Watu watatu wakazi wa kijiji cha Mwasilimbi kata ya Ihusu Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi...
READ MOREMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amevunja Uongozi wa Soko la Ndizi Mabibo na kuwaagiza Jeshi la...
READ MOREBenki ya NMB, kwa kushirikiana na Vodacom na Google, wamezindua kampeni ya ‘Miliki Simu, Lipa Mdogo Mdogo’, inayowezesha watanzania wa...
READ MOREKituo cha kitaifa cha vimbunga hapa Marekani kimesema Alhamisi kwamba kimbunga Hilary kimeongeza kasi na kufikia kiwango cha pili karibu...
READ MOREWaziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) amewasilisha taarifa ya utendaji wa Mfuko wa Taifa wa Maji (NWF) kwa kipindi cha...
READ MOREMwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 17 Agosti...
READ MOREDar es Salaam, 17 Agosti 2023: Ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya chawote ya kampuni ya tigo mpaka sasa imefikia...
READ MOREDar es Salaam, 17 Agosti 2023: Kamati ya Amani mkoa wa Dar es Salaam inayoongozwa viongozi wa dini ya kiislamu...
READ MOREChama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Taasisi ya AVAC, leo Agosti 17, 2023 kimewakutanisha...
READ MOREMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema haijahusika kwa namna yoyote na ufungaji wa The Cask Bar & Grill ya iliyopo...
READ MORESENETA wa Uasin Gishu, Jackson Mandago, na Watu wengine 3 wanakabiliwa na Mashtaka 11, ikiwa ni pamoja na Wizi na...
READ MOREMuongoza mashitaka wa jimbo ka Georgia Fani Willis Jumatano ametangaza tarehe ya kusikilizwa kwa kesi ya kuingilia uchaguzi wa 2020...
READ MORERais Samia amemhamisha Balozi Mbwela Brighton Kairuki kwenda London ambako anachukua nafasi ya Dkt. Asha Rose Migiro ambaye amemaliza Mkataba...
READ MOREAlly A Karavina ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC). Karavina ni Mtaalamu wa...
READ MOREUshirikiano mpya kati ya Google, NMB na Vodacom Tanzania Plc unatarajiwa kuimarisha mapinduzi ya kidijitali kwa kuwezesha upatikanaji wa simu...
READ MOREIkianzia kwenye viti, inajumuisha teknolojia zote zinazohusiana kwa wastani ni asilimia 10 – 15, jambo linaloendana na ajenda ya uendelevu...
READ MORERais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika,...
READ MOREAmesema “Katika Nchi nyingine Mabalozi wetu sijui niseme hawajui wanachokifanya, wapo tu. Nilikutana na Rais mwenzangu ndani ya #SADC...
READ MOREUONGOZI wa Simba, umeweka wazi kuwa, kukosa penalti kwenye mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii kwa nyota wao wawili,...
READ MOREOmbi linalotaka kupigwa marufuku kwa TikTok nchini Kenya limewasilishwa bungeni likitaja uvunjaji wa kanuni ya faragha na maudhui ya ngono,...
READ MOREWakurungenzi wa kampuni ya kimitandao ya Google barani Afrika Jumanne wamesema kwamba inapanga kutoa mafunzo ya kidijitali kwa wanawake 20,000...
READ MOREZaidi ya vijana 200 wa jamii Ngorongoro, Mkoani Arusha wamewavamia na kuwajeruhi waandishi wa habari na mkalimani aliyeambatana nao. Waandishi...
READ MOREBENKI ya NMB na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), wamezindua ushirikiano wa kibiashara wa mifumo ya malipo ya tiketi za...
READ MORE“Natumia Infinix Note 30 picha zangu na video zangu mitandaoni zimekuwa na ushua mwingi tangu nimekuwa mwanafamilia wa Infinix” ameyazungumza...
READ MOREWamiliki wa shule binafsi Mkoa wa Dar es salaam wameiomba serikali kutupia jicho la tatu suala la wanafunzi wanaohitimu masomo...
READ MOREMkuu wa wafanyakazi wa rais wa Madagascar amekamatwa mjini London baada ya kushukiwa kutaka hongo kutoka kwa wachimbaji wa madini...
READ MOREMamlaka za kisheria nchini Libya zimewasilisha ombi rasmi kwa Lebanon kumuachilia mmoja wa watoto wa kiume wa kiongozi wa zamani...
READ MOREKampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imetangaza kutumia ndege zake za kisasa za abiria na mizigo kwa wafanyabiashara, wanafunzi, wagonjwa na...
READ MOREArusha – Agosti 14, 2023. Katika kampeni ya kuunga mkono jitihada za serikali kwenye matumizi ya nishati salama kimazingira, kampuni...
READ MOREWaziri Mkuu wa Latvia, Krisjanis Karins leo Agosti 14, 2023 ametangaza kujiuzulu wadhifa wake pamoja na baraza lake la...
READ MORELUANDA: Tamko la Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu uwekezaji katika Rasilimali Watu uliofanyika jijini Dar Es Salaam...
READ MOREWACHEZAJI wapya wa Yanga, Pacome Zouzoua raia wa Ivory Coast na Hafiz Konkoni kutoka Ghana, jana walianza kazi rasmi ndani...
READ MOREKatibu wa NEC Idara ya Organaizesheni Ndg. Issa Gavu amefanya ziara katika shamba la Salim Abri maarufu (Asas) Mjumbe wa...
READ MOREKwa mujibu wa kifungu cha 39 (1) cha Kanuni ya Adhabu (Penal Code), mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ...
READ MOREBenki ya NMB imetunukiwa cheti cha kuwa ‘Superbrand’, na kuifanya kuwa benki pekee iliyopata hadhi hiyo nchini Tanzania mwaka huu....
READ MOREWaziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kiwango cha thamani ya uwekezaji Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF)...
READ MOREMkuu wa kanisa katoliki Papa Francis amesema Jumapili kwamba idadi ya wahamiaji wanaofia kwenye bahari ya Mediterranean ni ”jeraha la...
READ MOREKatibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka ametoa wito kwa watumishi wa umma kubadili mtindo wa maisha ikiwa ni pamoja...
READ MOREKatika jitihada za kutambua ufanis na utoaji wa huduma bora katika sekta ya bima nchini, Shirika la Bima la Taifa,...
READ MORERais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Kikwete amezitaka nchi za Afrika, hususani za ukanda wa SADC...
READ MORE