×

Habari

Serikari Ya Mapinduzi Zanzibar Yaishukuru Puma Kukarabati Majengo Na Ujenzi Wa Matundu Ya Vyoo Shule Ya Kisiwandui

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeishukuru Kampuni ya Mafuta ya Puma Tanzania kwa kuamua kufanya ukarabati mkubwa wa majengo ya...

READ MORE

Dkt. Nchimbi: Wasiotimiza Wajibu Wao, Wabinafsi, Siku zao Zinahesabika

Awataka wanaosuasua kukaza buti Asema anaweza kula kiapo, Kamala alichukia rushwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk....

READ MORE

Waziri Kairuki Azindua Vitendea Kazi Vya Doria Misituni Vyenye Thamani Ya Tsh bILIONI 6

• Asisitiza lengo ni kuboresha utendaji kazi Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amezindua vitendea kazi vya...

READ MORE

Rais Samia Awapongeza Ramadhani Brothers kwa Kuibuka washindi katika shindano la America’s Got Talent

Rais Samia Suluhu Hassan leo Februari 20, 2024 amewapongeza The Ramadhani Brothers kwa kuibuka washindi katika shindano la America’s Got...

READ MORE

Ripoti Benki Kuu ya funga mwaka 2023; Sekta ya Maliasili Yapata Mafanikio

Ripoti mpya ya Benki Kuu ya funga mwaka 2023 katika sekta mbalimbali iliyotolewa Februari 16, 2024, inaonesha mafanikio ya kihistoria...

READ MORE

Katibu Mkuu CCM Balozi Dkt. Nchimbi Atua Kagera, Mazishi ya Balozi Dkt. Deodorus Kamala

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, akiwa katika mazungumzo na baadhi ya viongozi wa...

READ MORE

Familia ya Navalny yadai kuzuiliwa kuuona mwili wake

Mke wa kiongozi wa upinzani wa Russia Alexei Navalny amemtuhumu Rais Vladimir Putin kwa mauwaji ya mumewe na ameahidi kutaja...

READ MORE

Waziri wa Maliasili na Utalii Azindua mkakati mpya wa kuendeleza miti ya mianzi

Februari 19, 2024, Angellah Kairuki, Waziri wa Maliasili na Utalii, amezindua mkakati mpya wa kuendeleza miti ya mianzi nchini. Kwa...

READ MORE

Sikia Hii! Washiriki Wa Mbio Za Tigo Kilimanjaro International Half Marathon Watakavyohudumiwa

Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Henry Kinabo akizungumza na Waandishi wa Habari, namna walivyojipanga kuwahudumia wateja wa Tigo watakaoshiriki...

READ MORE

Harrith Misonge, Mtoto wa Kitanzania Aliyegeuka Gumzo Nchini Urusi

Anaripoti mwandishi na mchambuzi mkongwe wa michezo kutoka Global TV, Saleh Ally @iamsalehjembe kutoka Kazan, Tatarstan nchini Urusi. “Yes imeng’ara...

READ MORE

Sitasahau Jinsi Nilivyoumia Mume Wangu Aliponitambulisha Kwa Mchepuko Wake

Jina langu naitwa Sarah kutokea Dar es Salaam, Tanzania, siku moja akiwa safarini kikazi nilipokea simu kutoka kwa mwanamke mmoja...

READ MORE

Serikali, Benki ya Dunia wakutana kujadili mradi wa Tanzania ya Kidijitali

Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia-WB, wanaendelea na majadiliano ya namna ya utekelezaji wa mradi wa Tanzania ya kidijitali,...

READ MORE

Mbunge Ole Lekaita Akabidhi Magari Mawili ya Wagonjwa Kituo cha Afya Sunya-Kiteto

MBUNGE OLE LEKAITA AKABIDHI MAGARI MAWILI YA WAGONJWA KITUO CHA AFYA SUNYA-KITETO

READ MORE

Mtu Mmoja Afariki na Wengine Saba Kujeruhiwa Mlimba, Morogoro – Video

Mtu mmoja amefariki na wengine saba kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari la abiria aina ya Tata yenye namba za usajili...

READ MORE

GGML yazindua mpango wa mafunzo kazini kwa mwaka 2024/2025, wanafunzi 40 kufaidika

KATIKA kudhihirisha dhamira ya kuwajengea wahitimu wa vyuo mbalimbali kukubalika kwenye soko la ajira, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited...

READ MORE

Meli ya Mizigo ya Uingereza Yashambulia Pwani ya Yemen

Meli ya mizigo iliyosajiliwa na Uingereza inaripoti shambulio katika Mkondo wa bahari wa Bab al-Mandeb Kulingana na ripoti za vyombo...

READ MORE

Donald Trump Azindua Viatu Vyake Vilivyopewa Jina La ‘Never Surrender High Top

Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump amezindua viatu vyake vilivyopewa jina la ‘Never Surrender High Top’. Mpaka sasa Trump amesambaza...

READ MORE

Nchimbi Amtakia Heri Miaka 93 Mama Fatma Karume, Wateta Msibani Kwa Lowassa

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi akiteta jambo na kumsikiliza kwa makini Bi. Fatma...

READ MORE

Tawasifu Ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa

Tumsifu Yesu Kristu, Bwana Yesu Asifiwe, Raha ya Milele umpe Eeeh Bwana, apumzike kwa Amani. Raha ya Milele umpe Eeeh...

READ MORE

Zaidi ya watu 100 wakamatwa kwa kutoa heshima kwa kifo cha kiongozi wa upinzani Russia, Navalny

Zaidi ya watu 100 wanashikiliwa nchini Russia, kwa kuweka mashada ya maua wakati wa kutoa heshima zao kwa kiongozi wa...

READ MORE

Rais Samia Alivyowasili Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Feburuari 17, 2024 amewasili Addis Ababa Nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Februari 18, 2024

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 18, 2024 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Rais Aongoza mazishi Ya aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Mkoani Arusha (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema, miongoni mwa vitu alivyojifunza kutoka kwa hayati Edward Ngoyai Lowassa...

READ MORE

Cobhams Agonga Kolabo na Sauti Sol Kwenye Video ya Lady Fiona

MSANII maarufu nchini Nigeria, Cobhams Asuquo ameshirikiana na kundi maarufu nchini Kenya, Sauti Sol kwenye video inayokwenda kwa jina la...

READ MORE

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Ashiriki maziko ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ameshiriki maziko ya Waziri Mkuu Mstaafu...

READ MORE

Kutoka Kumiliki Kibanda cha Kuchaji Simu Hadi Duka Kubwa la Simu

Jina langu ni Mudi kutoka Bagamoyo, katika maisha yangu niliapa mdogo wangu hatoshindwa kumiliki pair mbili za uniform ili asiwe...

READ MORE

Kiongozi wa upinzani Russia Navalny aaga dunia akiwa jela

Maafisa wa magereza nchini Russia wanasema kiongozi wa upinzani mwenye umri wa miaka 47 Alexey Navalny, ameaga dunia. Taarifa rasmi...

READ MORE

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dkt. John Pima na Wenzake Washinda Rufaa ya Kupinga Kifungo cha Miaka 20

Watumishi watatu waliokuwa Waajiriwa wa Serikali katika Jiji la Arusha ambao ni Mkurugenzi wa Jiji, Dkt. John Pima, Innocent Maduhu...

READ MORE

Zabuni Za Tactic Kundi La Tatu Kutangazwa Mwishoni Mwa Februari, 2024

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Deogratius Ndejembi amesema Zabuni za kupata wasanifu wa kundi la tatu lenye miji 18 ikiwemo...

READ MORE

Silaa Ataka Uhakiki Umiliki Wa Ardhi Dodoma Kuwabaini Wavamizi

Waziri wa Ardhi Nyumba, na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amemwagiza Katibu Mkuu Wizara yake kuunda timu ya wataalam kutoka...

READ MORE

Baraza La Madiwani Lasimamisha Watumishi 3 Geita

BARAZA la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Geita Mkoani Geita, limewafuta kazi watumishi 3 wa Halmashauri hiyo kwa mujibu wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alivyowasili Arusha Kushiriki mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alivyowasili mkoani Arusha ambapo leo Februari 17, 2024 atashiriki mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward...

READ MORE

Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere Kuondoa Tatizo la Mgao wa Umeme

📌 Majaribio ya mashine na. 9 yakamilika 📌 Mgao kumalizika Machi, mwaka huu Dodoma Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith...

READ MORE

Anahitatajila Mwalimu wa Mapishi ya vyakula Mbslimbali

Anahitatajila haraka Mwalimu wa mapishi ya vyakula mbslimbali, uokaji wa keki na vitafunwa.   Kwa mawasiliano wasiliana nasi kwa no...

READ MORE

LAAC Yaitaka Serikali kufanya tathimini ya utendaji kazi wa Makatibu Tawala Mikoa -Video

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeitaka Serikali kufanya tathimini ya utendaji kazi wa...

READ MORE

Msiba Wa Lowassa Monduli; Ng’ombe 100 Zachinjwa Na Viongozi Wa Mila – Video

Baadhi ya viongozi wa kimila wamesema kuwa wanayaenzi maisha ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa kwa kuchinja ng’ombe 100 hivyo...

READ MORE

TARURA Yapatiwa Sh. Bilioni 30 Kutatua Changamoto ya Barabara Nchini

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Deogratius Ndejembi amesema Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameshaelekeza Wakala wa Barabara za Vijijini...

READ MORE

Rais Mstaafu Kikwete Aongoza mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Ibrahim Msabaha

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Jumatano ameungana na ndugu, jamaa na marafiki kwenye mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri wa...

READ MORE

Mahakama ya katiba nchini Senegal yabatilisha uamuzi wa kuahirisha uchaguzi wa rais

Mahakama ya katiba nchini Senegal Alhamisi ilibatilisha uamuzi wa kuahirisha uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika mwezi huu, hatua ambayo iliitumbukiza...

READ MORE

Usikose Kupata Nakala Ya Gazeti Championi, Msimu Mpya Mambo Mapya!

Kuwa wa Kwanza Kujishindia zawadi Kibao ewe msomaji kwa kununua GAZETI LA CHAMPIONI, utapata fursa ya kuzawadiwa jezi mpya za...

READ MORE