×

Habari

Mwili wa Msanii Maunda Zahir Zorro Kuzikwa Kesho Kwenye Makaburi Yaliyopo Kibada, Kigamboni

MWILI wa Msanii wa Bongo Fleva, Maunda Zahir Zorro unatarajiwa kuzikwa kesho Jumamosi kwenye makaburi yaliyopo Kibada, Kigamboni ambako alikuwa...

READ MORE

Kisa Simba, Nabi Apiga Mkwara Mzito Kambini Yanga, Ataka Waiwaze Namungo 

KOCHA Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi amewapiga mkwara mastaa wake kwa kuwataka kutofikiria mchezo wa Dabi ya Kariakoo na...

READ MORE

Daktari Matatani kwa Kuwapapasa, Kuwabusu Wagonjwa Wake Wakiwemo Wajawazito

DAKTARI mmoja kutoka North Lanarkhire nchini Scotland, Krishna Singh (72) amekutwa na hatia ya makosa 54 ya unyanyasaji wa kingono...

READ MORE

Nyumba Yanusurika Kuungua Baada ya Gari Kuteketea kwa Moto Nje ya Nyumba Hiyo

NYUMBA moja mali ya Bw. Rashid Adam mkazi wa Dodoma, imenusurika kushika moto kutokana na gari iliyokuwa imepaki nje ya...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Rais wa National Democratic Institute Jijini Washington

  RAIS Samia yupo katika ziara ya kikazi nchini Marekani ambapo amefanikiwa kukutana na viongozi mbalimbali wa kiserikali pamoja na...

READ MORE

Mshambuliaji wa Zanaco Phiri aitaka namba ya Yacouba Yanga, Adai ina Bahati

MSHAMBULIAJI wa Zanaco ya Zambia, Moses Phiri ambaye anahusishwa kujiunga na Yanga amesema kuwa anatamani kuona anavaa jezi namba 10...

READ MORE

Wakijiandaa Kuikabili Simba… Nabi Amuongezea Makali Mayele “Tumekuwa na Wakati Mzuri”

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ameweka wazi kuwa licha ya mwenendo bora walionao msimu huu, bado haridhishwi na kiwango...

READ MORE

Rais Samia Amfuta Kazi Mkurugenzi na Mtendaji Mkuu wa MSD, Afanya Uteuzi Mwingine

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemfuta kazi Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Mtendaji Mkuu...

READ MORE

Meli ya Kivita ya Urusi Moskva Imezama, Wizara ya Ulinzi ya Urusi Yadhibitisha

Meli ya Urusi ya kusafirisha makombora imezama katika “bahari yenye dhoruba” wakati ikivutwa baada ya kutokea mlipuko wa risasi ulioathiri...

READ MORE

Waziri Mkuu Ataka Vyombo vya Habari Vifanye Kazi kwa Kuzingatia Weledi na Maadili

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ili kuhakikisha wananchi wanapata habari sahihi vyombo vya habari havina budi kufanya kazi kwa kuzingatia...

READ MORE

Ukimuita Mwenzio Mchawi Njombe Unakwenda Jela Miaka Saba

POLISI mkoani Njombe imeonya wananchi kujihusisha na vitendo vya ushirikina na kubainisha kuwa yeyote atakayemuita jirani yake mchawi na kukamatwa...

READ MORE

Mfalme Wa Morocco Aridhia Kufunguliwa Mskiti wa Kisasa

    Mfalme wa Morocco Mtukufu Muhammed wa sita ameruhusu kufanyika ufunguzi mdogo wa msikiti wa Mohamed wa sita na...

READ MORE

Kabla ya Kifo Chake Maunda Zorro Alikanusha Kutumia Madawa ya Kulevya-Video

MAREHEMU Maunda Zorro kabla ya kifo chake alifanya mahojiano marefu na Global Radio pamoja na Global TV ambapo alielezea safari...

READ MORE

Kariakoo Yatengewa Bilioni 10 Kufanyiwa Ukarabati na Kujengwa Ghorofa Jipya

KATIKA Mwaka wa Fedha 2022/23, Shirika la Masoko ya Kariakoo limetengewa Shilingi Bilioni 10.00 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati...

READ MORE

Sikukuu ya Pasaka: Kanisa la VCCT Lililopo Mbezi Dar, Limeandaa Tamasha Kubwa

Kuelekea Sikukuu ya Pasaka, Kanisa la VCCT lililopo Mbezi jijini Dar es Salaam, limeandaa tamasha kubwa la Easter Production 2022...

READ MORE

Watumishi wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania, Washington Marekani Wampokea Rais Samia

Viongozi, Watumishi wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania pamoja na Baadhi ya Wawakilishi kutoka nchi za SADC walifika kumpokea Rais...

READ MORE

#Live: Bunge La Bajeti, Wabunge Wanachangia Hoja Katika Bajeti Ya Wizara Ya Tamisemi…

Kikao cha Bunge la 12, mkutano wa saba, kikao cha saba unaendelea leo Aprili 14, 2022 jijini Dodoma. ⚫️ SIKILIZA...

READ MORE

Kocha wa Simba Atoa Tamko Zito “Orlando Wazuri, Lakini Hawatoki kwa Mkapa”

KOCHA Mkuu wa Simba Mhispania, Pablo Franco amesema kuwa ni kweli wapinzani wao Orlando Pirates ya Afrika Kusini ni wazuri,...

READ MORE

Mafanikio ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania T.I.C Robo Tatu ya Mwaka 2022

KITUO cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeweza kupata mafanikio makubwa katika robo tatu ya mwaka inayoanzia Januari mpaka Machi, 2022 kutokana...

READ MORE

Kampuni ya Uber Yatangaza Kusitisha Huduma Zake Nchini Tanzania, Sababu Zipo Hapa

KAMPUNI ya Uber imetangaza kusitisha huduma zake nchini Tanzania, huku ikizitaja nauli elekezi za LATRA kama sababu na kudai itarejesha...

READ MORE

Operesheni ya Uandikishaji wa Anuani za Makazi na Post Code Ikungi Imefikia Asilimia 90

MKUU wa wilaya ya Ikungi Ndugu Jerry C. Muro pamoja na wajumbe wa kamati ya usalama wameendelea na zoezi la...

READ MORE

Bima ya Mkono wa Pole ya NMB Inavyoleta Matumaini kwa Wanavikundi

 Mwanakikundi anaweza kuchangia kwanzia Sh.500 mpaka Sh.2,000 kila mwezi na kupata fidia pale janga la kifo litakapotea kwanzia Sh....

READ MORE

TCB Kuendelea kuwa Mdau wa Maendeleo  Nchini

  Tanzania Commercial Bank TCB) imesema itaendelea kuwa mdau mkubwa wa maendeleo  ili kuboresha uchumi wa Tanzania. TCB imeshirikia kikamilifu...

READ MORE

Rais Samia amteua Sophia Simba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jami (ISW)

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM (UWT), Sophia Simba kuwa Mwenyekiti wa...

READ MORE

Waziri Mabula Ashangiliwa Baada ya Kumaliza Mgogoro Wa mda Mrefu Keko

Waziri wa ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametoa onyo kwa wananchi na makampuni yanayovamia maeneo ya...

READ MORE

Avunjwa Miguu na Mikono Baada ya Kufamaniwa na Binti wa Watu

Kijana anayefahamika kwa jina Benard Mkolwe mkazi wa kata ya Madilu,wilaya ya Ludewa mkoani Njombe,amepigwa na kuvunjwa mikono na miguu...

READ MORE

Raia Zanzibar, Afikishwa Mahakamani kwa Tuhuma za Kukata Viuno Hadharani

Maulid Hussein Abdallah, mkazi wa Kijiji cha Mwera Wilaya ya Magharibi Unguja visiwani Zanzibar, amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kukata...

READ MORE

Ukraine: Kachero wa Putin Atiwa Mbaroni na Idara ya Usalama ya Ukraine SBU

Ukraine inasema imemkamata mwanasiasa mtoro anayeiunga mkono Urusi Viktor Medvedchuk, anayeonekana kuwa mshirika wa karibu wa Rais Vladimir Putin nchini...

READ MORE

Aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai, leo Aanza Kuhudhuria Vikao vya Bunge – Video

Aliyekuwa Spika wa Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai, leo ameanza kuhudhuria vikao vya Bunge la Bajeti...

READ MORE

Milioni 600 Zimepigwa, Aweso Achafukwa, Asweka watu Ndani

Zaidi shilingi milioni 600 zatumika vibaya Wilayani handeni Mkoani Tanga, Fedha hizo zilizotengwa kwa ajali ya kukamilisha mradi wa bwawa...

READ MORE

Fariji Kutoka Nachingwea: Bado Siamini Nimeshinda Karibu TSh89 Milioni BetPawa

Bonasi ya ushindi ya betPawa ndiyo bora zaidi na hakuna anayekaribia hilo. Nilipata nafasi moja tu kuangalia mkeka wangu na...

READ MORE

Rais Samia Aelekea Nchini Marekani kwa Ziara ya Kikazi Asubuhi ya Leo

Rais Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini leo Aprili 13, 2022 kwenda Marekani kwa ziara ya kikazi. Pamoja na mambo mengine...

READ MORE

Tazama Wateja wa NBC Mkoa wa Dar Walivyoandaliwa Iftar

  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Theobald Sabi amesema NBC inaendelea kukuza mshikamano na maelewano katika...

READ MORE

SBL Yatoa Msaada wa Mablanketi 150 kwa Wazee Mwika Moshi

    KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) imetoa msaada wa mablanketi 150 kwa wazee Mwika mkoani Kilimanjaro ikiwa ni...

READ MORE

Uwajibikaji Kwa Jamii wa Benki ya NMB Yaendelea Kugusa Wengi

  Kupitia sera yake ya uwajibikaji kwa jamii (CSR), Benki ya NMB imetenga asilimia moja ya faida baada ya kodi...

READ MORE

Makamu wa Rais Apokea Hundi ya Gawio Kutoka Kampuni ya Airtel Tanzania

          JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA                    ...

READ MORE

Waziri Mulamula Akutana na Kufanya Mazungumzo na Mabalozi wa Ulaya

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) amekutana kwa pamoja na kufanya mazungumzo...

READ MORE

Chongolo Amtembelea Masoud Kipanya, Ajionea Gari Lake..

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo, ametoa siku saba kwa Shirika la Viwango Tanzania (TBS),  kufika...

READ MORE

Ripoti ya CAG Yabaini Ubadhilifu Mkubwa wa Fedha Mamlaka ya Bandari

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ametoa ripoti yake ya ukaguzi wa hesabu za serikali mbele ya...

READ MORE