya Uwekezaji Wa Rais Dk.Samia – Video

 TUME ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imesema kutokana na uwekezaji mkubwa alioufanya Rais Dk.Samia Suluhu Hassan katika miradi ya umwagiliaji...

READ MORE

Eng. Mkama Bwire Ateuliwa Kuwa Mtendaji Mkuu Mpya DAWASA

Mhandisi Mkama Bwire ameteuliwa kushika nafasi ya Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar...

READ MORE

Waziri Jerry Silaa Aingilia kati mgogoro kati ya wakulima na wafugaji Chalinze – Video

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro kati ya wakulima na wafugaji katika Kijiji...

READ MORE

Naibu Waziri Kapinga: Vijiji Vyote Tanzania Bara Kufikiwa Na Nishati Ya Umeme

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ameeleza kuwa, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini ( REA) inatekeleza Mradi wa Kusambaza...

READ MORE

Rais Samia Amteua Jafo kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Selemani Saidi Jafo kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Jafo anachukua nafasi ya...

READ MORE