×

Habari

Chama cha Inkatha Freedom na ANC kuunda serikali ya Afrika Kusini

Chama cha upinzani nchini Afrika Kusini Inkatha Freedom Party Jumatano kimetangaza kuwa kitashirikiana na chama tawala cha African National Congress...

READ MORE

Kocha wa Viungo Youssef Ammar Aondoka Yanga, Afunguka

ALIYEKUWA mtaalamu wa Viungo Yanga, Youssef Ammar amefunguka kuondoka katika klabu hiyo, hivyo hatakuwa sehemu ya Benchi la Ufundi la...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 13, 2024

Tunatoa zawadi kwako ewe msomaji ambapo kwa kununua GAZETI LA CHAMPIONI, utapata fursa ya kuzawadiwa jezi mpya za Simba na...

READ MORE

Balozi Nchimbi Aongoza Mapokezi ya Katibu Mkuu, Mgombea Urais wa Frelimo

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi amewaongoza viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, ngazi...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO

Rais Samia leo Juni 12, 2024 amefanya mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu Daniel Fransisco...

READ MORE

GGML yaahidi kuendelea kushirikiana na UDSM kudhamini tafiti, ubunifu

  Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeahidi kuendelea kushirikiana na Serikali kupitia Chuo Kikuu cha...

READ MORE

Jinsi Nilivyomnasa Mama Mkwe Akiweka Hirizi Kwenye Chumba Ninacholala na Mke Wangu

Jina langu ni Sarah mkazi wa Kandara huko Muranga nchini Kenya. Nimekuwa nikiishi katika hali ya misukosuko ya mara kwa...

READ MORE

Chama cha Jacob Zuma chataka uchaguzi Afrika Kusini urudiwe

Chama cha tatu kwa ukubwa cha kisiasa nchini Afrika Kusini kimeiomba mahakama kuu ya taifa hilo kuzuia kuanza baadaye wiki...

READ MORE

Walimu Wakuu 20,661  wa Shule za Msingi  za Serikali na Binafsi Wapewa Mafunzo ya Mtaala wa Mwaka 2023

Jumla ya Walimu Wakuu 20,661  wa shule za msingi  za Serikali na Sizizo za serikali nchini wamepewa mafunzo kuhusu  utekelezaji...

READ MORE

Kiboko Ya Wachawi Alivyowaheshimisha Wanahabari Kwa Kufanya Nao Mkutano Baharini

Nabii Domonic maarufu Kiboko ya Wachawi anayeendeshea huduma za kinabii na uponyaji kwenye kanisa lake lililopo Buza jijini Dar wikiendi...

READ MORE

Waziri Silaa Amrejeshea Mama Kiwanja Chake Alichohangaikia Miaka 40 – Video

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemrejeshea eneo lake mama mmoja aliyejulikana kwa jina la mama...

READ MORE

Puma Tanzania Yampongeza Rais Dk. Samia Kwa Kuweka Mazingira Mazuri Ya Uwekezaji Ikikabidhi Gawio La Sh.Bilioni 12.2

Dar es Salaam 11 Juni 2024: Kampuni ya Mafuta ya Puma Tanzania imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

Waziri Kairuki Ashiriki Baraza Tendaji La Shirika La Utalii Duniani

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeshiriki ufunguzi wa Mkutano wa 121 wa Baraza Tendaji la Shirika la Umoja...

READ MORE

Makamu wa Rais wa Malawi afariki dunia katika ajali ya ndege

Taarifa kutoka Ofisi ya Rais ya Malawi imesema kuwa ndege iliyokuwa imembeba Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Saulos Chilima...

READ MORE

Benki Ya Exim Yaja Na Kampeni ya Wateja Kushinda Gari Mpya, Bajaj na Fedha Taslimu

BENKI ya Exim Tanzania imezindua kampeni maalum inayolenga kuwashawishi wateja wake wanaomiliki simu za mkononi kufanya miamala zaidi kwa kutumia...

READ MORE

Timu 16 kushiriki CECAFA, Simba na Yanga ndani

TIMU za Tanzania zinazoshiriki michuano ya kimataifa zitapata nafasi nzuri ya kujiandaa na msimu mpya kwa kucheza na timu za...

READ MORE

Ndege Iliyombeba Makamu wa Rais wa Malawi Yaanguka

Wanajeshi, polisi na walinzi wa misitu wanaendelea kuitafuta ndege ya kijeshi iliyotoweka ikiwa na makamu wa Rais wa Malawi, mke...

READ MORE

Ronaldinho, George Weah, Okocha Washiriki Mashindano ya Dunia ya Vilabu vya Wachezaji Wastaafu

Dar es Salaam. Wachezaji mbalimbali nyota wa zamani wakiongozwa na Ronadihno Gaucho na Rais wa zamani wa Liberia, George Weah...

READ MORE

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Atenguliwa, Kihongosi Ateuliwa Kuchukua Nafasi Yake

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Wilaya ya Momba, Kenani Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu akichukua nafasi...

READ MORE

Kuelekea Siku ya Uchangiaji Damu Duniani, Wananchi Watakiwa Kujitokeza Kuokoa Watu Wenye Uhitaji

KUELEKEA siku ya uchangiaji damu duniani Juni 14 wananchi wametakiwa kuchangia damu hasa wenye makundi adimu ya damu. Mwito huo...

READ MORE

Walimu 4 wa Chuo kikuu cha Marekani Wadungwa kisu Kwenye Bustani

  WALIMU wanne wa chuo kikuu nchini Marekani wamelazwa hospitalini baada ya kudungwa kisu na mtu asiyejulikana katika bustani ya...

READ MORE

Kupata Matibabu Kutoka kwa Madaktari Bingwa nje ya nchi Wacheki Tanlink Medical Tourism Agency

TANLINK MEDICAL TOURISM AGENCY ni taasisi ya Kitanzania inayojihusisha na kuratibu na kusimamia matibabu ya binadamu ndani na njea ya...

READ MORE

LATRA Yatangaza nauli za abiria wa Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar Mpaka Dodoma

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza nauli za abiria wa daraja la kawaida kwa Treni ya Reli ya Kisasa...

READ MORE

Kurasa za magazeti ya leo Jume 11, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Tigo Washirikiana Na Empower Limited Ili Kukuza Uwezeshaji Vijana Tanzania

Dar es Salaam, Tanzania, 11 Juni 2024 – Kampuni inayoongoza kwa mtindo wa maisha wa kidijitali nchini Tanzania, Tigo, imetangaza...

READ MORE

NMB Yatoa Gawio La Kihistoria La Shilingi Bilioni 181 Kwa Wanahisa Wake

Wanahisa wa Benki ya NMB wameidhinisha gawio la Shilingi Bilioni 181, sawa na shilingi 361 kwa kila hisa moja kwa...

READ MORE

Waziri Kairuki Akutana na Waandaaji wa Onesho Kubwa la Utalii Duniani la Fitur

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa juu wa Kampuni ya...

READ MORE

Mwanamke Atapeliwa Fedha za Mahari na Mpenzi Wake Aliyetaka Kumuoa

Mwanamke mmoja nchini Kenya amejikeza kwenye mitandao ya kijamii kueleza jinsi alivyovunjika moyo baada ya kumsaidia mpenzi wake katika maandalizi...

READ MORE

Waziri Mkuu Akutana Na Balozi Wa Italia Nchini Tanzania Anayemaliza Muda Wake

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Juni 09, 2024 amefanya mazungumzo na Balozi wa Italia Nchini Tanzania Balozi Marco Lombardi ambaye amemaliza...

READ MORE

Mrembo Kutoka Omani Adai Kuibiwa Gari Na Mpenzi Wake Arusha – Video

Mrembo mmoja kutoka Arusha anadai kuwa alinunua gari na kumkabidhi mpenzi wake aliyetambulika kwa jina la Mohammed Juma ambaye alikata...

READ MORE

Waziri wa vita wa Israel Benny Gantz ajiuzulu katika serikali ya dharura

Waziri wa vita katika baraza la dharura nchini Israel Benny Gantz amejiondoa serikalini katika ishara ya kuzidisha mgawanyiko kuhusu mipango...

READ MORE

Access Bank PLC Consolidates Operations in East Africa, Completes Acquisition of BancABC Tanzania

Lagos, Nigeria – June 11, 2024: Access Bank PLC (“the Bank”) has announced the successful completion of its acquisition of...

READ MORE

BAKWATA yatangaza Juni 17, 2024 ni Sikukuu ya Eid el Adh’haa

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limesema, Sikukuu ya Eid el Adh’haa itakuwa Jumatatu ya Juni 17 na sala yake...

READ MORE

CCM Yashinda Ubunge Jimbo la Kwahani Zanzibar

ZANZIBAR-Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kupitia Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kwahani jijini Zanzibar, Safia Iddi Muhammad imemtangaza...

READ MORE

Ecobank Tanzania Yasherehekea Ukuaji Wake Ulioambatana Na Mafanikio Ya Ecobank Group

Ecobank Tanzania imetangaza ukuaji na mafanikio yake katika robo ya kwanza ya mwaka 2024, ambayo ni muendelezo kutoka matokeo yao...

READ MORE

Waziri Wa Utalii Na Mambo Ya Kale Zanzibar Alivyofika Banda La Tigo Kwenye Maonesho Arusha

Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga (katikati) akimuelezea jambo, Kaimu Mkurugenzi wa Tigo Kanda...

READ MORE

Wabunge Wanawake Na Kampuni Ya Oryx Gas Watoa Tuzo Kwa Rais Dk.Samia Kwa Kutambua Mchango Wake

WABUNGE wanawake nchini kwa kushirikiana na Kampuni ya Oryx Gas Tanzania wametoa tuzo kwa Rais Dk.Samia Suluhu Hassan ya kutambua...

READ MORE

Majaliwa: Miundombinu Ya Michezo Kuendelea Kuboreshwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutekeleza mpango wa kuboresha miundombinu ya michezo katika shule teule 56 nchini. Amesema...

READ MORE

Waziri Silaa Apiga Marufuku Mabango Ya Uuzaji Wa Viwanja Mitaani

Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amepiga marufuku nchi zima mabango yaliyozagaa mitaani ya kuuza viwanja maarufu...

READ MORE

Mambo 10 Makubwa Aliyofanya Zuhura Yunus Akiwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais

Mwezi Februari 2022, Zuhura Yunus alianza kazi rasmi kama Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, baada ya kuteuliwa na Rais...

READ MORE