×

Habari

Kinamama Waliojifungua Na Watoto Zao Wazawadiwa Bima Za Afya 600 Na Kampeni ya Sambaza Shangwe Gusa Maisha

Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Vodacom imefanya kitendo cha kuirudishia jamii sehemu ya inachokipata kwa kuwazawadia bima...

READ MORE

Absa Tanzania Yazindua Mfumo wa Malipo ya Kadi za Benki Kupitia Simu za Mkononi

Absa MobiTap inawezesha wauzaji kupokea malipo ya kadi za benki kutoka kwa wateja kwa kutumia simu janja kama mashine ya...

READ MORE

Rais Samia Atangaza Kuwajengea Nyumba Walioathirika Na Mafuriko Manyara, Atoa Maagizo (Picha +Video)

   Rais Samia Suluhu Hassan, amesema wataalam wa serikali, tayari wametenga eneo ambalo litatumika kuwahamisha waathirika wa maporomoko ya...

READ MORE

Rais Samia Akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro Akielekea Hanang

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro leo...

READ MORE

CEO NMB Ashiriki Mkutano wa Benki ya Dunia, Akutana na Rais wa Taasisi Hiyo

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna ameshiriki uzinduzi wa Mkutano Mkuu wa Benki ya Dunia (IDA20...

READ MORE

Njia za Mkato Zinavyoweza Kukupa Mafanikio Yenye Uchungu!

NDUGU zangu, linapokuja suala la kutafuta maisha mazuri na yenye mafanikio, wapo watu ambao wanadiriki kujiingiza katika shughuli zisizo halali...

READ MORE

Rais wa Marekani, Joe Biden Aliomba Bunge Kuidhinisha Msaada wa Silaha

Rais wa Marekani, Joe Biden, Jumatano ameliomba bunge la Marekani, kuidhinisha msaada zaidi wa silaha kwa Ukraine, akisema kushindwa kupitisha...

READ MORE

Dereva wa Bajaji Atuhumiwa Kubaka Watoto 15 Huku Akidai Ni Askari Polisi – Video

Alex Msigwa (34) Dereva wa Bajaji, Mkazi wa Mawelewele, Manispaa na Mkoa wa Iringa anashikiliwa na Jeshi la polisi kwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Amwakilisha Rais Samia katika Kongamano la pili la wanawake na vijana

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Disemba 06, 2023 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Kongamano la pili la wanawake na...

READ MORE

TAASISI ya Shanghai EDUTECH ya nchini China Yaipiga Tafu Tanzania Vifaa Vya Elimu

TAASISI ya Shanghai EDUTECH ya nchini China imetoa vifaa vya kielektroniki kwa ajili ya kuboresha eneo la ufundishaji na ujifunzaji ...

READ MORE

Wanafunzi Walivyofundishwa Jinsi Ya Kupambana Na Ukatili Wa Kijinsia

Dar es Salaam 6 Desemba 2023: Wanafunzi wa Shule ya Msingi Bombambili iliyopo eneo la Bombambili Kata ya Kivule Wilaya...

READ MORE

Waandaaji wa Kili Marathon Wawasihi Washiriki Kutumia Vizuri Punguzo La Bei

Waandaaji wa Mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager 2024 wamewakumbusha washiriki kwamba wana siku chache kufurahia kipindi cha punguzo...

READ MORE

Naibu Waziri Silinde: Mizani ya Kidigitali kuimarisha Mapato ya Wakulima Nchini

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo,  Mhe. David Silinde, amezindua matumizi ya Mizani za Kidigitali zilizounganishwa na Mfumo wa Usimamizi...

READ MORE

Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF Afanya Ziara ya Kikazi Makao Makuu

*Aahidi ushirikiano wa kutosha kufanikisha utendaji wa Mfuko *Mkurugenzi Mkuu aweka wazi mafanikio na mikakati ya uboreshaji huduma Mwenyekiti wa...

READ MORE

Makamu Wa Pili Wa Rais Wa Zanzibar Afungua Mkutano Wa Bodi Ya GPE, Unguja

  Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah kabla amefungua rasmi mkutano wa Bodi...

READ MORE

Rais Zelensky aghairisha mkutano na Wabunge wa Marekani

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, alifuta mkutano na wajumbe wa baraza la seneti la Marekani, Jumanne. Alitarajiwa kuomba kuendelezwa kwa...

READ MORE

Petroli Yashuka Kwa Tsh. 116, Dizeli Tsh. 148 Dar, Mafuta Ya Taa Bei Ileile

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za Mafuta ya Petroli zitakazotumika kuanzia Desemba...

READ MORE

BetPawa Ilivyotangaza Washindi Wa Dream Maker Season 2

Dar es Salaam, 6 Desemba 2023 :Kampuni ya Michezo ya kubashiri ya BetPawa leo imewatangaza na kuwakabidhi zawadi zao washindi...

READ MORE

GML yataja mbinu kuimarisha miradi ya ujenzi, Bashungwa atoa maagizo

  NA MWANDISHI WETU KATIKA kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan kuimarisha shughuli za kihandisi nchini, Kampuni ya...

READ MORE

Tigo Yashinda Tuzo Ya Ookla® Kama Mtandao Wa Simu Wenye Kasi Zaidi Nchini Tanzania

Dar es Salaam, tarehe 7 Desemba 2023: Kampuni ya maisha ya kidijitali ya mawasiliano ya simu nchini, Tigo, ambayo ni...

READ MORE

Dkt. Biteko: Viongozi Tuache Alama Nzuri Katika Utendaji Wetu Wa Kazi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa viongozi mbalimbali Serikalini kuhakikisha kuwa, kazi walizonazo...

READ MORE

Kasino ya Mtandaoni Mchezo wa Wild West Riches

Sloti ya Wild West Riches Ile Sloti bomba ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inayokupa nafasi ya kuibuka shujaa kwenye...

READ MORE

Waziri Mkuu Atembelea waathirika wa maafa ya mafuriko Hanang, Katesh (Picha +Video)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 05, 2023 ametembelea kambi ya muda walipo waathirika wa maafa ya mafuriko yaliyosababisha kuharibika...

READ MORE

Wananchi Ngorongoro Wanahamishwa Kwa Kuzingatia Haki za Binadamu

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geofrey Pinda amesema Wananchi wa Ngorongoro wanaohamishwa kutoka eneo la...

READ MORE

Vodacom, Polisi Kinondoni Wazindua Kampeni ya Usalama Barabarani Shuleni

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni kwa kushirikiana na kampuni ya Vodacom Tanzania PLC wamezindua kampeni ya usalama...

READ MORE

Ili Kukuza Mchezo Wa Tenesi Nchini, KLM Royal Dutch Airlines Yadhamini Mashindano Ya Uzinduzi Wa Kombe La McEnroe Serengeti

Dar es Salaam Tanzania, Disemba 5, 2023: KLM Royal Dutch Airlines watakuwa wadhamini wa uzinduzi wa mashindano ya McEnroe Serengeti...

READ MORE

Majaliwa Awatembelea Majeruhi wa Maafa ya Maporomoko ya Tope Hanang

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Desemba 05, 2023 amefika kuwajulia hali majeruhi wa maafa ya mafuriko yaliyosababisha kuporomoka kwa tope...

READ MORE

Airtel Kutoa Intaneti na Mawasiliano Bure Hanang

Kampuni ya simu za Mkononi  Airtel imeoneshwa kuguswa na tukio la waathirika wa wilaya ya Hanang na kuungana na watanzania...

READ MORE

Benki ya NMB Yasaidia Wahanga wa Mafuriko Hanang

Wahanga wa mafuriko Wilayani Hanang, Mkoani Manyara, waliopoteza ndugu zao, makazi, pamoja na mali, wamepatiwa misaada ya kibinadamu na Benki...

READ MORE

NMB Yang’ara Tuzo za Mwajiri Bora mwaka 2023

Benki ya NMB imenyakua tuzo nne kwenye shindano la mwaka huu la Mwajiri Bora wa Mwaka (EYA 2023), ukiwemo ushindi...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Alivyowasili Hanang na Kujionea Madhara ya Mafuriko

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasili wilaya ya Hanang mkoani Manyara na kukutana viongozi wa mkoa huo na wa Serikali na...

READ MORE

Tanzania Yatajwa Kuwa Kinara Kwa Kudhibiti Mianya ya Uvujaji Mitihani

  TANZANIA imetajwa kuwa miongoni mwa nchi kinara kwa kudhibiti mianya ya uvujaji mitihani. Kauli hiyo ilitolewa Dar es Salaam...

READ MORE

Serikali Yachukua Hatua za Awali Kukabili Maafa Hanang’ Manyara

Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu imechukua hatua za haraka kwa wahanga wa maafa yaliyosababishwa na...

READ MORE

Furahia Jade Valley Ndani ya Meridianbet Kasino

Jade Valley ni mchezo wa sloti wenye nguzo tano zilizopangwa kwa ustadi katika mistari mitatu, sloti yenye mistari 50 ya...

READ MORE

Serikali Kugharamia mazishi ya waliopoteza maisha kutokana na mafuriko Wilaya ya Hanang

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuwa serikali igharamie mazishi...

READ MORE

Kongamano la SHILO laanza kwa kasi

KANISA la Mlima wa Moto Mikocheni jijini Dar es Salaam, limezindua kongamano liitwalo SHILO kama sehemu ya kumuenzi mwanzilishi wa...

READ MORE

Mshindi Wa Kampeni Ya Maokoto Ndani Ya Kizibo Kibaha Alivyokabidhiwa Laki Tano Yake Laivu

Mshindi wa Kampeni ya Serengeti Lite ‘Maokoto Ndani ya Kizibo’ Kibaha mkoani Pwani, Advocatus Kakorozya, Jumamosi Desemba 2 mwaka huu...

READ MORE