×

Habari

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Geita Afunga Maadhimisho Juma la Elimu Kitaifa

Sehemu ya wanafunzi toka sshule za msingi na Sekondari wakiwa kwenye maandamano ya kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa...

READ MORE

Meridianbet Yatoa Msaada Siku Ya Mama Duniani mji mwema Kigamboni

Kauli pekee ambayo unaweza kutumia ni kua furaha imetawala siku ya kina Mama duniani eneo la Kigamboni, Kwani mabingwa wa...

READ MORE

Kassim Majaliwa: Michezo Ni Afya na Fursa Ya Ajira, Afunga hafla ya Tulia Marathon Mbeya

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema michezo ni zaidi ya afya na burudani, ni fursa ya ajira na pia hupunguza magonjwa...

READ MORE

Boing787 Dreamliner ya ATCL Iliyoko Malaysia Kurejea Junia 2024

Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inaujulisha umma kuwa taarifa inayosambaa kuhusu ndege yake aina ya Boeing 787- 8 yenye usajili...

READ MORE

Bibi Maligo Daimon Akabidhiwa Nyumba ya Kuishi na Taasisi ya Tulia Trust

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amepongeza Bibi Maligo Daimon baada ya kukabidhiwa Nyumba ya kuishi na Chakula na Taasisi isiyo ya...

READ MORE

Rais Samia Kuhutubia Jukwaa La Nishati Safi Ya Kupikia Paris, Ufaransa Mei 14

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuendesha Mkutano wa Kimataifa wa Nishati safi ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Ashiriki Mbio Za Mbeya Tulia Marathon 2024

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 11, 2024 ameshiriki katika tukio la mbio za Mbeya Tulia Marathoni 2024 zilizoandaliwa na...

READ MORE

ATCL Yakanusha Taarifa Inayosambaa Kwenye Mitandao Kuhusu Ndege Yake Ya Boeing 787- 8

Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imekanusha taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu ndege yake aina ya Boeing 787- 8...

READ MORE

Waziri Nape Ahudhuria Ibada Maalum Ya Mwaka Mmoja Wa Kifo Cha Hayati Bernad Membe

Dar-es-Salaam, 11 Mei 2024: Ikiwa ni mwaka mmoja tangu kufariki kwa aliyekuwa mwanasiasa mkongwe hapa nchini, Hayati Benard Membe, Waziri...

READ MORE

TLS Kusimamia Upatikanaji wa Sheria na Punguzo la Tozo Asasi za Kiraia

TLS Kusimamia upatikanaji wa sheria  na Punguzo la Tozo Asasi za kiraia   Morogoro.Chama cha wanasheria Tanganyika TLS kupitia kwa...

READ MORE

Marekani na Tanzania Zaandaa Kwa Pamoja Kongamano la Intelijensia ya Kijeshi

Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliandaa kwa pamoja...

READ MORE

Ushirikiano wa Mfuko wa Abbott na Wizara ya Afya Kwenye Tiba ya Dharura Ulivyookoa Maisha ya Watanzania

Miaka 14 tu iliyopita, Tanzania haikuwa na hospitali hata moja yenye kitengo maalumu cha kutoa huduma za tiba ya dharura...

READ MORE

Mbio Za Tulia Ackson 2024 Zilivyonoga Jijini Mbeya, Tigo Nao Washiriki

Mkuu wa Mkowa wa Mbeya, Juma Omera (mwenye miwani) kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Sanaa Utamaduni na Michezo, MwanaFA...

READ MORE

Waziri Jerry Silaa Awapa Siku 30 Wasiolipa Kodi Ya Pango La Ardhi – Video

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ametoa siku thelathini (30) kwa wamiliki wote wa ardhi wanaodaiwa...

READ MORE

Harry na mke wake Meghan Waanza Ziara ya Siku Tatu nchini Nigeria

Mwanamfalme Harry na mke wake Meghan wamewasili nchini Nigeria kwa ziara ya siku tatu. Hii ni safari yao ya kwanza...

READ MORE

RC Makonda Awataka Wakuu Wa Wilaya Kutenga Siku Tatu Za Kusikiliza Kero Za Wananchi Kwenye Maeneo Yao

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa Missaile Albano Musa kuwaandikia barua rasmi ya kuwataka...

READ MORE

RC Malima awataka wanahabari Morogoro kuwa Mabalozi wa Utalii

Mkuu wa Mkoa Morogoro Adam Malima amewataka wanahabari mkoani humo kuwa mabalozi wa utali Kwa kuandika Habari na makala mbalimbali...

READ MORE

Tajirika na Meridianbet Kasino| Cheza Promosheni Hii

Kimbunga Hiadaya kilikuja na madhara makubwa sana katika maeneo ya ukanda wa pwani hususani Lindi, lakini Kimbunga cha Meridianbet Kasino...

READ MORE

Wananchi Wasisitizwa Kutunza Vyanzo Vya Maji

Mwananchi wasisitizwa kulinda vyanzo vya maji Bodi ya maji Bonde la Wami Ruvu imeendelea kusisitiza wananchi kuacha kufanya shughuli za...

READ MORE

Soma Msimamo wa CCM Kuhusu Mikopo Kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu

Siku chache baada ya Mbunge wa Bunda Vijijini (CCM), Mwita Getere kutoa hoja bungeni iliyozua mjadala mzito akipendekeza Wanachuo waondolewe...

READ MORE

RC Makonda Aahidi Kumjengea Nyumba ya Vyumba Viwili Bibi Penina Petro – Video

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameahidi kumjengea nyumba ya vyumba viwili bibi Penina Petro (70) Mkazi wa Kijiji...

READ MORE

Washindi promosheni ya Twenzetu Dubai na Parimatch wapatikana, kupaa Jumatatu kwenda Dubai

Washindi wawili wa promosheni ya Twenzetu Dubai na Parimatch inayoendeshwa na kampuni ya michezo ya kubashiri ya Parimatch wamepatikana na...

READ MORE

Mabaki ya Panya Yapatikana Kwenye Mkate, Kampuni Yatoa Agizo

Kampuni moja inayotengeneza mkate maarufu nchini Japani imetoa agizo la kurejeshwa kwa mikate elfu kadhaa na wateja kurejeshewa pesa zao...

READ MORE

Unayeitamani Ndoa, Mume Bora Anapaswa Kuwa Hivi!

IJUMAA nyingine ninapokukaribisha msomaji wangu katika ukurasa wetu huu, tujadiliane na kuzungumza mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi.  Leo nataka...

READ MORE

Kiongozi wa kijeshi wa Chad ashinda uchaguzi wa urais

Mtawala wa kijeshi wa Chad Mahamat Déby ametangazwa mshindi rasmi wa uchaguzi wa urais, na hivyo kuhalalisha kushikilia kwake madaraka....

READ MORE

Mbunge Bunda Vijijini Awaomba radhi Wanafunzi Kuhusu ‘Boom’

Mbunge wa jimbo la Bunda Vijijini Mwita Getere amewaomba radhi wanavyuo wote ambao waliguswa na kauli yake ya kwamba wapo...

READ MORE

Marekani kusitisha usambazaji wa baadhi ya silaha kwa Israel iwapo itaendelea na uvamizi Rafah

Rais Biden anaonya kuwa ataacha kusambaza baadhi ya silaha iwapo Israel itaanzisha operesheni ya ardhini. Rais Joe Biden ameionya Israel...

READ MORE

COSOTA, RUGE MUTAHABA FOUNDATION KUTOA ELIMU YA HAKIMILIKI KWA VIJANA MILIONI 1

Ofisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) imesaini makubaliano ya ushirikiano (MoU) na taasisi ya Ruge Mutahaba Foundation kufanya Kampeni ya kutoa...

READ MORE

Tanzania Yazindua Kampeni Ya Mgombea Wa Nafasi Ya Mkurugenzi Wa Shirika La Afya Duniani Kanda Ya Afrika

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imemtangaza Mgombea wa Nafasi ya Mkurugenzi wa Afrika katika Shirika la Afya Duniani (WHO)  Dkt....

READ MORE

Waziri Mkuu Awasilisha Taarifa Kuhusu Kimbunga Hidaya Bungeni – Video

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa bungeni leo Mei 9, 2024 amewasilisha taarifa kuhusu kimbunga Hidaya. Waziri Mkuu amesema kimbunga hicho kiliathiri...

READ MORE

Benki ya NBC Yakabidhi Kombe la Ubingwa wa NBC Championship Kwa Kengold

  Mdhamini mkuu wa Ligi Daraja la Kwanza (NBC Championship) Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekabidhi kombe la ubingwa...

READ MORE

Shigongo: Walimu Wetu Wana Maisha Magumu, Natamani Walipwe Vizuri – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ni miongoni mwa wabunge waliochangia katika mjadala wa makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu,...

READ MORE

RC Makonda Asikiliza Kero Wakati Wa Operesheni Rejesha Haki Arusha – Video

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda akisikiliza kutoka kwa baadhi ya wananchi, waliofika kwenye ofisi ya Mkuu wa...

READ MORE

Bil 1.1 za TANROADS Zarejesha Mawasiliano ya Barabara Katavi

Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoani Katavi imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kufanya kazi ya matengenezo na kurejesha miundombinu...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 9, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Wanafunzi Geita Waweka Bayana Sababu Zinazochangia Utoro

Kaimu Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala akisalimiana na Wanafunzi wa Sekondari ya Bung’wangoko ikiwa ni...

READ MORE

Trilioni 1.97 Kuleta Mageuzi ya Elimu Nchini

TRILIONI 1.97 KULETA MAGEUZI YA ELIMU NCHINI 2024/2025 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania laidhinisha zaidi ya shilingi Trilioni...

READ MORE

Ujio wa Madaktari Bingwa Morogoro Mkombozi kwa Wananchi

  Baada ya timu ya madaktari bingwa 55 wa waliotumwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwasili mkoani Morogoro kwa ajili...

READ MORE

Kitendo cha Baba na Mama Kuachana Ndiyo Chanzo cha Maisha Yangu Kuharibika

Jina langu ni Monica kutokea Mbeya nchini Tanzania, nilizaliwa kipindi mama na baba wakiwa pamoja, baadaye wakaachana kwa sababu zao...

READ MORE

Getere: Boom Liondolewe, Wanafunzi Wote Wanaopata Wanalewa – Video

Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu...

READ MORE