×

Habari

Jeneza la Malkia Lawekwa Ndani ya Bunge la Uingereza, Wananchi Kutoa Heshima za Mwisho -Video

HAYATI Malkia Elizabeth II wa Uingereza jeneza lake leo Septemba 14, 2022 limewasili Ukumbi wa Westminster, London ambapo atawekwa hapo...

READ MORE

Fahamu na Zijue Faida za Kiafya za Utumiaji wa Bia

    Bia ina lishe zaidi kuliko vinywaji vingine vya pombe. Tunasikia mengi juu ya wingi wa antioxidants katika divai,...

READ MORE

Makamu wa Rais Azindua Ujenzi wa Mradi wa Maji Butimba

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr Philip Isdor Mpango ameweka jiwe la msingi Mradi wa...

READ MORE

Princes William na Harry Kutembea Nyuma ya Jeneza la Malkia Hadi Westminster Hall

  Wanawafalme William na Harry watatembea pamoja nyuma ya jeneza la Malkia katika maandamano huko London Jumatano.   Ndugu, pamoja...

READ MORE

TGNP na WiLDAF Watoa Mafunzo kwa ADA TADEA Namna ya Kuandaa Sera Zenye Mrengo wa Kijinsia

    MTANDAO wa jinsia nchini, TGNP kwa kushirikiana na shirika la WiLDAF wametoa mafunzo kwa chama cha siasa cha...

READ MORE

Rais Ruto Awateua Majaji Sita Walioibua Utata Kuwaapishwa leo Ikulu Nairobi

Rais wa Kenya William Ruto, saa chache tu baada ya kuapishwa kama kiongozi wa taifa hilo la Afrika Mashariki, aliwateua...

READ MORE

Mfalme Charles III Afanya Ziara ya Kihistoria Ireland Kaskazini- Video

Mfalme Charles III amefanya ziara yake ya kwanza Ireland ya Kaskazini tangu alipovikwa taji la ufalme. Mfalme Charles anazuru mataifa...

READ MORE

Rais Samia: Kenya Imeonyesha Ukomavu wa Demokrasia kwa Nchi za Afrika Mashariki (Picha +Video)

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan leo Septemba 13, 2022 amewapongeza wananchi wa Kenya kwa...

READ MORE

Daktari: Wanaojaribu Kujiua Wasishtakiwe

MADAKTARI wanaotibu magonjwa ya afya ya akili, wameiomba serikali kupitia upya sheria inayowafunga watu wanaofanya jaribio la kujiua ili wapatiwe...

READ MORE

William Ruto Aapishwa Kuwa Rais Kenya Katika Uwanja wa Kasarani, Nairobi – Video

Dk William Ruto leo Septemba 13, 2022 ameapishwa kuwa Rais wa tano wa Jamhuri ya Kenya akichukua nafasi ya Uhuru...

READ MORE

Video: Uapisho wa Rais William Ruto, Hali Ilivyo Uwanjani, Rais Samia Awasili, Viongozi Wahudhuria

 RAIS mteule wa Kenya William Ruto leo anachukua hatamu za uongozi pindi tu atakapoapishwa katika sherehe kubwa inayifanyikajijini Nairobi...

READ MORE

Rais Samia Awasili Kenya Kushuhudia Ruto Akiapishwa Kuwa Rais (Picha +Video)

RAIS wa Tanzania Samia Suluhu leo Septemba 13, 2022 amehudhuria sherehe kuapishwa kwa Rais Mteule wa Kenya William Samoei Ruto....

READ MORE

SBL na Water Aid Wazindua Mradi wa Kisima Chenye Thamani ya Mil. 293 Itigi, Singida

    Itigi Singida, Septemba 13, 2022. Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) na Water Aid Tanzania wamezindua mradi wa...

READ MORE

Waziri Mkenda na Waziri wa Elimu Zanzibar Wapokea Taarifa ya Awali ya Sera ya Elimu

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda pamoja na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la SpotiXtra leo Sep-13, Kwa nusu bei tu Gazeti la Spoti Xtra👉https://bit.ly/3d8qcYV AU SpotiXtra👉https://bit.ly/3d8qcYV ....

READ MORE

Mabingwa wa Nchi Yanga Walamba Madili Ya Bil. 10.9 kwa Miaka Mitano-Video

KLABU ya Young Africans ya jijini Dar Es Salaam, leo Septemba 12, 2022 imesaini mkataba mpya wa udhamini na kampuni...

READ MORE

Live: Msafara wa Mfalme Charles III Wawasili Bungeni Kupokea Salamu za Rambirambi

MFALME Charles wa III wa Uingereza leo Septemba 12, 2022 anatarajiwa kuhutubua Bunge la Uingereza kwa mara ya kwanza tangu...

READ MORE

Mashambulio ya Urusi Yasababisha Kukatika kwa Umeme Ukraine

RAIS wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kuwa mashambulio yanayofanywa na Urusi yanalenga maeneo muhimu yanayozalisha  umeme hali inayosababisha kukosekana kwa...

READ MORE

Wiki ya Usiku wa Mabingwa Kutimua Vumbi, Meridianbet Wana Mzigo Wako

Kabla ya kuanza usiku wa mabingwa, leo utashudia mechi mbili kali za Ligi ya Serie A na La Liga, Raundi...

READ MORE

Marekani Yaadhimisha Miaka 21 Tangu Shambulio Kubwa la Kigaidi ‘Septemba 11’

Rais wa Marekani Joe Biden na Makamu wa Rais Kamala Harris wamewaongoza Wamerekani kuadhimisha miaka 21 tangu kutokea kwa shambuliao...

READ MORE

Rais Samia: Bunge Litakalokaa Septemba Kupitisha Bima ya Afya kwa Watu Wote

Rais Samia Suluhu Hassan katika adhimisho la jubilee ya miaka 50 ya WAWATA akiwa kama mgeni rasmi alisema serikali inakuja...

READ MORE

Wafanyakazi Wanawake GGML Wawafunda Kitaaluma Wanafunzi wa Kike Geita

  KATIKA jitihada za kuhakikisha jamii inanufaika kutokana na shughuli za uchimbaji dhahabu nchini, wafanyakazi wanawake wa Kampuni ya Geita...

READ MORE

Mamilioni Kiganjani Mwako na Bingo ya Parimatch

Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch imeamua kuwapa fursa mpya wateja wake kwa kucheza Casino kiganjani ambayo imesheheni zaidi ya...

READ MORE

NMB Yachangia Milioni 120 Kufanikisha Mkutano Mkuu wa 36 Wa ALAT

  Benki ya NMB imechangia kiasi cha shilingi milioni 120 kufanikisha maandalizi na kufanyika kwa mkutano mkuu wa 36 wa...

READ MORE

Wananchi, Viongozi Waanza Kuaga Mwili wa Malkia Elizabeth II Ukitoka Scotland – Video

SAFARI ya mwisho na ya simanzi ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza, inaanza mchana wa leo ambapo jeneza lake linasafirishwa...

READ MORE

Viongozi wa Afrika Waendelea Kutuma Salamu za Rambirambi kwa Familia ya Malkia Elizabeth II

Salamu za rambirambi zinaendelea kumiminika kutoka Afrika kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II, ambako malkia alikuwa alifanya ziara nyingi wakati...

READ MORE

NMB Marathon Kumekucha, Njia Zitakazotumika Zakaguliwa

  Benki ya NMB imewataka Wananchi kujisajili katika Mbio za NMB Marathoni Ili kwenda kuwasaidia wakina mama wenye matatizo ya...

READ MORE

Pape Osmane Sakho: Tutachukua Ligi na Ligi ya Mabingwa Afrika Msimu Huu

PAPE Osmane Sakho, kiungo wa Simba mwenye tuzo ya bao bora la CAF alilowatungua ASEC Mimosas msimu uliopita, Uwanja wa...

READ MORE

Mfalme Charles III wa Uingereza Ahutubia Taifa kwa Mara ya Kwanza Baada Kutokea Kifo cha Mama Yake

Mfalme Charles III wa Uingereza amehutubia taifa lake kwa mara ya kwanza tangu kutokea kifo cha mama yake Malkia Elizabeth...

READ MORE

Mwanamke Shujaa: 360 Food Vendors Take Path to Business Success

    September 10, Dar es Salaam – More than 360 women food vendors have been equipped to take their rightful...

READ MORE

Kifo cha Malkia Elizabeth II: Jinsi Majina na Mpangilio wa Urithi Ulivyobadilika

Malkia Elizabeth II ndiye mfalme aliyetawala kwa muda mrefu zaidi katika historia ya Uingereza. Alikuwa na watoto wanne, wajukuu wanane...

READ MORE

Jackpot za Kibabe na Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet

Upo makini kiasi gani linapokuja suala la kuchagua chimbo sahihi la kufurahia ubashiri na kushinda mishindo mikubwa? Nakupa chimbo hapa,...

READ MORE

Mwanachuo Amuuwa Mpenzi wake kwa Kisu Kisa Wivu wa Mpenzi Dodoma

MWANAFUNZI wa Chuo cha St John, Winfrida Michael (24) amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu na mpenzi wake Julius Gervas...

READ MORE

Rais Samia Atoa Salamu za Pole kwa Kifo cha Malkia Elizabeth wa II wa Uingereza 

RAIS  wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kifo cha Malikia Elizaberth II wa nchi ya Uingereza, kilichotokea jana Alhamisi...

READ MORE

Mwili wa Malkia Elizabeth II Kuagwa kwa Siku Nne Katika Ukumbi wa Westminister -Video

MWILI wa Malkia Elizabeth II  utasafirishwa kutoka Kasri la Buckingham kwa msafara utakaokuwa ukiendeshwa polepole wakiambatana na gwaride la kijeshi...

READ MORE

Waziri Mkuu Awawashia Moto Wasimamizi wa Chuo cha Ufundi Mkoa wa Tabora

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Tabora, Musa...

READ MORE

Hii Hapa List ya Makocha wa Tanzania Wenye CAF A Diploma na Zinazofanana (Equivalent) na CAF A

Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ya Makocha wenye CAF A Diploma na zinazofanana (Equivalent) na CAF...

READ MORE

Usiyoyajua Kuhusu Umalkia na Ufalme wa Uingereza, Soma Hapa

Malkia Elizabeth wa Pili. Septemba 8, 2022 mtawala wa dola ya Uingereza, vyombo vingi vya Habari viliripoti kifo cha Malkia...

READ MORE

Mkongo wa Kituo cha Pili Africa Kuifanya Tanzania Kuwa Kitovu Cha Muunganisho Afrika Mashariki Na Kati

Tanzania itakuwa kitovu cha maunganisho wa mawasiliano Afrika Mashariki na Kati kufuatia uwepo wa mkongo wa mawasiliano wa 2 Afrika...

READ MORE