×

Habari

China Inakabiliwa na Shinikizo kwa Umoja wa Mataifa Kuchukua Hatua Baada ya Ripoti ya Xinjiang

WANADIPLOMASIA na watetezi wa haki za binadamu wanazidisha shinikizo kwa Umoja wa Mataifa kuchukua hatua juu ya jinsi China inavyowatendea...

READ MORE

Urusi na China Zakubaliana kupanua Wigo wa Kiusalama Katika Kuendeleza Uhusiano Wao wa Kiusalama

AFISA wa ngazi ya juu wa usalama wa Urusi ametangaza katika ziara yake nchini China kwamba Kremlin inazingatia kuimarisha uhusiano...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Uingereza Aahidi Dola Bilioni 2.63 kwa Ajili ya Vita ya Ukraine Mwaka 2023

LIZ Truss ambaye ni Waziri Mkuu wa Uingereza anatarajiwa kuwaambia viongozi wa dunia kwamba uungaji mkono wa Uingereza kwa juhudi...

READ MORE

Milioni 29: Kutana na Mfalme, Hongera kwa Bingwa wa Beti Wiki Hii na Meridianbet!

Unaanzaje wiki yako? Kutana na mfalme wa beti kutoka Meridianbet wiki hii! GM, mteja wetu bingwa kutoka Morogoro ameanza vyema...

READ MORE

Wakaguzi wa Taiwan Wapiga Vita Dhidi ya Habari za Uongo Kutoka China

CHINA ilipokuwa ikijiandaa na mazoezi makubwa ya kijeshi karibu na Taiwan mwezi uliopita, Billion Lee alikuwa na shughuli nyingi kukabiliana...

READ MORE

Serikali ya Uganda na Tanzania Zapinga Azimio la EU kuhusu Bomba la Mafuta na Gesi

SERIKALI za Uganda na Tanzania zinapingana dhidi ya azimio lililopitishwa na Umoja wa Ulaya, linalotaka ulinzi wa mazingira na haki...

READ MORE

Biden Anasema Majeshi ya Marekani Yatailinda Taiwan Kutokana na Uvamizi wa China

RAIS wa Marekani Joe Biden amesema vikosi vya Marekani vitailinda Taiwan kutokana na uvamizi wa China, ikiwa ni dalili tosha...

READ MORE

Shaka: Rais Samia Amewaumbua Waliobeza Miradi ya Kimkakati

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema Chama hicho kinaridhishwa na...

READ MORE

Wanachama AAFP Wafurahia Sera Mpya Yenye Mrengo wa Kijinsia

    MTANDAO wa jinsia nchini, TGNP kwa kushirikiana na shirika la Kimataifa la WiLDAF umeendelea kutoa muongozo kwa vyama...

READ MORE

NMB Yazindua Tawi la 11 Mkoani Tanga 

WANANCHI wa Mkoa wa Tanga, hasa wanaojihusisha na kilimo, uvuvi, biashara na wajasiriamali, wametakiwa kutumia vema fursa zitokanzo na uzinduzi...

READ MORE

GGML, RC Geita Wazindua Mpango wa Upandaji Miti

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita na Halmashauri ya...

READ MORE

Mch. Masanja awataka viongozi kuwa kioo cha jamii

MSHAURI wa masuala ya itifaki na uongozi bora, Mchungaji Emmanuel Masanja, amewataka viongozi kufanya mambo yenye maadili wakiwa mwangani au...

READ MORE

Dkt. Mayala ashusha nondo 5 za kiongozi bora

MTAALAM wa ushauri wa mambo ya uongozi, utawala na menejimenti, Mchungaji Dk. Joseph Mayala, ametaja mambo matano ambayo kiongozi anatakiwa...

READ MORE

Rais Samia Ateua Wakurugenzi, Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi wa Bodi ya TCRA

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Sosthenes Laurent Kewe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Maendeleo ya Tanzania...

READ MORE

Polisi Yaua Wahalifu Sita Sugu wa Unyang’anyi Eneo la Makongo Dar es salaam

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ACP Jumanne Muliro leo Jumapili Septemba 18, 2022 amesema Jeshi la...

READ MORE

Rais Biden, Samia Wawasili London, Viongozi 500 Kutoa Heshima za Mwisho kwa Malkia

    Rais wa Marekani Joe Biden na Samia Suluhu wa Tanzania ni miongoni mwa viongozi waliowasili jijini London tayari...

READ MORE

Awekwa Chini ya Ulinzi kwa Kosa la Kulisogelea Jeneza la Malkia Elizabeth II

MTU mmoja ambaye jina lake halijawekwa wazi amewekwa chini ya ulinzi baada ya kulisogelea jeneza la Malkia Elizabeth ambapo alitoka...

READ MORE

Zaidi ya Watu 130 Wafariki Kutokana na Mafuriko Nchini Sudan

ZAIDI ya watu 130 wamefariki dunia na wengine kadhaa wamenusurika kifo kwa sababu ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko...

READ MORE

Kampuni ya Meridianbet Waunga Mkono Kampeni ya Buku ya Hedhi Salama

Meridianbet wameunga mkono jitihada za kampeni ya Buku ya Hedhi salama inayoratibiwa na Shufaa Hemed Nasoro. Kampeni hii ilikuwa imelenga...

READ MORE

Kanali Ahmed azindua tiketi za pambano la Kiduku Mtwara

MKUU wa Mkoa wa Mtwara,  Kanali Ahmed Abass jana ameufungua mkoa wa Mtwara kwa kuzindua uuzaji wa tiketi za kuelekea  katika pambano...

READ MORE

Balozi Paul Rupia Afariki Dunia Leo Asubuhi Nchini Afrika Kusini

KATIBU Mkuu Kiongozi wa tano, Balozi Paul Rupia amefariki dunia leo asubuhi nchini Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka...

READ MORE

NMB, Bunge SC Hapatoshi Kivumbi na Jasho kesho Dodoma

MSIMU wa pili wa Tamasha la ‘NMB Kivumbi na Jasho,’ linalokutanisha timu za michezo mbalimbali za Bunge la Jamhuri ya...

READ MORE

Ongezeko la Mambo Yanayosababishwa na Binadamu Yazidisha Mafuriko Pakistan

  MABADILIKO ya hali ya hewa yanayosababishwa na binadamu huenda yakachangia mafuriko makubwa nchini Pakistan hivi karibuni, wataalam wanasema katika...

READ MORE

TGNP Ilivyoiongoza ACT Wazalendo Kutunga Sera Yenye Mrengo wa Kijinsia

    DAR ES SALAAM 16 Septemba 2022: Mtandao wa jinsia nchini TGNP kwa kushirikina na shirika la WiLDAF umeendelea...

READ MORE

IAEA Inadai kuwa Urusi Yajiondoa Kwenye Kiwanda cha Nyuklia cha Ukraine

MAGAVANA wa shirika la nyuklia la Umoja wa Mataifa wamekubaliana na azimio linaloitaka urusi kutokukalia kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia...

READ MORE

Ukraine Yapata Eneo Lililozikwa Watu Wengi Huko Izyum Baada ya Warusi Kutimuliwa

ENEO lililo beba miili zaidiya mianne arobaini (440) lilipatikana huko Izyum kaskazini mashsriki mwa Ukraine, ambako vikosi vva Urusi vilifukuzwa...

READ MORE

Yanga Wanaishi Kishua Waboresha Mishahara ya Wachezaji, Lengo

UKISEMA fedha inaongea, hutakosea kwani mabosi wa Yanga wameamua kuweka mikakati mizito kuhakikisha nyota wa kikosi hicho wanaishi kishua kwa...

READ MORE

Kigamboni Kuanza Msako Dhidi ya Panya Road, DC Atoa Tamko Zito

MKUU wa Wilaya ya Kigamboni jijini Dar es salaam, Fatma Nyangasa jana alikutana na Wenyeviti wa Serikali za mitaa wa...

READ MORE

Tanzania Yapongezwa kwa Kuwa Mwanachama Hai wa Umoja wa Afrika

Pongezi hizo zimetolewa na Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Mhe. Monique Nsanzabaganwa alipokutana kwa mazungumzo na Waziri...

READ MORE

Bosi Simba Achochea Vita ya Phiri, Mayele Atamba na Ufungaji Bora Ligi Kuu

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amemtabiria makubwa mshambuliaji wao Mzambia, Moses Phiri msimu huu wa Ligi...

READ MORE

NMB Yawakutanisha Wafanyabiashara Mkoani Tabora

BENKI ya NMB inaendelea kutoa elimu kwa wafanyabiashara kwa lengo la kuhakikisha wanazielewa bidhaa na mipango ya benki hiyo ili...

READ MORE

Maelfu Wajitokeza Kuuaga Mwili wa Malkia Elizabeth katika Ukumbi wa Westminster London

Maelfu ya waombolezaji kutoka matabaka mbalimbali wamejitokeza kuuaga mwili wa Malkia Elizabeth katika ukumbi wa jadi wa Westminster mjini London....

READ MORE

Odds Kubwa Gemu Za UCL na EFL Kutoka Meridianbet Kuelekea Wikendi!

Kuelekea wikiendi, timu nyingi Ulaya leo zina vibarua vya Ligi, tumekuwekea hapa baadhi ya gemu zinazokupa mkwanja poa kwa ajili...

READ MORE

Mlinzi wa Malkia Elizabeth II Aanguka Ghafla Kwenye Ukumbi wa Westminster Hall

Mlinzi wa Malkia Elizabeth II leo Septemba 15, ameanguka ghafla wakati maandalizi ya kuagwa kwa mwili wa Malkia kwenye ukumbi...

READ MORE

Breaking: Baraza la Mitihani (Necta) Lafuta Ada ya Mtihani kwa Watahiniwa wa Serikali

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza kufuta ada ya mtihani kwa watahiniwa wa darasa la saba, kidato cha nne na...

READ MORE

Naibu Gavana wa Baringo Kenya, Charles Kipng’ok Afariki Dunia Ndani ya Ndege – Video

NAIBU Gavana wa Kaunti ya Baringo nchini Kenya, Charles Kipng’ok amefariki dunia ndani ya ndege muda mfupi kabla ya ndege...

READ MORE

Rais Samia Asikitishwa na Kifo cha Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kifo cha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya...

READ MORE

WHO: Vifo Vitokanavyo na Virusi vya Corona Vyadizi Kupungua Duniani

SHIRIKA la Afya Duniani limerekodi idadi ndogo zaidi ya virusi vya Corona tangu machi 2020, mkurugenzi mkuu wa shirika la...

READ MORE

Nyota wa R&B, R.Kelly Apatikana na Hatia ya Unyanyasaji Kwa Watoto

NYOTA wa muziki kutoka Marekani, Robert Kelly maarufu R.Kelly amepatikana na hatia ya unyanyasaji wa kingono wa watoto katika kesi...

READ MORE

Mkurugenzi PSSSF Kikaangoni kwa Kujikopesha Fedha ya Kujinunulia Gari la Milioni 196

Mkurugenzi wa Ununuzi na Ugavi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Ernest Khisombi Septemba...

READ MORE