×

Habari

Simbachawene: Takukuru Zuieni Rushwa Kabla Haijatokea

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amewataka Wahitimu wa Mafunzo...

READ MORE

Athanas Myonga Ashinda Tsh. Milioni 7 za Shindano la Stories Of Change 2023

Athanas Myonga amefanikiwa kuwa Mshindi wa kwanza katika Shindano hilo lililoandaliwa na Taasisi ya Jamii Forums ambapo Wananchi mbalimbali walipata...

READ MORE

Wanajeshi 6 wa Afrika Kusini wafariki katika ajali ya moto

Wanajeshi sita wa Afrika Kusini walifariki baada ya moto kuzuka katika kituo cha mafunzo cha jeshi kaskazini mashariki mwa nchi,...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu Biteko Atembelea Kaburi La Hayati Magufuli Chato Na Kutoa Salamu Za Heshima – Video

GEITA; Oktoba 7, 2023 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezuru na kufanya Sala kwenye kaburi...

READ MORE

Ziara ya Rais Samia Nchini India Itaimarisha Utalii wa Kitiba na Kufungua Fursa za Masomo

WAKALA wa Elimu Nje ya Nchi Global Education Link (GEL) imetaja fursa kem kem ambazo Tanzania itanufaika nazo kupitia ziara...

READ MORE

Mhandisi Mshauri Wa Umeme Aishauri Jambo Zito Tanesco Kuhusu Changamoto Ya Uhaba Wa Umeme Na Majanga Ya Moto

Dar es Salaam, 7 Oktoba 2023: Mhandisi Mshauri wa masuala ya umeme, Mhandisi Ester William leo amelishauri jambo shirika la...

READ MORE

Maadhimisho ya Siku ya Walimu Duniani, Rais Samia Aahidi Kutatua Changamoto Kuleta Ufanisi

*️Maadhimisho yafanyika kitaifa wilayani Bukombe* Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema kuwa, Serikali itaendelea...

READ MORE

Jerry Silaa: Mipango ya Kupima Viwanja Iendane na Miundombinu

  Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewaelekeza wataalamu wa sekta ya ardhi nchini kuhakikisha mipango...

READ MORE

Mke wa Sir Alex Ferguson Cathy Afariki Akiwa na Umri wa Miaka 84

Lady Cathy Ferguson, mke wa meneja wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson, amefariki dunia akiwa na umri wa...

READ MORE

Mwanaharakati aliyeko kifungoni Narges Mohammadi ashinda tuzo ya Amani ya Nobeli

Anapigania wanawake dhidi ya ubaguzi wa kimfumo na ukandamizaji, alisema Berit Reiss-Andersen, mwenyekiti wa Kamati ya Nobel ya Norway ambaye...

READ MORE

Lavaud Agonga Kolabo ya Kibabe na Tiwa Savage, Reekado Banks, Patoraking Kwenye Roll On Me

STAA wa kike kwenye uwezo mkubwa katika kuimba na kutunga, Lavaud amerejea kwa kishindo baada ya kuachia singo kali inayokwenda...

READ MORE

Benki ya UBA Yahitimisha Wiki ya Huduma Kwa Wateja Kwa Kuwashukuru Na Kuwapongeza Wateja Na Watoa Huduma Wake

Dar es Salaam, 6 Oktoba 2023: Benki ya UBA imehitimisha ‘Wiki Ya Huduma Kwa Wateja’ kwa kuwapongeza wateja wake pamoja...

READ MORE

Watu 7 Wafariki, 22 Wajeruhiwa, Magari Yagongana Uso Kwa Uso, Lindi – Video

Watu 7 wamefariki dunia na wengine 22 wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha Basi la namba T.604 DJJ aina ya Scania mali...

READ MORE

UWT Taifa Yawahasa Vijana Kuwa Wazalendo

Jumuiya ya umoja wa wanawake Taifa (UWT) imewahasa vijana na  wanafunzi wa shule mbalimbali hapa nchini kuwa na uzalendo ili...

READ MORE

Mwandishi Wa Habari Aliyeandamana Ahukumiwa Miaka 8 Jela Urusi

Marina Ovsyannikova ambaye alishiriki maandamano wakati wa Matangazo Mubashara ‘Live’ kwenye Runinga akipinga uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine amepewa...

READ MORE

Wanafunzi watano wa kike watekwa nyara Nigeria, Polisi Wafunguka

Watu wenye silaha wamewateka nyara wanafunzi watano kaskazini mwa Nigeria, polisi walisema, siku chache baada ya wanafunzi wengine zaidi ya...

READ MORE

Jeshi la Polisi Laungwa Mkono Dhidi ya Ajali za Barabarani

  Mashindano ya kimataifa ya “VIA CREATIVE” yanayolenga kuelimisha wanafunzi wa shule za msingi kujifunza kuhusu usalama barabarani yazinduliwa rasmi...

READ MORE

Waziri Silaa Akerwa Mfanyabiashara Kusumbuliwa

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameagiza mmiliki wa mgahawa unaojulikana kama Fresh Restaurant uliopo Manispaa...

READ MORE

NBC Yazindua Msimu wa Tatu wa Kampeni ya “Wekeza NBC Shambani Ushinde’’, Kuchochea Kasi ya Kilimo cha Korosho Mtwara, Lindi

 Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua msimu wa tatu wa kampeni yake  maalum kwa wakulima wa zao la korosho katika mikoa ya Mtwara na Lindi...

READ MORE

SGA Yapokea Tuzo Ya Juu Kwa Kuwekeza Katika Teknolojia

Tuzo hiyo ilitolewa kwa SGA wakati wa maonesho ya Kimataifa ya Madini yaliyomalizika Mjini Geita hivi karibuni. Maonesho hayo ya...

READ MORE

Fahamu Maajabu Ya Infinix Zero 30, Simu Mahususi Kwa Content Creators

‘Infinix Zero 30 5G’ ni simu kali ambayo inaweza kurekodi video ya 4K kwa 60fps kutumia lens mpya ya 50MP...

READ MORE

Mkakati Bandari ya Mtwara Waanza Rasmi

Serikali imeanza rasmi kutekeleza mkakati wa kuhakikisha bandari ya Mtwara inatumika katika kusafirisha zao la korosho na bidhaa nyingine za...

READ MORE

Hamza Johari: Anga la Tanzania Liko Salama

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza Johari amesema hakuna mlipuko wowote wa volcano utakaosababisha viwanja...

READ MORE

Mbwa wa Rais Joe Biden Atimuliwa Ikulu Kwa Kuwang’ata Wafanyakazi na Walinzi

  Mbwa wa familia ya Rais Joe Biden wa Marekani, Commander ametimuliwa ikulu kwa kile kilichoelezwa kuwa ni mfululizo wa...

READ MORE

Waziri Silaa Ataka Mpango Uendelezaji Eneo la Viwanda Kibaha

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameta kuwepo mpango wa uendelezaji katika eneo la Kongani ya...

READ MORE

Rais Ruto afanya mabadiliko katika baraza la mawaziri, ateua makatibu na mabalozi wapya

Rais wa Kenya William Ruto Jumatano alifanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri, kuongeza wizara mpya, na kuwateua maafisa wapya...

READ MORE

Nmb Yazindua Huduma za Kibenki Kwa Wana Diaspora

Jisikie upo nyumbani popote utakapoenda duniani na ‘NMB Kwetu’ Tumezindua rasmi dirisha la huduma za kibenki kwa watanzania waishio nchi...

READ MORE

GGML yaibuka mshindi wa jumla maonesho ya madini Geita

  NA MWANDISHI WETU KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited imenyakua tuzo nne ikiwamo mshindi wa jumla katika maonesho ya...

READ MORE

Deuces Wild Pesa kama Zote!! Nafasi ya kuwa tajiri unayo mikononi mwako

Nafasi ya kuwa tajiri unayo mikononi mwako, lakini kuna kisa kimoja nataka ukifahamu kabla sijakupa mchongo kamili wa jinsi ya...

READ MORE

Mbunge Awanyang’anya Wananchi Ambulance kwa Kutompigia Kura Kwenye Uchaguzi

Mwanasiasa maarufu nchini Uganda aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini ikiwemo uwaziri, Evelyn Anite Kajik amezua gumzo baada ya kudaiwa kuwanyang’anya...

READ MORE

Waziri Mkuu Awatumbua 11 Dodoma, Yumo Aliyekuwa Mkurugenzi Wa Jiji – Video

Waziri Mkuu Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wawafuatilie na...

READ MORE

Vodacom Yajumuika Kusherehekea Siku ya Urithi wa Watu wa Afrika Kusini Nchini Tanzania

  Katika jitihada za kukuza na kuendeleza umoja miongoni mwa Watanzania na watu kutoka mataifa mengine, Vodacom Tanzania kupitia huduma...

READ MORE

Bei Ya Mafuta Yazidi Kupaa, Kuanza Kutumika Leo, Ewura Yataja Sababu

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei mpya za mafuta zitakazoanza kutumika leo Jumatano Oktoba...

READ MORE

Spika wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy Ang’olewa Madarakani

Spika wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy ameng’olewa madarakani baada ya kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye katika tukio...

READ MORE

Askari Polisi Ajipiga Risasi Kidevuni Mbele Ya Mpenzi Wake Na Kufariki – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linapenda kutoa ufafanuzi wa tukio la kujiua kwa kujipiga risasi kwa aliyekuwa Askari J.2596...

READ MORE

Tigo Yasherehekea Wiki Ya Huduma Kwa Wateja Na Watoa Huduma Pamoja Na Wateja Wake

Dar es Salaam, 4 Oktoba 2023: Ikiwa ni mwendelezo wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma Kwa Wateja, leo viongozi wa...

READ MORE

PUMA Energy Tanzania, Amend Waja Na Kampeni Ya Usalama Barabarani, Dar

PUMA Energy Tanzania kwa kushirikiana na Amend Tanzania wamezindua kampeni ya kuleta mabadiliko ya usalama barabarani kwa lengo la kuboresha...

READ MORE

Taasisi Ya Her Initiative Yazindua Jukwaa La Ongea Hub Kupitia Panda Digital

Taasisi ya Her Initiative inayoendesha jukwaa kubwa la Panda Digital imezindua jukwaa jipya la Ongea Hub upande wa jumbe za...

READ MORE