×

Habari

Nmb Yashinda Tena Tuzo ya Kuongoza Kuwafadhili Wajasiriamali Afrika

  Benki ya NMB imetunukiwa tena tuzo na jukwaa la kufadhili ujasiriamali duniani (SME Finance Forum) kutokana na huduma zake...

READ MORE

Kagame Kugombea Mhula Mwingine Madarakani Mwaka Ujao

Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema kwamba atagombea mhula mwingine madarakani katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Kagame, ambaye aliingia...

READ MORE

Mahakama: Vicky Kamata Hakuwa Mke Halali Wa Dkt. Likwelile, Alikuwa Masuria

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imekataa pingamizi la Mbunge wa zamani, Vicky Kamata la kupinga uteuzi wa mtoto...

READ MORE

RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki

  NA MWANDISHI WETU MKUU wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa...

READ MORE

Oryx Gas Tanzania Yatangazwa Kampuni Bora Ya Kimataifa 2023, Yapewa Tuzo

Dar es Salaam, 21 Septemba 2023: ORYX Gas Tanzania imeshinda Tuzo ya Kampuni Bora ya Kimataifa ya mwaka ambayo imetolewa...

READ MORE

Director Kenny, Infinix Tanzania Kuja Kuthibitisha Ubora wa Zero 30 Camera Kwa Vloga

Huenda habari kuhusu Infinix ZERO 30 sio mpya masikioni mwako tangu kuzinduliwa kwake imekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii na...

READ MORE

Kampuni ya Ziiki Media Yamkana Diamond, Yasisitiza Siyo Mmiliki Wala Hana Hisa

  Baada ya uvumi wa muda mrefu kwamba staa wa Bongofleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ndiye mmiliki wa Kampuni ya...

READ MORE

Rais Samia agoma ombi la wananchi kumwondoa mwekezaji

RAIS Samia Suluhu Hassan, amekataa ombi la wananchi lililotaka afute hati ya umiliki ardhi inayodaiwa kuporwa kinyume cha sheria na...

READ MORE

Nyumba ya Meya wa Derna Yachomwa moto na waandamanaji Libya

Nyumba ya Meya wa mji wa Derna uliopo Libya imechomwa moto wakati mamia ya waandamanaji wakitaka majibu kuhusiana na janga...

READ MORE

Maafisa 1,000 wa polisi wa mji wa London wasimamishwa kazi kwa utovu wa nidhamu

Takriban maafisa 1,000 wa polisi wamesimamishwa kazi au kuwekewa masharti ya kazi ikiwa ni sehemu ya juhudi za kulisafisha jeshi...

READ MORE

GGML yatoa milioni 150 kudhamini Maonesho ya 6 ya Teknolojia ya Madini Geita

NA MWANDISHI WA WETU KATIKA kuendelea kudumisha dhamira ya ubunifu wa kiteknolojia, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa...

READ MORE

Serengeti Yatambulisha Tamasha La Oktoba 2023 Linalolenga Kusherekea Tamaduni Za Kitanzania

Dar es Salaam, Tanzania–September 20, 2023. Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) inafuraha kutangaza tamasha la Oktoba Fest, linalolenga kusherekea...

READ MORE

Rais Samia Aandika Historia Mpya Katika Sekta ya Uvuvi Nchini (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Septemba 19, 2023 ameandika historia mpya katika...

READ MORE

Wabunge Marekani Wataruhusiwa Kuvaa Wanavyotaka Wakiwa Bungeni

Kuanzia Jumatatu ya jana wabunge nchini Marekani wataruhusiwa kuvaa vile wanavyotaka wakiwa Bungeni. Akizungumza na Shirika la habari la CBS...

READ MORE

Tumeshinda Kesi Baada ya Ndugu Kutaka Kutudhulumu Nyumba ya Urithi

Jina langu ni Yamola, nina umri wa miaka 20, mimi ndio mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia yetu yenye jumla...

READ MORE

UNICEF: Zaidi ya watoto 1,200 wamefariki katika kambi za wakimbizi nchini Sudan

Zaidi ya watoto 1,200 wamefariki katika kambi za wakimbizi nchini Sudan tangu mwezi Mei, huku maelfu ya watoto wanaozaliwa huenda...

READ MORE

Kuwezesha Wanawake: Mpango Wa CPS STEM Waadhimisha Mahafali Katika Mji Wa Fumba Town

Unguja Magharibi, Septemba 15, 2023 – Mpango wa CPS STEM umefikia kilele kwa sherehe za wahitimu kwenye mji wenye mandhari...

READ MORE

Marekani na Norway kuzindua mfuko wa kusaidia kupambana na njaa barani Afrika

Marekani na Norway zimeahidi jumla ya dola milioni 70 za kuzindua mfuko, ulioripotiwa nchini Norway kwa mara ya kwanza, kusaidia...

READ MORE

Rais Samia Aweka jiwe la msingi katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Lindi – Video

Rais Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Lindi, ambayo inatarajia kutoa huduma za...

READ MORE

Wapiga Kura 216,282 Kupiga kura Uchaguzi Mdogo Mbarali, Kata Sita

Wapiga kura 216,282 walioandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wanatarajiwa kupiga kura leo Septemba 19, 2023 kwenye uchaguzi...

READ MORE

NCBA Bank Tanzania Yaja Na Kampeni Ya “Maisha Ni Hesabu’ Inayolenga Kuleta Mapinduzi Kwenye Huduma Za Kibenki

Dar Es Salaam, 20 Septemba — NCBA Bank Tanzania, taasisi kinara kabisa ya fedha nchini, inajivunia kuzindua kampeni yake kubwa...

READ MORE

Julio, Sekilojo Chambua, Waingia Mitaani Kusaka Vipaji Vya Soka Na Kucheza Safari CUP, Mchezaji Bora Kusajiliwa (EPL)

Dar es Salaam 19 Septemba 2023: Makocha wazawa wa hapa nchini, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ na Sekilojo Chambua wamepewa kazi maalum...

READ MORE

Vijana Wa Hanang Kujengewa Uwezo Na Programu Ya “Learning For Life” Ya SBL

Manyara, Hanang 18 Septemba 2023 – Serengeti Breweries Limited inafurahi kutangaza uzinduzi wa Programu ya “Learning for Life”kwa vijana wa...

READ MORE

Serengeti Lite Wanajambo Lao Leo

READ MORE

Wezi Waliovamia Duka na Kuiba, Wakutwa Wakiwa Wameuchapa Usingizi Dukani

Jina langu Joe, kwa wakati mmoja niliibiwa kwenye duka langu jambo ambalo lilinirudisha nyuma kwa kiwango kikubwa, hivyo ilinilazimu kufunga...

READ MORE

Mtoto Wa Kiongozi Nguli Wa Dawa Za Kulevya El Chapo Asafirishwa Hadi Marekani

Mtoto wa mfanyabiashara maarufu wa dawa za kulevya Joaquín “El Chapo” Guzmán amerejeshwa Marekani kwa tuhuma za ulanguzi wa dawa...

READ MORE

Rais Samia Aweka Shada La Maua Kwenye Kaburi La Hayati Mkapa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa...

READ MORE

Mwanafunzi Wa Kidato Cha 4 Atuhumiwa Kuchoma Moto Madarasa Mawili Mbeya

Mwanafunzi Yesse Charles mwenye umri wa miaka 17 anatuhumiwa kufanya tukio hilo katika Shule ya Sekondari ya Serikali Iyela kwa...

READ MORE

#Exclusive: Dipper Rato Staa Anayetrendi Arusha – “Sivai Braa Inabana, Nilishawahi Kupata Tuzo”- Video

Msanii wa vichekesho wa kipindi cha Kitimtim, ambaye pia ni mfanyabiashara jijini Arusha, @dipper_rato amesema kuwa anapenda nguo kubwa kwasababu...

READ MORE

Maelfu ya waombolezaji wakusanyika Afrika Kusini kwa ajili ya mazishi ya kitaifa ya Mangosuthu Buthelezi

Vyombo vya habari vya Afrika Kusini viliripoti kuwa Twiga wawili na swala sita wamechinjwa na kuchunwa ngozi ikiwa ni sehemu...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumapili, Septemba 17, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 17, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Kampuni ya Oryx Gas Na Doris Mollel Foundation Watoa Elimu Ya Matumizi Ya Nishati Ya Gesi Ya Kupikia Kwa Wamasai

KAMPUNI ya Oryx Gas kwa kushirikiana na Doris Mollel Foundation imetoa elimu ya matumizi sahihi na salama ya kupikia kwa...

READ MORE

Mbinu Nilizotumia Kukabiliana na Ugonjwa wa Kifafa Ulioitesa Familia Yetu

  Naitwa Kamau kutoka Nyamira, una kila mtu hufurahia kuona wapendwa wake wakiishi kwa amani na wenye afya kila siku,...

READ MORE

Hospitali ya Kairuki Green IVF Yaleta Tabasamu kwa Wasiopata Watoto

  KITUO cha Upandikizaji Mimba cha Kairuki Hospital Green IVF (KHGIVF), kimeendesha mafunzo kwa madaktari wa hospitali mbalimbali kuhusu namna...

READ MORE

Rais Samia Awataka Wasafirishaji wa Korosho Kwa Malori Kupata Kibali (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka wasafirishaji wa korosho kwa malori mkoani Mtwara kupata kibali...

READ MORE

Niger: Utawala mpya wa kijeshi wafuta hati za kusafiria za kidiplomasia

Watawala wapya wa kijeshi wa Niger wamefuta zaidi ya hati za kusafiri 990 za kidiplomasia zilizokuwa zinashikiliwa na raia wa...

READ MORE

Jichukulie Maokoto Ya Meridianbet Kupitia Halopesa – Video

Meridianbet, kampuni kubwa ya michezo ubashiri mtandaoni, inafuraha kutangaza ushirikiano wake wa kipekee na Halopesa , moja ya mtoa huduma...

READ MORE

Majaliwa Aipongeza TARURA Kutumia Teknolojia ya mawe kwenye ujenzi wa madaraja

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa (Mb) ameipongeza Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)...

READ MORE

Bei ya mafuta nchini Kenya yapanda kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa

NAIROBI – Wakenya kuanzia Jumatatu wameanza kulipia bei ya juu wanaponunua bidhaa za petroli kufuatia tangazo la bei mpya iliyotangazwa...

READ MORE

Kampuni Ya Oryx Energies Yawekeza Katika Ugavi Na Usambazaji Wa LPG Zanzibar

Mji Mkongwe Zanzibar, Tanzania na Geneva, Uswisi, Septemba 15, 2023: Kampuni ya Oryx Gas Zanzibar Limited imeungana na kampuni ya...

READ MORE