×

Habari

Rushwa ya Ngono Makazini Bado ni Tatizo Kubwa Nchini, Lazima Idhibitiwe

LICHA ya kuwepo kwa tafiti mbalimbali zilizofanywa na Taasisi ya Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)  na tafiti zilizofanywa na Chama cha...

READ MORE

Mawakala wa Bima Wafanya Mkutano Kujadili Changamoto, Kamishna Awaahidi Neema

  Dar es Salaam 7 Desemba 2022: Viongozi wa mawakala wa bima nchini kutoka kanda tano za Tanzania Bara pamoja...

READ MORE

Makamu wa Rais Nchini Argentina Cristina Kirchner Ahukumiwa Kifungo cha Miaka Sita

Makamu wa Rais Nchini Argentina Cristina Kirchner amehukumiwa kifungo cha miaka sita (6) jela kwa matumizi mabaya wa Mali ya...

READ MORE

Orodha ya Wanachama Walioteuliwa Kugombea Nafasi ya Ujumbe wa NEC viti 15 Tanzania BARA

Orodha ya wanachama walioteuliwa kugombea nafasi ya ujumbe wa NEC viti 15 Tanzania BARA  

READ MORE

CCM Yapitisha Wanachama 374 Kugombea Nafasi za Ujumbe wa Halmashauri Kuu

Kikao cha halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika mkoani Dodoma, kimepitisha majina ya wanachama 374 wa CCM wanaogombea...

READ MORE

Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Yampitisha Dkt. Samia kuwa Mgombea Pekee wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa

Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imempitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mgombea pekee...

READ MORE

Mkuu wa Jeshi la Polisi Atangaza Nafasi za Ajira kwa Vijana Waliohitimu JKT na JKU

  Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa...

READ MORE

Jaji Mkuu Mstaafu Othman Chande Awatunuku Wahitimu 943 ARU

WAKUFUNZI 54 wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), wamepata ufadhili wa kusoma Shahada za Uzamili kupitia mradi unaolenga kufanya tafiti kutatua...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Milioni 960 za Uhuru Zijenge Mabweni Katika Shule nane za Msingi

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza TZS milioni 960 ambazo zilitengwa katika bajeti kwa ajili ya maadhimisho ya...

READ MORE

Waandishi wa Habari Waaswa Kutumia Kalamu Zao Kutangaza Mazuri ya Nchi

  Dar es Salaam, 6 Disemba 2022: Wanahabari nchini wameaswa kutumia kalamu zao kutangaza mema ya nchini na kuachana na...

READ MORE

Kampuni ya T-PESA Yazindua Huduma za Bima

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima nchini Tanzania (TIRA), imeipongeza Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) T-Pesa kwa...

READ MORE

Anayevuruga Mitihani Ashitakiwe Mahakamani, Aende Jela-Waziri Mkenda

  Serikali imeweka bayana dhaira yake ya kuchukua hatua kali za uwajibikaji kwa Maafisa Elimu wa Mikoa, Wilaya, Walimu na...

READ MORE

Wilaya ya Tanganyika Kuadhimisha Miaka 61 ya Uhuru kwa Kupanda Miti

  Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi,katika kuadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanganyika Desemba 9 mwaka huu, jana...

READ MORE

Fedha za Maadhimisho ya Uhuru Kujenga Mabweni ya Shule Nane

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amesema fedha zilizokuwa zimetengwa na...

READ MORE

Kampuni ya Kilombero Yaibuka Kidedea Tuzo za ATE 2022

DAR ES SALAAM, Kampuni ya Sukari ya Kilombero imefanikiwa kunyakua tuzo katika kipengele cha Uanagenzi na Mafunzo (Apprenticeship and Internship)...

READ MORE

Kanisa la Mlima wa Moto Kumuenzi Hayati Dkt. Getrude Rwakatare

  KANISA la Mlima wa Moto Mikocheni jijini Dar es Salaam, limezindua kongamano liitwalo SHILO kama sehemu ya kumuenzi mwanzilishi...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Akabidhi Tuzo Kwa NMB ya Mwajiri bora wa mwaka 2022   

Benki ya NMB imetangazwa kuwa Mwajiri bora wa mwaka 2022 katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Chama cha...

READ MORE

TEN MET Yataka Ubora wa Elimu Ukidhi Mahitaji ya Wenye Ulemavu

  MTANDAO wa Elimu Tanzania (TEN/MET), umetoa changamoto kwa wadau wa elimu nchini kwa kushirikiana na Serikali kuhakikisha mabadiliko ya...

READ MORE

Waziri Aitembelea TPDC na Kupewa Maelezo Kuhusu Matumizi ya Gesi Asilia Majumbani

  Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Omary Said Shaaban ametembelea jengo la Shirika la Maendeleo ya Petroli...

READ MORE

Serikali ya Iran Yawanyonga Majasusi Wanne Wanaodaiwa Kutumwa na Israel

Serikali ya Iran imewanyonga majasusi wa nne wa Israel waliohukumiwa kifo baada ya kukamatwa, wakituhumiwa kutumwa na Israel kuipeleleza nchi...

READ MORE

Bandari Kavu ya Kwala Mkoani Pwani Kuanza Kutumika Januari, 2023

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi anayesimaia Sekta ya Uchukuzi Bw. Gabriel Migire amesema  Kufikia Januari, 2023...

READ MORE

Kampuni ya Marekani Yazindua Ndege ya Makombora ya Nyuklia

Kampuni ya Northrop Grumman Corp imezindua ndege yake mpya ya ufyatuzi wa mabomu aina ya B-21 “Raider” aina ya jet,...

READ MORE

Wanafunzi wa Kerege Wanufaika na Madawati 140 Yaliyotolewa na Benki ya Stanbic

  Bagamoyo, Desemba 2022: Benki ya Stanbic Tanzania imetangaza dhamira yake ya kuendelea kuiunga mkono serikali katika kutatua changamoto katika...

READ MORE

Benki ya NBC Yazindua Kampeni ya Funga Mwaka Kibabe na NBC

  Dar- es – Salaam – Disemba 2022: Katika juhudi za kukuza miamala ya papo kwa papo, salama na malipo...

READ MORE

300 Dodoma Women Entrepreneurs on The Path to Success From Coca-Cola Kwanza Ltd

  5 December 2022, Dodoma – More than 300 women food vendors in the Dodoma Region received cooking equipment and...

READ MORE

Askari Waliotimiza Miaka 22 Kazini Watoa Msaada Kituo cha Watoto Yatima

ASKARI wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha waliotimiza miaka ishirini na mbili kazini wametoa msaada katika kituo cha Faraja...

READ MORE

Anne Makinda Afurahia Ubora Wa Wahitimu HKMU

  CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeiomba serikali kuendelea kuongeza mikopo na ufadhili kwa wanafunzi wa fani...

READ MORE

NECTA Yatangaza Matokeo Darasa la Saba 2022, Yatazame Hapa

  Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) leo Desemba 1, 2022 limetangaza matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2022...

READ MORE

11 Wanaodaiwa Kumuua Wayne Lotter Wahukumiwa Kunyongwa Hadi kufa

Mahakama kuu Kanda ya Dar es salaam imewahukumu watuhumiwa 11 wa kesi ya mauaji ya mwanaharakati mpinga ujangili wa tembo,...

READ MORE

Mkoa wa Katavi Wapiga Hatua Mapambano ya Virusi vya Ukimwi (VVU)

  MKOA wa Katavi kwa kushirikiana na wadau mbalimbali umefanikiwa kutekeleza afua mbalimbali za kupambana na UKIMWI ambapo mkoa umefanikiwa...

READ MORE

Mauaji ya Kutisha! Mhadhiri Saut Anyongwa Hadi Kufa Ndani Kwake, Mfanyakazi – Video

 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino Tanzania (SAUT), Hamida Mussa (64) anadaiwa kuuwawa kwa kunyongwa na mtandio shingoni...

READ MORE

Rais Biden: Kuna Uwezekano wa Kufanya Mazungumzo na Vladimir Putin

Rais wa Marekani, Joe Biden, amesema kwamba kuna uwezekano wa kufanya mazungumzo na rais wa Russia Vladimir Putin kuhusu hatua...

READ MORE

Happines Sanga Mwanafunzi Bora wa Chuo Kikuu Ardhi

  WANAFUNZI 96 wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), wametunukiwa tuzo mbalimbali kutokana na kufanya vizuri kitaaluma kwa mwaka wa masomo...

READ MORE

SATF Yawakutanisha Wanufaika wa Vyuo 2021/22

Shirika la Social Action Trust Fund ( SATF ) ambalo limekuwa likitoa msaada kwa Watoto wenye uhitaji kufikia malengo yao...

READ MORE

Bodi ya Filamu Yatangaza Filamu Zilizopita Katika Mchujo wa Tuzo za Filamu 2022

    DAR ES SALAAM 30 Novemba 2022: Kufuatia ukusanyaji wa filamu kutoka mikoa 25 ya Tanzania Bara ambapo zilikusanywa...

READ MORE

Wanafunzi Msingi na Sekondari Wapewa Mafunzo ya TEHAMA

    Tanzania imekuwa miongoni mwa nchi chache ambazo wanafunzi wake wa shule za msingi na sekondari wamefaidika na ujuzi...

READ MORE