×

Habari

Rais wa China, Xi Jinping Achaguliwa Tena Kuongoza kwa Muhula wa Tatu

Rais wa China, Xi Jinping amechaguliwa tena leo Ijumaa Machi 10, 2023 kuwa Rais wa China ambapo ataiongoza Nchi hiyo...

READ MORE

Gavana wa Taliban wa Jimbo la Balkh Afghanistan Auawa katika Shambulio

Gavana wa Taliban wa jimbo la Balkh kaskazini mwa Afghanistan ameuawa katika shambulio la kujitoa mhanga linalodaiwa na kundi la...

READ MORE

Exclusive: Ezden Jumanne Afichua Kuwa Na Wake Wawili – “Msimtie Ubaya Didah, Sikulogwa” I Mapito

MTANGAZAJI maarufu kupitia Runinga na Online TV, Ezden Jumanne, amefungukia ndoa na aliyekuwa mke wake, Khadija Shaibu ‘Dida’ kuwa imemfunza...

READ MORE

Watu kadhaa Wafariki kwa Kupigwa Risasi kwenye Jumba la Jehovah Witness Ujerumani

Watu kadhaa wameuawa kwa kupigwa risasi kwenye jumba la mikutano la Jehovah Witness katika jiji la Hamburg kaskazini mwa Ujerumani....

READ MORE

Michuzi Aipongeza GGML Kufungua Fursa kwa Wanawake, Aahidi Ushirikiano

    MKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Zahara Michuzi ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa...

READ MORE

Chongolo Ataka Uundwe Mfuko wa Fidia wa Uharibifu wa Wanyamapori Nchini

Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo ameelekeza kuundwa kwa mfuko wa fidia kwa uharibifu unaofanywa na wanyamapori katika vijiji vyao...

READ MORE

Unataka ODDS KUBWA? Njoo Mwananyamala Kuna Duka Jipya la Meridianbet Litakupa Ukitakacho

  Hayawi hayawi sasa yamekuwa, walisema sana mwisho wa siku vita vimewashinda jemedari mwenyewe wakali wa hizi kazi Meridianbet, walifika...

READ MORE

Kongamano La Wadau Wa Gesi Ya LPG Afrika Mashariki Wadau Wa Gesi Wakutana Kuhamasisha Matumizi

Dar es Salaam, Machi 8, 2023: Kongamano la Wadau wa Gesi ya LPG Afrika Mashariki 2023 ni tukio kubwa kuliko...

READ MORE

Wanawake Wa Kampuni Ya Bima Ya Strategis Waacha Alama Ya Kipekee Katika Hospitali Ya Mwananyamala

WAFANYAKAZI wanawake wa kampuni ya bima ya Strategis wameacha alama ya aina yake kwa akina mama katika wodi ya wazazi...

READ MORE

Mwanajeshi wa Marekani Atokwa Machozi Akielezea Aliyopitia Afghanistan

Mwanajeshi wa zamani wa majini wa Marekani aliyejeruhiwa vibaya nchini Afghanistan ameelezea kujiondoa kwa nchi yake mwaka 2021 kuwa ni...

READ MORE

Nape Comments Minara Tanzania For Fast Tremendous Growth

Dar es Salaam Tuesday 7 March 2023 The Minister ofInformation, Communication and Information Technology Nape Nnauye has commendedthe Minara Tanzania Limited...

READ MORE

Savage Adondosha Ngoma Mpya, Your Waist Akiwashirikisha King Perryy, Psycho YP

MSANII wa muziki wa Rap kutoka Nigeria, Savage a.k.a Savage tha Beast amerejea tena na wimbo wake mpya ‘Your Waist’...

READ MORE

Uholanzi kuweka masharti mapya katika upelekaji wa teknolojia, China kutokana na sababu za kiusalama

Serikali ya Uholanzi imesema kwamba inapanga kuweka masharti mapya kwa upelekaji wa teknolojia za computer nchini China, ili kulinda usalama...

READ MORE

Lojay Aachia ‘Moto’ Ikiwa ni Maandalizi ya Kuachia EP Mpya, ‘Gangster Romantic’

  STAA wa Amapiano aliyetesa vilivyo na kibao chake ‘Monalisa’, Lojay sasa ameachia mtaani singo yake mpya inayokwenda kwa jina...

READ MORE

Jinsi Nilivyofanikiwa Kutoka Jela Baada ya Kufungwa Kwa Kosa Ambalo Sikulifanya

Ukweli ni kwamba siyo kila aliyefungwa jela ametenda kosa, wapo wengi wamefungwa vifungo virefu jela kwa mambo ya kusingiziwa na...

READ MORE

Rais Samia Agoma Kuingilia Sakata la kina Halima Mdee liko Mahakamani

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amekataa kukubali ombi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuingilia kati sakatala la wabunge...

READ MORE

Wafanyakazi wa Kike GGML Watoa Msaada wa Vifaa Tiba Geita

KIKUNDI cha wafanyakazi wa kike wanaofanya kazi katika kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML ladies) wanaofanya kazi mjini Geita,...

READ MORE

Benki Ya EQUITY Yaadhimisha Siku Ya Kimataifa Ya Wanawake Kwa Kipaumbele Cha Kidigitali Kibenki

Benki ya Equity inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake kwa kipaumbele cha suluhisho za kidigitali katika huduma zao za benki...

READ MORE

Rais Samia: Katiba Mpya ni Suala la Muda Kutatangaza Kamati

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema muda sio mrefu ataunda kamati kwa kushirikiana na vyama vingine vya siasa ambayo...

READ MORE

Meridianbet Yaiadhimisha Siku ya Wanawake Hospitali ya Sinza-IWD

Dunia huadhimisha siku ya wanawake kila mwaka Machi 8, Mwanamke ana thamani kubwa sana kwenye Maisha, kwangu Mwanamke ni Shupavu...

READ MORE

Siku ya Wanawake Duniani: Uthubutu, Uwezeshaji Kielimu Unavyopaisha Wanawake GGML

  MTU anapojitambulisha kuwa anafanya kazi mgodini, watu wengi hudhani kuwa kazi zilizopo ni kuingia chini ya ardhi kutafuta madini...

READ MORE

Wanawake Mahakama Waungana na Wenzao Kusherehekea Siku Ya Wanawake Duniani

Watumishi wanawake wanaofanya kazi Mahakama ya Tanzania Mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 08 Machi, 2023 wameungana na Wanawake...

READ MORE

Bamako Wanachakaa Mapema Kwa Yanga kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ameweka wazi kuwa amepanga kuwatumia washambuliaji wake wawili, Fiston Mayele na Kennedy Musonda kwa...

READ MORE

Nmb Yaibuka ya Kwanza Kusini Mwa Jangwa la Sahara kuorodhesha Hati Fungani ya kijinsia Soko la hisa Ulaya

Tukiwa tunaadhimisha siku ya wanawake duniani, NMB imeandika historia mpya kwa kuwa Benki ya kwanza Kusini mwa Jangwa la Sahara...

READ MORE

Ajali Geita! Watu Saba Wafariki Baada Ya Basi Kupasuka Tairi Na Kutumbukia Darajani….

Watu saba wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali ya basi la abiria la Kampuni ya Sheraton lenye namba za...

READ MORE

Homa ya ndege aina ya H5N1 yaripotiwa Paris, Ufaransa

Shirika la kimataifa la afya ya wanyama WOAH, limesema kwamba Ufaransa imeripoti mlipuko wa homa ya ndege aina ya H5N1...

READ MORE

Heri ya Siku ya Wanawake 2023 kutoka Global Publishers

Leo, Machi 8, 2023 ni siku kama siku nyingine yoyote ile katika maisha yetu lakini kinachoifanya iwe na tofauti ya...

READ MORE

Ukraine Yakanusha Kulilipua bomba la Gesi ya Urusi la Nord Stream

Ukraine imekanusha kuhusika kwa namna yoyote na shambulio lililotokea mwezi Septemba mwaka jana kwenye mabomba ya Nord Stream, ambayo yalibeba...

READ MORE

Chongolo Atangaza Neema Kwa Walimu Watakaokubali Kwenda Kufundisha Vijijini

  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ametangaza neema kwa walimu watakaokubali kwenda kufanya kazi vijijini kwa...

READ MORE

Mwenyekiti Jumuiya Ya Wazazi (CCM) Dar, Awataka Vijana Kufanyakazi Kwa Bidii na Kukijenga Chama

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) mkoa wa Dar es Salaam Bi. Khadija Ally  amewataka vijana wa CCM kuendelea kufanya...

READ MORE

Mapacha Waliozaliwa Kwa Ujauzito Wa Miezi 4 Wavunja Rekodi Ya Guinness

Watoto Adiah na Adrial Nadarajah wameweka rekodi mpya na kupita rekodi ya awali ya Siku 125 iliyowekwa Mwaka 2018 na...

READ MORE

DCB Yaahidi Huduma Bora kwa Vikundi Vya Wajasiriamali Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogoro na Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Omary Kumbilamoto wamekabidhi hundi...

READ MORE

Watu 9 Wafariki Ajalini, 30 Wajeruhiwa Wilayani Tanganyika Mkoani Katavi – Video

Watu 9 akiwemo Mama mjamzito wamefariki Dunia na wengine 30 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupinduka na kudondokea bondeni...

READ MORE

Kocha wa Yanga Aandaa Mbinu Za Kivita Kuwaua Bamako kesho Kwa Mkapa

ALICHOKIPANGA Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ni kuwavurga Real Bamako na kuondoka na alama tatu kwenye mchezo wao wa...

READ MORE

UCL ya Moto Kamata Odds Kubwa Kutoka Meridianbet leo na Kesho ni Shangwe!!

The wait its over! Mbivu na mbichi kujulikana ni timu gani itafuzu hatua ya robo fainali ya UCL, ni mechi...

READ MORE

Mume Wangu Amerejea Nyumbani Baada ya Kunitelekeza na Watoto Miaka Miwili

  Katika miaka 21 niliyoishi kwenye ndoa, nimehitimisha kwa kusema kuwa; ndoa inahitaji uvumilivu mkubwa sana, ndoa inahitaji kuwa na...

READ MORE

Kiongozi wa upinzani wa Belarus apewa kifungo cha miaka 15 jela kwa tuhuma za kupanga mapinduzi

Kiongozi wa upinzani wa Belarus, Sviatlana Tsikhanouskaya, aliyeko uhamishoni, Jumatatu amepewa kifungo cha miaka 15 jela, licha ya kutokuwepo nchini,...

READ MORE