×

Habari

TANESCO Watoa Tamko Kukatika kwa umeme Uwanja wa Benjamin Mkapa

Kufuatia kukatika kwa umeme Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati mechi kati ya Yanga na Rivers United ya Nigeria ikiendelea, Shirika...

READ MORE

GGML Yaibuka kampuni kinara inayozingatia malengo ya SDGs

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya AngloGold Ashanti – Geita Gold Mining Limited (GGML) imeibuka mshindi wa jumla katika tuzo za...

READ MORE

St Mary Goreti Yapongezwa Na Serikali Kwa Ubunifu Kuelekea Jubilee

SERIKALI mkoani Kilimanjaro imeupongeza uongozi wa shule ya sekondari ya St Maria Goreti iliyoko Moshi, kwa ubunifu na juhudi katika...

READ MORE

Mchumba Wangu Alitembea na Mwanaume Mwingine Siku Moja Kabla ya Ndoa Yetu

Huku Tanga nilikutana na msichana mmoja mrembo na kumpenda sana, alikuwa na umbo zuri la kuvutia sana, mwenyewe nilimpenda sana...

READ MORE

NECTA Yafunga Vituo Viwili Vya Kufanyia Mitihani, Waliodanganya Mitihani Kidato Cha Nne Kurudia – Video

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limevifungia vituo viwili vya mitihani ambavyo ni Shule Sekondari Thaqaaf iliyoko Mwanza na Twibhoki iliyoko...

READ MORE

Waziri Dk. Mabula Afafanua Upotoshaji Viwanja Vinavyomilikiwa na Kampuni ya Slipway Towers

  Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametoa ufafanuzi wa viwanja vinavyomilikiwa kampuni ya Slipway Towers Ltd...

READ MORE

Steve Nyerere Awalipua Waliosusia Tuzo Za TMA – “Wakisusa Wasuse” – Video

Msanii wa filamu za Kibongo na mwenyekiti wa taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengere maarufu Steve Nyerere, amewachana...

READ MORE

Yanga: Njooni Mjifunze Kwetu Dhidi ya Rivers leo Katika Uwanja wa Mkapa

MASTAA wa Yanga huwaambii kitu kwa sasa zaidi ya kuwaza ni kwa namna gani watafanikiwa kuweka rekodi ya kufuzu kwenda...

READ MORE

Kikwete Apiga Simu Laivu Kenye Tuzo Za TMA, Atunukiwa Tuzo Ya Heshima -Video

RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amepewa tuzo ya heshima na Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) usiku wa...

READ MORE

ILO Yatunukiwa Tuzo Kwenye Maadhimisho Siku ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi Duniani

Mwakilishi wa shilika la kazi duniani nchini (ILO), Getrude Sima amepokea tuzo waliyotunukiwa na Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) kwenye...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Azindua Kampeni ya Mama Samia, Atembelea Banda la NMB

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa amewataka watanzania kuitumia kampeni ya Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kutoa taarifa...

READ MORE

NMB Yang’ara Maonesho ya OSHA, Yaibuka Benki Kinara Yenye Sera Bora ya Usalama, Afya Mahali pa kazi

Katika maadhimisho ya siku ya afya na usalama mahali pa kazi duniani yanayoratibiwa kitaifa na Wakala wa Afya na Usalama...

READ MORE

Tigo Washinda Tuzo Ya Kuzingatia Usalama Na Afya Kazini Kwa Mara Nyingine

Morogoro: Kampuni Namba moja nchini kwa utoaji wa Huduma za Kidigitali Tigo Tanzania, Leo Aprili 28 , 2023 imetangazwa (...

READ MORE

Waziri Mwigulu Azindua Tawi Jipya La Kisasa La Benki Ya Mwanga Hakika Jijini Arusha

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amehudhuria hafla ya uzinduzi wa tawi jipya la kisasa la Benki ya...

READ MORE

Kongamano La Biashara, Uwekezaji Kati ya Tanzania na Malawi Kufungua Biashara Zaidi

Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) pamoja na  Ubalozi wa...

READ MORE

Infinix, Vodacom Wazindua Infinix HOT 30 Na Chemsha Bongo Ya TECH Kwa Wanavyuo

  DAR ES SALAAM, Aprili 28, 2023 – Infinix kwa ushirikiano na kampuni inayoongoza ya teknolojia na mawasiliano, Vodacom Tanzania...

READ MORE

Mwenyekiti wa BBC Ajiuzulu Kisa Mkopo wa Dola Milioni Moja

Mwenyekiti wa shirika la utangazaji la BBC Richard Sharp alijiuzulu Ijumaa baada ya ripoti huru kubaini kuwa alikiuka kanuni kuhusiana...

READ MORE

GGML Yaibuka Muonyeshaji Bora Katika Maonyesho ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi 2023

KATIKA maadhimisho ya siku ya afya na usalama mahali pa kazi yanayoratibiwa na Wakala wa afya na usalama mahali pa...

READ MORE

Odds Kubwa za Ushindi Mechi za Jumamosi na Jumapili

Ligi nyingi zinaelekea ukingoni huku timu zote zikipambana kutopoteza michezo yao iliyosalia, Meridianbet inakufanya ufurahie wikiendi yako kwa odds kubwa...

READ MORE

Rais Paul Kagame Ahitimisha Ziara yake ya Kikazi ya Siku Mbili Nchini Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame amehitimisha ziara yake ya kikazi ya siku mbili nchini Tanzania na kurejea nchini...

READ MORE

Bondia Aliyeriki Dodoma Kwa Kipigo, Familia Yaibua Utata

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini Ibrahim Najum kutoka Mbeya amefariki juzi mchana katika hospitali ya rufaa ya Dodoma alipokuwa...

READ MORE

Ajali Mbaya: Prado Lagonga Lori Pwani, Mpishi Maarufu Lilian Catering Afariki… -Video

Mpishi maarufu wa vyakula na mpambaji kwenye shughuli mbalimbali mwenye makazi yake mkoani Morogoro anayejulikana kwa jina maarufu la Lilian...

READ MORE

Mzozo wa Sudan: Uingereza Yamhamishia Balozi Wake wa Sudan, Ethiopia

Uingereza inasema Giles Lever, balozi wake nchini Sudan, amehamishiwa katika nchi jirani ya Ethiopia baada ya kufungwa kwa ubalozi wake...

READ MORE

Fistoni Mayele Aongoza kwa Kupendwa na Wanawake Bongo

MCHEZAJI mahiri wa Yanga, Fistoni Mayele anaongoza kwa kupendwa na wapenzi wa mpira wa miguu wanawake Bongo. Utafiti uliofanywa na...

READ MORE

Mr Eazi na DJ Edu Watangaza Kuachia Wimbo wa Kwanza wa Choplife Soundsystem Uitwao Wena

  Baada ya kutangaza habari kubwa za ujio wa project ya Afrodance Soundsystem , wasanii wakubwa wa muziki, Mr Eazi...

READ MORE

Urusi Yamzuia Balozi wa Marekani Kumtembelea Mwandishi

URUSI imesema haitamruhusu balozi wa Marekani kumtembelea mwandishi wa habari wa Marekani aliyezuiliwa nchini humo Evan Gershkovich Waziri wa mambo...

READ MORE

Fiston Mayele Awapiga Mkwara Mzito Rivers United kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar

STRAIKA hatari wa Yanga raia wa DR Congo, Fiston Mayele, ameibuka na kusema kuwa, amesikia kauli za viongozi wa Rivers...

READ MORE

Wanajeshi 33 wa Burkina Faso Wauawa katika Shambulio la Wanamgambo wa Kiislamu

Shambulio la watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa kiislamu liliua wanajeshi 33 mashariki mwa Burkina Faso jana Alhamisi, jeshi limesema. Kikosi...

READ MORE

Nawashukuru WCF Kwa Kuniwezesha Kuyamudu Maisha” Mnufaika wa Fidia

MNUFAIKA wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) Bw. Deus Anthony, ameushukuru Mfuko huo kwa kumuwezesha kuyamudu maisha licha ya...

READ MORE

GGML Yaja na Teknolojia za Kisasa Maonesho ya OSHA, Wananchi Wavutiwa Mifumo ya Usalama

  NA MWANDISHI WETU KATIKA kuadhimisha siku ya usalama na afya mahala pa kazi duniani – 2023 ambayo kitaifa yanafanyika...

READ MORE

Benki Ya NMB Yashiriki Wiki ya Ubunifu 2023 Dodoma

 Benki ya NMB imeendelea kuunga mkono juhudi ya Serikali kupitia Wizara ya Sayansi, Elimu na Teknolojia, kwa kudhamini na kushiriki...

READ MORE

Blackjack Live ni Sloti Rahisi Kushinda Hela Meridianbet

Sloti ya Blackjack Live      Kasino ya Mtandaoni Meridianbet kwa kushirikiana Expanse Studios wamekuja na sloti ya kijanja ya Blackjack Live/...

READ MORE

Basata Yaungana na Kampuni ya Chapride Kunogesha Tuzo za TMA, Watu 1500 Kusafiri Bure

  Kuelekea kilele cha Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) zitakazotolewa April 29, 2023 katika Ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini...

READ MORE

Rais Samia Ampokea Rais Kagame Ikulu Dar, Apigiwa Ngoma Za Asili – (Video+Picha)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Aprili 27, 2023 amempokea Mgeni wake Rais wa Rwanda...

READ MORE

Chama: Uzoefu Unatubeba Dhidi ya Wydad Casablanca Morocco

KUELEKEA mchezo wao wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad Casablanca, kiungo Mzambia wa Simba, Clatous...

READ MORE

Wami/Ruvu Kuwaondoa Wanaoishi Chini Ya Daraja La Mto Morogoro

Morogoro, 27 Aprili 2023: Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu imeanza oparesheni ya kusafisha mito iliyopo mkoani Morogoro pamoja...

READ MORE

Rais Paul Kagame Awasili Nchini Kwa Ziara ya Kikazi ya siku Mbili – (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Rwanda leo Aprili 27, 2023 amewasili nchini kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili. Katika uwanja...

READ MORE

Wanafunzi wa Kitanzania Waliokuwa Masomoni Nchini Sudan Waondolewa Kurudishwa Tanzania

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imefanikiwa kuwaondosha wanafunzi wote wa Kitanzania...

READ MORE

Wapinzani Wa Yanga Waingia Mchecheto Mchezo wa Marudiano kwa Mkapa

YANGA washindwe wenyewe kwani wapinzani wao, Rivers United wanatarajiwa kuwakosa wachezaji wao wawili tegemeo watakapokutana katika mchezo wa marudiano wikiendi...

READ MORE

Msafara Wa Viongozi Wa Chadema Wapata Ajali, Watano Wajeruhiwa – Video

Viongozi kadhaa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamenusurika kifo baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali majira ya...

READ MORE