×

Habari

Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi Awasili Dodoma kwa Kikao cha Kamati Kuu CCM

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasili uwanja wa ndege Dodoma na kupokelewa...

READ MORE

Benki ya Exim Yaombwa Kujitanua zaidi Kanda ya Ziwa

  Mwanza; Mei 22, 2022: Benki ya Exim Tanzania imeombwa kuangalia namna ya kujitanua zaidi katika mikoa ya Kanda ya...

READ MORE

Pablo Aja Kivingine Kuimaliza Geita Gold Leo Jumapili Kwenye Uwanja wa CCM Kirumba

  PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba, amesema watatumia mbinu nyingine kuikabili Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Katibu NCCR- Mageuzi: Mbatia Hajavuliwa Uenyekiti, Kilichofanyika ni Uhuni -Video

    MWENYEKITI wa NCCR- Mageuzi, James Francis Mbatia, amedai kuwa unaoitwa, “mkutano wa Halmashauri Kuu (NEC) ya chama chake”...

READ MORE

Urusi Yatangaza Kuudhibiti Mji wa Mariupol Wanajeshi Zaidi ya 2,000 wa Ukraine Wajisalimisha

BAADA ya wanajeshi wa Ukraine 531 waliokuwa wamejificha kwenye kiwanda cha Azovstal wakipambana na wanajeshi wa Urusi kujisalimisha, Urusi imemesema...

READ MORE

Breaking News: NCCR-Mageuzi Yamsimamisha Mbatia, Hizi Hapa Sababu, Msajili Abariki

  HALMASHAURI Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi, imemsimamisha Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, James Mbatia na Makamu Mwenyekiti wake Bara,...

READ MORE

EPL NA SERIE A KUMJUA BINGWA WIKIENDI HII, BINGWA NI…?

MERIDIANBET, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa. Baada ya purukushani za wiki 37, hatimaye bingwa wa EPL na Serie...

READ MORE

Rais Samia Akiri Nidhamu Imeshuka Katika Utumishi wa Umma

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema ni kweli nidhamu imeshuka  katika utumishi wa Umma na...

READ MORE

Spika Tulia Ampongeza Rais Samia kwa Kuongeza Mshahara wa Wafanyakazi

SPIKAwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuongeza kiwango na...

READ MORE

Halima Kopwe Ashinda Taji la Miss Tanzania Kutoka Mtwara, Rais Samia Kujenga Ukumbi wa Kimataifa Dar -Video

  WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mohamed Mchengerwa amesema Serikali ya Rais Samia imedhamiria kuinua kuinua kiwango cha mashindano...

READ MORE

Serikali Yatambua Mchango wa NMB Kuendeleza Wabunifu Nchini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Philip Mpango ameikabidhi Benki ya NMB cheti cha kutambua...

READ MORE

Exclusive… Mama Dangote Amlipukia Zari, Acharuka Baada ya Kuulizwa Juu ya ujio Wake

  Sanura Kassim almaarufu Bi Sandra au Mama Dangote; ni mama mzazi wa staa mkubwa wa muziki barani Afrika, Diamond...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Mei 20, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 21, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Makonda Afika Ubalozi wa UAE Asaini Kitabu cha Maombolezo Kufuatia Kifo cha Rais Khalifa Bin Zayed

  Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Dar es salaam, Paul Makonda amefika katika Ubalozi wa Umoja wa Falme Za Kiarabu...

READ MORE

TAMWA Yatoa Taarifa ya Ukatili wa Kijinsia kwa Watoto wa Kike Nchini Tanzania

CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimetoa taarifa kwa Umma juu ya ripoti ya ukatili na unyanyasaji wa...

READ MORE

Kisa Mbeya Kwanza, Kocha Yanga Awaonya Wachezaji Wake Wasiwachukulie Poa

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema kuwa amewaambia wachezaji wake wasiwachukulie poa Mbeya Kwanza ili yasije yakajitokeza kama yaliyotokea...

READ MORE

Watumishi wa Sekta Binafsi Nao Kucheka Kabla ya Julai – Mwenyekiti TUGHE

MWENYEKITI wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) Taifa bwana Joel Kaminyoge amesema watumishi wa sekta binafsi...

READ MORE

Nape Nnauye Awasilisha Hotuba ya Makadirio na Matumizi ya Wizara Bungeni -Video

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akiwasilisha Hotuba ya Makadirio na Matumizi ya Wizara hiyo...

READ MORE

Gerald Mdamu Mchezaji wa Polisi Tanzania Afunguka Kurudi Uwanjani Msimu Ujao

  GERALD Mathias Mdamu, ni mchezaji wa Polisi Tanzania ambaye msimu huu hajafanikiwa kucheza kwenye timu hiyo kutokana na ajali...

READ MORE

TECNO Phantom X na CAMON 19 Pro Kunyakuwa Tuzo ya Kifahari ya iF Design Award 2022

Hongkong, 13 Aprili 2022 – Hivi majuzi, washindi wa Tuzo maarufu duniani ya iF Design wametangazwa. TECNO ilishinda tuzo ya...

READ MORE

Vikosi vya Urusi Vyadaiwa Kuharibu Kabisa Eneo la Viwanda la Donbas, Ukraine

  RAIS wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amesema usiku wa kuamkia leo Mei 20, 2021 amesema kuwa vikosi vya Urusi vimeharibu...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Mei 20, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 20, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Rais Samia Asema Serikali Imeweka Mkazo Kwenye Sekta za Kilimo, Uvuvi na Ufugaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali imeweka mkazo mkubwa katika sekta za kilimo, uvuvi...

READ MORE

Waziri Mkuu: Timu ya Mawaziri Wanne Inahusika na Migogoro Mikubwa Tu

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema timu ya mawaziri wanane kutoka wizara shiriki inashughulikia migogoro mikubwa tu ya ardhi ambayo hulazimu...

READ MORE

Rais Samia Awataka Wananchi wa Tabora Kulinda Miundombinu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ambaye yupo ziarani mkoani Tabora amewaasa wananchi wa mkoa huo...

READ MORE

Mzozo Kati ya Ukraine na Urusi Kusababisha Balaa la Njaa Duniani – UN

Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine huenda ukasababisha baa la njaa kote duniani katika kipindi cha miezi michache ijayo, Umoja wa...

READ MORE

Wateja wa Halotel Kujipatia Zawadi Kupitia Matumizi ya Mtandao

  Kampuni ya Halotel Tanzania imeendelea kuwahakikishia wateja ubora na kasi ya mtandao wake kwa kuwapa huduma zenye ubunifu na...

READ MORE

Nmb Foundation Yatangaza Ufadhili wa Masomo Kwa Wanafunzi

  Taasisi ya NMB Foundation imetangaza kuanza rasmi utaratibu wa kutoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wa kidato cha tano,...

READ MORE

Waziri Nape: Hakuna eneo Litaachwa Kwenye Zoezi la Uwekaji wa Anwani za Makazi

  Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye, amesema hakuna maeneo yatakayoachwa kwenye zoezi la uwekaji...

READ MORE

Tarura Tanganyika Wapewa Siku 30 Kukamilisha Ukarabati Daraja la Ifume

MTENDAJI MKUU wa Mamlaka ya Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) Eng. Victor Seff ametoa mwezi mmoja kwa TARURA Wilaya ya...

READ MORE

Florian Valerian Massawe Ashinda Bilioni Moja JackPot ya Sportpesa

Mshindi wa Jackpot ya SportPesa Tzs.1,255,316,060 Florian Valerian Massawe akishikilia mfano wa hindi baada ya hafla ya kukabidhiwa rasmi na...

READ MORE

Rais Samia Atoa Rai kwa Wizara ya Kilimo Kuanzisha Kilimo cha Kisasa (Picha +Video)

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa Wizara ya Kilimo kuanzisha na kuendeleza...

READ MORE

Finland na Sweden Zawasilisha Rasmi Maombi ya Kujiunga na Nato

Mataifa ya Sweden na Finland yamewasilisha rasmi maombi yake ya kujiunga na Jumuiya ya Kujihami (NATO) asubuhi ya leo Mei...

READ MORE

Mbunge wa Kibiti Aendeleza Kufuru, Ajitolea Mifuko 300 ya Sementi Kujenga Ofisi za Chama

    MBUNGE wa Jimbo la Kibiti mkoani Pwani, Twaha Mpembenwe ambaye hivi karibuni alishusha tani kadhaa za mifuko ya...

READ MORE

Fahamu Ubabe wa Simu ya Infinix HOT 12, Kwa Kugusisha tu Kwenye Nishati ya Umeme Inakupa 25% Papo Hapo

Moja ya simu janja ambayo mapokezi yake ni makubwa sana ni Infinix HOT 12, simu mpya hii ilizinduliwa tarehe 10...

READ MORE

SIMULIZI YA KUSISIMUA: THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 21

MTUNZI: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 ILIPOISHIA: “Tunapoingia kazini, lazima mjue kwamba lengo letu siyo kuua watu wasio na hatia, kama...

READ MORE

Benki ya Exim Yazindua ‘Wajasiriamali Akaunti’

Dar es Salaam: Mei 18, 2022; Benki ya Exim imezindua huduma maalum kwa ajili ya wafanya biashara wadogo wadogo na wajasiriamali...

READ MORE

Mapacha Wenye Miaka 9 Mkoani Arusha Wanaishi kwa Kula Magodoro

Mapacha wenye umri wa miaka 9 mkoani Arusha wanaoishi huku wanakula magodoro, wanaomba msaada ili wakatibiwe.   Mama mzazi wa...

READ MORE