×

Habari

Mo Salah Atuma Ujumbe Mzito Mauaji Yanayoendelea Gaza, Azitaka Jumuiya za Kimataifa Kuingilia Kati

Mshambuliaji wa Timu ya Liverpool, Mohamed Salah amevunja ukimya na kutuma ujumbe mzito akiomba kusitishwa kwa kile alichokiita kuwa ni...

READ MORE

CRDB Yasaini Mkopo wa Dola za Marekani Milioni 150, Kuwakopesha Wateja Wakubwa

Benki ya CRDB imesaini mkopo wa dola za Marekani milioni 150 zitakazotumika kuwakopesha wateja wakubwa waliowekeza kwenye sekta tofauti za...

READ MORE

Maandamano yafanyika kulaani mauaji yaliosababishwa na mlipuko wa bomu hospitali ya Gaza

Mlipuko uliosababisha mauaji katika hospitali huko Gaza umesababisha maandamano katika maeneo mbalimbali kwenye kanda hiyo, huku lawama zikisambaa kuilenga Israel...

READ MORE

Rais wa Samia Amtembelea Kardinali Rugambwa Mkoani Tabora – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Oktoba18, 2023 amemtembelea Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la...

READ MORE

Halotel Yaadhimisha Miaka 8 ya Mafanikio

Kampuni ya Mawasiliano nchini Tanzania, kwa fahari inaadhimisha miaka 8 tangu kuanzishwa kwake na safari ya mafanikio makubwa ikiambatana na...

READ MORE

GGML wafanya matembezi kuhamasisha mwezi wa afya ya akili

Na Mwandishi Wetu WAKATI Tanzania ikiungana na dunia mwezi huu wa Oktoba kuadhimisha uhamasishaji wa afya ya akili, Mkurugenzi Mtendaji...

READ MORE

Morocco, Hispania na Ureno Kuandaa Kombe la Dunia 2030 Kwa Pamoja

Marais wa vyama vya mpira wa miguu vya Morocco, Ureno na Hispania asubuhi ya leo Jumatano, Agosti 18, 2023 wamekutana...

READ MORE

Malori Zaidi Ya 250 Ya Tanzania Yakamatwa Congo DRC, Wamiliki Waililia Serikali

Malori zaidi 250 yaliyokuwa yamebeba madini kutoka Congo DRC yanadaiwa kukamatwa nchini humo kwa kile ilichoelezwa ni mgogoro wa ulipaji...

READ MORE

Watu 500 Wauwawa Kwenye Shambulizi La Hospitali Gaza

Zaidi ya watu 500 wameripotiwa kuuawa usiku wa Jumanne kwenye shambulizi ambalo limetokea hospitalini Ahli Arab katika Ukanda wa Gaza....

READ MORE

Mlipuko kwenye hospitali ya Gaza unamsababisha Biden kuahirisha ziara ya Jordan

Rais Biden ameahirisha ziara yake ya Jordan akiwa njiani kuelekea Israel, baada ya mlipuko mkubwa kutokea kwenye hospitali moja mji...

READ MORE

Washiriki Zaidi Ya 500 Kutoka Asasi Za Kiraia, Serikalini Na Wadau Wa Maendeleo Wanatarajiwa Kushiriki Wiki Ya AZAKI

Katika wiki ya AZAKI washiriki zaidi ya 500 kutoka asasi za kiraia, Serikalini na wadau wa maendeleo wanatarajiwa kushiriki katika...

READ MORE

Scancem Yagonga Mwamba Ununuaji Wa Kampuni Ya Tanga Cement

Baraza la Ushindani (FCT) la Tanzania limefutilia mbali uamuzi wa Tume ya Ushindani (FCC) uliotolewa Februari 28 mwaka huu wa...

READ MORE

Tamwa, Wadau Wakutana Kujadili Rushwa Ya Ngono

Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa jinsia na habari wakiwemo Wahariri, Dawati...

READ MORE

Dc Bulembo Awataka Watendaji Wa Mitaa Kufuatilia Na Kusimamia Utekelezaji Wa Miradi Kigamboni

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Halima Bulembo ametoa muda wa mwezi mmoja kukamilishwa kwa ujenzi wa nyumba ya walimu (Two...

READ MORE

Mume Wangu Aliniacha Kijijini na Kwenda Kutekwa na Wanawake wa Mjini

Jina langu ni Elizabeth kutoka katika kaunti ya Bungoma, tulikuwa kwenye ndoa na mume wangu Benson kwa muda wa miaka...

READ MORE

Tabora Wameonesha Imani Yao Ya Kweli Kwa Rais Samia

Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiwa ameshaingia mkoani Tabora kwa ajili ya ziara ya kikazi, wakazi wa Kata ya Ziba...

READ MORE

Msafara Wa Twende Butiama Wakamilika Kwa Mafanikio Baada Ya Siku 14 Za Kuhudumia Jamii Katika Elimu, Mazingira Na Afya

Butiama – Oktoba 14, 2023. Baada ya safari ya siku 14, zaidi ya kilometa 1,500 kupita wilaya 20 za mikoa 10...

READ MORE

Waziri Silaa Katika Ziara ya Mhe. Rais Samia Akiwa Singida

  Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Jerry Silaa amesema mkoa wa Singida umetekekeza kwa asilimia 100...

READ MORE

Benki ya NMB Yazindua Huduma Maalum Kwaajili ya Wastaafu   

Benki ya NMB imeanzisha mpango maalum wenye masuluhisho mahususi kwaajili ya kuwahudumia Wastaafu na Wastaafu watarajiwa unaoitwa NMB Hekima Plan...

READ MORE

Rais Joe Biden kutembelea Israel na Jordan wiki hii kuzungumzia hali ya vita vya Gaza

Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani Antony Blinken, ametangaza Jumanne kwamba Rais Joe Biden atatembelea Israel siku...

READ MORE

Vifo vya Mashabiki Wawili wa Sweden Vyapelekea Mechi Kuahirishwa

Mchezo wa kufuzu EURO 2024 kati ya Ubelgiji na Sweden umeahirishwa baada ya wachezaji kugoma kurudi uwanjani kipindi cha pili...

READ MORE

Lori lililobeba Sumu ya Sodium Cyanide Ya Migodini Lapata Ajali Kahama

Gari aina ya scania lenye usajili  wa namba T124 ECX linalobeba sumu  ya sodium cyanide inayapeleka Migodi mitatu nchini limepata...

READ MORE

Rais Samia ampongeza Aweso

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Wizara ya Maji inayoongozwa na Jumaa Aweso pamoja...

READ MORE

Mastaa Wa Yanga, Max, Skudu Na Nkane Walivyonogesha Uzinduzi wa Maadhimisho Ya Miaka 60 Ya NIC

Dar es Salaam 16 Oktoba 2023: Mastaa wa Yanga Max Zengeli, Skudu Makudubela na Denis Nkane kwa niaba ya timu...

READ MORE

Mpango wa Pamoja Wa Kigoma (KJP) Ulikuwa Mpango Wa Pande Nyingi Uliolenga Kutatua Changamoto

Mpango wa Pamoja wa Kigoma (KJP) ulikuwa mpango wa pande nyingi wa Umoja wa Mataifa uliolenga kutatua changamoto za kipekee...

READ MORE

Sitasahau Jinsi Nilivyomfuma Mume Wangu Akiwa Kitandani na Mdogo Wangu

  Itoshe kusema kuna watu hata uwafanyie kitu gani kwao ni vigumu kuridhika, hata ujitoe kwa kiasi gani nyoyo zao...

READ MORE

Balozi Kombo Ampongeza Amitin Kurudisha Ngumi Zanzibar

Kwa mara ya kwanza, Balozi wa Tanzania nchini Italia, Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na kuzungumza na Mratibu wa Tosh Sports...

READ MORE

Ibra Class Kupanda Ulingoni Na Mchina Oktoba 28, 2023

Kuelekea Usiku wa Royal boxing Tour Ep 2 Chini ya HB sadic boxing promotion ndani ya Ukumbi wa PTA sabasaba...

READ MORE

Tari Yawashauri Wakulima Wa Mpunga Kutumia Technolojia Ya Shadidi

Kutokana na uwepo wa Changamoto ya Mabadiliko ya tabia nchi, Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) imewasisitiza wakulima wa...

READ MORE

Maelfu waandamana Morocco kuunga mkono Wapalestina na kupinga kurasmishwa kwa uhusiano na Israeli

Maelfu ya watu waliandamana mjini Rabat Jumapili kuunga mkono Wapalestina waliozingirwa huko Gaza, yakiwa ndiyo maandamano makubwa zaidi dhidi ya...

READ MORE

Rais Samia Azindua Rasmi kituo cha Polisi wilaya ya Ikungi mkoani Singida – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi kituo cha Polisi wilaya ya Ikungi mkoani...

READ MORE

Billnas Alivyowainua Washua Kwenye Shoo Ya Maokoto, SBL Kuwazawadia Wateja Bilioni 1.5

Dar es Salaam, 16-Oct. Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Billnas amepiga bonge la shoo iliyokwenda kwa jina la...

READ MORE

Vijiji 9,671 vyafikishiwa maji

Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso amesema kufuatia matokeo ya Tathimini ya Hali ya Upatikanaji wa Maji Vijijini katika Vijiji...

READ MORE

Air France KLM Yasherehekea Miaka 90 Ya Utoaji Huduma

Ijumaa ya Oktoba,  13 , 2023 Shirika la Air France la nchini Ufaransa limesheherekea miaka 90 ya utoaji Huduma Za...

READ MORE

Kaimu Kamishna TANAPA Awataka Makamishna Wapya Kupiga Kazi Usiku Na Mchana

Kaimu Kamishna wa Uhifadhi kutoka Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Juma Kuji amewataka Makamishna Wasaidizi wachapakazi wapya, kufanya kazi...

READ MORE

Uzinduzi Wa Mashindano Ya Polisi Jamii CUP 2023, Ushirikiano Kati Ya Trafiki Na Kampeni Ya ‘Inawezekana’ Ya SBL

Dar es Salaam, 14 Oktoba 2023: SBL inayo furaha kutangaza kuanza rasmi kwa kampeni ya INAWEZEKANA na Mashindano ya USALAMA...

READ MORE

ALAF Limited Yazindua Mradi Wa Mtambo Wa Mabati Ya Rangi Wenye Thamani Ya Mabilioni

Dar es Salaam Jumapili Oktoba 15, 2023: Kampuni ya ALAF Limited, ambayo ni sehemu ya makampuni ya Safal Group na...

READ MORE

Kenya: Bei ya petroli yaongezeka kwa Sh5.72, dizeli hadi Sh4.48

Lita moja ya mafuta ya petroli nchini Kenya imeongezeka kwa Sh5.72 , Dizeli kwa Sh4.48 lita na Mafuta ya Taa...

READ MORE

Vijana wanaotelekeza Wagonjwa wao Hospitali Wapewa somo Siku ya Kumuenzi Mwalimu Nyerere

Ujumbe wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mkoa wa Dar es Salaam umetembelea Hospitali ya Mwananyamala Jijini hapo kuwajulia hali wagonjwa...

READ MORE

Bayport Yatoa Msaada wa  Kompyuta 30 Kuboresha Elimu katika Wilaya ya Mwanga

*Kutumia Tsh 40 Milioni Kuboresha Elimu katika Wilaya ya Mwanga Taasisi ya kifedha ya Bayport Tanzania imetoa msaada wa wa...

READ MORE