×

Habari

TPA Hosts LMC Delegation For Business Talks

THE Tanzania Ports Authority (TPA) recently hosted a Lignes Maritimes Congolaises delegation, led by the Director General Adjoint (DGA), Mr Jean...

READ MORE

Breaking: Halima Mdee na Wenzake 18 Wafukuzwa Rasmi Chadema – Video

Baraza Kuu la CHADEMA usiku wa leo kuamkia Alhamisi (Mei 12, 2022) limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake...

READ MORE

TEN/MET Waizungumzia Bajeti Mpya Ya Elimu 2022/23

MTANDAO wa Elimu Tanzania (TEN/MET) umeguswa na Bajeti ya Wizara ya Elimu Sayansi na Teknlojia ya Mwaka 2022/23 iliyowasilishwa juzi...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi na Uhamisho wa Watendaji wa Serikali

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt.Charles Msonde kuwa Naibu Katibu Mkuu wa TAMISEMI (Elimu),...

READ MORE

Mbaroni kwa Kumbaka Mwanamke, Kisha Kumuua kwa Kumvunja Shingo

JESHI la Polisi mkoani Mtwara, linawashikilia watu wawili na mmoja bado anatafutwa na jeshi hilo kwa tuhuma za kumbaka kisha...

READ MORE

Mwenyekiti wa CHAUMA Hashim Rungwe Aungana na CHADEMA Kudai Katiba Mpya

MWENYEKITI wa Chma Cha Umma Hashim Rungwe amehudhuria katika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA...

READ MORE

Bob Wine Asema Alishinda Urais kwa Asilimia 53 Katika Mkutano wa Baraza Kuu la Chadema

  KIONGOZI wa Harakati za nguvu za umma na Rais wa chama cha National Unit Platform (NUP), Robert Kyagulanyi Ssentamu...

READ MORE

Rais Samia Azungumza katika Mkutano wa Biashara wa Sekta Binafsi Nchini Uganda

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan, leo Mei 10, 2022 amezungumza Jijini Kampala katika Mkutano...

READ MORE

Prof. Mkumbo Ataka Maafisa Elimu Kata Wang’olewe Kufidia Pengo la Walimu

  MBUNGE wa Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, ameishauri Serikali ifute kada ya maafisa elimu kata, ili kuziba changamoto ya upungufu...

READ MORE

Benki ya NMB Yaipa Kipaumbele Sekta ya Elimu Nchini

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda(Mb) ameipongeza Benki ya NMB kwa kuwa mstari wa mbele kuinua Sekta...

READ MORE

Benki ya Exim Yaahidi Uwekezaji Zaidi Utunzaji Mazingira

Dodoma; Mei 11, 2022: Benki ya Exim Tanzania imeahidi kushirikiana zaidi na wadau mbalimbali sambamba na kuunga mkono juhudi za...

READ MORE

Sitholizwe Mdlalose to Step Down as Vodacom Tanzania MD Dar 10th May 2022

    Vodacom Tanzania PLC (“Vodacom”) has today announced that Sitholizwe Mdlalose the Company’s Managing Director will be stepping down in...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Asema Nyongeza ya Mshahara Ni Mwezi Julai

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea taarifa ya mapendekezo ya ongezeko la mishahara ya watumishi kutoka kwa timu ya wataalamu iliyokuwa...

READ MORE

Watendaji Wasalimika Kuchukuliwa na OCD Kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani

Watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe walioshindwa kutekeleza vizuri zoezi la kuweka vibao kwenye mitaa na nyumba katika zoezi...

READ MORE

Shigongo Aishauri Serikali Juu ya Lugha Maalum ya Kufundishia

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Eric Shigongo amehoji juu ya msimamo wa Serikali...

READ MORE

NEYMAR ALIPANIA KOMBE LA DUNIA 2022

STAA wa Brazil na Klabu ya Paris Saint Germain, Neymar Jr amefunguka kuwa sasa ndoto yake ni kucheza Kombe la...

READ MORE

Prof. Mkenda Aomba Trilioni 1.49 Bajeti 2022/23 Wizara ya Elimu,Awasilisha Bungeni

  WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewasilisha bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2022-2023 huku ikiweka vipaumbele katika kuboresha...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Akiwa Uganda, Ziara Yake Ya Siku Mbili Inaendelea… (Picha +Video)

 Rais Samia Suluhu Hassan anafanya ziara ya kiserikali ya siku mbili nchini Uganda kuanzia leo Jumanne Mei 10 -11,...

READ MORE

Mbwa Atunukiwa Tuzo ya Heshima ya Rais kwa Kugundua Mabomu Ukraine

Rais wa Ukraine Vladimir Zelensky amemtunukia tuzo ya heshima ya Rais mbwa aliyepewa jina Pattern kwa huduma zake tangu uvamivi...

READ MORE

Mtoto wa Rais Museven Afikishwa Mahakamani kwa Kuutaka Urais wa Uganda

Mahakama ya kikatiba ya Uganda imemtaka mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kujibu shtaka analotuhumiwa la kueleza...

READ MORE

Video: Serikali Yatoa Tsh bilioni 100 Kupunguza Bei ya Mafuta – Waziri wa Nishati Makamba

WAZIRI wa Nishati, January Makamba leo Jumanne Mei 10, 2922 amesema Serikali imetoa ruzuku ya Tsh bilioni 100 kwa ajili...

READ MORE

Rais Samia Aelekea Nchini Uganda Kufanya Ziara ya Kiserikali ya Siku Mbili

Rais Samia Suluhu Hassan leo Mei 10, 2022 ameeleka nchini Uganda  kwa Ziara ya Kiserikali ya siku mbili.   

READ MORE

Rais Samia Kufanya Ziara ya Kiserikali ya Siku Mbili Nchini Uganda Kuanzia Leo

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kiserikali ya siku mbili nchini Uganda kuanzia leo Mei 10, 2022 hadi...

READ MORE

Meridianbet Nyumba Ya Mabingwa Yatoa Mkono Wa Pongezi Kwa Kina Mama

Mei 8 kila mwaka, huwa ni siku maalumu ya kusherehekea maisha ya kinamama kote duniani. Hawa ni watu muhimu kwenye...

READ MORE

Allure Of The Sea: Jiji La Starehe Linalotembea Baharini Kuna Baa 40, Hoteli Kubwa 25 – Video

Bila shaka sote tunazijua meli, iwe ni kwa kuiona live au kwenye picha, au kwa kupanda kabisa! Meli ni chombo...

READ MORE

Mwimbaji Nyimbo za Injili Peter Lubango Azindua Kwa Kishindo ‘EP’ Yake

Msanii wa nyimbo za injili nchini, Peter Lubango  amezinduzindua albam ya gospol ‘EP’ usiku wa April 08, 2022 katika Ukumbi wa...

READ MORE

Tigo na Infinix Waja na Infinix Hot 12 na Infinix Hot 12 Play kwa Mara ya Kwanza

    Dar es Salaam, Mei 10, 2022, Kampuni inayoongoza nchini Tanzania kwa utoaji wa huduma za kidijitali,  imeshirikiana na...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Taifa, Atangaza Kupungua kwa Bei ya Mafuta

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongea na  wananchi juu ya ongezeko la gharama ya bei...

READ MORE

Mbunge wa Buchosa Eric Shigongo Aishauri Serikali Iwekeze Kwenye Kilimo

MBUNGE wa Jimbo la Buchosha Eric Shigongo akitoa hoja Bungeni ameshauri kuwa kama Nchi inataka kurudi kwenye uchumi wa kati...

READ MORE

Meli Kubwa ya Magari 4397 Yawasili Bandari ya DSM, Yavunja Rekodi

MELI kubwa ya shehena ya magari yapatayo 4397 imewasili katika Bandari ya Dar es Salaam. Meli hiyo ya MERIDIAN ACEyenye idadi...

READ MORE

Ndugai Aweka Wazi Adhima Yake ya Kung’atuka, Aomba Asieleweke Tofauti

MBUNGE wa Jimbo la Kongwa Job Ndugai ametangaza kutogombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.   Ndugai amesisitiza kuwa...

READ MORE

Rais Samia Atoa Maagizo Kuhusu Kupanda kwa Bei ya Mafuta

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha dharura usiku wa jana tarehe 08...

READ MORE

CRB Kuwakutanisha Wadau wa Sekta ya Ujenzi Dodoma Wiki hii

Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB), Consolata Ngimbwa akizungumza kwenye mkutano wa makandarasi uliofanyika hivi karibuni mkoani Dodoma...

READ MORE

Henn-Na Hotel; Hoteli Ya Kijapani Inayohudumiwa na Maroboti

HEBU VUTA PICHA, unaenda hotelini na badala ya kupokewa na wahudumu, mapokezi unakutana na roboti lililotengenezwa kwa mfano wa mwanamke...

READ MORE

Jundokan Tanzania Karate-Do Yafunguliwa Mipaka Japan, Yapewa Mwaliko Sweden

KWA MUJIBU wa habari toka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Karate cha Jundokan So Honbu chenye makao yake makuu mjini...

READ MORE

Rais Samia Aitisha Kikao cha Dharura Ikulu Kujadili Tatizo la Kupanda kwa Bei ya Mafuta

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Mei 8, 2022 ameitisha Kikao cha dharura usiku wa Ikulu...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Uzinduzi wa Filamu ya The Royal Tour – JNICC, Dar (Picha +Video)

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameshiriki katika uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour katika...

READ MORE

Necta Yatoa Angalizo Mtihani wa Kidato cha Sita kwa Wamiliki wa Shule Nchini – Video

  JUMLA ya watahiniwa 95,955 kutoka shule za sekondari 841 na vituo vya kujitegemea 250 wanatarajia kuanza mitihani yao ya...

READ MORE

Wema Sepetu: Naumia Sana Nikiona Watoto wa Uwoya, Wolper, Natamani Mtoto

Wema Isaac Sepetu; ni staa ambaye kila kukicha manyota yanazidi kung’aa, lakini bado akiwa na machungu tele moyoni baada ya...

READ MORE

Jeshi la Polisi Limefanikiwa Kuwakamata Vijana 31 wa Panya Road

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata vijana 31 wengi wao wakiwa ni wakazi wa Dar es...

READ MORE