×

Habari

Mama Shamte Apokea Msaada Kutoka kwa Mfanyabiashara Maarufu PCK, Wadau Wengine Pia Waguswa

SALMA Shamte, Mjane kutoka eneo la Mbagala- Mbande jijini Dar es Salaam ambaye hivi karibuni alihojiwa katika kipindi cha Mapito...

READ MORE

Maombi Yaliyowasilishwa Mahakama Kuu na Chama cha Ushirika Uduru Makoa Uamuzi Agost 16

  BAADA ya mawasilisho ya maombi madogo ambayo yaliyowasilishwa  Mahakama Kuu Kanda ya Moshi na Chama cha Ushirika Uduru Makoa...

READ MORE

Mkoa wa Ruvuma Waongoza Kitaifa kwa Kutoa Chanjo ya Uviko-19 Kitaifa

  RUVUMA, Jumatano 10 Agosti 2022. Tangu kuzinduliwa kwa chanjo ya UVIKO-19 na Rais Samia Hassan mnamo Julai 2021, na...

READ MORE

Kenya: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu, Ruto na Odinga Wachuana- Odinga Anaongoza-Live

Matokeo ya uchaguzi yanaendelea kutolewa nchini Kenya kufuatia uchaguzi uliofanyika Agosti 9, 2022. Kwa upande wa matokeo ya kura za...

READ MORE

Nmb Yaahidi Kuendeleza Kunufaisha Sekta ya Kilimo Nchini

  Benki ya NMB imeweka adhma ya kuendelea kuiboresha sekta ya kilimo nchini kwa kutoa masuluhisho bora na nafuu kwa...

READ MORE

Serikali Yawataka Wenye Viwanda Kuijali na Kuilinda Nguvukazi

Serikali imewataka wamiliki wa viwanda nchini kuijali na kuilinda nguvukazi inayotumika katika uzalishaji ili kuwa na uzalishaji endelevu na wenye...

READ MORE

Afariki Baada ya Kutumbukia Kwenye Sufuria la Uji wa Moto

MWANAUME mmoja nchini India aliyefahamika kwa jina la Muthukumar amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye sufuria kubwa lililokuwa limejaa uji...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la SpotiXtra Aug-09, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi ya hadi shilingi...

READ MORE

Parimatch Waidhamini Tena Mbeya City

KAMPUNI ya Michezo ya Kubashiri Mtandaoni hapa nchi ya PariMatch imeingia makubaliano na Timu ya Mpira wa Miguu inayomilikiwa na...

READ MORE

Exim Kuitanua Biashara ya Tanzania, Kongo, Rwanda na Burundi

BENKI ya Exim Tanzania imejipanga kutumia vema uwepo wake mkoani Kigoma kuchochea ukuaji wa biashara baina ya Tanzania, Jamhuri ya...

READ MORE

NBC Kinara Taasisi za Fedha Maonyesho ya Nanenane

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekamilisha ushiriki wake kwenye Maonesho ya Kilimo Nanenane yaliyokuwa yakifanyika katika Uwanja wa John...

READ MORE

Meridianbet Wawatembelea Boda Boda, Wawapa Ujumbe Usalama ni Muhimu

Meridianbet Tanzania wameendelea na utaratibu wao wa kuwa karibu na jamii, kwa kutoa sapoti kwa vijana katika shughuli zao za...

READ MORE

Rais Samia Anazindua Mfumo wa Kushusha Bei ya Mbolea Muda Huu Nane Nane Mbeya

RAIS Samia ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Mbeya, ambapo leo Agosti 8, 2022, ikiwa ni siku ya mwisho...

READ MORE

Spika Dkt. Tulia Atembelea Banda la Nmb, Wakulima Kunufaishwa na ‘Mshiko Fasta’

Benki ya NMB imekuja suluhisho maalum ya kuwakopesha mitaji kwa wateja wake unaojulikana kwa jina la ‘NMB Mshiko Fasta’ ambapo...

READ MORE

Mhe. Rais Samia: Maboresho Sekta ya Elimu Yanalenga Kuwapatia Watoto Elimu Inayowapatia Ujuzi

Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema maboresho ya Miundombinu yanayoendelea katika sekta ya elimu...

READ MORE

Wachezaji Simba Wako Tayari Kusensabika

    Wachezaji wa Klabu ya Simba Sc hii leo wakiwa katika maandalizi ya mwisho kuelekea tamasha kubwa la SIMBA...

READ MORE

Jaji Mkuu, Majaji wa Rufani Watembelea Hifadhi ya Taifa ya Mikumi

  Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma leo tarehe 6 Agosti, 2022 amewaongoza Majaji wa Mahakama ya...

READ MORE

Waziri Mkenda Autaka Uongozi Wilaya ya Rungwe Kutenga Eneo la Ujenzi wa Chuo cha VETA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof Adolf Mkenda ameutaka uongozi wa Wilaya ya Rungwe kutafuta eneo la zaidi...

READ MORE

Wakulima, Wafugaji na Wavuvi Walio Katika Ajira ni wateja Wetu-WCF

  MKURUGENZI wa Huduma za Tathmini, Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) Dkt. Abdulsalaam Omar, amesema Maonesho ya Nanenane mwaka...

READ MORE

Makamu wa Rais wa Kwanza Zanzibar Aongoza Mbio za Marathon

Leo Agosti 7 , 2022 yamefanyika mashindano ya mbio Visiwani Zanzibar Maarufu kama  ” Tigo, Zantel Zanzibar International Marathon 2022...

READ MORE

Rais Samia Azindua Mradi wa Maji Makongorosi Wilayani Chunya, Agusia Kuhusu Barabara

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua mradi wa maji katika eneo la Makongorosi lililopo...

READ MORE

Taasisi ya Wananchi Wazalendo Tanzania (TWWT) Yatoa Elimu ya Uzalendo kwa Vijana

  TAASISI ya Wananchi Wazalendo Tanzania (TWWT) chini ya Mwenyekiti wake Dkt. Ezekiel Kyogo ambaye pia Mkuu wa Upelelezi wa...

READ MORE

PanAfrican Energy Tanzania Yashiriki Kongamano la Nishati Nchini

    PANAFRICAN Energy Tanzania (PAET) imetangaza kujivunia  kuwa mdhamini wa Kongamano la Nne la Nishati Tanzania 2022. Hafla hii ya...

READ MORE

Wawekezaji Sekta ya Nishati Kuendelea Kunufaika na Mikopo ya Nmb

Benki ya NMB imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kutoa mikopo kwa wadau katika mnyororo wa thamani wa sekta ya nishati...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Aipongeza GGML kwa Kuwezesha Wahandisi Wanawake

Na Mwandishi Wetu WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan inatambua mchango wa wahandisi wanawake...

READ MORE

Rais Samia: Kwa Upande wa Mafuta Mpaka Huko Duniani Waache Kupigana

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa kwa tatizo la mafuta nchini kuweza kutatuliwa ni...

READ MORE

Rais Samia Alivyowasili Songwe Kuanza Ziara ya Kikazi Mkoani Mbeya, Apokelewa kwa Shangwe

RAIS Samia tayari amewasili mkoani Mbeya kwa ajili ya ziara yake ya kikazi mkoani humo ambapo atazindua mradi wa maji...

READ MORE

Talib Aungana na Simba Kusaidia Jamii Atoa Misaada kwa Vituo Vitatu

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Oman ya Beach Soccer, Talib Hilal, ambaye pia aliwahi kuichezea Simba, ameungana na...

READ MORE

Meridianbet Walifurukuta Kuchuana na Wahamasishaji Wakiongozwa na Jemedari

  Meridianbet walipimana nguvu na kikosi cha timu ya wahamasishaji kilichoongozwa na Jemedari Said Kazumari, na Foby wikiendi iliyopita.  ...

READ MORE

Uzinduzi wa Ripoti ya Mipango Endelevu ya Kampuni ya Wentworth Gas Ltd

    4 Agosti 2022, Dar es Salaam. Kampuni ya Wentworth Gas Ltd leo imezindua Ripoti yake ya Mipango Endelevu...

READ MORE

Shule ya Msingi Hazina Yaongoza Mock Darasa la Saba Kinondoni

·     SHULE ya Msingi Hazina ya Magomeni jijini Dar es Salaam, imeongoza kwenye matokeo ya mtihani wa utimilifu (Mock), darasa...

READ MORE

Spika Tulia Apongeza NBC kwa Kuinua Sekta ya Kilimo

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Tulia Ackson ameguswa na kupongeza jitihada za Benki ya Taifa ya...

READ MORE

Huduma za Exim Zawakuna Wadau wa Kilimo Maonesho Nanenane

Huduma zinazotolewa na Benki ya Exim Tanzania kwa wadau wa sekta ya kilimo zimeendelea kuwavutia washiriki wengi wa Maonesho ya...

READ MORE

Mume Amuua Mkewe Kwa Kumng’oa Kidevu na Kumpiga kwa Kitu Kizito Kichwani

MWANAUME Mmoja Aliejulikana kwa Jina la Edward Francis, (20) mkazi wa kijiji Cha Nyabugela Kata ya Mganza wilayani Chato Mkoani...

READ MORE

Mchungaji Hananja: Tusilaumiane kwa Mambo ya Dini au Kabila

MCHUNGAJI Mstaafu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Richard Hananja ametoa rai kwa wananchi kutobaguana au kulaumiana kwa...

READ MORE

Fundi Seremala Akutwa Amejinyonga Gesti, Kisa kuandamwa na Madeni

TUKIO la kusikitisha limetokea Kilwa kufuatia mzee wa miaka 59 kujinyonga hadi kufa katika nyumba ya kulala wageni, Jeshi la...

READ MORE

Tulitawaliwa Kwa Sababu ya Sayansi na Teknolojia: Waziri Mkenda

Katika kutekeleza kwa vitendo ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2020-2025 na mpango mkakati wa serikali kupitia...

READ MORE

Ufadhili wa Nmb Wafikia Trilioni 1.56 Katika Sekta ya Kilimo

  Serikali imezichangisha benki nchini kwa lengo la kuongeza wigo kwa wakulima, wafugaji na wavuvi kukopa ili kuongeza uwekezaji kwenye...

READ MORE

GGML Yatoa Milioni 100 Kudhibiti Fisi Wanaovamia Wagonjwa Kasamwa

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetumia jumla ya Sh milioni 100 kujenga uzio katika kituo cha afya cha...

READ MORE

Bima ya Kilimo ya NBC Yawavutia Wadau wa Kilimo Maonesho ya Nanenane Mbeya

Mbeya: Agosti 2, 2022: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeendelea kung’ara kwenye Maonesho ya Kilimo Nanenane yanayofanyika katika Uwanja...

READ MORE