WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Green Acres, wamewapagawisha wazazi na wageni waalikwa kwenye mahafali yao baada ya kuzungumza kwa ufasaha...
READ MOREBenki ya NMB imezindua rasmi hati fungani ya jamii bond ya muda wa Kati na muda. Mrefu yenye jumla ya...
READ MOREWATU 100 wamefariki na wengine 150 kujeruhiwa baada ya moto kuzuka kwenye harusi kaskazini mwa Iraq, vyombo vya habari vya...
READ MOREJaji mmoja amehukumu Jumanne kwamba, rais mstaafu wa Marekani, Donald Trump, alifanya udanganyifu kwa miaka mingi wakati anajenga himaya yake...
READ MOREHuenda habari kuhusu Infinix ZERO 30 sio mpya masikioni mwako tangu kuzinduliwa kwake imekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii na...
READ MORERais Samia Suluhu Hassan amempa miezi sita Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO ), Gissima Nyamo-Hanga kushughulikia tatizo...
READ MOREManispaa ya Temeke inaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi ambapo Mstahiki meya Abdallah Mtinika amekutana...
READ MOREWateja wa Vodacom kuanza kutumia huduma za Tunzaa ndani ya aplikesheni ya M-Pesa Super App Dar es salaam, 27 Septemba...
READ MORENa Mwandishi Wetu ZAIDI ya Wanafunzi 50 kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu iliyopo mkoani Geita...
READ MOREKampeni ya ‘Cha Wote’ iliyokuwa ikiendeshwa na kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo kwa kuwazawadia zawadi mbalimbali...
READ MOREKAMPUNI ya Tigo kupitia shindano lao la Cha Wote leo imemtamngaza Kassim Mkono kuwa mshindi wa shilingi milioni 5 katika...
READ MOREMarekani, Jumatatu imesema ilikataa maombi ya waziri wa mambo ya nje wa Iran, ya kutembelea Washington, wiki iliyopita sababu ikiwa...
READ MOREMJUKUU wa rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia nchini Afrika Kusini Nelson Mandela, Zoleka Mandela, amefariki dunia kwa saratani akiwa na...
READ MOREMlipuko wa homa ya Denge, na Kipindupindu kutokana na ukosefu wa maji umeua mamia ya watu katika taifa lenye vita...
READ MOREMSANII wa Bongo Fleva, Salmin Hoza almaarufu Kusah amefunguka kuwa hakulifuatilia ishu ambayo iliyoibuka kwenye mitandao ya kijamii, kuwa ana...
READ MOREMkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Saadi Mtambule (kulia) akikata utepe kuzindua rasmi kituo cha mfumo wa m-mama Dar es...
READ MOREMhandisi Peter Ulanga aliyeondolewa kwenye nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) siku 2 zilizopitwa, arejeshwa katika...
READ MOREAliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Maharage Chande ameteuliwa kuwa Postamasta Mkuu katika Shirika la Posta...
READ MORERais Samia amemteua Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), John Ulanga kuwa Balozi John Ulanga alichaguliwa na...
READ MOREWaziri wa Madini, Anthony Mavunde, ameipongeza Kampuni ya GF Trucks & Equipment Ltd kwa kufungua ofisi mkoani Geita na kuona...
READ MOREBenki ya Stanbic imezindua msaidizi wa kidigitali anaeweza kutoa huduma masaa 24, uzinduzi huu umefanyika Ijumaa, tarehe 22 Septemba. Msaidizi...
READ MOREProgramu ya “Learning for Life” imetimiza dhamira ya Serengeti Breweries Limited ya kuwawezesha zaidi ya vijana 400 Hanang kupitia stadi muhimu na maarifa kwa...
READ MOREJeshi la Polisi Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani lilipokea taarifa ya kutoweka kwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyumbu,...
READ MOREOfisi ya mwanasheria mkuu yenye makao yake katika mji mkuu Tripoli, imesema imetoa amri ya kuwazuia maafisa wanane wa eneo...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amepokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa...
READ MORENA MWANDISHI WETU WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo ameziagiza kampuni zote nchini...
READ MORENaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuiunga mkono Kampuni ya Geita Gold Mining...
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza watumishi sita wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi wafuatiliwe ili warejeshe fedha za umma na...
READ MOREAliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Maganga M. Japhet, na baadaye kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya...
READ MOREBosi Mkuu wa Kampuni ya X (zamani Twitter) nchini India Samiran Gupta amejiuzulu. Hatua hiyo imekuja wakati Kampuni hiyo ikipambana...
READ MOREPapa Francis ametoa wito kwa mataifa ya Ulaya kuonesha uvumilivu zaidi kwa wahamiaji wakati wa ziara yake katika mji wa...
READ MOREMtangazaji mahiri aliyejipatia umaarufu mkubwa akiwa katika Kituo cha Redio cha Kiss FM cha jijini Mwanza, akitangaza kipindi cha African...
READ MORENA MWANDISHI WETU WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) leo Ijumaa wamejitokeza katika maonesho ya sita...
READ MORENdoa yeyote bila ya kuwa na mapenzi ya kweli hukumbwa na misukusuko ya kila aina wakati wowote ule, ni...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Septemba 23, 2023 amefanya uteuzi kama ifuatavyo: UKWELI WOTE:...
READ MORERais Samia amemuondoa kazini Hanafi Msabaha aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mjini na kumteua Mwanahamisi Mkunda kuchukua nafasi hiyo...
READ MORERais Samia amefanya Mabadiliko ya Wakuu wa Taasisi na kumteua Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania...
READ MORERais Samia amemteua Gerson Msigwa aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo....
READ MOREDaraja korofi katika barabara inayounganisha Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara na wilaya za Mvomero na Gairo Mkoa wa Morogoro, Kongwa...
READ MOREBenki ya Absa Tanzania imezindua huduma yake ya Absa Wakala ikiwa ni mikakati ya benki hiyo katika kusogeza huduma za...
READ MORE