×

Habari

Mke Wangu wa Ndoa Amerejea Nyumbani Baada ya Miaka Miwili

Katika miaka 21 niliyoishi kwenye ndoa, nimehitimisha kwa kusema kuwa; ndoa inahitaji uvumilivu mkubwa sana, ndoa inahitaji kuwa na moyo...

READ MORE

Bei Za Mafuta Zapanda, Kuanza Kutumika Leo Agosti 7, 2024

Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta zinazoanza kutumika leo Agosti...

READ MORE

Hamas Yamtangaza Yahya Sinwar kuwa kiongozi Mpya

BAADA ya siku mbili za mazungumzo marefu huko Doha, Hamas imemteua Yahya Sinwar kuwa mkuu wake mpya, akichukua nafasi ya...

READ MORE

Rais Samia Alivyopiga Picha ‘Selfie’ na Wananchi wa Morogoro Wakati Akiondoka

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Agosti 6, 2024 amepiga picha ‘selfie’ na wananchi wa...

READ MORE

Kanisa la Mchungaji Paseka Motsoeneng Lachomwa moto na watoto wa shule

Kanisa la Mchungaji mmoja mwenye utata nchini Afrika Kusini limechomwa moto baada ya Mchungaji huyo kudaiwa kuvamia Shule moja ya...

READ MORE

Rais wa Rwanda Paul Kagame kuapishwa Agosti 11, Mkuu wa Majeshi wa Uganda kuhudhuria

Rais wa Rwanda Paul Kagame anatarajiwa kuapishwa Agosti 11 baada ya kushinda uchaguzi uliovunja rekodi kwa kupata zaidi ya asilimia...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi Mbalimbali

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Faustin Rweshabura Kamuzora kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Uwekezaji ya...

READ MORE

TCB Yajivunia, Kuwa Sehemu ya Mradi wa Reli ya SGR

Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imesema inajivunia kuwa sehemu ya mradi wa reli ya kisasa (SGR) uliozinduliwa hivi karibuni kwa...

READ MORE

Nmb Yaboresha Huduma za Makandarasi, Sasa Kukopeshwa Bil 5 Bila Dhamana

BENKI ya NMB imezindua Maboresho ya Huduma za Kibenki kwa Makandarasi Wazawa, ambapo imefanya ongezeko la Kiwango cha Dhamana za...

READ MORE

Polisi Wanamaji Watoa Elimu ya Ukatili na Mbinu za Uokozi Katika Ajali za Majini

Katika kuhakikisha ulinzi na Elimu vinatolewa Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha Wanamaji nchini kimeendelea kuyafikia makundi mbalimbali yawatumiaji wa...

READ MORE

Mama Kaiteka Morogoro na Kakonga Moyo  Taifa

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro, akithibitisha tena dhamira yake ya dhati ya...

READ MORE

Kamala Harris amchagua Tim Walz kuwa mgombea mwenza wake

Kamala Harris amemchagua gavana wa Minnesota Tim Walz, kuwa mgombea mwenza wake katika uchaguzi wa rais wa Marekani, vyombo vya...

READ MORE

Chatanda afurahishwa na utekeleza wa miradi Tisa ya maendeleo Jimbo ya Buchosa na Sengerema

Mwenyekiti wa Uwt Taifa Mary Chatanda amepongeza wabunge wa Sengerema na Buchosa Eric Shigongo Hamis Tabsamu kwa kusimamia vema utekelezaji...

READ MORE

Chatanda Asimikwa Kuwa mzee wa Kimila Kanda ya Ziwa

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Mary Chatanda (MCC) amesimikwa rasmi kuwa mzee wa kimila wa...

READ MORE

Rais Samia Apongeza Miradi Inayozalishwa na Chuo Kikuu cha SUA (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inaunga mkono juhudi zinazofanywa na vyuo vinavyotoa...

READ MORE

Polisi Watoa Elimu na mbinu za Uokozi kipindi cha Ajali za Majini

Katika kuhakikisha ulinzi na Elimu vinatolewa Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha Wanamaji nchini kimeendelea kuyafikia makundi mbalimbali yawatumiaji wa...

READ MORE

Kongamano la Vijana na Wanawake Kwenye Maonesho ya Nane Nane 2024 Lafana

Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David silinde (Mb), ameshiriki katika Kongamano la Vijana na Wanawake kwenye Maonesho ya Kilimo ya...

READ MORE

Silinde Awaasa Wakulima Matumizi ya Zana Bora za Kisasa Kwenye Kilimo

Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde (Mb) amesema Wizara imedhamiria kuwawezesha Vijana katika Sekta ya Kilimo kwa kuwapatia zana...

READ MORE

Shangwe nchini Bangladesh baada ya Waziri Mkuu kuikimbia nchi – Video

Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina amejiuzulu baada ya wiki kadhaa za maandamano mabaya dhidi ya serikali, na kukomesha zaidi...

READ MORE

Teknolojia ya Uhimilishaji Kutoka Marekani na Brazil Kuleta Mapinduzi Sekta ya Mifugo

    Wafugaji wazawa sasa wanaweza kuongeza uzalishaji wao wa maziwa na nyama kufuatia kufikiwa na teknalojia mpya na ya...

READ MORE

#Exclusive: Binti Mtanzania Anayezungusha Biashara Hadi Afrika Kusini Afunguka Msoto Hadi Kutoboa – Video

Mrembo Vicky Daniel ambaye amepata dili kubwa la kuendesha duka lenye bidhaa zote kutoka kampuni kubwa ya vipodozi ya nchini...

READ MORE

Changamoto ya Uelewa Mwiba Kwa Wasafirishaji Comoro

Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Mhe. Saidi Yakubu amesema wafanyabiashara wanaosafirisha bidhaa kwa usafiri majini kati ya Comoro na Tanzania...

READ MORE

Rais Dkt. Samia: Viongozi na Serikali Lindeni Maeneo ya Hifadhi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi na Serikali kutunza na kuyalinda maeneo...

READ MORE

Absa Yajivunia Matokeo Bora ya Kipindi cha Kwanza cha Mwaka

Dar es Salaam, Jumatano, 7 Agosti 2024 – Benki ya Absa Tanzania leo imetangaza Muhtasari wa Utendaji wa Kifedha kwa...

READ MORE

Stanbic Yaimarisha Uhusiano na Umoja wa Wafanyabiashara wa China Kupitia Udhamini wa Mashindano ya Kikapu

Dar es Salaam, Tanzania – Jumamosi Tarehe 5 Agosti 2024 – Benki ya Stanbic Tanzania imetangaza udhamini wa mashindano ya...

READ MORE

Britam Tanzania Yatambulisha Bima Mpya za Matibabu – ‘Afya Care’ na ‘Amani Health’

Dar es Salaam, Tanzania – Jumanne 06, Agosti – Katika kuunga mkono mkakati wa kusaidia kazi kubwa anayoifanya Mhe. Rais,...

READ MORE

Wakazi Handeni wavutiwa na matumizi ya gesi, wampongeza Rais Samia

  Na Mwandishi Wetu Wakazi wa vijiji vya Msomera na Mkababu wilayani Handeni, Mkoani Tanga wameeleza kuridhishwa na ufanisi wa...

READ MORE

Mwili wa Mama Mzazi wa Halima Mdee Waagwa Dar, Kuzikwa Kilimanjaro

MWILI wa Mama mzazi wa Mbunge wa viti Maalum, Halima James Mdee umeagwa leo katika kanisa katoliki la Ubungo Kibangu ...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Na Maagizo Kwa Mawaziri Hawa, Kigoma

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa maelekezo kwa mawaziri wanne kufuatia maombi ya...

READ MORE

Mkurugenzi Mshauri wa USAID Akagua Miradi ya USAID Afya Yangu na Kizazi Hodari Kanda ya Kusini

Mshauri Mkuu wa kiufundi wa watoto yatima na walioko katika mazingira magumu kutoka USAID Sarah Dastur amefanya ziara ya siku...

READ MORE

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Apokea Mipira 500 Kutoka TFF Kwaajili ya Kuendeleza Vijana

Dar es Salaam, 5 Agosti 2024: Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini, Jenerali Jacob Mkunda leo amepokea mipira 500 kutoka...

READ MORE

Ahadi ya Rais Samia Kigoma Kuwa Lango Kuu Inatekelezwa Kwa Vitendo: Dkt. Nchimbi

-Asisitiza umeme wa gridi ya taifa Kigoma ifikapo Machi 2025 -Apokea mamia ya wanachama wapya, wakiongozwa na Mbunge wa Chadema...

READ MORE

Polisi: Tunafanyia kazi Taarifa za Mwanamke Aliyefanyiwa tukio la Ukatili

Jeshi la Polisi limesema limeanza kufanyia kazi tukio la Ukatili linaloonekana katika Video inayosambazwa Mitandaoni ikimwonesha Mwanamke anayedaiwa kutokea Yombo...

READ MORE

NMB Foundation, ZASCO wazindua Mafunzo ya Wakulima wa Mwani Zanzibar

Asasi ya NMB Foundation kwa kushirikiana na kampuni ya Mwani Zanzibar (ZASCO) wamezindua mafunzo endelevu kwa Wakulimwa wa Mwani Unguja...

READ MORE

Kila Mwanamke Mrembo Anataka Kuwa na Mimi, Nimechanganyikiwa!

Kwa mujibu wa tamaduni za Kiafrika, ni kwamba mwanaume ndiye anamfuata mwanamke na kumwambia kuwa anampenda (kumtongoza) na anataka kuanzisha...

READ MORE

Mmiliki wa mabasi ya Sauli Apata Ajali ya Gari, Afariki Dunia – Video

Mmiliki wa mabasi ya Sauli yanayofanya safari zake kati ya Dar es salaam na Mbeya, Solomon Sauli Mwalabila amefariki dunia...

READ MORE

Asia: Miaka 20 Bila Figo, Moyo Ulisimama Kwenye Mashine, Aomba Msaada kwa Rais Samia

Hakika kabla hujafa hujaumbika! Kauli hii inamuendea moja kwa moja mwanadada Asia Mustafa @asia.mustafa ambaye kwa takribani miaka 20 sasa,...

READ MORE

“Ndoa za mama zetu zilitetereka, make-up hazikukaa usoni ksababu ya maji” – Aweso

Waziri wa Maji Jumaa Aweso akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa CCM Ifakara wilayani Ifakara mkoani...

READ MORE