×

Habari

Niger: Utawala wa kijeshi unatishia kumuua Bazoum iwapo ECOWAS itaingilia kijeshi

Mvutano unazidi kuongezeka kati ya utawala mpya wa kijeshi wa Niger na jumuiya ya ukanda wa Afrika Magharibi ambayo imeamuru...

READ MORE

Gethsemane – Group Kinondoni (GGK) Kuja Na Video Ya Dunia Hii

KWAYA maarufu nchini ya Gethsemane inayosali Kanisa la wasabato Kinondoni, ipo mbioni kutoa video ya wimbo wake mpya unaofahamika Dunia...

READ MORE

Dkt. Kikwete Ahimiza Amani Katika Nchi za SADC

Imeelezwa kuwa amani na usalama ni maneno yenye dhana pana tofauti na watu wengi wanavyoelewa kuwa amani na usalama ni...

READ MORE

Wazazi washangazwa na umahiri wa kingereza wanafunzi Tusiime

UMAHIRI wa hali ya juu wa kumudu kuzungumza lugha ya kingereza kwa ufasaha ulioonyeshwa na wanafunzi wa shule ya msingi...

READ MORE

Sekta Ya Utalii Zanzibar Yapata Uwekezaji Kutoka Benki Ya NCBA

Zanzibar. Benki ya NCBA imesisitiza dhamira yake ya kuimarisha uwekezaji wake kwenye sekta mbalimbali hususani ya utalii ili katika hatua...

READ MORE

Sekta Ya Pembejeo Za Kilimo Ya Kampuni Ya Mahindra Inashirikiana Na SARGA MotoCorp (TZ) Limited Ya Tanzania

Tarehe, 11, Agosti, 2023, Jijini Dar es salaam, kampuni ya Mahindra & Mahindra Ltd. (M&M Ltd), kampuni kubwa zaidi ya...

READ MORE

Harry Kane Atangazwa Kuachana na Tottenham na Kujiunga na Bayern Munich

  Nahodha wa Timu ya Taifa ya Uingereza na mfungaji kinara wa wakati wote wa Klabu ya Tottenham Hostpurs ‘Spurs’,...

READ MORE

Watatu Wakamatwa Kwa Tuhuma za Kujeruhi, Kupora watu Daraja la Salenda

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu watatu kwa tuhuma za kujeruhi na kupora watu vitu...

READ MORE

Msama Awajia Juu Wanaomkashifu Rais, Aziomba Mamlaka Husika Kuwachukulia Hatua Stahiki

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Bw. Alex Msama ametoa wito kwa mamlaka husika kuwachulia  hatua wale wanaomkashifu Rais wa...

READ MORE

Gamondi: Yanga Bado Haijachanganya Kucheza Katika Mifumo Yake

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi licha ya timu yake kupata matokeo dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Nusu...

READ MORE

Rais Samia Amrejesha Nyumbani Balozi Nchimbi, Ahamisha Vituo Vya Kazi Mabalozi 4

Balozi Emmanuel J. Nchimbi amerejeshwa nyumbani kutoka Ubalozi wa Tanzania Nchini Misri na nafasi yake inachukuliwa na Balozi Meja Jenerali...

READ MORE

TRA: Taarifa Bodaboda Kutozwa Kodi Sio Rasmi

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imebainisha kuwa taarifa iliyotolewa awali na Afisa Mkuu wa Usimamizi wa Kodi wa Mamlaka hiyo...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mageuzi Makubwa Miradi ya Maendeleo Bukombe: Dkt Biteko

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa kiongozi mahiri katika kipindi cha muda...

READ MORE

Wanne Kuiwakilisha Tanzania Awali Future Face Kimataifa 2023

Wanamitindo wanne kati ya 200 waliojitokeza kwenye usahili wa Shindano la Future Face 2023 wameteuliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye chaguo la...

READ MORE

Mbowe mgeni rasmi siku ya vijana duniani, waanza na usafi Mwanza

MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe.Freeman Mbowe anatarajia kwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya vijana...

READ MORE

Jeshi la Polisi Latoa Elimu kwa Wafugaji Mkoa wa Arusha na Manyara – Video

Jeshi la Polisi Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Nchini limetoa elimu kwa viongozi wa Wafugaji toka Mikoa ya Arusha...

READ MORE

Profesa Janabi Aonya Wanaofanya Mazoezi ya Kukimbia ‘Jogging,’bila Kupima Afya -Video

Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi, ameonya wanaofanya mazoezi ya kukimbia maarufu kama ‘jogging,’ kuwa wako...

READ MORE

IGP Camillus Wambura Awakemea Wanaopanga Kuiangusha Serikali – Video

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillius Wambura amewaonya watu wanaopanga kuandamana ili kuiangusha Serikali akisema wasijaribu kutingisha kiberiti kwa...

READ MORE

Afrika Kusini: Jacob Zuma Aondolewa Hukumu ya Kifungo cha Miaka 15

Hukumu ya kifungo cha miezi 15 jela ya rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma imeondolewa. Hii inamaanisha kuwa...

READ MORE

Hospitali Ya Muhimbili Kubomolewa Na Kujengwa Upya, Profesa Janabi Aeleza Mpango Mzima – Video

Uongozi wa Hospitali ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam umesema hospitali hiyo itabomolewa na kujengwa upya. Mkurugenzi Mtendaji wa MNH,...

READ MORE

Nangasu Warema Aandaa Kongamano La Kushehereka Siku Ya Utalii Duniani

Mkurugenzi wa WiTT Women in Tourism Tanzania Nangasu Warema. Dar es Salaam, 11 Agosti 2023: Mkurugenzi wa WiTT Women in...

READ MORE

ECOWAS Waamuru Kupeleka jeshi ili Kurejesha Utawala wa Kidemokrasia Niger

Mvutano kati ya watawala wa kijeshi na jumuiya ya ECOWAS waongezeka baada ya taasisi hiyo kuamua jeshi lake la dharura...

READ MORE

Waendesha Mashitaka Waomba Januari 2, 2024 Kuanza Kusikilizwa Kwa Kesi Ya Jinai Dhidi Ya Donald Trump – Video

Muda kama huo unaweza kumlazimisha Trump kutumia siku zake za wiki kortini mapema mwaka 2024 wakati ambapo uchaguzi wa kwanza...

READ MORE

Waziri Kitila Mkumbo Atembelea Kiwanda cha Vioo Mkoani Pwani

Prof. Kitila Mkumbo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji leo Agosti 9, 2023 amefanya ziara ya kikazi...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Hafla ya Uzinduzi wa Mkongo wa Mawasiliano wa Baharini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mapema leo ameshiriki Hafla ya Uzinduzi wa Mkongo...

READ MORE

Waziri Biteko: Hakuna Mradi Utakaosimama Chini Ya Uongozi wa Rais Samia

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mbunge wa Jimbo la Bukombe ambaye pia ni Waziri wa Madini Mhe...

READ MORE

Kiongozi wa serikali ya Niger Atangaza Baraza la Mawaziri la Mpito

Kiongozi wa serikali ya Niger, Jenerali Abdourahmane Tchiani ameteua baraza la mawaziri kinyume na wito wa viongozi wa eneo hilo...

READ MORE

Kenya: Duru mpya ya mazungumzo kati ya serikali na upinzani yameanza kutafuta suluhu

R Duru mpya ya mazungumzo ya pande mbili kati ya Rais William Ruto na kiongozi wa upinzani Raila Odinga kupitia...

READ MORE

Bima Ya Kilimo Ya Mtetezi Yanogesha Maonyesho Ya Nanenane

Kampuni ya bima ya Strategis imetoa wito kwa wakulima kote nchini kuyat TVumia maonyesho ya kilimo ya Nanenane (Siku ya...

READ MORE

Mafundi wa EFD Kizimbani Kwa Kuisababishia TRA Hasara ya Zaidi ya Mil 900

MAFUNDI wawili wa mashine za kielektroniki za EFD na mwanamke mmoja, wakazi wa jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama...

READ MORE

Sakata la Kuuzwa Tanga Cement, Jaji Maghimbi Agoma na Kutoa ya Moyoni

  Julai 6 mwaka huu Baraza la Ushindani wa Haki za Kibiashara(FCT),ilitoa uamuzi na kuitupa rufaa iliyokatwa na Kampuni ya...

READ MORE

Simba Yafungukia Sakata La Phiri, Robertinho

KUFUATIA kuwepo uvumi kutoka kwa wadau wa mpira juu ya sakata la Moses Phiri kudaiwa kutokuwa na maelewano mazuri na...

READ MORE

Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC Ngazi ya Wataalamu Waanza Nchini Angola

Tanzania inashiriki Mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofunguliwa...

READ MORE

Jaji wa serikali kuu anayesimamia kesi ya Trump aamuru mawakili wake kufika mahakamani Ijumaa

TRUMPTRUMP Waendesha mashitaka walisema wanapatikana wiki nzima, huku mawakili wa Trump wakiomba kuahirishwa hadi mapema wiki ijayo. Jaji wa serikali...

READ MORE

Wafanyakazi Waishukuru Serikali Kuanzisha Mfuko wa WCF

WAFANYAKAZI wameipongeza Serikali kwa uamuzi wake wa kuanzisha Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwani ni msaada mkubwa kwa waajiri...

READ MORE

JKT kuwanoa vijana wa BBT kwa mwezi mmoja

WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema zaidi ya vijana 800 wanaotarajiwa kuhitimu mafunzo ya BBT mwaka huu wanatarajiwa kunolewa kuhusu...

READ MORE

Ruvuma kinara uzalishaji mazao ya nafaka

  Rais Samia Suluhu Hassan akimkabidhi tuzo Mkuu mkoa wa Rukwa, Charles Makongoro Nyerere baada ya mkoa huo kushika nafasi...

READ MORE

Bashe ataja sababu za mauzo nafaka nje kuzidi kupaa

WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema mauzo ya nafaka nje ya nchi yameongezeka kutokana na kuongezeka kwa uzalishaji nchini. Bashe...

READ MORE

Ruzuku ya mbolea yawatia moyo wakulima

Hatua ya Serikali kutoa ruzuku ya mbolea kwa Wakulima imeonesha matokeo chanya kwenye uzalishaji wa mazao ya kilimo nchini. Hayo...

READ MORE

Uzalishaji wa chakula nchini waimarika

Tanzania imezidi kujidhatiti katika kuzalisha chakula kutoka tani 17,148,290 mwaka 2021/202/ hadi kufikia tani 20,402,014 mwaka 2023. Hayo yameelezwa na...

READ MORE