×

Habari

Korosho Ya Tanzania Iliyobanguliwa Yaondolewa Kodi India

Serikali ya India imekubali kuondoa ushuru wa asilimia 35 kwa korosho iliyobanguliwa kutoka Tanzania iliyokuwa ikitozwa awali kabla ya Rais...

READ MORE

Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Yatoa Ufafanuzi Taarifa Inayosambaa Mtandaoni

  Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imetoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu malalamiko yaliyotolewa na...

READ MORE

Wawili Wafariki Kwa Kuliwa Na Kiboko, Wanakijiji Wafunguka-“Tuna Mashaka Makubwa Sana”- Video

Watu wawili wanadaiwa kufariki dunia baada ya kuliwa na mnyama kiboko katika bwawa la milala Manispaa ya Mpanda mkoa wa...

READ MORE

Mjumbe wa Umoja wa Mataifa apewa saa 72 kuondoka Niger

Watawala wa Niger wamempa saa 72 Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuondoka nchini humo, wakiushutumu Umoja wa Mataifa kwa...

READ MORE

Mfalme Charles III, Malkia Camilla Kuzuru Kenya Mwezi Huu

Mfalme wa Uingereza Charles III na mkewe Malkia Camilla watafanya ziara ya kiserikali ya siku nne nchini Kenya kuanzia mwisho...

READ MORE

Unamjua Osman Bey (Burak Ozcivit), Ana Utajiri wa Kiasi Gani?

Burak Ozcivit wengi mnamfahamu kwa jina la Osman Bey kama jina lake la uigizaji lilivyo, ndoto zake zilikuwa ni kuwa...

READ MORE

Uwanja Wa Ndege JNIA Terminal 2 Kufungwa Kwa Muda Kupisha Maboresho 2024

Naibu waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amesema Uongozi wa uwanja wa ndege wa kimataiafa wa Julius Nyerere – Terminal 2...

READ MORE

Waziri Jenista Atembelea Banda la NSSF Katika Maonesho ya Wiki ya Vijana

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. Jenista Mhagama ametembelea banda la NSSF wakati wa...

READ MORE

Mzozo wa Israel na Palestina: Idadi ya Waisraeli waliouawa yafikia 1200

Idadi ya vifo nchini Israel imeongezeka hadi 1200, shirika la utangazaji la umma la Kan limesema. Waathirika walikuwa raia, iliongeza....

READ MORE

UWT Dar, Waanza Safari Ya Kwenda Dodoma Kumpokea Katibu Mkuu Jokate Mwegelo

Dar es Salaam 11 Oktoba 2023: Wanawake kutoka makundi na sehemu mbalimbali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) jijini Dar, jana...

READ MORE

Rais Biden asema Marekani iko pamoja na Israeli – Video

Rais Joe Biden alisema Jumanne kuwa “ wako pamoja na Israeli,” wakati Washington ikijaribu kupunguza mivutano Mashariki ya Kati baada...

READ MORE

Benki ya NBC, Jubilee Allianz Kutoa Huduma za Bima Kupitia Vituo vya Total Energies

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa ushirikiano na Kampuni ya Bima Jubilee Allianz wamezindua kampeni maalum inayofahamika kama ‘Bima...

READ MORE

Hospitali Ya Mloganzila Kuongeza Shepu Na Matiti

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini itafanya huduma za kibingwa bobezi za upasuaji wa kupunguza uzito na...

READ MORE

Ujio wa Gemu Mpya Meridianbet Mkombozi wa Maisha

Expanse Studios iko tayari kuandika historia huko G2E Las Vegas, ambayo ni Roma ya sasa kwenye ulimwengu wa iGaming, ili...

READ MORE

Benki ya NBC Yasafirisha Wafanyabiashara Kwenda China

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kupitia klabu yake ya biashara ijulikanayo kama NBC B-Club imeratibu safari ya wafanyabiashara 10...

READ MORE

Mwakinyo Afungiwa Mwaka Mmoja na Kamisheni ya ngumi Nchini

Kamisheni ya ngumi za kulipwa Nchini (TPBRC) kupitia Kamati yake ya Nidhamu imetangaza kumfungia Bondia Hassan Mwakinyo kwa kipindi cha...

READ MORE

Pelekeni Taa Uwanja Wa Ndege Arusha Na Iringa Na Maeneo Ya Kiutalii

Naibu Waziri Uchukuzi, David Kihenzile ameitaka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kupeleka taa za kuongoza ndege katika maeneo...

READ MORE

Eden Hazard Atangaza Kustaafu Soka Akiwa Na Umri Wa Miaka 32.

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Lile, Chelsea na Real Madrid, Eden Hazard ametangaza kustaafu kucheza soka akiwa na umri...

READ MORE

DC Mgomi Akabidhi Mashine ya Kutolea Photocopy Shule ya Sekondari Shinji

Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amekabidhi Mashine ya Photocopy katika Shule ya Sekondari Shinji ambayo imetolewa na Kampuni...

READ MORE

Chongolo Atinga Bandari ya Kasanga Kuona Upanuzi wa Bandari hiyo

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Godfrey Chongolo akimsikiliza Rodriguez Valentin ambae ni Afisa katika Bandari ya...

READ MORE

Dkt. Biteko Azindua Mpango Mkakati Kutangaza Vivutio Vya Utalii Pangani

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko  amezindua mpango mkakati wa kutangaza fursa  zilizopo Sekta ya Utalii...

READ MORE

Rais Samia Atunukiwa Shahada Ya Heshima Ya Udaktari Wa Falsafa, India – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 10, 2023 ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima...

READ MORE

White House: Hakuna mpango wa kutuma wanajeshi wa Marekani nchini Israel

Katika dakika chache zilizopita, tumesikia kutoka kwa msemaji wa Baraza la Usalama la Kitaifa la White House, John Kirby. Kirby...

READ MORE

Rais Biden ahojiwa kuhusu nyaraka za siri ikulu ya Marekani

Rais Joe Biden, wa Marekani, amehojiwa ikiwa ni sehemu ya uchunguzi huru kuhusu jinsi alivyoshughulikia nyaraka za siri, ikulu ya...

READ MORE

Naibu Waziri wa Uchukuzi: Mchakato wa Kutafuta Mfumo Bora wa Namna ya Kupeleka Mifugo nje Umeanza

Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile amesema Wizara ya Uchukuzi imeanza mchakato wa kutafuta mfumo bora wa namna ya...

READ MORE

Watanzania Waaswa Kujitokeza Monesho ya Dar Constructions EXPOctions

Hayo Yamesemwa leo na Mkurugenzi na Muandaaji wa Maonesho hayo Bw. Deogratius John Kilawe , alipokuwa akiongea na Waandishi wa...

READ MORE

Hekari 807 Za Bangi Zateketezwa Mkoani Mara

  Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola, imefanya operesheni...

READ MORE

Watanzania Wawili Hawajulikani Walipo Mapigano Ya Nchini Israel, Balozi Afunguka

  Wakati mapigano yakiendelea nchini Israel kati ya Taifa hilo na kundi la wanamgambo la Hamas la nchini Palestina, imetoka...

READ MORE

Rais Samia Suluhu Hassan Amezuru Kaburi La Baba Wa Taifa India

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Leo Oktoba 09, 2023 akiwa kwenye ziara yake...

READ MORE

Biashara Kati ya India na Tanzania Kufanyika Kwa Shilingi na Rupia

Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania na Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi, wamekubaliana kuongeza matumizi ya fedha za nchi...

READ MORE

Mbunge Wa Arusha Mjini, Afunguka Miladi Mradi Wa TACTIC, Wadau Wapongeza – Video

Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amesema kuwa mradi wa TACTIC kwa jiji hilo tayari umeiva na mkandarasi ameshasaini mkataba...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Wafanyabiashara Akiwa njiani Kuelekea India – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara pamoja na Wawekezaji mbalimbali wa Tanzania wakati...

READ MORE

Kamati Ya Siasa CCM Kibiti Yakangua Miradi Ya Maendeleo, Yaridhika Na Utekelezaji Wa Ilani Ya Chama

Kibiti Pwani 8 Oktoba 2023: Kamati ya siasa ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ikiongozwa na Mwenyekiti wake...

READ MORE

Kocha wa Yanga Gamondi Atamba Kuwa na dawa ya wapinzani Ligi ya Mabingwa Afrika

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuwatambua wapinzani wao katika hatua ya...

READ MORE

Msanii wa Gospel, Noella Alain Atoa Ushauri kwa Wasanii wa Muziki wa Injili

Msanii wa muziki wa Gospel, Noella Alain @noelamartha anayefanya vizuri na wimbo wa Roho ya Mazoea, amesema kuimba muziki wa injili ni...

READ MORE

Elimu ya Matumizi Huduma ya PSSSF Kiganjani Yatua “Waajiri Health Bonanza”

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Profesa Joyce Ndalichako, ameshiriki katika michezo...

READ MORE

Simbachawene: Takukuru Zuieni Rushwa Kabla Haijatokea

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amewataka Wahitimu wa Mafunzo...

READ MORE

Athanas Myonga Ashinda Tsh. Milioni 7 za Shindano la Stories Of Change 2023

Athanas Myonga amefanikiwa kuwa Mshindi wa kwanza katika Shindano hilo lililoandaliwa na Taasisi ya Jamii Forums ambapo Wananchi mbalimbali walipata...

READ MORE

Wanajeshi 6 wa Afrika Kusini wafariki katika ajali ya moto

Wanajeshi sita wa Afrika Kusini walifariki baada ya moto kuzuka katika kituo cha mafunzo cha jeshi kaskazini mashariki mwa nchi,...

READ MORE