×

Habari

Rais Samia Asherehekea Siku Ya Mtoto Wa Afrika Pamoja Na Wajukuu Ikulu Jijini Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu,...

READ MORE

WCF Watoa Elimu Ya Mfuko wa Fidia kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari

Vyombo vya habari nchini vimehimizwa kushirikiana na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) katika kutoa elimu na habari sahihi kwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Aagiza RC, DC Kufanya Mapitio Ya Vikundi Vya Jogging

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya nchini kufanya mapitio ya vikundi vyote vya Jogging...

READ MORE

Makamu wa Rais Akiwasili Malawi Kushiriki Mazishi

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege...

READ MORE

Agizo la Waziri Silaa Kutekelezwa, Waliovamia Eneo la NSSF Kuanza Kuondolewa

*Mkuu wa Wilaya ya Temeke afika eneo la tukio na kutoa angalizo. Hatimaye waliovamia ardhi ya Mfuko wa Taifa wa...

READ MORE

Waziri Ummy Akutana na Kufanya Mazungumzo na Kido, Balozi wa Kampeni ya Holela-Holela Itakukosti

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu leo amekutana na kufanyia mazungumzo na KIDO ambaye ni balozi wa kampeni ya Holela-Holela itakukosti....

READ MORE

Mwanajeshi Ashtakiwa Kumuambukiza kwa makusudi virusi vya Ukimwi mpenzi wake – Video

Mwanajeshi wa zamani wa Afrika Kusini akutwa na hatia ya kutaka kuua na kubaka baada ya kumuambukiza makusudi virusi vya...

READ MORE

Rais Samia Amteua Thobias Makoba kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Afanya Uteuzi Viongozi Mbalimbali – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Thobias Makoba kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari – Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali...

READ MORE

Ramaphosa kutangaza baraza la mawaziri jumuishi katika serikali ya umoja wa kitaifa

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa, aliyechaguliwa tena kwa muhula wa pili baada ya chama chake cha ANC kudhoofika na...

READ MORE

Kampuni Na Ubalozi Wasitisha Mkataba Na Kipanya Kisa Tuhuma Za Mwijaku – Video

Wanasheria wanaomwakilisha Masoud Kipanya, wamewaambia waandishi wa habari kwamba kwene barua walitomuandikia Mwijaku, walimueleza kuwa anatakiwa kumlipa mteja wao kiasi...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa amezindua Kiwanda cha kutengeneza virutubishi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Kiwanda cha kutengeneza virutubishi (premix blending plant), cha kampuni ya SANKU – PHC Tanzania. Viongozi...

READ MORE

Wanafunzi wa Kike 2000 Kunufaika na Mradi wa ‘Code Like a Girl’

  ZAIDI ya wasichana 2000 wenye umri kati ya miaka 14-18 kutoka shule za sekondari zilizopo kutoka mikoa ya Mwanza,Mbeya...

READ MORE

Cyril Ramaphosa Achaguliwa Tena kuwa Rais wa Afrika Kusini

Bunge nchini Afrika Kusini limemchagua tena Rais Cyril Ramaphosa kuwa Rais wa nchi kwa muhula mwingine tena baada ya kufanyika...

READ MORE

Waziri Silaa Aingilia Mgogoro wa Ardhi Mapinga Uliotaka Zaidi ya Nyumba 100 Zivunjwe

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro wa ardhi uliozua taharuki katika eneo la...

READ MORE

Chongolo Amwapisha Elias Mwandobo Kuwa Mkuu Mpya wa Wilaya ya Momba

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amemwapisha Mkuu Mpya wa Wilaya ya Momba, Elias Mwandobo, uapisho uliofanyika Juni 14,2024...

READ MORE

Mwijaku Amuomba Radhi Mtangazaji Mwenziye Masoud Kipanya – Video

Mtangazaji na muamasishaji wa mambo mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii Burtoin Mwenda ‘Mwijaku’ amemuomba radhi Mtangazaji mwenziye Masoud Kipanya kwa...

READ MORE

ALAF Limited Yazindua Maonyesho Ya Kazi DIT

ALAF Limited, kampuni inayoongoza na inayoaminiwa kwa kuzalisha vifaa vya ujenzi Tanzania, Jumamosi ilizindua Maonyesho ya kazi kwenye Taasisi ya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 15, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Soma Hapa… Makadirio Na Matumizi Ya Bajeti Kuu 2024/2025 – Video

Waziri wa Fedha ,Mwigulu Nchemba amesema serikali imesikia kilio cha kikokotoo kutoka kwa wastaafu ambapo sasa Rais Samia Sukuhu Hassan…

READ MORE

Naibu Waziri Chande Aipa Kongole Benki ya Mkombozi

NAIBU Waziri wa Fedha, Hamad Chande ameipongeza Benki ya Biashara ya Mkombozi,kuwa imepanda kutoka hatua moja kwenda nyingine ndani ya...

READ MORE

Jeshi la Sudan lauwa kamanda wa RSF, Darfur

Jeshi la Sudan limesema Ijumaa kwamba limemuua Ali Yagoub Gibril, kamanda wa ngazi ya juu wa kundi la kijeshi la...

READ MORE

Picha ya Pamoja ya Zuhura Yunus na Mhe. Rais Samia Baada ya Kuapishwa

Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus, akiwa kwenye picha ya...

READ MORE

Sahara Ventures Yaitangaza Rasmi Sahara Sparks 2024

[Juni 14, 2024, Dar es Salaam] – Sahara Ventures yatangaza rasami tukio la Sahara Sparks 2024 litakalo fanyika tarehe 27...

READ MORE

Mrembo Aliyemuibia Mpenzi Wake Mamilioni Akamatwa Hotelini

Kuna muda mwingine msamaha huchukuliwa kama aina fulani ya udhaifu, na hayo ndio yaliyompata Jones Ouko ambaye anafanya kazi ya...

READ MORE

Waziri wa Fedha, Dk Mwingulu Ataja Takwimu za Kutisha Ajali Barabarani

Waziri wa Fedha, Dk Mwingulu Nchemba ameweka hadharani takwimu za kustaajabisha kuhusu ajali za vyombo vya moto 10,093 zilizosababisha vifo...

READ MORE

Bilioni 136.2 Zimetumika Urejeshaji Wa Miundombinu Barabara Na Madaraja

Serikali imetoa jumla ya Shilingi Bilioni 136.2 kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) na Wakala ya Barabara za Mijini na Vijijini...

READ MORE

Bolt Yazindua Kituo Cha Huduma Kwa Madereva Ili Kuimarisha Uhusiano Wao Nchini Tanzania

Dar es Salaam, Juni 14, 2024: Bolt, Kampuni inayoongoza kwa huduma za usafirishaji Tanzania na Barani Afrika, imezindua kituo cha...

READ MORE

Heineken Yazindua ‘Afterwork’ By Heineken Nchini Tanzania

Dar es Salaam, Tanzania – 14 Juni 2024 –Wafanyakazi nchini Tanzania walipata fursa ya kipekee ya kupumzika siku ya Alhamisi,...

READ MORE

Balozi Nchimbi Bungeni Akifuatilia Bajeti

Matukio mbalimbali katika picha, yakimuonesha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akiwa ndani na...

READ MORE

Uegeshaji wa Malori Mikumi Watajwa Kuchangia Uhalifu, Ajali na Biashara Haramu

 Kutokana na kuwepo na vituo vya uegeshaji magari makubwa ya Mizigo holela wa katika eneo la Mikumi(Kidoma na Green) Wilaya...

READ MORE

Bajeti ya Serikali 2024/2025: Marufuku Kulipa Kwa Fedha za Kigeni – Video

Serikali imeelekeza kuanzia Julai 1, 2024, wadau wote wa ndani, taasisi za umma, wafanyabiashara, asasi za kiraia, mashirika ya kimataifa...

READ MORE

Rais Samia na Wasaidizi wake wafuatilia Bunge la Bajeti Kuu ya Serikali 2024/25

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wasaidizi wake wakati akifuatilia Bunge la Bajeti...

READ MORE

Naibu Katibu Mkuu Zuhura Awasili Ofisini Rasmi Mtumba jijini Dodoma

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Zuhura Yunus amewasili rasmi ofisini na...

READ MORE

Polisi Wamkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda

Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Viongozi Mbalimbali Ikulu Chamwino, Dodoma

    Rais Samia amemuapisha pia Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu na amemuapisha pia Stanslaus Haroon...

READ MORE

Waziri Mkuu: Tunawasaidia Wawekezaji Wazawa Kuwa Mahiri

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuwajengea uwezo Watanzania wanaojishughulisha na masuala ya uwekezaji na kuweka mazingira wezeshi ili...

READ MORE

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dk Shogo Mlozi Afariki

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ametangaza kifo cha Mbunge wa Bunge la Afrika...

READ MORE

Benki ya Exim, Mpango wa Taifa wa Damu Salama Kuendesha Kampeni Mikoa Mitano

    Benki ya Exim kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS) imeandaa mpango wa kitaifa wa...

READ MORE